Mashallah Allah akuhifadh sheikh bachu vizur sana kuwaumbua Hawa watu maana wamekosa hikma hujiona wao ndio watu wa pepon na wengine wote wamepotea . Mtihan sana Hawa watu Allah awape dini inshaallah!
Sawa sawa hawa wanajifanya wao wamemaliza kilakitu Tena wanafika mbali zaidi Na kusema mtu akikosea huyo sio Shekhe Wanaunganisha picha za Mashekh mbalimbali Na kutaka kuwaaminisha watu hao sio Mashekh Mungu mkubwa leo mmekutana na kiboko Chenu Allah ampe nguvu Shekhe Mohammad Bachu Na aendelee kuwafichua hawa wanao jifanya wao wamemaliza Pia namuombea kwa Allah marehemu SHEKHE Nasoro Bachu Allah amrehem SHEKHE wetu. Usiwaache hawa mpaka wakome kutukana watu. Allah akupe nguvu Allah akupe nguvu Allah akupe nguvu Allah akupe nguvu Allah akupe nguvu SHEKHE Muhammad Bacho.
HAO MASHEKH WATAJE UNAVYOWEZA MUHMD BICHWA ILA JIHADI YAO KUPAMBANA NA UHIZB NA KUWACHARAZA WALOPINDA. UMMA WA KISALAF EAST AFRICA ALHAMDULILLAH WANAWAELEWA
Ndo hapo unakaa mwenyewe unasomewa Rukya na shehe anakosea Quran namna hiyo jmn. Nyie kina mama jueni mashart ya Rukya. ni bora mtu urudi kwa Allah kwanza. The most important thing is your 5 daily prayer first . Hii imenifungua macho. Mwenyezi Mungu akupe ulinzi Mwalim na Tuache ushabiki inabidi tuelewe tu haina jins. Wanaokasirika ni mashabiki hatari sana. Yaani uko tayari makosa yaendelee ili tu uwe comfortable duuh. hapana. Subhanallah.
Sheghe bachu hawa ndugu zetu wanao jiita Masalafi ni mtihani sana kwa umma kazi yao kuwatukana wanawachuoni kuwa tukana waislamu wenzio kuwaritadisha ni mtihani mkubwa
Huu ni ugomvi ambao mimi siuungi mkono na wala siufurahii, kwa sababu nyote nyie ni walimu wangu. Lakini hapa umenisomesha, umenipa elimu, Alhamdulillah Rabbil Al'Aalamiyn. Namuomba Allah Subhaanahu waTaala akubarikini nyote.
Nakushangaa sana Muhammad Bachu hivi rad zipo ngapi unaperuzi ambazo umeulizwa maswali hujibu ukija unakuja na jambo jipya. Huu ni mwendo wa Malumbano.
@@abubakaromaryonlinetv6333 Siafiki yeyote atakaesoma makosa kwa kukusudia katika Qur an ama makosa ya kilugha hata hivyo haya yote hayatakusaidia katika kujua mfumo sahihi wa dini sina ushabiki wa kidini ndo maana nasema ajibu maswali na hoja aloulizwa watu wapate faida.
@@abubakaromaryonlinetv6333 Haiwezekani unaulizwa mbuzi anamasikio mangapi unakimbilia unajua nyama ya kuku ni tamu sana sana, kunaalokuuliza hilo?. Mfano yeye anaona ni aibu kusema Mtume hajui jambo la kidunia alishajibiwa kwa hoja si aibu kwa Mtume kutojua mambo ya kidunia kuliko yeyote Bali ni mjuzi wa Elimu ya Kisharia kuliko yeyote. Lingine alishaambiwa William Ruto alishawahi kutangaza Kenya ni Taifa la Kikristo havunji hoja na alete majibu yake kila siku kuja na jipya ndo maana utaona kuna mambo mengi mtandaoni kuhusu bachu, bachu, bachu asimame na moja liishe aingie lingine kisha lingine. Huenda hufuatilii pande zote ndo maana umekuwa shabiki.
maashaAllaah kaka yetu... hawa wanaojinasibisha na ufuasi huwa wanajidai kujipa ukamilifu kisha wakakosoa hata ahli sunna waljamaa'a.... sasa ona Allah anavyowafedhehesha kwenye mim'bar na ujuaji wao huo.... Allaah akubariki sana kaketu kwa faida hizi.... aamiyn
shekh M bachu Allah akuhfadh, Kazi ya daghwa inachangamoto kubwa ndaniake, ila acha nikufariji kwamaneno yafuatayo, AKH ww si pesa kwamba kila mtu atakupenda, lkn pia vlvl ww si kinyesi kua kila mtu atakuchukia. hujasimm ktk hoja illa kwadall. Kunafaida nyingi tunazipata matullab kupitia kwako
Sheikh Muhammad Nassor Bachu lazima hao uwafundishe kwa dalili wakiwacha kufahamu sisi wanafunzi tunakuwelewa vizuri mno kutokana na utowaji wako wa dalili tu.
naam swadaqta shekh nilitaka kukusikia mana huyo abdallah humed alishindwa hoja akakimbilia hutoa maneno yasiyo na maana na wengi tulijua atajibu hoja mwisho wa siku abakimbilia kwe kuhukumu matamshi kukose katika herfi nikitu cha kawaida mana ulimi hauna mfupa mashallah nimeshiba kwa jinsi ulivyo waelekeza kadhia za kuteleza
Sasa hapo kaongea chauzushi kipi?.hebu achen chuki zisizonamsingi..lete hoja z kielimu.. Kwan hao masheikh zenu wanapoleta rad unachukuliaje..acha chuki zisizofaida utakuw n roho mbaya
Mnajuwa nyie majadida Huyu muhammad bachu hamumuwez Kwa sababu anachokieleza Kina hoja na mantiki ndani yake Halafu ana dalili Anajuwa kujenga hoja mazbut Kaeni pembeni nyie Majadida
Nilichoelewa kuwa abuu hashim amesema kuwa HAYO MANENO NI YA KIHZIB... na yule muulizaji kasema maneno mengi kwamba... Mashekh ni walewale vitabu ni vilevile na mengine mengi kwaiyo abuu hashimu hakusema elimu ya seculr ni uhizb hata kidogo...
Ama kweli mtume s.a.w hakukosea kusema Kila utakachokifanya Kwa mwenzako na wewe utafanyiwa ,Muhammad bachu wewe ni hodari kutukana watu kukufurisha maulamaa , ubayaa saivi umekurudia mwenyewe maana mawahabii wenzio wanakutukana na wewe saiv na hawakutambuii wallah ama kweli maneno ya mtume ni ya kweli kabisa
Mashekhe wetu mnajikosesha adabu na hadhi kwa kujibishana. Twataka mafunzo ila sio majibishano. Allah awaongoze nyote na sisi sote na atupe faida wala sio kukimbilia kundi hili au lile. Allah atujaalie nasi masomo ya kuelewa dini ili tukisomee tujielewee bila ufafanuzi wa huku au kule kwa kuwa twachanganikiwa hatujui kwa kwenda. Allah mustaan.
muogope Allah kumsingizia sheikh uwongo utaulizwa na Allah, unasema usiyoyajua bado elimu yako ipo chini acha kutafuta kick mtandaoni sheikh abdillah humeid ni qariii, alafu acha kuwachafua masheikh wa haramu, kijana huna adabu Allah akuongoze kijana mpuuzi sana we
Assalaam alaykum warahmatullah wabarakatuh, jamani Masheikh hebu sikizeni haya maneno kuna mama mmoja hajasoma dini utotoni na yy ni mskilizaji2 aliwahi kuwauliza Masheikh wawili suala moja la kidini, majibu yakapinzana huyu mama akaniulza kwa kusema " kwani QUR'AN zipo ngapi?" jamaniii Masheikh tusiouja tupo wengi hata kusoma QUR'AN hatujui sura chache mno tunazozijua, huyu mama ananiumiza maneno yake sababu majibu ya Masheikh wawili. Masheikh mtambue tunaosikiliza wengi hatujasoma mnatuacha dailema, MTUME (SAW) hayupo, nani atatufahamisha Allah na Mtume, jamani salama yetu ss kwa maneno kama ya huyu mama ipo wapi? 😰
Wa umbuwe kwa sababu elimu zao ni finyu kisha mazara yao kwa jami ni mengi zaidi Allah awaongoze kwenye ufahamu maana wamekuwa majiona niwajuku wa Rasurull'Allah swallalahu alayhi wa salam mbaya zaidi iyo yakuruka Ayah njoo imeni cost japo wenye kukoseya kwenye kiarabu tunawapa uzra maana sio lugha yao ila Ahsante
How about microphones they use, who made it , Is that hizbiy education!? How about adhaan speakers!? There is a lot of things to learn here🙏Rabb’ih zidna ghilma
Who told you that brother, and who said that and when?, Or it's just your understanding?. I'm sunni Salafi, software engineer & mathematician, I'm developing a lot of softwares. And I love those scholars of Salafi, listen them, and study from them, no any day they criticized my work or said it's wrong, it's the part of my duniya. So who said that??
You’re muslim you don’t suppose to mention anytime that you are sunni salafi,u group urself differ from others that is not bad but that is where the problem start u always keep a distance btn others, My self i am muslim and am sunni am salafi am everything good in islam and am not grouping myself into something am just following the teachies in all aspects, yan kuanza kujiita sunni , shia , Salafi ect ndio inaleta sana kelele ,Kila kundi linajina bora kuliko jingine hapo ndo tatizo lilipo
Umemsikia lakini anavyoeleza hiyo haiitaji research akhui , Unazaje kumuitwa muislam mwezio hizbiy et kwasababu kaja kuwaelewa watu umuhimu wa kusoma software engineer & mathematics, kama nini ww will u accept it!? And it’s that right!?
@@salumbahria7643 Kaka, hukuskiliza hiyo mihadhara, sisi hiyo seminar tuliidiliki na kilichotufanya tuudiliki biidhinillah ilikuwa ni faida za diyni, na sheikh Abuu Haashimu alieleweka vzr munasaba wa maneno yake biidhinillah.
Mwendo unaoenda nao utakufikisha pabaya. Unakujaga na mada kwa jazbaaa ukishajibiwa unakaa kmyaaaa mada unairuka kama hujasikia vleee. Nukta muhimu zote unaziacha ukiona huna majibu. Umefanya hvo hvo kwa abul abbaas, hanein na abuu fawzaan na wengneo wengi hapo kablaaa. Sasa hii ni dini, ukikusudia kufata haqqi basi wacha mwendo wako huo. Na kama utaendelea hvo basi nakubashiria mwisho mbaya katka daa’wa yako. Utaanguka vby sana nakuahidi basi utaendelea hvo. هدانا الله وإياك
@@mahfoudhcalender2747 hebu naww acha kuropoka. Alosema ya moyoni hapa ni nini. Mtu anahukumiwa kwa dhwaahiri yake. Ww mtu anakuja na hoja na anatoa challenge ajibiwe kisha akishajibiwa anakaa kmy na kuruka madaa na kuja na nyngne. Na bado hadii hii naamini atajibiwa tena na abuu fawzaan na ataruka tena. Kisha anaambiwa kuwa mwendo huo sio sawa na sio dini wala sio misingi wa jarh wat taadil kisha ww unakuja kuropoka ati ujadida. Hebu kaa kmy kama hujui unaropoka ktu gani
wepe mzee baba wape. Wanadhani wao ni kama maswahaba wanasahau kuwa wao ni wao na hawajakamilika pia yaani huyo hata mimi naweza kumsomesha tena vizuri Allah amswamehe.
Ao wengine nimegundua sio masalafi bali nikikundi kimetengenezwa kuja kuaribu akkida ya ahlsunna waljamaa Allah akulipe kher shekh bachu mtoto simba nasoro bachu
Hahaha Yan (kasuku wa Zanzibar) ukishikwa sehemu fulani unarukia sehemu fulani hakika (kitanda ulichokilalia kina chawa wengi) Yan masheikh zetu wana kazi kubwa sio ya kukujibu we. Wapo wanfunzi wao ndo wanakujibu
Masalaf wa kwel hawakuwaga na midomo michafu Kam ww,,sas tumebak kujinad ss n salaf,,,masalaf wa kwel walkuw wakiambiwa maneno mabaya na makfr huwajib kwa kwa maneno mazur
@@alfaroukshabani6445 unamjibu Mohammed Bachu (kasuku wa Zanzibar) au?. Make yy ndo ana mdomo mchafu kwa watu sawa na baba ake na anajiita salafi wa kweli Hahaha hyo n radd kwa kasuku wa Zanzibar ahsante sana Akhy kwa radd hyo
Waoneshe wanafunzi basi waje jibu😂 wakiweza kufuta maneno yalotoka nitakulipa nakupa ahadi.. au kuna njia ya kinahau walopita hapo ? Qiraati fulani wamepitia kukisoma hapo . Nakuahidi fanya kujibu hili nitakutafuta ukitaka.😂 mshahara..
ua-cam.com/video/aFNmdJQSDCo/v-deo.html Vita ya Sheikh wetu Abdallah Humeid Hafidhwahu Allah, na Masufi, khawariji, hizibiyun, suruliyuun, Shia rafidhwa na magenge mengine inatokea ktk Bayani zake juu ya uovu na upotofu Wao. "Ee Allah mlinde na kumuhifadhi Sheikh Abdallah Humeid, na duat wengine wa daawa hii mubaraka, "Daawatu salafiya ", "
Milango ya JANNAH Ni 8 Hakuna mlango maaluum wa Wanachama cha KISALAFI wala wawanachama Cha TAMADUNI za KISHI-A wala wawanachama Cha KIIBADHI ( SWALI) Enyi Mnao BUNI VYAMA ktk DINI ya ALLAH - Mtaingia Wapi?
Allah akupe kila kheri akh mohamed nassor wallahi ume somesha somo zuri sana, na hao mahasidi waki selfie sio salafy allah awaongoze na hizo ndimi zao za chuki na sumu walizo katika akili zao.
Kwani nynyi mashekhe wote si waislamu kwanini musipigiane simu kuelimishana na kutanabaishana kuliko kupigizana kelele mtandaoni,,,hii inasaidia nini kama si kuongeza chuki katika jamii.
Masha allah sheikh mohamed mungu akuhifadhi na killa sharri za dunya. Aaaameeen
Mashallah Allah akuhifadh sheikh bachu vizur sana kuwaumbua Hawa watu maana wamekosa hikma hujiona wao ndio watu wa pepon na wengine wote wamepotea . Mtihan sana Hawa watu Allah awape dini inshaallah!
Sawa sawa hawa wanajifanya wao wamemaliza kilakitu
Tena wanafika mbali zaidi
Na kusema mtu akikosea huyo sio Shekhe
Wanaunganisha picha za Mashekh mbalimbali
Na kutaka kuwaaminisha watu hao sio Mashekh
Mungu mkubwa leo mmekutana na kiboko Chenu
Allah ampe nguvu Shekhe Mohammad Bachu
Na aendelee kuwafichua hawa wanao jifanya wao wamemaliza
Pia namuombea kwa Allah marehemu SHEKHE Nasoro
Bachu Allah amrehem SHEKHE wetu.
Usiwaache hawa mpaka wakome kutukana watu.
Allah akupe nguvu
Allah akupe nguvu
Allah akupe nguvu
Allah akupe nguvu
Allah akupe nguvu SHEKHE Muhammad Bacho.
Shukran sana Sheikh Muhammad Bachoo.
Allah akulipe bighair l'hisabi
Amin
Sheikh Allah akuifazi akulinde na bitu bibaya byote Allah akuifazi
Maashaallah Al marhum shkh Nassoro Bachu ametuachia mbadala wke.Maashaallah
Assalamu aleikum watu sikuhizi daawa ni kuiita watu kwake yeye sii kuita watu kwa ALLAH s.w
ALLAH AKUHIFAZI MASHAALLAH TABARAKALLAH
Allah akuhifadh Sheikh Muhammad Machu
Asante sheikh wetu kwa kutufundisha, Allah akuhifadh, baaraka llahu fik
Jazaaka'llahu khayran
Allah akuhifadhi sheikh Muhammad Bachu.
Nimeamini sasa kwamba hawa wengi wanaojiita masalafy wengi wao ni majahili
Shek Allah akuzidishie elmu na ujuzi zaidi uzidi kutufundisha
Allahumma baarik❤
Asante shekh muhammad bachu
Uteteeeee huu umma
Kwa lipi hapo alilo tetea
هو ما زال علب ......
إذا كبر سيترك الطفولية .........
Kiboko chao!
Hujielew ww
Kwa yoyote anaetafuta haqqi bas ma sha Allah all hamdulillah haki tunaiyona kwa kijana wetu Muhammad bachu... Mpaka watakaa sawa hawa majadida
HAO MASHEKH WATAJE UNAVYOWEZA MUHMD BICHWA ILA JIHADI YAO KUPAMBANA NA UHIZB NA KUWACHARAZA WALOPINDA. UMMA WA KISALAF EAST AFRICA ALHAMDULILLAH WANAWAELEWA
Hakika Allah ametuletea mbadala wa shek Nasor bachu Allah awape kheri nyingi
Asante sheikh wetu kwakuweka wazi makosa hata mimi nimeshuhudia makosa kutokana na ilimu yangu ya nahwi na
Ma sha Allah huyu kijana mwingi sana na anajua kujenga hoja.
Allah amzidishie elimu
Kijana yupo sawa hata amenisisimua sana! Ukweli uko uchungu,mwenye kibri hawezi kukubali kukokosolewa! Allah amlinde insha Allah!
Shukran sana yaa sheikh,ujumbe huu umfikie sheikh hanein maana alisema hujui ata kutaja jina la masheikh.
Ndo hapo unakaa mwenyewe unasomewa Rukya na shehe anakosea Quran namna hiyo jmn.
Nyie kina mama jueni mashart ya Rukya. ni bora mtu urudi kwa Allah kwanza.
The most important thing is your 5 daily prayer first .
Hii imenifungua macho.
Mwenyezi Mungu akupe ulinzi Mwalim na
Tuache ushabiki inabidi tuelewe tu haina jins.
Wanaokasirika ni mashabiki hatari sana. Yaani uko tayari makosa yaendelee ili tu uwe comfortable duuh. hapana.
Subhanallah.
Allah Akuhifadhi Al Akh Muhammad Nassor Bacho, juhudi kubwa, mola akukinge na Shari za Majadida na Vitimbwi vyao.
آمين
Amiin
Sh.Muhammad nakuomba usisitishe somo la nahwu tunavunjika moyo kiukweli kadhalika na fighi almuyassaru
Sheghe bachu hawa ndugu zetu wanao jiita Masalafi ni mtihani sana kwa umma kazi yao kuwatukana wanawachuoni kuwa tukana waislamu wenzio kuwaritadisha ni mtihani mkubwa
nataman nipate namb ya bacho nampenda sana
Huu ni ugomvi ambao mimi siuungi mkono na wala siufurahii, kwa sababu nyote nyie ni walimu wangu.
Lakini hapa umenisomesha, umenipa elimu, Alhamdulillah Rabbil Al'Aalamiyn.
Namuomba Allah Subhaanahu waTaala akubarikini nyote.
Shekhe upo makini sana mungu akulipe kila lenye kheri
Alhamdulillah. Sheikh Mohammed bachu basi inatosha kiukweli unawavua nguo masalaf jadida wasamehe niwaislam wenzako hao
Shukran sheikh Muhammed mwenye akili ataelewa tu darsa.
Wallahi daima nakuombea sheikh wango Allah akupe umry mrefo....wallahi natamani nikuone sheikh wango ili nipate kunufaika na elimo alie kujaalia Allah
Hakika upo sahihi japo kuna watu hawawezi kuelewa kama kukosea kwa ulimi kupo na niudhaifu wetu. Kimsingi kurekebisha hoja nasio viherufi .shukran
Allah akulipe khery🎉🎉
Baraka allah fika ya sheikh usitusahau tuendelee na darsa yetu ya lugha nahwu itatusaidia sana miezi imepita bila bila
Mashallah Allah akupe afya uzidi kutufahamisha
Allah akuhifadhi jazaaka llahu kher
MashaAllah Allah Akuhifadhi Nakila Lashari Nakukupa Umri Twawili Wenye twaa Namwisho Mwema
Mbona humalizi sauti ewe muhammad bachu
Ili iweje ss
Nakushangaa sana Muhammad Bachu hivi rad zipo ngapi unaperuzi ambazo umeulizwa maswali hujibu ukija unakuja na jambo jipya. Huu ni mwendo wa Malumbano.
Hajielewi huyu ana ruka ruka tu ni mtu wa kupuuzwa
Sasa ww m b unamshangaa Muhammad bachu au huyu shekh wako anayezisoma Aya za Allaah kwa makosa acha ushabiki kwenye dini utaangamia
Kweli hawa jamaa ni shida eti ni mtu wa kupuuzwa basi tutakusikiliza ww
@@abubakaromaryonlinetv6333
Siafiki yeyote atakaesoma makosa kwa kukusudia katika Qur an ama makosa ya kilugha hata hivyo haya yote hayatakusaidia katika kujua mfumo sahihi wa dini sina ushabiki wa kidini ndo maana nasema ajibu maswali na hoja aloulizwa watu wapate faida.
@@abubakaromaryonlinetv6333
Haiwezekani unaulizwa mbuzi anamasikio mangapi unakimbilia unajua nyama ya kuku ni tamu sana sana, kunaalokuuliza hilo?. Mfano yeye anaona ni aibu kusema Mtume hajui jambo la kidunia alishajibiwa kwa hoja si aibu kwa Mtume kutojua mambo ya kidunia kuliko yeyote Bali ni mjuzi wa Elimu ya Kisharia kuliko yeyote. Lingine alishaambiwa William Ruto alishawahi kutangaza Kenya ni Taifa la Kikristo havunji hoja na alete majibu yake kila siku kuja na jipya ndo maana utaona kuna mambo mengi mtandaoni kuhusu bachu, bachu, bachu asimame na moja liishe aingie lingine kisha lingine. Huenda hufuatilii pande zote ndo maana umekuwa shabiki.
Wew Simba wa salafi ALLAH akuhifadhi.sahihisha Ivo Ivo kwa hikma
Muhammad bachu mche Allah umumeita Abu umeir Abu firiun na mmeandika hivo firiauni
Masha allah tabaraqallah
maashaAllaah kaka yetu... hawa wanaojinasibisha na ufuasi huwa wanajidai kujipa ukamilifu kisha wakakosoa hata ahli sunna waljamaa'a.... sasa ona Allah anavyowafedhehesha kwenye mim'bar na ujuaji wao huo.... Allaah akubariki sana kaketu kwa faida hizi.... aamiyn
Makosa katika qr an hayatakiwi kufumbiw macho shekh mohamed baraka llah fik
shekh M bachu Allah akuhfadh,
Kazi ya daghwa inachangamoto kubwa ndaniake, ila acha nikufariji kwamaneno yafuatayo,
AKH ww si pesa kwamba kila mtu atakupenda, lkn pia vlvl ww si kinyesi kua kila mtu atakuchukia.
hujasimm ktk hoja illa kwadall.
Kunafaida nyingi tunazipata matullab kupitia kwako
Huyu kijana anawasumbua sana majadida. Kiboko ya majadida Muhammad Bachu
na abdallah umeid alipomwita mpubavu kipozeo suf ili ujaliona mbona mxhabiki ww kipozeo sio mkubwa kwake pia ili ataulizwa na Allah
au kipozeo akumzdi umri
Shekh Muhammad ,,ahsant sana kwa kutujenga waislaam ,,Allah azid kukupa umri mref tupate kustafiid insha Allah,,nakupenda sana kwa ajir ya Allah,,
Maasha llah
Muhammad waskitisha sana. Mumekua mwashindana badali ya kufundishana mema.
Mm mwenyew mtu wa sunna lkn hpa mbn ypo shh
Sheikh Muhammad Nassor Bachu lazima hao uwafundishe kwa dalili wakiwacha kufahamu sisi wanafunzi tunakuwelewa vizuri mno kutokana na utowaji wako wa dalili tu.
Mashallah
Nimepata faida kwa hii video Alhamdulillah
NIMEKULEWA AKHYL KAREEM
Mashaa Allah kukosea kupo Allah akulinde na akusamehe pale unapokosea lakini ukwel lazima usemwe
Allaah akuzidishie Elmu sheikh Muhammad Bachu, Tunakupenda kwa Ajili ya Allaah
Baaraka llahu fik
Naomba jamani nambaza shehe bacyu tumpeda kwa ajiliya ALLAH. SABABU HABABAISHI.
حفظك الله
Nakupenda kwa ajili ya Allah sheikh Allah akuzidishie i'lmu
naam swadaqta shekh nilitaka kukusikia mana huyo abdallah humed alishindwa hoja akakimbilia hutoa maneno yasiyo na maana na wengi tulijua atajibu hoja mwisho wa siku abakimbilia kwe kuhukumu matamshi kukose katika herfi nikitu cha kawaida mana ulimi hauna mfupa mashallah nimeshiba kwa jinsi ulivyo waelekeza kadhia za kuteleza
Allah awahifadhi mshekhe zetu Sheikh Abuu Hashim na Sheikh Abul Fadhil Qassim awape thabat katika haqqi. Huyu kijana Hizby hajui nini anazungumza
Hujajua sasa hap alichozungumza
Sikiliza kwanza video ata masaa m2 haijafka tena video enyewe inasaa zima na dakika ushacommet 😁
Sasa hapo kaongea chauzushi kipi?.hebu achen chuki zisizonamsingi..lete hoja z kielimu..
Kwan hao masheikh zenu wanapoleta rad unachukuliaje..acha chuki zisizofaida utakuw n roho mbaya
Kaakitako usome usileta chuki
amiin
Mtihani sana vijana mnafatilia haya suala La manhaj ya Mtu libakie kwake kikubwa fikisheni Haki aliyotuachia Mtume wetu
Haki ipi unayo ijua
Unakuwa mashuhuri kupitia kazi nzuri aloifanya baba yako .. Ila wewe speed yako mbaya na njia yako mbaya hutofanikiwa mdogo Wangu. Jirekebishe
kwani wewe ndie mwenye kutoa ufanisi
suokraan bachu okoa mioyo ya waabudia viumbe wanasumbua sana mtaan
Maashaallah mambo ya Nahwu.
jaman tuacheni ushabiki na umimi
mohamnad Bachu n kigogo kwa kweliii cio siri Allah amuhifadhi
@@zanlec7357 wapo alipo tusi? lete ushahidi.
Mnajuwa nyie majadida
Huyu muhammad bachu hamumuwez
Kwa sababu anachokieleza
Kina hoja na mantiki ndani yake
Halafu ana dalili
Anajuwa kujenga hoja mazbut
Kaeni pembeni nyie
Majadida
Allah tuongoze
shukran sheikh
Wale ambao hatuna ushabik kwenye dini tumekuelewa na hakika umeongea usahihi Ila wale wenye ushabik kwenye dini hapo watajifanya Ni Vichwa ngumu
Nakupenda shekh kwaajili ya allah
اللهم ارنا الحق حقا ورزقنا التباعة
Nilichoelewa kuwa abuu hashim amesema kuwa HAYO MANENO NI YA KIHZIB...
na yule muulizaji kasema maneno mengi kwamba...
Mashekh ni walewale vitabu ni vilevile na mengine mengi kwaiyo abuu hashimu hakusema elimu ya seculr ni uhizb hata kidogo...
Akhiy sikiliza audio vizuri inaonesha hujasikiliza
Akhiy wacha kupenda watu penda dini Allah atuongoze
Aamiin
Nanyi Mahzib wenzie mmesikiliza kipande alichokata Mngesikiliza Muhadhara mzima mngebainikiwa talbiis inayofanywa na huyo Sheikh lenu
Sheikh achana kuwajibu hao. Watu wamewaelewa. Unaheshimiwa wasikuharibie ibada Yako.
Haya kale ka kikundi kwa kuongeza views na ku comment ka (kasuku wa Zanzibar) mnakarubushwa make movie zenu n Zaid ya bongo movies
Ama kweli mtume s.a.w hakukosea kusema Kila utakachokifanya Kwa mwenzako na wewe utafanyiwa ,Muhammad bachu wewe ni hodari kutukana watu kukufurisha maulamaa , ubayaa saivi umekurudia mwenyewe maana mawahabii wenzio wanakutukana na wewe saiv na hawakutambuii wallah ama kweli maneno ya mtume ni ya kweli kabisa
Mashekhe wetu mnajikosesha adabu na hadhi kwa kujibishana. Twataka mafunzo ila sio majibishano. Allah awaongoze nyote na sisi sote na atupe faida wala sio kukimbilia kundi hili au lile. Allah atujaalie nasi masomo ya kuelewa dini ili tukisomee tujielewee bila ufafanuzi wa huku au kule kwa kuwa twachanganikiwa hatujui kwa kwenda. Allah mustaan.
muogope Allah kumsingizia sheikh uwongo utaulizwa na Allah, unasema usiyoyajua bado elimu yako ipo chini acha kutafuta kick mtandaoni sheikh abdillah humeid ni qariii, alafu acha kuwachafua masheikh wa haramu, kijana huna adabu Allah akuongoze kijana mpuuzi sana we
Mche Allah
Umma leo ukowapi umma uko mbali na amri za Allah unatakiwa ubembelezwe warudi kwenye amri za Allah kinyume chake ndoo kwanza wana waritadisha
Subuhannallah
Assalaam alaykum warahmatullah wabarakatuh, jamani Masheikh hebu sikizeni haya maneno kuna mama mmoja hajasoma dini utotoni na yy ni mskilizaji2 aliwahi kuwauliza Masheikh wawili suala moja la kidini, majibu yakapinzana huyu mama akaniulza kwa kusema " kwani QUR'AN zipo ngapi?" jamaniii Masheikh tusiouja tupo wengi hata kusoma QUR'AN hatujui sura chache mno tunazozijua, huyu mama ananiumiza maneno yake sababu majibu ya Masheikh wawili. Masheikh mtambue tunaosikiliza wengi hatujasoma mnatuacha dailema, MTUME (SAW) hayupo, nani atatufahamisha Allah na Mtume, jamani salama yetu ss kwa maneno kama ya huyu mama ipo wapi? 😰
Ukitaka tukuelewe waraddi masheikh wezako pia,na kisha uendelee na kuradd akina abuhashim na kasim tujue uko lillahi kielimu
Maashaallah
Wa umbuwe kwa sababu elimu zao ni finyu kisha mazara yao kwa jami ni mengi zaidi Allah awaongoze kwenye ufahamu maana wamekuwa majiona niwajuku wa Rasurull'Allah swallalahu alayhi wa salam mbaya zaidi iyo yakuruka Ayah njoo imeni cost japo wenye kukoseya kwenye kiarabu tunawapa uzra maana sio lugha yao ila Ahsante
Assalamualaikum warahmatullah wabarakatu naam ndugu yangu afwani naomba namba yako mwalimu wangu
How about microphones they use, who made it , Is that hizbiy education!? How about adhaan speakers!? There is a lot of things to learn here🙏Rabb’ih zidna ghilma
Who told you that brother, and who said that and when?, Or it's just your understanding?.
I'm sunni Salafi, software engineer & mathematician, I'm developing a lot of softwares. And I love those scholars of Salafi, listen them, and study from them, no any day they criticized my work or said it's wrong, it's the part of my duniya. So who said that??
You’re muslim you don’t suppose to mention anytime that you are sunni salafi,u group urself differ from others that is not bad but that is where the problem start u always keep a distance btn others, My self i am muslim and am sunni am salafi am everything good in islam and am not grouping myself into something am just following the teachies in all aspects, yan kuanza kujiita sunni , shia , Salafi ect ndio inaleta sana kelele ,Kila kundi linajina bora kuliko jingine hapo ndo tatizo lilipo
Umemsikia lakini anavyoeleza hiyo haiitaji research akhui , Unazaje kumuitwa muislam mwezio hizbiy et kwasababu kaja kuwaelewa watu umuhimu wa kusoma software engineer & mathematics, kama nini ww will u accept it!? And it’s that right!?
Tatizo ni ELIMU, Kila mmoja anaona kama ana elimu kuliko mwenziwe na hakuna anaetaka kuelimika pia, Asalam alaykum 🙏
@@salumbahria7643 Kaka, hukuskiliza hiyo mihadhara, sisi hiyo seminar tuliidiliki na kilichotufanya tuudiliki biidhinillah ilikuwa ni faida za diyni, na sheikh Abuu Haashimu alieleweka vzr munasaba wa maneno yake biidhinillah.
WAMBIE WATU KIPI KILIKUKIMBIZA ZANZIBAR MPAKA SASA NI MKIMBIZI HUKO KENYA...UKHAWARIJI WA KUTUKANA VIONGOZI 😊
Dah alhamdulillah kiukwli raha sna dawa imefikaa hiyoo
😂😂😂😂😂
Mwendo unaoenda nao utakufikisha pabaya. Unakujaga na mada kwa jazbaaa ukishajibiwa unakaa kmyaaaa mada unairuka kama hujasikia vleee. Nukta muhimu zote unaziacha ukiona huna majibu. Umefanya hvo hvo kwa abul abbaas, hanein na abuu fawzaan na wengneo wengi hapo kablaaa. Sasa hii ni dini, ukikusudia kufata haqqi basi wacha mwendo wako huo. Na kama utaendelea hvo basi nakubashiria mwisho mbaya katka daa’wa yako. Utaanguka vby sana nakuahidi basi utaendelea hvo. هدانا الله وإياك
Anatafuta views huyu sio Diyni, au hajui Jarhi na taadil misingi yake.
@@Abuushaymaatz Ahhh Wallah mtihan tuh
acha chuki za kijadida
@@Abuushaymaatz kwahiyo wew unajua ghaib au? unajua yaliyomo moyoni mwake au?
@@mahfoudhcalender2747 hebu naww acha kuropoka. Alosema ya moyoni hapa ni nini. Mtu anahukumiwa kwa dhwaahiri yake. Ww mtu anakuja na hoja na anatoa challenge ajibiwe kisha akishajibiwa anakaa kmy na kuruka madaa na kuja na nyngne. Na bado hadii hii naamini atajibiwa tena na abuu fawzaan na ataruka tena. Kisha anaambiwa kuwa mwendo huo sio sawa na sio dini wala sio misingi wa jarh wat taadil kisha ww unakuja kuropoka ati ujadida. Hebu kaa kmy kama hujui unaropoka ktu gani
wepe mzee baba wape. Wanadhani wao ni kama maswahaba wanasahau kuwa wao ni wao na hawajakamilika pia yaani huyo hata mimi naweza kumsomesha tena vizuri Allah amswamehe.
Ao wengine nimegundua sio masalafi bali nikikundi kimetengenezwa kuja kuaribu akkida ya ahlsunna waljamaa Allah akulipe kher shekh bachu mtoto simba nasoro bachu
Hahaha Yan (kasuku wa Zanzibar) ukishikwa sehemu fulani unarukia sehemu fulani hakika (kitanda ulichokilalia kina chawa wengi) Yan masheikh zetu wana kazi kubwa sio ya kukujibu we. Wapo wanfunzi wao ndo wanakujibu
Masalaf wa kwel hawakuwaga na midomo michafu Kam ww,,sas tumebak kujinad ss n salaf,,,masalaf wa kwel walkuw wakiambiwa maneno mabaya na makfr huwajib kwa kwa maneno mazur
@@alfaroukshabani6445 unamjibu Mohammed Bachu (kasuku wa Zanzibar) au?. Make yy ndo ana mdomo mchafu kwa watu sawa na baba ake na anajiita salafi wa kweli
Hahaha hyo n radd kwa kasuku wa Zanzibar ahsante sana Akhy kwa radd hyo
Ww sio salafii bli unenda walimu wko kupindukia
@@KhalifabinOmar ungeanza kwanza kujifunza kuandika kabla hujaanza kuko-comment mitandaoni
Waoneshe wanafunzi basi waje jibu😂 wakiweza kufuta maneno yalotoka nitakulipa nakupa ahadi.. au kuna njia ya kinahau walopita hapo ? Qiraati fulani wamepitia kukisoma hapo . Nakuahidi fanya kujibu hili nitakutafuta ukitaka.😂 mshahara..
ua-cam.com/video/aFNmdJQSDCo/v-deo.html
Vita ya Sheikh wetu Abdallah Humeid Hafidhwahu Allah, na Masufi, khawariji, hizibiyun, suruliyuun, Shia rafidhwa na magenge mengine inatokea ktk Bayani zake juu ya uovu na upotofu Wao. "Ee Allah mlinde na kumuhifadhi Sheikh Abdallah Humeid, na duat wengine wa daawa hii mubaraka, "Daawatu salafiya ", "
Milango ya JANNAH Ni 8 Hakuna mlango maaluum wa Wanachama cha KISALAFI wala wawanachama Cha TAMADUNI za KISHI-A wala wawanachama Cha KIIBADHI ( SWALI) Enyi Mnao BUNI VYAMA ktk DINI ya ALLAH - Mtaingia Wapi?
Wao wako katika dini ya haqq
Abdalaah Humeid na AbuHashim wapo kwenye Haqq. hizi zingine Allah atulinde na atujaalie mwisho mwema
Nakuchukia Kwa ajili ya Allah
kwa kosa gani unamchukia?
muislam hamchukiii muislam mwenzake, inaonesha wewe umeslimu karibuni.
Kwa fitna zake
@@Abuuabdillah259 المسلم اخو المسلم
@@Abuuabdillah259 tabia za kike izooo, achana nazo, unacifa wa wake wenza kwa wake wenzao.
Endelea tu kujifungia chumbani kwako kuzungumza umebaki kusumbua tu masalafi lakni huna muda na ahlul bidaa wal ahwaa
Allah akupe kila kheri akh mohamed nassor wallahi ume somesha somo zuri sana, na hao mahasidi waki selfie sio salafy allah awaongoze na hizo ndimi zao za chuki na sumu walizo katika akili zao.
Kwani nynyi mashekhe wote si waislamu kwanini musipigiane simu kuelimishana na kutanabaishana kuliko kupigizana kelele mtandaoni,,,hii inasaidia nini kama si kuongeza chuki katika jamii.
Toa makosa ya tawheed.