𝗞𝗔𝗨𝗟𝗜 𝗡𝗭𝗜𝗧𝗢 𝗔𝗟𝗜𝗭𝗢𝗪𝗔𝗛𝗜 𝗞𝗨𝗭𝗜𝗧𝗔𝗠𝗞𝗔 𝗦𝗛𝗘𝗜𝗞𝗛 𝗡𝗔𝗦𝗦𝗢𝗥 𝗕𝗔𝗖𝗛𝗨 رحمه الله

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 42

  • @MunahyaMubaraka
    @MunahyaMubaraka 2 місяці тому +2

    Allah amrehem wallah nampenda sn

  • @MohamedSalim-cm9ih
    @MohamedSalim-cm9ih 3 місяці тому +4

    Sheikh Nassor ni simba ametuachia simba pia.. Ma Sh Allah kuna watu wnatuko povu.... Na wengine wnasema kua wlimlingania dawa ya salaf mwishoni mwa uhai wke... Majadida mahasidi wa daawa... Allah amrehemu sheikh Nassor na Amhifadhi. Al akhi Muhammad bachu..

  • @abuunayfatu8701
    @abuunayfatu8701 2 місяці тому +1

    اللهم اغفر له وارحمه وعافه وعف عنه

  • @zanlec7357
    @zanlec7357 3 місяці тому +3

    Masha Allah. Allah amlipe pepo Sheikh Nassor Bachu aamin. Huyu ndio Bachu tunaemjua cc sio yule Mdogo anaharibu sana. Allah amnyooshe katika Haki

  • @Hamis-ks1sy
    @Hamis-ks1sy 3 місяці тому +7

    Allah amrehemu sheikh Nassor Bachu

  • @MohamedMeja
    @MohamedMeja 3 місяці тому +2

    Masha allah mungu amrahamu

  • @KhalidHassan-om2yy
    @KhalidHassan-om2yy 3 місяці тому +2

    Allah amrehem sheikh wetu amuhutumie na amtunze jana

  • @HalimaKinyashi-w7h
    @HalimaKinyashi-w7h 3 місяці тому +3

    MAASHAALLAAH endelea kutuletea mawaidha ya shekhe bacho Kwa mfumo huu huu tena nasubscribe kabisa

  • @MohammedOmar-wt3vg
    @MohammedOmar-wt3vg 3 місяці тому +2

    Masha ALLAH. ALLAH amrehemu na msamehe

  • @AbdulkareemaliyseifSeif-ob1lm
    @AbdulkareemaliyseifSeif-ob1lm 3 місяці тому +5

    Huyu sheikh niliwahi kumpenda kabla sijui sunna ni nini

  • @ابومعاذاحمدناصر
    @ابومعاذاحمدناصر 3 місяці тому +4

    رحمه الله

  • @MsabahAli-d6u
    @MsabahAli-d6u 3 місяці тому +2

    Allah ampe kauli thaabiti tumenufaika na daawa yake

  • @SwaumuMikidadSwaumu
    @SwaumuMikidadSwaumu 3 місяці тому +2

    Allah amrehem shekh nasor bachu

  • @AbubakariLabu
    @AbubakariLabu 3 місяці тому +1

    Allaah Amrehemu Shekh Wetu Nassoro Bachu Hakika Alikua Nimtu Wa Elimu Sio Kile Kitoto Chake Kinacho Ropoka Hovyo

    • @sabrizamilalmendhry
      @sabrizamilalmendhry  3 місяці тому

      Amin baarak Allah fiyk

    • @MohamedSalim-cm9ih
      @MohamedSalim-cm9ih 3 місяці тому

      Ww ndio unaeropoka.. Sio yy... Naje wle wliosema kua dawa sheikh ati kalinganiwa na hao vijana mujrimi wa wakijadida.. Wao hawkuropoka... Dawa imechafuliwa sana baada ya kufa sheikh Nassor bachu.. Na walioichafua ni majadida waovu.. Maaduai wa dawa ya sunna

    • @AbubakariLabu
      @AbubakariLabu 3 місяці тому

      @@MohamedSalim-cm9ih
      الكلب كلبا وإن طوقته ذهبا

    • @ابومعاذاحمدناصر
      @ابومعاذاحمدناصر Місяць тому

      Ujadida tu huo unakuhangaisha

  • @NassorHassan-no1cr
    @NassorHassan-no1cr 3 місяці тому +8

    Mashallah shekh Nassor اللهم اغفر له وارحمه وعافه واعف عنه وأكرم نزله ووسع مدخله واغسله بالماء والثلج والبرد ila majadida wanasema wao ndo waliokwenda kumpa majhaj salaf wakati yuk ktk daawa wao wanapiga matari😅😅😅😅😅

  • @ibrahimsuleiman706
    @ibrahimsuleiman706 3 місяці тому

    Allah amrehem shekh Nassor Bachu

  • @HamadFakh
    @HamadFakh 3 місяці тому +2

    Daah!! tumestafidi sana tunaomba darsa za sheikh Nassor Bachu muendelee kuzituma katika hii channel

  • @JovenaldoMarcelino-kt9ku
    @JovenaldoMarcelino-kt9ku 3 місяці тому

    Ámín