MAJIBU KWA YUSSUF DIWANI || SEHEMU YA KWANZA || Muhammad Bachu || 2023.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 298

  • @Stanbul.Y
    @Stanbul.Y Рік тому +1

    Shukran ndugu Allah akupe umri na Afya

  • @AbuujaafarTv
    @AbuujaafarTv Рік тому +11

    MashaAllah sheikh bachu allah akuhifadhi akupe umli mrefu wenye manufaa 🤲

  • @rajabkelvin3842
    @rajabkelvin3842 Рік тому +10

    MashaAllah Sheikh Muhamad Bachu , From China tunakupata vizur sana na tunakuombea kwa Allah azidi kukupa ufaham mkubwa zaid ktk dini na Akuhifadhi

  • @saidmohammed2830
    @saidmohammed2830 Рік тому +12

    Shekh Mohamed nasor bachu mungu akuhifadhi....mm Huwa napenda nione mbele faida utowao hivi Leo nachelewa basi najiona nimepitwa najua tupo wengi wanafatilia video zako mauld haya nguvu Tena kabsa na tumejua hakki alhamdulillah

  • @amourmakame9795
    @amourmakame9795 Рік тому +4

    Sheikh Muhammad Nassor bachu. Allah akuhifadhi

  • @babatidaawa6550
    @babatidaawa6550 Рік тому +5

    Allah akuhifadhi sheikh muhammad Bachu endelea hivyo hivyo kuwarudi masufi

  • @nassirhassan9959
    @nassirhassan9959 Рік тому +7

    Tunakupata vizuri Sana sheikh letu ALLAH azidi kukupa afya na nguvu ili kuuwekea wazi Mambo umma

  • @ahmadabdallah740
    @ahmadabdallah740 Рік тому +33

    Assalamu aleykum sheikh muhammad tunakuangalia kutoka 🇶🇦 qatar na umeelimisha watu wengi waliokua katika giza la shirk na sahii wameshika barabara nyeupe ya sunnah walillahi hamd sasa kwa uwezo wa Allah tunaomba utufafanulie urongo wote ulioko kwa maulidi na utusomeshe sunnah .... shukran

  • @bongotvonline4883
    @bongotvonline4883 Рік тому +18

    sisi kazi yetu ni kusikiliza point. Asante kwa kutumia platform hizi kueleimisha ummah.

  • @omarally6819
    @omarally6819 Рік тому +5

    Shekh Muhammad Bachu Allaah Mtukufu tuna muomba akuhifadhi na macho mabaya ya mahasidi, na shari za wazushi walio zoea kusema uongo na kudanganya watu, na akupe afya njema uzidi kuitangaza da'wa ya Haqqi, Tawhiid na Sunnah, na hawa wasio jua kua wanaburuzwa na kuelekezwa kwenye uzushi na uongo Allaah awafumbuwe nyoyo zao na macho yao waachane na waongo na wakae swafu moja na watu wakweli...

  • @mohagurey2214
    @mohagurey2214 Рік тому +41

    TOSHA kwa barzanji kuanzia leo. Mungu anisamehe yaliyopita

    • @NoorAli-vj4gn
      @NoorAli-vj4gn Рік тому +1

      Ameen

    • @moskiley0025
      @moskiley0025 Рік тому +3

      Mbona humalizii yaliyopita si ndwele tugange yajayo.😂😂😂

    • @aliybecka5169
      @aliybecka5169 Рік тому +5

      Hivi ndio inavyotakiwa mtu akijuwa haqqi anaachana na mazoeya, Allah akuongoze zaid

    • @mohagurey2214
      @mohagurey2214 Рік тому +4

      @@aliybecka5169 sote Inshallah

    • @hanifatanzania7258
      @hanifatanzania7258 Рік тому

      Maashaallah tabarakallah

  • @ashahassan1877
    @ashahassan1877 Рік тому +1

    Allah amuhifadhi muhamad bachu tunakupenda Sana shekhe wetuu tunakupenda Sana upo vizuri

  • @khamisfundi9911
    @khamisfundi9911 Рік тому +8

    Mashaallah Sheikh letu Muhammad Nassor Bachu Allah akuhifadhi

  • @badrudinsalum3139
    @badrudinsalum3139 Рік тому +4

    Allah akulipe kheri shekh Muhammad Nasoro Bachu kwa kutumia nguvu na muda wako mwingi kutubainishia haki kwa kweli faida nyingi sana tunapata kupitia hizi darasa

  • @yussuphsaleh767
    @yussuphsaleh767 Рік тому +5

    Mashalla, Muhammad bachu, mungu azidi kukupa hekima ya kuweka sawa makosa yote yanayofanywa na ndugu zetu wakiislamu ,,,amin

  • @selmaswaleh2133
    @selmaswaleh2133 Рік тому

    Allah akupe Subra na Thabat Al-akh Sheikh Muhammad.Usirudi nyuma ndugu yangu katika kuibanisha Hakki,Kutangaza Sunna na kukemea Bid'aa na Khurafaat.Allah akuhifadhi ndugu yangu

  • @abdulrahmanhaji4415
    @abdulrahmanhaji4415 Рік тому +6

    nakupenda shekh Muhammad bachu kwa ajili ya allah ,alipokufa babako mwaka 2014 nilijawa na huzuni km kwamba sitopata tena shekh wa kunifundisha ila saiv nahisi moyo wangu umejaa furaha babako ametuachia zawad

  • @suleymansalim5732
    @suleymansalim5732 Рік тому +5

    SHUKRAN. ILA SHEKHE KUWA MAKINI HAO WATU UNAO WASEMA HAO WANAMATUSI. WASIJE KUKUTOA KATIKA MSTARI .TUNAWAJUA WAKO WAZI TU HATA HADITHI YA MTUME WALISEMA AMEIPINDISHA KUSUDI......WALA HAKUKOSEA SASA HAPO NI MTIHANI ILA TUTAFIKA TU

  • @ruqiyanasir7141
    @ruqiyanasir7141 Рік тому +6

    Brother Muhammad bachu tunakuangalia tukiwa 🇬🇧 tunakupeda sana tuna kutakia dua Allah akulinde na shaar za madhalim kama hawa wana feek wakubwa kamaweye brother yusuf nilikuwa nakufatilia sana lakini naona hatukuwelewi

  • @fakihkhsaid9353
    @fakihkhsaid9353 Рік тому +4

    Allah akuhifadhi hakika wahwa wanavizibo washapigwa muhuri kaziyo kupotosha watu kipitia uongo wa falsafa. Khery allah akuhifadhi na fitna za watu wa bidaa

  • @muddybreezy4595
    @muddybreezy4595 Рік тому +13

    Mashaallah nikiona tu video yako moyo wangu unakuw a na furaha sna

  • @abdulmwakubambanya9091
    @abdulmwakubambanya9091 Рік тому +10

    Barakh Allah fikh wa jazakh Allah Khair

  • @YasiniRajabuAlly-oc1pd
    @YasiniRajabuAlly-oc1pd 4 місяці тому

    Alhamdulillah Allah akupe thibaati katika kutetea haqqi na azidishe kher na baaraka katika Hilo Hadi jamii ielimike, kwa hakika unapambana na watu walozama katika kuipambania dunia yao na maslahi yao yahapa duniani na kutumia uongo mwingi wakumzulia mtume!!

  • @FadhilRashid-k4j
    @FadhilRashid-k4j 10 місяців тому

    Walah mashehe wa maulid hamna hoja mmeshikwa pabaya shekh nasor ww kidume mungu akuzidishi elimu yenye manufaa utuelimishe

  • @zahorsuleyman3429
    @zahorsuleyman3429 Рік тому +10

    Allah akuhifadhi Ustadh Muhammad bachu

    • @xwalhinanurdin5679
      @xwalhinanurdin5679 Рік тому

      Huyo bacho hamna safari hapo huend angeambiwa kua nabii isaa alitembea juu ya maji angekataa pia kwakua hakumuona ushee wa mchongo huo tena hamnaaaaaa ki2 hapo

    • @amoursuleiman281
      @amoursuleiman281 Рік тому

      Sasa naona haina maana kulumbana mashehe

    • @ustadhsirajabouddini1889
      @ustadhsirajabouddini1889 Рік тому

      Kwa room ? Ama kwa box

    • @sahimm4767
      @sahimm4767 Рік тому

      ​@@xwalhinanurdin5679 wewe wa ukweli toast ushuhuda wako kutokana na vitabu vya dini. Kwenye hadithi na qur_an. Ili uwe sheikh kweli

    • @xwalhinanurdin5679
      @xwalhinanurdin5679 Рік тому

      @@sahimm4767 kabla hujaanza kuhangaika kujikuta mjuzi soma kwanza elimu ya lugha ya kiarabu nikimaanisha nahwu uielewe vizur kisha usome balagha na uelewe nin maana ya qiaswi katika usulu Al fiqhi ukielewa undani wa fani hizi nakuruhusu uje in box kwangu tubishane kwa hoja au kama upo tayr weka namb yako hapa nikupigie

  • @haafidhaboubakary3097
    @haafidhaboubakary3097 Рік тому +17

    Kila Nimuonapo huyu sheikh nafurahi sana kwaajili ya Allah,
    Bismillah..... 🎥🎥

  • @jumakumala1337
    @jumakumala1337 Рік тому +13

    MUNGU awalinde na awazidishie ilmu zaidi ili mtufikishie na sisi tunaopotwezwa na masheikh wa twariqa

    • @kilulamofi7926
      @kilulamofi7926 Рік тому

      Hujasoma wewe kwo wewe uamuona mohammad bachu yupo sahihi mwenzio yupo kazin huyo nimuwakilushi wa majasusi wakiingereza huyo

    • @jumamahmoud9271
      @jumamahmoud9271 Рік тому

      @@kilulamofi7926 heee jasusi akapiganie dini ya Allah?

    • @kilulamofi7926
      @kilulamofi7926 Рік тому

      Pia latina din ya allah wapo wenye mambo yao ilimradi wawakufulishe waislamu yawagombanishe kama ungesoma kiadabu usinge msapoti hata kdg ndugu yangu anakufulisha mambo yakweli yamhusuyo mtume tulomkubali waislamu halafu kwaelmu yako ndogo wamuona yupo sahihi mm ningefurah kama ungemuombea dua kuwa allah amuongoze

    • @osmaniidrisa6290
      @osmaniidrisa6290 Рік тому

      @@kilulamofi7926 Allah akuongoze wewe kwanza

    • @kilulamofi7926
      @kilulamofi7926 Рік тому

      Amena yaarabbal aalamiin nawewe allah akuongoze

  • @jambojomba9042
    @jambojomba9042 Рік тому

    Assalaam alaikum Al akhii Muhammad Nassor Bachu,Allah akupe umri na afya tuzidi kufaidika, amin

  • @mirajimsigiti7317
    @mirajimsigiti7317 Рік тому +16

    ALLAAH AKUHIFADH SHEKH MUHAMMAD NASSOR BACHU

  • @SwaleKasim
    @SwaleKasim Рік тому +1

    Wallah Allah awape nguvu ww pa1 na al akh Ali Abubakar ili muendelee kuiendeleza sunnah sahih ya Mtume. Wala musije mukarudi nyuma."Afe mwanakufa kwa ajili ya haki na abaki hai mwnye kubaki hai kwa ajili ya haki....mpka mwsho wa Aya". Allah atawalipa inshallah

  • @midahalomwanga9328
    @midahalomwanga9328 Рік тому

    Allahumma barik alaihi, allahumma hifadh lahu

  • @YasiniRajabuAlly-oc1pd
    @YasiniRajabuAlly-oc1pd 4 місяці тому

    Yusuf diwani nilikua nampenda Sana kipindi sjabainikiwa zaid na haqi, hakika anaufasaha mzur katika kubainisha mambo, namuomba Allah amfahamishe haqi na aiendee kwa uzur, na ufasaha wake uwe katika kutetea haqi aachane na bidaa na uongo.

  • @mohagurey2214
    @mohagurey2214 Рік тому +14

    Wallahi unaelimisha umma na Allah akulipe pakubwa majaliwa

    • @sakinajuma1135
      @sakinajuma1135 Рік тому

      Mkurupukaji tu huyu, amka ndugu.

    • @mohagurey2214
      @mohagurey2214 Рік тому

      @@sakinajuma1135 Hayo maneno yako itawekwa mizani siku ya kiyama. Tuone itakupea faida ama utanufaidisha ustadh Mohamed BACHU. Endelea na hio ujasiri kama hunaakili ama utafute yeye uombe msamaha kabla hujaondoka duniani

  • @alijabz1204
    @alijabz1204 Рік тому +3

    Wallai shekh atuna uwezo wa kukushkuru mana ilm unayotupa nikiielezea naeza kufuru pia,walai mungu akuzidishie.kumbe lkw twadanganywa thuuuu machozi yakaribia kunitoka pia kwa maskitiko

  • @rashidkhalid5645
    @rashidkhalid5645 Рік тому +6

    Fantastic shekh Mohamed

  • @suleymansalim5732
    @suleymansalim5732 Рік тому +6

    NATUNAOMBA UWE MVUMILIVU MAANA MPITO UNAOENDA NAO SIO MWEPESI MAUDHI MATUSI KEJELI NA KILA BALAA WATAKUZULIA ILIMRADI UTELEZE TU .NIWACHACHE WALIO KUBALI HILI WEMGI WAMECHAGUA SEHEMU YA KUPENDWA TU HAWASEMI HAYA. WE VUMILIA ALLAAHU NDO ATAEKULIPA UMEFIKISHA NAYE NDIO SHAHIDI

  • @maallimumusa6085
    @maallimumusa6085 Рік тому +4

    Assalamu alaykum shehe tunakuelewa vizuri allah akupe nguvu uwamalize awa wazushi na uzushiwao

  • @nasirsalafi8985
    @nasirsalafi8985 Рік тому +8

    Mashaallah shekh nakukubali mno

  • @hamzashabani-kg2ut
    @hamzashabani-kg2ut Рік тому +2

    Shekh wanyooshe insha allah

  • @abdallahsaid1968
    @abdallahsaid1968 Рік тому +4

    Allah akujaaalie afya njema Muhammad bachu

  • @ahmadmzoa74
    @ahmadmzoa74 Рік тому +4

    MAASHAALLAH Tabaraka LLAH. Kijana ALLAH SUBHANAHU WATAALA Akuhifadhi,endelea kuibanisha Haqqi bila kujali lawama ya wenye kulaumu.

  • @yussufomary7451
    @yussufomary7451 Рік тому +4

    بارك الله فيك وزادك الله علما

  • @jumakumala1337
    @jumakumala1337 Рік тому +7

    Akizunguuka mwenyewe maiti wakati wa kuonyshwa si watu watakimbia sn hapo , ebu masheikh tuongeeni visa vya ukweli , tumewajua ss watu wa maulidi mtabaki pekeenu , na ALLAH atusamee kwa bida'ah tuliotukifanya ya maulidi

  • @nabiljumaothman5912
    @nabiljumaothman5912 Рік тому +1

    Mungu anisamehe kujiingiza kwenye shikr ya barzaj

  • @ABDULAZIZ-n5w1m
    @ABDULAZIZ-n5w1m Рік тому

    Muhammad bachu rudi tena ktk historia ya maimam khasa wa madh-hab nne,pia Rudi ktk
    آداب الاختلاف
    Pia tafakari sana kuhusu bilisi n jinsi anavyowatembelea wanaadam khasa wanaosoma
    حُبُّ الشُّهْرَةِ

  • @tztanzania2262
    @tztanzania2262 Рік тому +3

    Sheikh we ni mwamba kama alivyo Sheikh qaasim mafuta na masheikh wengine mnatuelekeza vzuur sana

  • @jumamakala-ls9wx
    @jumamakala-ls9wx Рік тому +2

    Allah akulipe heri nyingi. SISI TUKO PAMOJA NA WEWE EWE MUHAMMAD. KARIBU SANA KIBITI.

  • @ismailmakame7183
    @ismailmakame7183 Рік тому +5

    Allah akupe maisha yenye saada

  • @chabunu3367
    @chabunu3367 Рік тому +4

    Mauwongo kweli haya mchana kweupe Wanataka kutudanganya😂😂😂

  • @issagang-xg5hj
    @issagang-xg5hj Рік тому

    Allah Azidi Kukpa Elimu insha'Allah
    UnaAkili Sana Brother

  • @hashimiddy4142
    @hashimiddy4142 Рік тому +4

    Mashallah Allah akuhfadhi

  • @omarsima2763
    @omarsima2763 Рік тому +7

    Shekh kwa kweli ufafanuzi wako ni mzuri na uko wazi na ushahidi katika vitabu. Mwenye akili na atafakari.
    Allah akuzidishie penye mapungufu.

  • @abuqusay8912
    @abuqusay8912 Рік тому +4

    Sheikh Nasser Basho mpaka leo sauti ya ukweli ni mahubiri mazuri

  • @jumamahmoud9271
    @jumamahmoud9271 Рік тому +13

    Haya tunasubiri muendelezo mpaka wanyoooke hawa

  • @omarally6819
    @omarally6819 Рік тому +2

    Shekhe Muhammad hii kazi ya kubainisha haqqi kutokana na baatwil ziliomo ndani ya barzanji usi katishwe tamaa na wajinga wasaka tonge wanao kutukana, bali iendeleze na ukijua kua watu wengi wana elimika na kuujua ukweli na kuachana na mazushi haya ambayo yalisha watia ulemavu...

  • @fatmaally2196
    @fatmaally2196 Рік тому

    Tumekuelewa vizuri kuhusu kitabu cha Barzanji... ALLAH (s.w) atusamehe..
    Kwa sasa tunakuomba utupe muongozo kuhusu kusoma Khitma.. Je inajuzu au haijuzu..

  • @mohagurey2214
    @mohagurey2214 Рік тому +6

    Labda sheikh Yusuf Diwani hakujuwa hicho kitaabu almunjidi inamachafu kama hio kwa dini ya uislamu

    • @canoksancomprehensivelearn7182
      @canoksancomprehensivelearn7182 Рік тому +2

      watu wa bidaa huitwa masheikh wakubwa na watu wa aina yao ila.kwa.watu ya sunnah wao ni dalili tu hawapendi upuuzi. hata kama.ataitwa sheikh ni bure kwetu kabisa maana hawa huchanganya mauongo sana hawaeleweki hawa

  • @aboudsaidaboud7667
    @aboudsaidaboud7667 Рік тому +4

    Mashaalla sheikh.

  • @khalfanikimanta6663
    @khalfanikimanta6663 Рік тому +1

    Ndugu yangu Mohammad tunakuelewa sana kwa tunaotaka haqi ALLAH akuongoze na akuhifaadhi
    HUYU YUSUF DIWANI TWAMJUA NI MWENYE KUTAWALIWA NA MATAMANIO YA NAFSI YAKE , MTU MUIGIZAAJI TWAMJUA

  • @saadasaleh3177
    @saadasaleh3177 10 місяців тому

    Allah Awawafikishe haqih ienee

  • @fatmasuleiman2710
    @fatmasuleiman2710 Рік тому

    MashaaAllah step by step hatuna haraka twaskiza Kwa Makini,tutoe vizibio Kwa sikio tuilimike zaidi.

  • @itsmelatz
    @itsmelatz Рік тому +8

    Maashaallah 🙏🏾 I'm proud to be muslim

  • @aliganzel3874
    @aliganzel3874 Рік тому +3

    Twafurahiya darsa zako mashallah

  • @isaack100
    @isaack100 Рік тому

    Mohammad bachu,kama ni umaarufu umepata,umekwisha twambia Alhatimiy amemcharaza Kishki na Bahero kwa hibyo ukasema wew so wao.tulia sasa toa sasa darsa zako sifa umepata nyingi

  • @ahmedmalick5043
    @ahmedmalick5043 Рік тому +8

    Hawa tunaenda nao sambamba mpka watakapokubali kubadilika

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 Рік тому +4

    Yussuf Diwani sii shekh eti ni mganga wa kienyeji
    Wala msihangaige nae naende akagange watu uko

  • @gulamhusseinjivanjee2418
    @gulamhusseinjivanjee2418 Рік тому +5

    Maskitiko makubwa kuona ndugu waislam wanaojigamba kwa elimu ya dini ya kislam, wantusiana na kudharauliana katika majukwa, kisa na sababu ni "Maulid". Jee haya maulid ndio dini? Ama yule asie kuwa Muslim akaona tabia kama hii, ataweza kukaribia? Ndugu nawanasihi nyote wawili, kama munasoma Qur'an tofauti na waislam wengine , endelea na ugomvi, na lau Qur'an ndio hiyo moja, basi acheni kutukanisha uislam. Kwani nyote mkali wanafunzi na hakuna moja wenu aliemzidi mwenziwe.
    Mtanisameh kama nimetumia lugha isio ya sawa.

  • @omaratik1839
    @omaratik1839 Рік тому +1

    Alhamdulilah Al Hatimy kupata kamili yake ameshindwa kujitetea yeye wala Mwenye barzanji Hii ndio Daawah Salafia Makali kuwili . Tunaomba akae Atulie sasa .👌

  • @AdamChogo
    @AdamChogo 6 днів тому

    Ulamaa UA-cam hongera kwa kuwa umkamlka jnc unavyojhc ww na majahl wanaokufata mmkamlka wenzenu tunamapunguf

  • @mohagurey2214
    @mohagurey2214 Рік тому +5

    Naomba Al-hatimy na Diwani watuambie barzanji ametoa wapi story hizi tafadal

  • @omarally6819
    @omarally6819 Рік тому +5

    Hahahahahaha nafurahi sana, wewe unaongea na kutoa elimu kwa watu, na hawa jamaa wanaongea na kutumia uongo na pumba.
    Hahahahaha

  • @paidenasra4548
    @paidenasra4548 Рік тому

    Mnatuchanganya sisi tusiosoma.
    MA sheikh mnachukiana sana, mnagawa waislam. Kwanini msikutane mkajadili kuliko kuwapa faida wasio penda Uislam

  • @ahmedjuma303
    @ahmedjuma303 Рік тому +6

    BAADH YA MADRASA ZETU MTU ATACHAPWA KAMA HAJAHIFADHI BARZANJ LAKINI SIO KUHIFADHI QURAN

    • @yunusali5728
      @yunusali5728 Рік тому +1

      Kweli kabisa atachapwa bakora kama hajui kughani halafu hajui ata maana yake

    • @allytwalibjr.6431
      @allytwalibjr.6431 Рік тому

      سبحان الله
      الحكمــــد لله على نعمة الإسلام والسنة والعقل السليم

    • @mohamedturanardan8871
      @mohamedturanardan8871 Рік тому

      hahaha hatari

    • @kilulamofi7926
      @kilulamofi7926 Рік тому

      Hiyo madrasa yako wewe usifananishe na zawenzio

    • @ustadhsirajabouddini1889
      @ustadhsirajabouddini1889 Рік тому

      ​@@allytwalibjr.6431 Andika vizuri ww

  • @faizamri7144
    @faizamri7144 Рік тому +2

    Mashaallah

    • @kasimukiduba4484
      @kasimukiduba4484 Рік тому

      Mashalaah Alhadulilaah rabili'alamin,,,,,hizi ndo faida Sasa hamn mtu anapenda Moto

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 Рік тому +7

    Huyu ndiye mwalim wangu namuelewaga sana
    Hufafanua kitu kwa mapana
    Wengine maneno tuu kama sıasa tu
    Dini ni dalili na sio mantik ett ett ett ...
    laaaaaaa

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 Рік тому

    Shehe safisha safishaaaa wamezidi kitambo tulikuahatulali sababuya vigomavyao kumbe walikuawanatudanga sasahivi watuache. Tukeshe kwamengine na si maulidi.

    • @ashahassan1877
      @ashahassan1877 Рік тому

      Jamani raha humu Sana hongerazako vigoma dah

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 Рік тому +1

    Misufi asa miongo hiiiiiiiii

  • @sadickmguruka
    @sadickmguruka 10 місяців тому

    Acha uyahudi

  • @faisalmohamed727
    @faisalmohamed727 Рік тому +1

    Kuna wenye maskio lakini hawasikii kwayo, wajinga wengi hawako hapa kwa kutaka kujua wako hapa kwajili ya ushabiki, ALLAH akuhifadhi Simba mwana wa Simba, wewe ni msema kweli wapige vimondo washirikina wakome.

  • @kassimmgwami
    @kassimmgwami Рік тому

    Wewe elimu yako ya dini ya uislamu iko chini sana,nenda kasome upya usituvuruge kwa kutulazimisha tukufuate kwenye giza.

  • @kitosio
    @kitosio Рік тому

    Watajifunza kupitia HUMU. Munakasha hawataki wanaogopa hawa. Bidaa haishindi Sunna

  • @muddybreezy4595
    @muddybreezy4595 Рік тому

    Part 2 akhy

  • @lapozzydone5203
    @lapozzydone5203 Рік тому +2

    Punguza kibri Shekh.
    Daawa haipendezi kwa njia unayo tumia

  • @NaaalsGroup-us8bq
    @NaaalsGroup-us8bq Рік тому

    Sasa haya kweli yaonesha wazi niuongo mm mkenya kweli na sina helmu lkn kwahili sijakubali katu, ati mtu ajitie kwenye mji wa kaburi basi hajafa duh kweli Muhammed bachu upo sahihi kwa hilo

  • @kitosio
    @kitosio Рік тому

    Ehee sasa NDIO Tunataka namna Hii kuwekwa wazi kwasababu hawa wanaosoma hawajui Majanga haya YALIYOMO ndani yake. Yaanikwe yoyoteeeeee

  • @sheedinho7019
    @sheedinho7019 Рік тому +1

    Ushoga umeenea umekaa hubishina tu wa waislmu na wenzako limganinei ya Swa mmbo yamejaa tele machafu pigani huo ushoga ulio ngia

  • @abdallahsalim8050
    @abdallahsalim8050 Рік тому +3

    Natamani nijifunze dini kupita ustaadh mohd bachu

  • @aliganzel3874
    @aliganzel3874 Рік тому +4

    Hawa watu wa maulidi wafanya biashara

  • @kitosio
    @kitosio Рік тому

    Huyu kijana Jasiri Katika kuutetea Ukweli na kuwazinduww watu. Wingi tulilala na kufuata mkondo. Shekh Faridi naye kaingia ktk Jarife. Anataka kutetea Barzanj.

  • @abuqusay8912
    @abuqusay8912 Рік тому

    Muislamu ni ndugu wa Waislamu

  • @suleymansalim5732
    @suleymansalim5732 Рік тому

    WATU WA MATUSI WANABADILI HOJA KSMA KAWAIDA WAKISHINDWA UTETEZI KIELIMU BADALA WAACHE WANAMTUMA SABAASIBUL QUBRA BW.MATUSI HUYO. SHEKHE USIYUMBE KATIKA HOJA ACHANA NAYEYE AONGEE PEKEYAKE. DILI NA HII SHUBHA TU YA MAULIDI YA DIWANI WANATAKA KUKUPOTEZA MALENGO

  • @abumaryam6909
    @abumaryam6909 Рік тому

    Watu wa maulid mpo kama mashia kwa kweli naona siku hizi mmeanza kuwakataa Allah akunusuruni na uzushi na karibuni kwenye sunnah

  • @sadickmguruka
    @sadickmguruka Рік тому

    Kit

  • @RichardRaphael-nz2kv
    @RichardRaphael-nz2kv Рік тому

    Alimkidhi maanayake nini?

  • @sturbbornvideoz8547
    @sturbbornvideoz8547 Рік тому

    Hio heasing inapotosha 🙆🏽‍♂

  • @sakinajuma1135
    @sakinajuma1135 Рік тому

    Hata maana yake uliyotoa ww ipo katika kitabu cha Wasabato, unajifanya kutoa tafsiri katika vitabu vya Wakristo halafu wakitoa wengine unakashifu, huna hekma yoyote ya elimu. Tafsiri yako umetoa kwenye maandishi ya "Saven day Adventists"-Wasabato hawa, acha upumbavu wa elimu.

  • @saadiasambur3980
    @saadiasambur3980 Рік тому

    Nyinyi muache kujiita viongozi wa kidini kama mnaendelea na matusi yenu mitandaoni

  • @allyfutto8763
    @allyfutto8763 Рік тому

    Bachu lingania watu waliovuka mipaka na wakajibadiri MAUMBILE wanahitaji kulinganiwa

  • @fakijuma1979
    @fakijuma1979 Рік тому

    shehe muhammad kuna haja ya kufanya radi , uislam unataka uwendelezwe lakini naamini si kwa style hii , nimekua mfatiliaji wa cd za marehemu nassor bachu ALLAH amrehemu , lakini sikuwahi kusikia cd nzima anatoa majibu au radi , nahsi shehe muhammad kama kuna haja ya kufanya ivo basi upunguze japo kidogo ..

  • @hilalkeis4204
    @hilalkeis4204 Рік тому

    Achaneni na mambo hayo hayana maana sisi sote waislamu tu discuss kuhusu vp tutanzisha mahospitali za kioslam dada zetu wanajifungua na madoctor wanaume tu dicuss kuhusu school za Killam University za Killamarsh