Wallah naapa kwa m/mungu,Sheikh Muhamed maneno yako yanaenda sambamba na sheikh Swaleh alfauzani kwaio nakuomba kua uchukue na vipande vya sheikh swaleh al fauzani uviunganishe pamoja ili uweze kuwabainishia watu vizur kwasababu sheikh swaleh kila siku anaulizwa maswali haya na anajibu kama unajibu wewe kwaio nakuomba sheikh wangu chukua na vipande vya sheikh swaleh al fauzan unganishe pamoja na kama huna basi sisi tunavyo tena vingi mno. Mungu akujalie umri mrefu wenye kheri na ww ktk dini yako na maisha yako,kwa hikika tunajifunza mengi kupitia kwako.
Muhammad ndugu yangu hem rudi nyuma usome bado ww ni kijana mdogo mashallah unaufasaha wakuongea ila kiulmu unastaki kukaa chin kusoma alafu ufanyie kaz then utalingania ila kaisome dawa kwanza
Sasa wewe watu wapo katika jitihada za mashekhe kusikilizana na kuungana kufundisha dini we unaona anaongea vitu visivyo eleweka .sasa ikiwa kunawatu wasema usimsikilize shekhe fulani...nafulan.... sasa wote hao wasisikilizwe hayo maovu wanakemea vipi ilhali hawasikilizwi? Hii iko kwa ote yaani huu nimoja ya makosa wanakemea ukiwa muelewa vizuri utaewa sasa usipo suluhisha watu kuwaambia wasifate mambo kukatana siwatajigawa sasa utamkemea nani jambo ovu ilhali weww husikilizwi hufai haramu.hebu sema unakemea vp hayo maovu?AU HILI LISEMWALO SIO KATIKA MAKOSA YANI SIO OVU? KUKATANA? AU WE WADHANI MAOVU NI ZINAA MIZIKI POMBE KAMARI N.K ila hili sio kosa?
Yahudi Anapambana na wapagani juu ya Yesu kuwa mungu huku wapagani hawajui hata hilo neno mungu linamaanisha nini. Patamu hapo Kisha wote wapagani na mapagani Wanahimizana kuwapinga waisilamu!! Yaani nacheka sana .
Maneno mazuri sana ikiwa na ww pia utakuwa miongoni mwa wenye kuyafuata, lakini inaonesha kwamba na wewe pia umeshikilia na kutetea upande mmoja. Unasema upande mmoja na kusahau upande wa pili ambao pia wanawasema wenzao. Ni nani aliesema kwamba Ibn Uthaymin na Al-Fawzan ni madhaifu??
Kaka hua nakuunga mkono sana ila mtu akitarajaa ktk jambo haifai kulirejea lile kosa ww unarejea kuhusu sheikh aliesema maneno sheikh Fulani km wahyi ,sioni km ww unafanya uadilifu ktk kurejea hilo neno wakat mtu akitarajaa
Bin bachoo hhhh masalaf wanasona kaka unajipaptua sana kana kwamba usalaf umekuwa mgeni kwako unatia huruma Umeanza na hajawira Ukavamia maabriyah Ukadandia halabiyah Naona unagaragar kwenye uanswar na uikhwani HIVI unahic hao wa juu wapo na barahiyani na genge Lake Allah akurehemu na a kusamehe Dhambi zako... Wataiaga huruma mzee
Elikuambia unapata thawabu nani kwa ujinga huo mnajenga Miskiti penye msikiti karibu ni laana hiyo kwa ajili ya kushambulia waliotangilia hiyo ndio masjid dhwirara rejea 9:107 Hadi 110
Wallah naapa kwa m/mungu,Sheikh Muhamed maneno yako yanaenda sambamba na sheikh Swaleh alfauzani kwaio nakuomba kua uchukue na vipande vya sheikh swaleh al fauzani uviunganishe pamoja ili uweze kuwabainishia watu vizur kwasababu sheikh swaleh kila siku anaulizwa maswali haya na anajibu kama unajibu wewe kwaio nakuomba sheikh wangu chukua na vipande vya sheikh swaleh al fauzan unganishe pamoja na kama huna basi sisi tunavyo tena vingi mno.
Mungu akujalie umri mrefu wenye kheri na ww ktk dini yako na maisha yako,kwa hikika tunajifunza mengi kupitia kwako.
Muhammad ndugu yangu hem rudi nyuma usome bado ww ni kijana mdogo mashallah unaufasaha wakuongea ila kiulmu unastaki kukaa chin kusoma alafu ufanyie kaz then utalingania ila kaisome dawa kwanza
Ni Bora umfundishe wewe Kama umegundua elimu yake ni ndogo na umri wake mdogo wako ni mkubwa 😟
Kafundishe ww mwenye elmu kubwa na umri
JazakakaAllah khairan fi dunia wafil Akhira
جزاك الله خيرا
Baarakallaahu fiikum
Mashallah
ما شاءالله أطال الله بقائك على طاعته
Wambie hao majadidah
Uwape ukweli majadidah
Hii niadhabu kutoka kwa Allah sijui tumekosea wapi
Acheni kujibizana kama wanasiasa,,katazeni mauvu na machafuu.. yapo Mambo mengi nchini hamkemei,, acheni mijadala ya kipuuzi na vikundi vikundi
Sasa wewe watu wapo katika jitihada za mashekhe kusikilizana na kuungana kufundisha dini we unaona anaongea vitu visivyo eleweka .sasa ikiwa kunawatu wasema usimsikilize shekhe fulani...nafulan.... sasa wote hao wasisikilizwe hayo maovu wanakemea vipi ilhali hawasikilizwi? Hii iko kwa ote yaani huu nimoja ya makosa wanakemea ukiwa muelewa vizuri utaewa sasa usipo suluhisha watu kuwaambia wasifate mambo kukatana siwatajigawa sasa utamkemea nani jambo ovu ilhali weww husikilizwi hufai haramu.hebu sema unakemea vp hayo maovu?AU HILI LISEMWALO SIO KATIKA MAKOSA YANI SIO OVU? KUKATANA? AU WE WADHANI MAOVU NI ZINAA MIZIKI POMBE KAMARI N.K ila hili sio kosa?
hata hapo alipo pia anakataza mabaya, na kuamrisha mema
Kwani yule abul Abbas kakushinda au hebu mjibu
We vp uyo abul abbas kumfananisha na huyu ni ardhi na mbingu
Bachu anajuwa
يامحمد هل قرأت كتاب صيانة السلفى من وسوسة و تلبيسات على الحلبي
Unapambana baba ujibiwe na Abul fadhl... Lakin utasahau.... Endlea tu.... Ucsahau abul Abbas yupooooo
Kwani wewe ni mke wa kasim mafuta?
@@hashimsaid5546 unajibu kunya wew ni dini sio siasa wew yanarecodiwa utalipw
mashia huwawezi
Yahudi
Anapambana na wapagani juu ya
Yesu kuwa mungu huku wapagani hawajui hata hilo neno mungu linamaanisha nini.
Patamu hapo
Kisha wote wapagani na mapagani
Wanahimizana kuwapinga waisilamu!!
Yaani nacheka sana .
Sijakuelewa ndug yang nifumbue ndug yangu
Ww unataka fimbo hujijuw
Maneno mazuri sana ikiwa na ww pia utakuwa miongoni mwa wenye kuyafuata, lakini inaonesha kwamba na wewe pia umeshikilia na kutetea upande mmoja. Unasema upande mmoja na kusahau upande wa pili ambao pia wanawasema wenzao.
Ni nani aliesema kwamba Ibn Uthaymin na Al-Fawzan ni madhaifu??
Lakini wewe ulimradd sheikh abdallah humeyd alivyomkosoa kipozeo katk maswala ya ndevu
Mbona unahangaika hangaika
Kaka hua nakuunga mkono sana ila mtu akitarajaa ktk jambo haifai kulirejea lile kosa ww unarejea kuhusu sheikh aliesema maneno sheikh Fulani km wahyi ,sioni km ww unafanya uadilifu ktk kurejea hilo neno wakat mtu akitarajaa
Bin bachoo hhhh masalaf wanasona kaka unajipaptua sana kana kwamba usalaf umekuwa mgeni kwako unatia huruma
Umeanza na hajawira
Ukavamia maabriyah
Ukadandia halabiyah
Naona unagaragar kwenye uanswar na uikhwani
HIVI unahic hao wa juu wapo na barahiyani na genge Lake
Allah akurehemu na a kusamehe Dhambi zako... Wataiaga huruma mzee
Tabu yakuwa mfuasi kipofu .....kuona njia ni ngumu ....Allah atuongoze
Elikuambia unapata thawabu nani kwa ujinga huo mnajenga Miskiti penye msikiti karibu ni laana hiyo kwa ajili ya kushambulia waliotangilia hiyo ndio masjid dhwirara rejea 9:107 Hadi 110