ANGALIA Muhammad Bachu AKIJIBU MASWALI KITAALAMU||HUWEZI KUAMINI.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 286

  • @djumapiliamina1139
    @djumapiliamina1139 Рік тому +1

    Barakallahu fikh sheikh Muhammed bachu

  • @abdallahmwakasege5405
    @abdallahmwakasege5405 Рік тому +7

    Huyu sheikh, naweza pata mawazisiano nae. Amenyooka sana mashallah. Nampenda kwa ajili ya dini

    • @jkifutu7936
      @jkifutu7936 11 місяців тому

      Number zake nenda mbagala uta zipata

  • @HemedRajab-v3i
    @HemedRajab-v3i День тому

    Jazzaqallahu kheir

  • @maulidmussa8969
    @maulidmussa8969 2 роки тому +10

    allah akulipe khery sheikh bachu, inshallah

  • @abeliever6823
    @abeliever6823 2 роки тому +5

    Ndugu yangu mwislamu. Ningependa ungelekea kwa njiya za kunufaisha binadamu na waislamu. Sisi waislamu tuna matatizo mengi sana. Siku zetu duniyani Ni chache. Kesho or baada ya wakati mfupi tutasafiri. Mola amekupa gift ya kuzungumza. MaashaaAllah. Wacha kupoteza wakati wako kwa firaq, Makundi na groups. Sote sisi Ni waislamu. Namuomba Mola akupe elimu yenye baraka

    • @saidissa8273
      @saidissa8273 Рік тому

      Huna HOJA.hivi si ndio kufundisha au afundishe unayoyataka

    • @nassorkhamis6233
      @nassorkhamis6233 10 місяців тому

      Dawa yako ni mfumo wa kiyahudi

    • @abeliever6823
      @abeliever6823 10 місяців тому

      Ndugu. Si sawa kuapizana. Allah akupe na atupe hidaaya

  • @ibrahimabdul8257
    @ibrahimabdul8257 2 роки тому +3

    Wallaah ndugu zangu hizi ni zamaa mbaya sanaa Turudini kwa Allaah na tulazmiane na njia ya salaf katika Aqiyda, katka ibada mbalimbali, na muamalat mbalimbali...Allaah asiwakithirishè hawa kina muhammad bacho...

  • @halimamohamed4842
    @halimamohamed4842 Рік тому +2

    Shukran sn Shekh Allah akulipe khri❤

  • @ashahassan1877
    @ashahassan1877 Рік тому +1

    Muhamed bachu unafahamika Kaka upo vizurii Sana MashaAllah

  • @abbaspaziaog2188
    @abbaspaziaog2188 2 роки тому +7

    MASHA'ALLAH ,Sheykh wetu Muhammad bachu

  • @HuzayfaKibua
    @HuzayfaKibua Рік тому +2

    Mashallah 🙏🏿

  • @MunahyaMubaraka
    @MunahyaMubaraka 5 днів тому

    Mashallah❤❤❤❤❤❤

  • @fabiboy4010
    @fabiboy4010 2 роки тому +1

    Mashallah, @mohammed bachu ww ni sheikh ambae unatumia hekma na elimu kwa kadri allah alivokuwezesha lkn kuna watu wengine wanaendekeza jazba kuliko elimu

  • @mkude
    @mkude Рік тому +1

    ALLAH Akulipe kila LA kheir sheikh mohamed Bachu

  • @ahmadzubeir2605
    @ahmadzubeir2605 2 роки тому +6

    Sheikh Mohammad! Nimekusikiliza sanaa na vizuuri,nimekupata.

  • @shafially879
    @shafially879 2 роки тому +3

    Tabia nzuri ni katika uchamungu, mwenye tabia nzuri kakushinda katika dini!

  • @midahalomwanga9328
    @midahalomwanga9328 Рік тому

    Mashaallah allahumma barik alaihi

  • @SaidanSalu
    @SaidanSalu Рік тому +1

    Mashallah al akhy

  • @kassimajmus2010
    @kassimajmus2010 2 роки тому +3

    Sh.Muhammad fanya kazi ukiamini Allah yukopamoja na ww

  • @abdulhamidbakar2461
    @abdulhamidbakar2461 2 роки тому +2

    Subhana llah yaaarab naomba utusamehe mazamb yetu kwasababu wakati mwengne hatujui twazungumza nn maswali yanajibiwa kiushabik na hii haifai ktk dini tunajisahihisha ss wenyewe ameshawaona watu wasufi ni watu wa kuabudia makaburi kwavletu hawapo kwenye aliekuwepo yy kijana punguza kiburi na tuna muomba mwenyezimingu akupe hidaya umeenda mbali sana

  • @SalumuMatimbwa
    @SalumuMatimbwa 3 дні тому

    Na ww una mengi si tumekinai inshallah

  • @abeliever6823
    @abeliever6823 2 роки тому +3

    Assalaam Alaykum
    Very sad. Extremely sad. We waste energy on fighting each other. We are filled with arrogance. It is as if we are guaranteed to enter Janna. We look down upon anyone with different views. Subhaanallaah. May Allah guide us. I wish we could use our energy into what benefit our fellow Muslims. Instead of fighting each other. Very sad wallahi.

    • @abdallahmgaya7521
      @abdallahmgaya7521 Рік тому

      They are not fighting each other, but they debate and from their debate we get Islamic knowledges, so don't worry @A Believer

    • @selemanmartin
      @selemanmartin Рік тому

      Sisi ni waswahili kiingereza hakina sababu hapa

  • @canoksancomprehensivelearn7182
    @canoksancomprehensivelearn7182 2 роки тому +3

    Ni kweli hatupaswi kabisa kuhukumiana kwa maneno maana mtu anaweza akasema kitu kwa nia nzur lakin kwa jazba zetu tukapokea kivingine, na kiukweli manhaj ya sunnah waljamaa ndio pekee ya kufuatwa na masuala ya jazba na kukatana na kudhalilishana kwenye mitandao ni mabaya sana na ndio yaloenea sana.

  • @omarbakaralit1087
    @omarbakaralit1087 2 роки тому +1

    Allah akulipe kher

  • @iddimkulu2791
    @iddimkulu2791 2 роки тому +3

    بارك الله فيك

  • @abuudhilqarnayn5180
    @abuudhilqarnayn5180 2 роки тому +3

    Akh punguza Riyaa, halafu umejawah na kutaka umaarufu na baba ako hakuwa hivo, MCHE ALLAH

    • @Muhammad_Nassor_Bachu_.
      @Muhammad_Nassor_Bachu_.  2 роки тому +3

      Ikiwa mtu anaweza kuiona Riyaa ya mtu basi watu wataiona kwako, maana hii comment yako huenda ni Riyaa😎

    • @ibrahimpande7052
      @ibrahimpande7052 2 роки тому

      @@Muhammad_Nassor_Bachu_. Swadaqta Akhy

    • @sadatlucas4045
      @sadatlucas4045 2 роки тому

      Allah amuongoze huyu jamaa

    • @abuudhilqarnayn5180
      @abuudhilqarnayn5180 2 роки тому

      @@Muhammad_Nassor_Bachu_. Una mtihan sana, wewe kiboko yako ni al akh Abul Abbas Muhammad Rashid, NDIE ANAKUTWANGA TWANGA NYUNDO

    • @abdulkareemseif1892
      @abdulkareemseif1892 2 роки тому

      @@Muhammad_Nassor_Bachu_. wewe huna isipokua riaa tu ..mm naamini sh bachu ingekuepo engekutwanga makofi kwa upuuxi wako huu

  • @Rehema-h6t
    @Rehema-h6t 2 роки тому +1

    ماشا ء الله ماشا ء الله أمين يا رب العالمين 🤲ansante sana

  • @fawaaidzakielimu4858
    @fawaaidzakielimu4858 Рік тому

    Usiseme kitaalamu Bali SEMA Kielmu, Hvo

    • @TawfiqHaji
      @TawfiqHaji 6 місяців тому

      Kitaalamu na kielimu si ndo hivohivo kaka angu,mbona unamkosoa bure ilhali yuko sawa,taalamu maana kiujuzi ,kiufundi,kielimu zaidi,elimu ndo hivohivo ni neno la kiarabu tuu,usikosowe km hujui na muangalie nani unamkosowa insha,allah.🙏🤫🤫🤐

  • @abuutamliikhaothmaan7244
    @abuutamliikhaothmaan7244 2 роки тому

    Assalaam alaykum warahmatullahi wabarakatuhu hii tunaomba itengenezwe short clip ili ienee kweny magroup yawasap

  • @abdulmwakubambanya9091
    @abdulmwakubambanya9091 2 роки тому +2

    Barakh Allah Khair sheikh

  • @hamadibausi9543
    @hamadibausi9543 Рік тому

    Nilichokigundua kutoka kwa huyu sheikh Bachu ni kwamba:
    1. Ni mtu wa kujifakharisha
    2. Ni mtu wa ria ktk elimu
    3. Anaongozwa na kibri
    4. Ni mtu mwenye dharau sana.
    Namuombea kwa ALLAH amuondoshee hiv vitu basi atakuwa mtu mzuri sana wa da'awa km alivyo sheikh Kishki

  • @omarysalum6754
    @omarysalum6754 2 роки тому +1

    Mashallah Allah akuhifadhi kw kufuata nyayo za baba

  • @ibrahimramadhan6076
    @ibrahimramadhan6076 2 роки тому +1

    جزاك الله خيرا يا اخي

  • @hassanbakar9278
    @hassanbakar9278 2 роки тому +4

    Baaraq Allah Sheikh
    Allah akulipe Ujira Stahili

  • @sarahhashim6298
    @sarahhashim6298 2 роки тому +1

    mungu akulipe heli wambie aho tumekuelewa sana mr yani usiache

  • @haidaribakari6817
    @haidaribakari6817 2 роки тому +3

    Kama nihivyo mbona unawaradi mashekh wenzio wanapo kosea bila kuwauliza makusdio ?

  • @khadijasaid5065
    @khadijasaid5065 2 роки тому +1

    Mashaallah shekhe wetu Muhammad bachu Mungu akuzishiye ilmu zaidi inshaallah kutoka kenya khadija said Nahdi mld

  • @kalumboukororo5505
    @kalumboukororo5505 2 роки тому +2

    Ninachokijua mimi mtume wetu akuwa shia wala sarafi wala suni ninachojua alikua muislamu tu hayo ni mambo yenu tu Allah atujaalie umoja amina nakama kunayeyote anajua. Mtume wetu alikua sarafi au shia au sarafi anambie aliacha sunna wajukuu zake hassani na hussen na uislamu salama kbsa

  • @salimabdallah5176
    @salimabdallah5176 Рік тому

    Wapi Bwana MTUME alipanda azam marine

  • @saadmbaraqa5272
    @saadmbaraqa5272 2 роки тому +3

    Kwani kuna ulazima wa kuendelea kujadili masaala ya ikhtilafah hamuoni mnaikuza fitnaaa

  • @jaffersimba8566
    @jaffersimba8566 10 місяців тому +1

    Bachu ulishawahi kumfuata Sheikh wa Kisufi ukamuuliza kama anaabudu kaburi akakujibu nfio anaabudu Mkaburi...!!?

  • @abuusalafy7956
    @abuusalafy7956 2 роки тому +2

    We Ni mgonjwa

  • @abuuabdillahsalafimhapa3839
    @abuuabdillahsalafimhapa3839 2 роки тому +2

    huyu kijana kapinda vibaya allah amuongoze

  • @hudaonlinetv
    @hudaonlinetv Рік тому

    Makafiri

  • @faidamuhamed3011
    @faidamuhamed3011 Рік тому

    Ktk siku nilizuelewa shkh mhmd Bach basi nikupitia hii kalma

  • @godfreywasike1687
    @godfreywasike1687 2 роки тому +1

    Ustadh Njoo Kenya Nairobi Kuna baadh ya mitaa Majadida wamejaa

  • @abuuqatada9791
    @abuuqatada9791 2 роки тому +4

    Ujidanganya nafc kaka wwe wew ni hizb tu

  • @alves_photo5346
    @alves_photo5346 2 роки тому +2

    Maashallah

  • @lyzoel-suleiman6746
    @lyzoel-suleiman6746 2 роки тому

    shekh nan amsema swarf na nahwu haidhuru katika aqida ?

  • @salehsuleiman1218
    @salehsuleiman1218 Рік тому

    Allah amesema Waislam sote ni ndugu lkn Leo tunabaguana kwa usalaf na madheheb mengine wakat sote ni laailaha illa llah Muhammad rasoulullah bado tunaitaj jitihada sana ktk kusoma Dini .

  • @abuusamuhath487
    @abuusamuhath487 2 роки тому

    Asalam alaikum, sheikh naomba ni. Yako

  • @shekhmansoor5421
    @shekhmansoor5421 2 роки тому +2

    Ila shekh mimi ninge furahi saana ungekuja huku kwetu kenya kambini Turkana count.
    Japo kwa siku chache

  • @neemafatu471
    @neemafatu471 2 роки тому +3

    Nimependa wallahi majibu yako

  • @mohamedhaji2200
    @mohamedhaji2200 2 роки тому +3

    Sheikh Mohammmad Bachu nakuelewa sana kwa uwazi wako na ukweli. Ndio maana hawakupendi.

    • @karimdaud3993
      @karimdaud3993 Рік тому

      Huyu ni fitina wa kugawa watu oogomvi ugomvi kila. Siku hana hata ilimu ya kuwafahamisha

  • @saadmbaraqa5272
    @saadmbaraqa5272 2 роки тому

    Duh mtihani

  • @الحَمْدُِلله-ص8م9ش

    kwani al imaam Ahmad alipoulizwa kuhusu husain Alkaraabisy alisemaje ?

  • @jamalsalum8726
    @jamalsalum8726 2 роки тому

    Mawahabi shida sana,mbona wanaoenda kuwaombea dua maiti makaburini mnawalazimisha kuwa wanawaomba maiti,bila ya kuwauliza na mkasikiliza ukweli wao au uwahabi ndio kuwazushia watu tu.

  • @salimabdallah5176
    @salimabdallah5176 Рік тому +1

    Suala unasema maulidi hayakuwepo Enzi za Bwana MTUME wala MASAHABA..JE UROJO ULIKUWEPO Tunaula sio bidaa.

  • @issahrashid6319
    @issahrashid6319 2 роки тому +4

    Shekh apo ulisema Uvundo umekosea ucseme maneno km hayo tumia hekma na waombe radhi km waislam wenzako

    • @MohammedSaid-qr1zn
      @MohammedSaid-qr1zn Рік тому +1

      Allah amrehem shekhe nasoro Bachu bado tunapata manfaa kupia yeye kwa rehma za Allah.

    • @hassanjuma869
      @hassanjuma869 Рік тому

      Kwanini aombe radhi

  • @SangiwaMsangi-x4x
    @SangiwaMsangi-x4x Рік тому

    Mbona kama wame edit

  • @asifznz
    @asifznz 2 роки тому +5

    Barak Allahu alayk

  • @salmaalkyumi6030
    @salmaalkyumi6030 2 роки тому

    Salallahu Alaihi Wasalam ❤️❤️❤️

  • @shekhmansoor5421
    @shekhmansoor5421 2 роки тому +6

    Mimi hatakama iwe nini sisomi kwa jadida yeyote wataniambukiza chuki zao

    • @thulaniduku3218
      @thulaniduku3218 2 роки тому

      Kweli kabisa akhy
      Majadih wana chuki sana

    • @mkude
      @mkude Рік тому

      Kweli kabisa hawana adabu na wanakauli chafu sanaaaa

  • @mahfoudhcalender2747
    @mahfoudhcalender2747 2 роки тому +5

    Majadida hawana hekma ktika kulingalia Da3wa.

    • @mohdaliothman174
      @mohdaliothman174 2 роки тому

      Nini maana ya hekima

    • @mkude
      @mkude Рік тому

      Kweli kabisa hawana hekma wala adabu,wallahi wanakauli chafu sanaaaa.

  • @abdulkareemseif1892
    @abdulkareemseif1892 2 роки тому +2

    Km huyu ingeeishika sunna kweli Basi wengi wengekubeza

  • @AbdlyhajLuhondo-id7zi
    @AbdlyhajLuhondo-id7zi 11 місяців тому

    Hamnakazi nyinyi kwa nyinyi

  • @salemaliy1963
    @salemaliy1963 10 місяців тому +1

    Tafuteni elimu ......msiwe watu wamalumbano bachu elimu ni BAHARI elewa hilo ...

  • @abdallahjuma4397
    @abdallahjuma4397 2 роки тому

    Ama kweli Allah humuongoza amtakae pamoja na baba yake kuwa katuka haq lakin Allah hajamkadiria ndugu yetu yapasa tumubee.. Sasa hata ukimsikiliza hupat maelezo ya kielimu..Nasaha zangu Soma ndugu Yangu mambo ya kutafsri kiarabu sio Dini ya akhy..Waarabu wanajua kiarabu lakin pia wanasoma soma ndugu bado kijana mdogo soma soma soma soma
    Allah akuongoze katika haq

  • @azizabakari5137
    @azizabakari5137 2 роки тому

    Hakik shekh bachu upo vzr

  • @ramadhanmakame1328
    @ramadhanmakame1328 2 роки тому +2

    Makundi ni bid'a, kumbe nyinyi mna taasisi, ilikuwa sijawaelewa

  • @hudaonlinetv
    @hudaonlinetv Рік тому

    Sasa wafundisha kitu gan

  • @hudaonlinetv
    @hudaonlinetv Рік тому

    Wewe ni mgonjwa

  • @abuurayyaan4306
    @abuurayyaan4306 2 роки тому +1

    Unatumia nguvu kubwa sana kutetetea baathwil

    • @allybobsaith
      @allybobsaith Рік тому

      Mbona hueleweki kutetea haki au batil 😕😕😕😕

  • @muhsinsalim6257
    @muhsinsalim6257 Рік тому

    Nakuuliza umesoma wapi ww?????

  • @hassanmsangi4149
    @hassanmsangi4149 2 роки тому

    kwa vigezo vya shehe hao waisilamu wa pongwe ni kama mahawarij hamna tofauti kabisa.

    • @SHEIKHMWAIPOPOTV
      @SHEIKHMWAIPOPOTV 2 роки тому

      Inaonekana waislamu wengi uwezo wetu ni mdogo Sana wa kufikiri ukweli tubadilike tumebeba chuki Sana kuliko uhalisia

  • @akhykassim
    @akhykassim 2 роки тому

    Sasa huyo kishki anahusika nn hapo?

  • @hudaonlinetv
    @hudaonlinetv Рік тому

    Wewe unaumwa towa mawaidha acha hayo hasidiyi kitu katika uwisilamu

  • @ramadhanmakame1328
    @ramadhanmakame1328 2 роки тому +5

    Dah, dini mnaifanya ushabiki, kuingizana na kutoana kwenye sunna na usalafi kwa matakwa yenu.hahahah

    • @JumaaMwatela-b5g
      @JumaaMwatela-b5g Рік тому

      Vita ni vyema tuambiiane ukweli maulidi ni bidhaa uzushi ulio wazi

  • @AliyibrahimKhamis
    @AliyibrahimKhamis 5 місяців тому

    Kaka ntk kjfund kwko

  • @ibrahimseif7859
    @ibrahimseif7859 Рік тому

    Mashee wenge wanapenda sana pesa ndio maana wanazalishana

  • @SaidimaulidiMaulidi-lf9de
    @SaidimaulidiMaulidi-lf9de Рік тому

    Huna elimu yoyote umejawa kibuli na huna adabu kwa wakubwa zako,kwa usheh wako ni bora niikose hiyo elimu,huna adabu huna hekima Tanzania mzima hupendwi kwa tabia zako mbaya,unakokwenda kubaya...

  • @hudaonlinetv
    @hudaonlinetv Рік тому

    Usifabye upu mbavu

  • @abuurayaan3902
    @abuurayaan3902 2 роки тому

    Ndio utaalamu huu au utumbo

  • @seanmurray6516
    @seanmurray6516 Рік тому

    Huyu mtoto wa bachu hana hikma zaidi ya utovu wa adabu

  • @sadatlucas4045
    @sadatlucas4045 2 роки тому

    Unatakiw kuwa Humble Bachu...

  • @mohamedmnango3660
    @mohamedmnango3660 2 роки тому +1

    Fasiri uliyotoa kuhusu Ahlusunna Waljamaa inapatikana kitabu gani

  • @abdulkareemseif1892
    @abdulkareemseif1892 2 роки тому +2

    Uyu jamaaa muongo huyu Yani kusema Ivo tu imam ndo ukaacha hao masalafy hili Ni vundo kweli

  • @ibrahimabdul8257
    @ibrahimabdul8257 2 роки тому

    kwamba kuna jitihad ya taasisi..na jitihadi za nurdin kishki...sasa Allaahul mustaanu ...jithd gan ndio raajih kwako kulingana na dalili wabanishie watu kwan haiwezkn haqq zikawa mbili ... ihurumie nafsi yko

  • @yasirkhan_tz
    @yasirkhan_tz Рік тому +1

    Shekhe ww niwamchongo hujuwe unacho kisema swali majibu nivitu viweli tafauti

  • @abdallahbahry6583
    @abdallahbahry6583 2 роки тому +1

    Huyu kijaana kwa kutafta umaarufu tu mejitahid amefanikiwa

  • @AllyAbdallah-kw3yf
    @AllyAbdallah-kw3yf Рік тому

    Duuh, huyu kijana inaonekana haijui manhaji inatakiwa amtafute mwalim akasome tena,maana sijui haya majibu anayyajibu kwa ufaham wa nain katika wanawachuon

  • @HanifaSheha-wm7dn
    @HanifaSheha-wm7dn Рік тому

    O

  • @HAFIDHIMASANGA
    @HAFIDHIMASANGA Рік тому

    shekhe google uyo

  • @ahmadzubeir2605
    @ahmadzubeir2605 2 роки тому

    Tobbaaaaa

  • @munyanezaismail7642
    @munyanezaismail7642 2 роки тому

    Sasa mbona naona unamtetea kishki na huku ukijisahaulisha mawqif ya maulamaa ya waliotangulia kuhusiana na watu wa bidaa? Na ili hali Imaamu Ahmad ameulizwa ukiona mtu anatembea na mtu wa bidaa ufanyeje? Akasema mnasihi, wakasema je ikiwa hakumuacha ? Akajibu: muunganishe nae ( yaani na mtu wa bidaa ).

  • @abuumaryam7970
    @abuumaryam7970 2 роки тому +1

    Wewe ulikua HAJAWIRA hujawahi kua SALAFI baada ya kukushinda uhajawira ukaamua kurudi kwenye uhizbi

  • @azirymohamed7656
    @azirymohamed7656 Рік тому

    Sheikh bachu naomba nijibiwe kula nyama ya mtu . Ni kauli ya Allah au kauli ya mtume? Naomba afafanuz

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 2 роки тому +2

    Misufi kwwli inauzi maana hapa mtaani wapo kila siku wanaswali swala za tasbihi na mania

  • @alikhamis6326
    @alikhamis6326 2 роки тому +2

    Innallilah wainna ilaih rajiun watu wanaofuata manhaj salaf anawaita uvundo je ww je unawasema wezako hawana nidhamu je wewe una nidhamu Allah akuongoze katika kufuata sunnah japo nakuona kama una Sifa fulani ivi

    • @ZuhraMiraji
      @ZuhraMiraji Рік тому

      Allah akuongoze hujui unachokifanya uvundo mwenyew
      Najivunia kuwa salaf swaleh

  • @ahmadzubeir2605
    @ahmadzubeir2605 2 роки тому

    Sasa kujinasibisha au kundi?

  • @swalehemusakiluwa9405
    @swalehemusakiluwa9405 2 роки тому

    Duh yani ukimuuliza mtu tu akikubali unamkufurisha ni mwanachuoni gani alisema hivyo ,,
    Kuna kitu kinaitwa موانع التكفير sasa chunga sana usikurupuke