Naseeha kutoka moyoni. Ndugu yangu. Wewe MaashaaAllah ni barobaro mwenye energy na mahaba ya diini. Ni vizuri zaidi kutumia hii energy kwa njiya za kheri, njiya za kusaidia watu wajuwe dini yawo. Wengi wetu hatujuwi hata kutawadhi vizuri. Si sawa kujifanya kama judge. Judge ni Mungu pekee. Leo Sisi waislamu tuna shida mbali mbali. Si vizuri kumaliza energy zetu kutukanana. Mola akuhifadhi. Mola akuzidishie elimu yenye baraka. Mola atupe akhlaaq kama za mtumme wetu. صلى الله عليه وسلم
Tunaomba mufanye daawa zenye tija kwa Umma wa Muhammad (صلى الله عليه وسلم) na km hamuwezi tulieni kimya. Kumbukeni mnawapotezea na kujipotezea muda na mtaenda kuulizwa kwa hilo. Allah atuhidi sote. Amin.
AHSANT JAZZAKALLAHU KHEYR SHEIKH MUHAMMAD BACHU AMA KWA HAKIKA UMEBAINISHA HAKI NA BATIL WAZI WAZI NA KILAKITU KINAELEWEKA. WALE WALIO MPIGA RADDI DR.ISLAM NI WAZI KWAMBA DR.ISLAM HAYUPO KWENYE MRENGO WAO LKN ALIPOKOSEA MWENZAO ABDALLAH HUMEID AKASEMA MANENO YA KUFRU YALE...NA PAKA LEO KINA KASSIM MAFUTA WAMENYAMAZA KIMYA KISA NI MWENZAO.ALLAH AWAONGOZE WAO NA SISI SOTE.AMIIN.
Sijaelewa amemzungumzia kwa heri au kwa shari manake kasema fitina za abdu rogwa kidogo niache kumsikiliza manake dawa za abdu rogwa zilikuwa si mchezo na waliomuua ni watu wa suna allah amrehemu shehe wetu abdu rogwa
Jifunze kutulia katika mada moja sheikh Naona maneno mengi sanaaaaaaa, mara historia, mara fiqhi, mara hadithi, mara Qur'an, yaani kimsingi hueleweki unachosomesha hasa ni kipi na kwa ushahidi upi
Abu jamala sio kwamba we sio mtu nimemanisha hivi huenda hukuelewa mada yake haswah alikua anamanisha nn katika jamii sawa mana kusikiza sio kuelewa unaweza sikiliza lkn usielewe mana halis upande wangu na wengine ninavyo ona sms zao naona tumeelewa mana halisi ya kuhus sarafi na makundi makundi yaliyopo kwenye dini kwa ss sawa ndugu ila sio kua ww sio mtu kama ulivyo sema ww
@@abubakarihussen8852 Anhaaaa sawa, nikweli mimi sijamuelewa pamoja na kuwa nimemsikiliza, maana hatulii na jambo moja, kwahiyo ni ngumu kupata hasa kile kilichokuwa kinazungumzwa, na hasa watu wenye uwelewa mdogo kama kina sie.
My dear brother. You are young, enthusiastic and energetic MaashaaAllah. You love your deen. Please let us use our talent and resources to what will benefit us and benefit fellow Muslims and mankind. Life is too short. Please don’t loose manners towards fellow Muslims. Try to do what is beneficial. May Allah guide you and me and all humanity
Its a delicate balance if all ahlu sunnah sheikhs are the polite ones that dont answer back on the evils of ahlu bidah, how will the mass know? we need his style to balance the bulk of our ulama's. Someone has to answer back with enthusiasm. I dont see any problem. Allahu yaalam
You are very right brother. This young man is wasting time in arguments and accusations against Muslims. What he is saying here in the internet has nothing to with Islam. May he tries to boast himself Infront us through media.
Maashallah Allah akutimizie hazimayako mpendane na msameeaane mnatuyumbisha sisi tusiejua Namuomba Allah awakutanishe mashehe woote mumalize tofauti zenu lnshaallah 🤲
@@maryamalli9090 lkn hatushangaa kwa haya mn Rassullullaih aliyatabiri yt hya akisema nyakati za ulimwengu kuelekea kuisha dalili hizi zitatokea , Mashee kugombana , Dini kuonekana mapya , inchi kwa inchi kupigana , watoto wa zinaa kukithiri , watu kula riba sn na kadhali , la msingi nikusimama tu ktk SUNNA na QUR'ANI tu
ASEMA UKWELI KILA NINVYO ZIDI KUMSIKIZA HUYU BWANA NAELEWA MASHALLAH UJITIE TUH HUNA AKILI RABDA AU UWE NA TAASUB LAKINI MUHAMMAD BACHO KASEMA UKWELI WALLAHI
wewe ustadhi umri wako mdoo sana usijiingize kwenye laana ikawa umepotea sana mswalie sana mtume kisha muombe allah akupe njia sahihi kwa baraka ya sheikh muhammad nassor ambaye jina lake kama lako allah atakuhifadhi inshaallah
Wallah sheikh Mohammed bachu mungu akubariki hili Jambo la abdallah humeid liliniudhi nilikosa Raha siku mzima niliposikia na nilipo comment wakaja wafuasi wake Fulani ati hatuna elimu jamani hivi mwenye elimu hua hivi kweli mm nilimtoa thamani kabisa kuanzia hio siku subhana llah munggu awape uongofu masheikh msikizane
Wallah sheikh Mohammad imefika wakati mashekhe sasa imekuwa km wanaimba taarab mtu anasubiri sheikh flan akosee wamkosoe kwenye media sio sawa mashekh tafuteni mpango mzuri wakukosoana sio kilakitu kwenye media munatueka wakati mgumu sisi wanafunzi wenu au waislam kwa jumla
لا هلك من هلك إلا بحب الرياسة "hakuangamia aliyeangamia, isipokuwa (ameangamia) kwa KUPENDA KUWA JUU (KUPENDA UKUBWA) ibn Bachu kiti ulichokalia kimekuzidi, waache wanaostahili wakae
Sasa hivi dini inafanyika youtube sana kwa kuwa mwapata pesa kuliko kwenda vijijini kuwalingania watu waingie kwenye dini ya haqi. Allah atuongoze inshallah
Hakuna mwanadamu ambaye hakosei. Wanadamu tuheshimiane na tujiepusheni kutukana Waislamu kwa kuwa Mtume, Swalla Allahu alayhi wa sallam, ametufahamisha kwamba ni ufasiki. Na Allah ndiye anayejua zaidi.
Asalamu aleikum Sheikh mimi naona kwa maoni yangu binafsi japo mimi sio shekh lakini naona haya mambo ya ubishano wa mashekhe wetu mwishowe yataleta mfarakano na hata kufikia mambo ya visasi au kutumiana ugomvi wa kivutana,wazo langu ni kwamba inhekuwa ubora kuwe na maelezo ya fatwah kutoka dar al ifta iliyoundwa huko saudi arabia iwe ndio marja3iya ya mambo mengi yanayoleta ubishi huku kwetu,nina hakika itasaidia sana. Wa Jazaak Allah Kheir.
Hizi tofauti zetu zitatuchelewesha sana hiyo mafuta mwenyewe unaemtaja kasoma tamta karibu masheikh wote was kisunna wamesoma kwa Hawa masheikh Hawa Hawa wa dufu
Maashalah, may Allah grant your father highest, heaven.....please endeleya kufundisha umma mambo ya dini, na inshaalah Allah will grant you the highest honor, na mungu akulinde.
Watu hawapendi Salaf na ndo haqq ndo njia yako ya kuingia peponi Allah atujaalie tukuwe masalaf alathar Ameen ya rabb my brother fil islam my advice for you is to stick with sunnah and people of sunnah Allah akuongoze wewe ndugu Muhammad bachu na wenzako Allah awaongoze kwenye haqq
ustadh Allah na mtume wake wanakutaka kuwa muislamu sio salaf acheni makundi na kujiona bora kuliko wengine hivi mnajua mnachokifanya ni ubaguzi ambao mtume alituhusia sana juu yake na kuupiga vita??
Katangazeni dini vijijini kusikokua na muamko wa dini kuliko kupigana vijembe mitandaoni maana nyie mashekhe wote mnaotukanana mitandaoni ni kwasababu haki na batili mnazijua laakin kama kuna watu vijijini haki haijawafikia vipi nyie mnaoijua haki na batili kazi ni kutukanana tu angalieni saana juu ya hilo lnshaa Allah
Kwan kusoma kwa mtu wa sunna nndo kuwa mtu wa sunna , wew baba yako (Nassor bachu) alikuwa ni mtu wa sunna na wew umechukuwa elimu kutoka kwake lkn wew maskini c katika mtu wa sunna
Sheikh Mohammed niko pamoja na wewe,Suluhu ni jambo analolipenda Allah,ikiwa Lina Radhi za Allah,kuna mambo ya heri nilikuwa nataka nikufuate tuyazungumze,sijui nitakuonea wapi?,Barakallahu feek,Amin
jazakallah kher Sheikh.
Wallahi najifunza kwako na nimefaidika Sana tena Sanaaa.❤❤❤
Maa Sha Allah... Tunamuomba Allaah akuhifadh Sheikh wetu... Akuzidishie Ilmu na Hikma, Barakallahu Fiyk wa Jazaakallahu Khayrah
Allah amuongoze, Shekhe wetu Qassim mafuta na Muhammad mafuta pamoja na mashekhe wetu wa kisalafy
Shekh muhammad umetupitisha vizur allah akujalie hekma katka umri wko wa daawaa
امين 🤲
Naseeha kutoka moyoni. Ndugu yangu. Wewe MaashaaAllah ni barobaro mwenye energy na mahaba ya diini. Ni vizuri zaidi kutumia hii energy kwa njiya za kheri, njiya za kusaidia watu wajuwe dini yawo. Wengi wetu hatujuwi hata kutawadhi vizuri. Si sawa kujifanya kama judge. Judge ni Mungu pekee. Leo Sisi waislamu tuna shida mbali mbali. Si vizuri kumaliza energy zetu kutukanana. Mola akuhifadhi. Mola akuzidishie elimu yenye baraka. Mola atupe akhlaaq kama za mtumme wetu. صلى الله عليه وسلم
Mqshaallah mwenyezi mungu akuongoze zaidi nazaidi naakukinge nakilashari juuyako sheikh wetu kipenzi
Tunaomba mufanye daawa zenye tija kwa Umma wa Muhammad (صلى الله عليه وسلم) na km hamuwezi tulieni kimya. Kumbukeni mnawapotezea na kujipotezea muda na mtaenda kuulizwa kwa hilo. Allah atuhidi sote. Amin.
AHSANT JAZZAKALLAHU KHEYR SHEIKH MUHAMMAD BACHU AMA KWA HAKIKA UMEBAINISHA HAKI NA BATIL WAZI WAZI NA KILAKITU KINAELEWEKA. WALE WALIO MPIGA RADDI DR.ISLAM NI WAZI KWAMBA DR.ISLAM HAYUPO KWENYE MRENGO WAO LKN ALIPOKOSEA MWENZAO ABDALLAH HUMEID AKASEMA MANENO YA KUFRU YALE...NA PAKA LEO KINA KASSIM MAFUTA WAMENYAMAZA KIMYA KISA NI MWENZAO.ALLAH AWAONGOZE WAO NA SISI SOTE.AMIIN.
Wallah thumma wallah unanisikitisha sannna nikikuona unaupumbavu kma huu Ila ALLAH akuongoze INSHAALLAH
We vepeee
Upumbavu wake nini apo unaona tatizo ulilokuwanalo ww nawenzio anachozungumza apo akuna ubaya wowote lakini ww unaona ubaya uwoni nia mzuri aliyokuwanayo uwoni shari iliyokuwepo kwasasa?
Mashallah.shekh.wetu.mohammedi.nasoro.bachuu
Allah aku hifadhi na aku zidishie ilmu na taq'wa
Sheghe Mohammad uko sawa Allah akuwafikishe katika kila kheri inshaallah.
Leo nmekuelewa Bachu Allah akulipe kheri na akuepushie Kila la sharri
Shekhe umemzungumzia shkh Aboud rogo rahimahullaah , tunampenda sana na daawa zake tunazipenda sana ta mpaka mpaka qiama tutazpenda
Sijaelewa amemzungumzia kwa heri au kwa shari manake kasema fitina za abdu rogwa kidogo niache kumsikiliza manake dawa za abdu rogwa zilikuwa si mchezo na waliomuua ni watu wa suna allah amrehemu shehe wetu abdu rogwa
Masalafi wa mchongo wana chuki na shekhe abud rogo
Allah akuhifadhi kaka yetu..sheikh wetu allah akupe taufiq ww na masheikh wngn.amiin
Sheh bachu ALLAH akuweke inshaaallah
Mtoto wake sio yeye
Allah akulinde hakupe maisha marefu ameen
Muhammad bachu uwe na adabu uache kujionaona..
Huna adabu..
Dr. Khamis Imam ni mwanafunzi wangu...😨 Subhana Allah twamombea Mungu Hidaya..
Amen ili inakuhusu zaidi wew Dua hii
ALLAH akuhifadhi na akuzidishie ilmu na akubariki
Na amuongoze
Barahiyani c nnd mmoja ktka vijoho wenzio
ALLAH akuongoze shekh bachu
Tumekuelewa sana ALLAH AKULINDE na kila SHALI
Mashalla sheikh naomba nijue utaratibu wa darasa zko msikiti wa masingin nije inshallah
Jifunze kutulia katika mada moja sheikh
Naona maneno mengi sanaaaaaaa, mara historia, mara fiqhi, mara hadithi, mara Qur'an, yaani kimsingi hueleweki unachosomesha hasa ni kipi na kwa ushahidi upi
Abu jamala we ndo haueleweki ila alicho ongea watu wameelewa
Au nawe niwatu wa vikundi
@@abubakarihussen8852 Haya sawa kama watu mwameelewa, labda mimi sio mtu ndiomaana sijaelewa
Abu jamala sio kwamba we sio mtu nimemanisha hivi huenda hukuelewa mada yake haswah alikua anamanisha nn katika jamii sawa mana kusikiza sio kuelewa unaweza sikiliza lkn usielewe mana halis upande wangu na wengine ninavyo ona sms zao naona tumeelewa mana halisi ya kuhus sarafi na makundi makundi yaliyopo kwenye dini kwa ss sawa ndugu ila sio kua ww sio mtu kama ulivyo sema ww
@@abubakarihussen8852 Anhaaaa sawa, nikweli mimi sijamuelewa pamoja na kuwa nimemsikiliza, maana hatulii na jambo moja, kwahiyo ni ngumu kupata hasa kile kilichokuwa kinazungumzwa, na hasa watu wenye uwelewa mdogo kama kina sie.
ليس الإنسان إن حرست مسليما حلق الإنسان عداوة أحرار mungu akuhifadhi shekh Mohammed bachu
Mashallah 👌
Masha Allah nimekuelewa vizuri sa na sheikh
Shekh Mohammad Allah akuhifafhi,,umezungumza ukweli tupu
My dear brother. You are young, enthusiastic and energetic MaashaaAllah. You love your deen. Please let us use our talent and resources to what will benefit us and benefit fellow Muslims and mankind. Life is too short. Please don’t loose manners towards fellow Muslims. Try to do what is beneficial. May Allah guide you and me and all humanity
Oiuii
I'm I getting this email
Its a delicate balance if all ahlu sunnah sheikhs are the polite ones that dont answer back on the evils of ahlu bidah, how will the mass know? we need his style to balance the bulk of our ulama's. Someone has to answer back with enthusiasm. I dont see any problem. Allahu yaalam
You are very right brother. This young man is wasting time in arguments and accusations against Muslims. What he is saying here in the internet has nothing to with Islam. May he tries to boast himself Infront us through media.
Wewe mwenyewe tunahisi unavuta bangi. Tunapima maneno yako ni bangi bangi. Hiyo ndio da'waa gani Kwa Waislam!!!! Subhaanallah!!!!
Maashallah Allah akutimizie hazimayako mpendane na msameeaane mnatuyumbisha sisi tusiejua Namuomba Allah awakutanishe mashehe woote mumalize tofauti zenu lnshaallah 🤲
Hali hiyo masheikh mtatuchanyanya na kutuvuruga ht sisi mahamuma ambao ALLAH akutujalia na kuwa na Elimu
Hawa sio masheikh ni mabangi tu Hawa masheikh haswa waliokuwa wachamungu hawalumbani hata kwa bahati mbaya
@@maryamalli9090 lkn hatushangaa kwa haya mn Rassullullaih aliyatabiri yt hya akisema nyakati za ulimwengu kuelekea kuisha dalili hizi zitatokea , Mashee kugombana , Dini kuonekana mapya , inchi kwa inchi kupigana , watoto wa zinaa kukithiri , watu kula riba sn na kadhali , la msingi nikusimama tu ktk SUNNA na QUR'ANI tu
ASEMA UKWELI KILA NINVYO ZIDI KUMSIKIZA HUYU BWANA NAELEWA MASHALLAH
UJITIE TUH HUNA AKILI RABDA AU UWE NA TAASUB LAKINI MUHAMMAD BACHO KASEMA UKWELI WALLAHI
wewe ustadhi umri wako mdoo sana usijiingize kwenye laana ikawa umepotea sana mswalie sana mtume kisha muombe allah akupe njia sahihi kwa baraka ya sheikh muhammad nassor ambaye jina lake kama lako
allah atakuhifadhi inshaallah
Allah akuhifadhi sheikh
Mashaallah m/mungu akujaalie uwe mrithi wa marhoom shekh Nassor Bacho Rahimahullah
Mwenyezi mungu atakunusuru na kilashari yaarab
Umezungumza vizur Allah akuhifadhi
Wallah sheikh Mohammed bachu mungu akubariki hili Jambo la abdallah humeid liliniudhi nilikosa Raha siku mzima niliposikia na nilipo comment wakaja wafuasi wake Fulani ati hatuna elimu jamani hivi mwenye elimu hua hivi kweli mm nilimtoa thamani kabisa kuanzia hio siku subhana llah munggu awape uongofu masheikh msikizane
Usiongee usioyajua utaja ulizwa cku ya qyama
Wallah sheikh Mohammad imefika wakati mashekhe sasa imekuwa km wanaimba taarab mtu anasubiri sheikh flan akosee wamkosoe kwenye media sio sawa mashekh tafuteni mpango mzuri wakukosoana sio kilakitu kwenye media munatueka wakati mgumu sisi wanafunzi wenu au waislam kwa jumla
My thoughts exactly. Wamekua mina maulidi sijui na bhalo. Msiba mkubwa
Msiba mkubwa.
Maa shaa Allah Shukran Wajazaukum llahu khayra
Shekh kwamaneno yako ya Imani mashaallh
Umaarufu utaupata Muhammad bachu...
KAA NA ADABU NA UHESHIMU MAULAMAA.......
Kaka Bachu.. hhh.
Allaah akusaidie.. na akuongoze.
Dahh kwa kweli shekh muhammad bwana unaonekana unasoma sana saiv ni mjuz wa mambo
Mungu atakuhifadh inshaaalah
لا هلك من هلك إلا بحب الرياسة "hakuangamia aliyeangamia, isipokuwa (ameangamia) kwa KUPENDA KUWA JUU (KUPENDA UKUBWA)
ibn Bachu kiti ulichokalia kimekuzidi, waache wanaostahili wakae
Allah akuhifadhi akuzidishie ilmu akukinge na viumbe waovu wanaokudhania maovu,akufikishe katika malengo ya kheri na kuthibitishe pamoja na wema Aamin
Allah akuongoze katika njia ya sawasawa, ufuate sunna ya sawasawa sio hiyo ya kina Barahiani
ALLAH AMLINDE NA AMPE UMRI MREFU SHEIKH SALIM BARAHIYAN
Asnt sana al akh ujumbe umefika ALLAH akujaalie upunguze misimamo na uongee hakki kma hivo
Sheikh Ahmad Muhammad Msallam wa kenya alifariki mwaka 2020 mwezi wa tisa..Allah amrahamu
Mashallah sheikh ila usiseme ni watu wazuri huwo ndiyo ubaya wao wanapenda ugomvi sanaaa na ubishi nakujitukuza sanaaa hilo ndilo tatizo Lao
Shekh.upo.vizuri
Na wewe pia uache upuuzi
Ilo neno wachana nalo ujadidaujadida wachana nao Wallah humfikii Qasim mafuta kiilimu ww Hata Robo
Hatujaja kushindana elimu,m/mungu ndie anaemjua nani yuko juu kielimu lakini kinachotakia kua haki iwe juu kuliko mapenzi ya mtu.
Zahara wewee.
Kuwa na subra sheikh wetu Wal uskubal kuxhindwa mung akupe nguv na uvumiliv kwn ata mtume wetu alipata vikwazo vingi
BACHU UNATABIA YA KUJICHANGA SANA,
ABDALLAH HUMEID YUPO SAHIHI
SHIDA ILM YAKO KTKT JERH WATAADIL IPO KUSHOTO!!
ACHA KUWATETEA WATU WA BID'A!
ETI MAULIDI BID'A NDOGO!!UNAJIDANGANYA,,
RUDI DARASANI!!
Hana tamiyiiz..
Sasa hivi dini inafanyika youtube sana kwa kuwa mwapata pesa kuliko kwenda vijijini kuwalingania watu waingie kwenye dini ya haqi. Allah atuongoze inshallah
UA-cam kunaelimisha watu kuliko kwenda huko, kwa sababu ambaye Yuko kijijini ataelimika na ambao wako mjini pia wanaelimika
barakkkallahu fika
Hakuna mwanadamu ambaye hakosei. Wanadamu tuheshimiane na tujiepusheni kutukana Waislamu kwa kuwa Mtume, Swalla Allahu alayhi wa sallam, ametufahamisha kwamba ni ufasiki. Na Allah ndiye anayejua zaidi.
Allah akuzidishie hirsa na atufanyie weoesi
Nimekupenda kwa ajili ya ALLAH AKHIYL KARIM..ALLAH AKUAFIKISHE KTK NIA & ADHIMA YAKO☝🏻
brother👍
Nakukubali shekhe Ila umeniboa kusema fitina ya aboud logo aboud logo.akuwa fitina yupo.katika haki kabisa
Allah akuhifadh kwa jitihad zako
Mohammad Bachu
Ww n shekh kijana pambana na usawa Hakkı!
Allah hamlet 3alim ila kwa makusudıo maalum
Bahamad
Bahamad wasemaje
Jiangalie usije ukachagawa
Naam mwendo wa kupigana madongo,
Allah atuongoze ktk hakki
Shekhe mm nakupenda kwaajili ya Allah
Maashallah sh.muhammad naomba unielekeze hiyo hadithi iko ktk kitabu gani ktk hivi vidogo ninashida nayo
aibu iyo kama imefikia apo ila inshaallah Allah awajalie umoja.
Asalamu aleikum Sheikh mimi naona kwa maoni yangu binafsi japo mimi sio shekh lakini naona haya mambo ya ubishano wa mashekhe wetu mwishowe yataleta mfarakano na hata kufikia mambo ya visasi au kutumiana ugomvi wa kivutana,wazo langu ni kwamba inhekuwa ubora kuwe na maelezo ya fatwah kutoka dar al ifta iliyoundwa huko saudi arabia iwe ndio marja3iya ya mambo mengi yanayoleta ubishi huku kwetu,nina hakika itasaidia sana.
Wa Jazaak Allah Kheir.
جزاك الله خير
Allah akuongoze maan
Gonga nondo sheikh mashallah
Mashallah
Kijana mwanafunzi Muhammad bachu zidisha kutafuta elimu…bado sana
Mhmmm ALLAH akuonyeshe Haji maana kwkwel UENDAKO c kuzur
Allah akulipe heri kuwambia ukweli hawo masalafiya jadih
Hizi tofauti zetu zitatuchelewesha sana hiyo mafuta mwenyewe unaemtaja kasoma tamta karibu masheikh wote was kisunna wamesoma kwa Hawa masheikh Hawa Hawa wa dufu
Jamani kujigamba haifai na kusema mwenzio Kando n kubaya Zaid,yafaa mpambane wenyewe Wala msitangaze online,haifai
Naaama kila lakheri akhe
Maashalah, may Allah grant your father highest, heaven.....please endeleya kufundisha umma mambo ya dini, na inshaalah Allah will grant you the highest honor, na mungu akulinde.
She muhammad mm naomba namba yako nijifunze kutoka kwako
Mbn katika maimamu wa nne walitofautiana lakin hawajafanya kama wanavyofanya mashekh zetu tatizo nn
Tatizo tunazua mambo ambayo hayapo katika dini ndio unaona mitihani ya kujibizana hayaishi
Ttzo ni hawa masheikh wapya,mabaleghe.
Mashekh wa saiv wanajuwa sana na wachamungu sana
Hao ma imam wanne tofauti zao hazikuwa katika bidaaah ,usieke sheria katika dini ya Allah ni uzushi
Shk tendeee 😮😮😮
ماشاء الله عليك أتمنى أن أكن مثلك يا شيخ...
فأسأل الله العظيم ان يرزقني وإياكم توفيق في القول والعمل..آمين
سبحناالله
ماشاالله يا عيشا
😊جط
@@omarsakawa2070 فلحمد لله على ذلك 🤲🤲🤲 حمد كثيرا
أسالك سؤالا واحدا فقط....هل كلامك يصلح أو ينفع؟؟؟
فالجواب عندك
Hicho nikibri cha ELIMU,huwezi kusema hakuna mtu MWENYE ELIMU zaidi yako.
Kweli huyu bwana ana alama za kibri
Huu ni uzima au!!!
Mtakufa na ujinga nyinyi
أحسنت قولا
Watu hawapendi Salaf na ndo haqq ndo njia yako ya kuingia peponi Allah atujaalie tukuwe masalaf alathar Ameen ya rabb my brother fil islam my advice for you is to stick with sunnah and people of sunnah Allah akuongoze wewe ndugu Muhammad bachu na wenzako Allah awaongoze kwenye haqq
ustadh Allah na mtume wake wanakutaka kuwa muislamu sio salaf acheni makundi na kujiona bora kuliko wengine hivi mnajua mnachokifanya ni ubaguzi ambao mtume alituhusia sana juu yake na kuupiga vita??
Una majungu sana sana
Hao wanapenda umaarufu, nawachukia sana mie... Wamekosa habari ya mjini.. wananikera...
Asiyeshirikiano nao hawamtaki sasa kama wao wako na haqq kwanin usishirikiane nao wakutake....Allaahul mustaanu.....
Masala
Hivi mtume s.a.w alikua kundi lipi na sisi tumfuate.?
Assalam alayqum
الذين آمنوا وتطمإن قلوبوهم
Usimwingile ustadh mafuta sisi niwanafunzi wake fanya hishima nayeye
Katangazeni dini vijijini kusikokua na muamko wa dini kuliko kupigana vijembe mitandaoni maana nyie mashekhe wote mnaotukanana mitandaoni ni kwasababu haki na batili mnazijua laakin kama kuna watu vijijini haki haijawafikia vipi nyie mnaoijua haki na batili kazi ni kutukanana tu angalieni saana juu ya hilo lnshaa Allah
Mimi namshuru Allah kikao Cha kufikiria masher wanavo lumbana nimuhimu kuelewana dini yetu haitaki farka masher mwapoteya na Moto unawasubir badilikeni
Basi akisoma hizi comments hapa anajiona kazungmza kwa elimu kuuuubwaa....
Kwan kusoma kwa mtu wa sunna nndo kuwa mtu wa sunna , wew baba yako (Nassor bachu) alikuwa ni mtu wa sunna na wew umechukuwa elimu kutoka kwake lkn wew maskini c katika mtu wa sunna
Kivipi?
Abuu qatada wa Albany buguruni.
Sheikh Mohammed niko pamoja na wewe,Suluhu ni jambo analolipenda Allah,ikiwa Lina Radhi za Allah,kuna mambo ya heri nilikuwa nataka nikufuate tuyazungumze,sijui nitakuonea wapi?,Barakallahu feek,Amin
Asalamu alaikum shehee munawapa nguvuu makafirii tujiheshimu na dini yetuu
Sheigh moh'h bachu mashaallah unajitahidi kuchambua deeply