INASIKITISHA: Mama mlemavu wa Macho kakopa Mil 3 kaambiwa Riba Mil 16

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 бер 2019

КОМЕНТАРІ • 366

  • @user-zf2hx1cq4d
    @user-zf2hx1cq4d Рік тому +2

    Hongera sana mkuu umesoma kwa ajili yakudumisha uzalendo kwenye taifa na si unyonyaji ipo haja kwetu sisi wananchi kumuomba mungu atupe viongozi kamahawa kwenye kila kona ya taifa letu tanzania moja uzalendo daima .

  • @natyvan4071
    @natyvan4071 5 років тому +21

    Mkuu wa mkoa wa kamwene 😘😘 ubalikiwe sana

  • @albertoarcangel5859
    @albertoarcangel5859 5 років тому +34

    Mungu akubariki mkuu WA mkoa, akupe maisha marefu na heri tele dunian,

    • @SSs-tb9yo
      @SSs-tb9yo 5 років тому

      Alberto Arcangel Aamin Inshaallah yaarab

    • @evelyinipaja1202
      @evelyinipaja1202 4 роки тому

      Amen@Alberto Arcangel.

  • @salmaothman153
    @salmaothman153 5 років тому +14

    Ahsante mh. Hapi ww ni kiongozi wa kuigwa

  • @weizsymo6257
    @weizsymo6257 5 років тому +18

    JAMAN wanyonge wanaonewa sana,mm mzazi wangu wakiume kafariki 2016,alijiunga na mfuko wa NSSF mwaka 1995 mama yangu kafuatilia lkn pension yake kazungushwa sana mwezi ulopita kalipwa Tsh.million 3 tu. Mimi nina miaka 3 kazn lkn ninauhakika nimesha vuka million tano kwasasa kwenye mfuko wangu.Mi nnaona hii mifuko ingefutwa tu ama ibaki ni hiari kujiunga😕

    • @chrisdanda4775
      @chrisdanda4775 4 роки тому

      Mim nimefuatilia Nssf mpaka viatu vilichakaa nikaamua kuacha tu nawachukia mpaka basi

    • @bibianchambo3887
      @bibianchambo3887 4 роки тому

      Umenena

  • @erickkangalawe2784
    @erickkangalawe2784 5 років тому +5

    Hongera sana MKUU Wa mkoa wetu, umeonyesha utu Wa hali ya juu.

  • @musajackison5965
    @musajackison5965 5 років тому +21

    Du kweli million 3.5 inaludi kumi 16 life is not fair

  • @damianoadam1041
    @damianoadam1041 5 років тому +3

    Asante Mkuu wa mkoa@Ally Hapi unafanya kazi nzuri.Mungu akubariki.Nashauri serikali ifanye ukaguzi wa hizi taasisi za mikopo.Kwa jinsi hiyo nyaraka ilivyo kuna uwezekano mkubwa hawafuati sheria na hata ulipaji kodi una walakini.

  • @jafarimsaghaa95
    @jafarimsaghaa95 5 років тому +17

    Watanzania tuna tabia ya kutesana sisi kwa sisi Mungu anawaona wale wenye roho za nge na nyoka, ni bora uishi na wanyama wote na nyoka wakali chumba kimoja kuliko haya tunayoyaona.

    • @klystry1234
      @klystry1234 4 роки тому

      Jafari Msaghaa yani sijui tutaacha lini kudidimizana tunajijali wenyewe tu

  • @exaverykalinga1487
    @exaverykalinga1487 5 років тому +107

    Jamani mwalimu huyu anaitwa mwl mgaya kanifundisha tangu dalasa la kwanza 1986 makalala primary,yaani nimelia sn mkuu wa mkoa asante sn kwa kusaidia wanyonge.

  • @silaseteven8708
    @silaseteven8708 5 років тому +11

    inauma sana ningekuwa namamlaka mimi wote wanaonea watu wangeipata nimetokwa namachozi

  • @bernardkibet
    @bernardkibet 4 роки тому +3

    Tanzania, give us this great man to be the president of Kenya!!

  • @mckipofu6021
    @mckipofu6021 5 років тому +16

    Duuu brother hauna siasa mzee, kiongozi bora kwa sasa

    • @manasemgaya1270
      @manasemgaya1270 5 років тому +1

      ee MUNGU tutazame maana wewe mtetezi wetu

    • @mwajumajuma4769
      @mwajumajuma4769 3 роки тому

      😭😭😭😭😭😭mam ameniliza xan

  • @bintiiddy7043
    @bintiiddy7043 5 років тому +11

    Mtihani kwakweli binadam hawana huruma hapo kwenye riba hakuna ubinadam kabsa

  • @abu-hanifamwenda6852
    @abu-hanifamwenda6852 3 роки тому

    Kaka unanishawishi nikukubali katika kazi yako! Ni jasiri, nakuombea mungu akujaalie uiongeze nchi In Shaa Allah.

  • @mshindivictor1690
    @mshindivictor1690 5 років тому +7

    Kaka yangu we ni mfano wa kuigwa .......You are my Role model. One day Yes.

  • @samwelmwachitu9342
    @samwelmwachitu9342 5 років тому +7

    Hongera rc hapi,nilikuwepo kwenye mkutano huo.

  • @mbwanaomary7537
    @mbwanaomary7537 5 років тому +3

    Haya mambo ndio tunayahitaji kwa viongozi watetea watu wa chini, maana wanatupenda sana wakati wa kuomba kura wakishapata watapotea, hongera Mh Raisi kwa kuruletea huyu mkuu wa mkoa maana amekua mkombozi kwa wana iringa

  • @biberpriyer330
    @biberpriyer330 6 місяців тому

    Mbon hujafika mwisho tuone nn kilitokea 😢😢Big up Mwamba hawa ndo viongoz tunaowataka katik TAIFA letu 😘😘😘

  • @ifruitx2096
    @ifruitx2096 5 років тому +2

    Hii ni laana sana bwana mulaaniwe nyote munaehusika kwa hili mpaka inaliza hii mambo kwa nini munamfanzia namna hii mama mtu mzima anaewazaa kabisa huyu mlaaniwe inshallah mungu atawanyoosha 🤲🏾

  • @goldgod9963
    @goldgod9963 5 років тому +6

    Ukiitazama lazimaa utoee machozi daaa Eee Mungu asante kutuleteaa watetezi wa wanyongee

  • @wisperfect3860
    @wisperfect3860 5 років тому +1

    Safi sana upo sawa na makonda wetu uku dar mungu awabariki nawengine wafate nyendo zenu watu tunaonewa sana kwa kuwa tu wanyonge

  • @dicksonsheja9376
    @dicksonsheja9376 5 років тому +18

    Duh mungu akupe maisha marefu mkuu wa mkoa Iringa maana umevumbua madudu ambayo watu tulionewa sana

  • @erickmassawe5107
    @erickmassawe5107 5 років тому +12

    tz tungekua na viongoz 20 kama ww mh Tanzania ingekua mbali xana

  • @scollorpatrick7214
    @scollorpatrick7214 5 років тому +2

    Safi sana mkuu mungu akupe maisha marefu sana jaman

  • @Papa2thaE
    @Papa2thaE 5 років тому +8

    Hiyo ni mwizi. Hiyo baba mkopeshaji kamatwe na hao PSPF wachekiwe.

  • @tonkimaro2495
    @tonkimaro2495 5 років тому +7

    Jah bless u mkuu Wa mkoa..... Kama tupo pamoja gonga like hapo chini

  • @abeidmayanga809
    @abeidmayanga809 5 років тому +16

    Ivi wewe ALI HAPPY unamoyo waainagan kaka I wish viongozi wote wawekama wewee

  • @nelsonombeni5619
    @nelsonombeni5619 5 років тому +11

    mh:Mkuu wa mkoa iringa wewe ni kichwa kweli unafaa, mungu akupe maisha marfu

  • @abuuqaasim4815
    @abuuqaasim4815 5 років тому +2

    hivi wewe unaempa huyu mama milioni 3 na laki 5 halafu akurudishie milioni 16 halafu mama mwenyewe ni mlemavu wa macho duuuu ,Ally Happy mungu akuweke sana kakangu

  • @judithmaziku4525
    @judithmaziku4525 5 років тому +5

    Iv jmn kweli wanyonge tunateseka sana unakopeshamtu milion3 na laki tano unataka million 16 dunian hakuna upendo huon hata aibu moyo wako hukusuti unataka utajirikie kwa mulemavu

  • @stahimilmassawe8540
    @stahimilmassawe8540 5 років тому +1

    Jaman ipitishwe sheria watoa riba waingize kwenye kes za utapeli, hata mungu kakata riba jaman mungu akulinde kakyangu happy unasaidia watu sanaa

  • @amenyekibona8730
    @amenyekibona8730 5 років тому +12

    heri usaidiaye wanyonge maana unajitengenezea akiba ya utu wako,,

  • @africasightwalktravels1875
    @africasightwalktravels1875 Рік тому

    Hii haitawai zeeka... Asante sana mkuu wa mkoa. Yaani tunafikaje hapa

  • @susananyasani6526
    @susananyasani6526 4 місяці тому

    Super Service Waziri huwo ndio mwongozo mzuri kwa Wananchi ubarikiwe

  • @emmanuelmussa8331
    @emmanuelmussa8331 5 років тому +15

    Nataka kujua jamani anaefahamu kwisho wa hii kitu ni nini ? Je mama alipata haki yake? Na huyo binti wa mama baada ya kuleta hizo documents zote zilikuwa zinasomeka wamekopa kiasi gani? Na je huyo Magere alipatikana? Inatia huzuni sana kuona binadamu wamegeuka kuwa na tamaa kiasi cha kudhurumu mpka walemavu tena wasioona! Ee Mungu tusaidie na kizazi hiki tulichonacho.😢😢😢

    • @zuhurasebastian5883
      @zuhurasebastian5883 5 років тому

      Mkopeshaji ana makosa maana yy mwenyewe akuwa na uwakika Wa kulipwa hao wahusika ndiyo washugulikiwe haswa tena wasisikilizwe ata kidogo

  • @aliarkam1413
    @aliarkam1413 5 років тому +6

    Subhanaallah , kwakweli mama anatia huruma kweli ,huo mwiz was mchana kweupe .Inabid tupate mwendelezo wake.

  • @alfredkillo6080
    @alfredkillo6080 5 років тому +2

    hv kwnn wakuu wa mikoa wote wacwe kama huyu mh Ally huyu mkuu wamkoa anafanya msaada mkubwa sana angeweza kukaa tu ofcn kwake akapgwa na kiyoyoz lkn amejiongeza kua ktk jamii yoke kunamaonevu mazto maana haya n maonevu mazto kuwah kutokea hyo n riba ya kias gan ee MUNGU naamin hulal wala hucnzii MUNGU naomba ummulike huyu aliekua anataka kumtapel huyu mama

  • @emmanuelstephens1891
    @emmanuelstephens1891 5 років тому +1

    Yaani japo simfagilii Ali Hapi ila kwa hili.... Ikiwezekana sweka ndani especially hawa mbuzi wa mifuko ya hifadhi ya jamii.... Wanasumbua sana! Nawachukia bure!

  • @ifruitx2096
    @ifruitx2096 5 років тому +14

    Huyu msichana ni mwizi pia hawa ni waizi wafungwe wote mkuu hawa sio wa kuishi kabisa huyu mama ni mlemavu bwana mbona inaliza hii

  • @zaheerqassimalarmiye6172
    @zaheerqassimalarmiye6172 5 років тому +26

    Duh!
    Yani mkopo milioni 3,
    Halafu riba milion 7.
    Hakika huu ni unyama wa hali ya juu mno

    • @banshbansh2329
      @banshbansh2329 5 років тому

      @Change Mindset kabisaa walitaka kumuibia kwasababu haoni

    • @zainabukivale5824
      @zainabukivale5824 5 років тому +1

      Angekuwa mkuu wa mkoa dar angetoa uwamuzi opo opo wauni wote awo watumbuliwe

    • @ismailibrahim1331
      @ismailibrahim1331 5 років тому

      Alf laki tano liba milion tisa mmmm

    • @mossymtwana6422
      @mossymtwana6422 5 років тому

      Mmh Dunia hii na wanaadamu wamekosa kabisa imani na hofu ya Mungu hakuna inavyoelea hawa wastaafu wanadhulumiwa saana na watu wanaoshughulikia pesa zao za mafao wana shirikiana ba huyo magere pesa zao hawawapi ili waende kwa Magere kukopa ili siku zikipita nyingi ndio watoe hizo pesa magere achukue zoote na agawane na watu wa mafao kwa nini huyo magere a deal na watu wa pension na hao wa pension ndio wanachukua hao wastaafu kwa magere lol

  • @asiasalim4634
    @asiasalim4634 4 роки тому

    Nimekupenda byre happy my allah blessing you

  • @lukemelyemwenga2910
    @lukemelyemwenga2910 5 років тому +16

    yaaan kuna watu siku ya mwisho watachomwa kwa makaa ya mawe kwa kwel

  • @esnartmagoti9292
    @esnartmagoti9292 5 років тому

    Uko vizuri sana mh ! Mungu akubariki

  • @charityusia5897
    @charityusia5897 5 років тому +2

    Inauma kwel mwl kanifundisha somo la maarifa ya jamii anafundisha vizur mno pole mwl karinga

  • @ismailyusuph740
    @ismailyusuph740 5 років тому +7

    Nyie Jamaa nae ‘ video muwe mnaweka fulu mkoko ‘ mnatukoroga ndonya Jamaa yangu kuanza kupekenyua muendelezo...!
    VP JAMAA YANGU’ MBONA NUSUNUSU HABARI RIPOTI UTAMU JAMAA..!

  • @yvonsimon4080
    @yvonsimon4080 5 років тому +5

    Oohoo jaman ...dunia haina huruma

  • @witnesimigodela2474
    @witnesimigodela2474 5 років тому +2

    Yani mheshimiwa naona Mungu kakutuma kweli kusaidia wanyongeee, maskini huyu mama thambi sana

  • @kulwajoel2465
    @kulwajoel2465 5 років тому +20

    uyu jamaa ni kiongozi anayefata haki,afanyi kazi kwa masifa

  • @stevemaguly1647
    @stevemaguly1647 4 роки тому

    Riba ya mil3 ni mil 16 dunia imeisha bigup brother Rc mungu akulinde bro

  • @samueljr9105
    @samueljr9105 5 років тому +1

    Huyu dada ni jeuri sana "boss wangu boss wangu nkt" TZ huyu mkuu wa mkoa awafaa kuwa president wenu

  • @everlynekakatoi1704
    @everlynekakatoi1704 4 роки тому

    napenda kazi yako mkuu,mungu akubariki sana

  • @friminamkenda7405
    @friminamkenda7405 4 роки тому

    Mkuu was mkoa wwe mungu akulinde miaka kumi na mitano ijayo unatakiwa uwe rais

  • @rehemamasoud3687
    @rehemamasoud3687 5 років тому

    Mkuu wa mkoa mwenyezi mungu atakulipa kwa mema unayowafanyia wanyonge

  • @othumanyahya9168
    @othumanyahya9168 4 роки тому

    Hongera sana Happy Ally wewe ni kiongozi bora kabisa. Msaidie sana Mwl huyu kwani inatia uchungu sana. Hawa ni matapapeli siyo wazalendo.

  • @allymahamed6942
    @allymahamed6942 5 років тому

    Mheshimiwa unafanya kazi nzuri twatamani ungekuwa ndo mkuu wa mkoa wetu wa songwe!

  • @levinanickson6509
    @levinanickson6509 5 років тому +2

    Jamani hadi nimelia,cyo kwa riba hiyo jamani,kweli nimeamini kuwa nirahisi ngamia kupenya kwenye tundu la sindano ......

  • @KP-kn2no
    @KP-kn2no 4 роки тому +1

    We mwasibu muuzi sana

  • @burtonmhenga9196
    @burtonmhenga9196 5 років тому

    MUNGU akupe maisha malefu kiongozi wangu. Kwani MUNGU anawataka wenye moyo wa kuwajali wengine zaidi.

  • @shamimhassanzimzimahuyokij4521
    @shamimhassanzimzimahuyokij4521 5 років тому +4

    Yani Kenya tukipata viongozi kama hawa 👏👏👏

    • @mdsaid8924
      @mdsaid8924 5 років тому

      Asante kwa kulijua hilo

    • @eldambwaga1599
      @eldambwaga1599 4 роки тому

      Hongera San mkuu wa mkoa iringa mungu ukulinde uwe na maisha maref ili uendelee kuwasaidia wanyong

  • @nyambelewinfrida9074
    @nyambelewinfrida9074 5 років тому +1

    Mwendelezo Ayo unahtajika inauma sana

  • @linkkabzarhamir1503
    @linkkabzarhamir1503 5 років тому +3

    VIONGOZI WATANZANIA WANATUMIA MAGULIFICATION OF LEADERSHIP.

  • @lucasdavid6187
    @lucasdavid6187 5 років тому +5

    Uongozi wa mkuu huyo ni wa uzalendo hasa wengi wetu tunamuomba apewe nafasi ya mbele zaidi katika uongozi

  • @gabrielmalecela3701
    @gabrielmalecela3701 5 років тому

    Tukiacha maisha ya siasa hiii dunia itakuona ally happy# kila lakheri brother mhim kuzingatia sheria ,wananchi wanapata taaabuuu saana aiseeee...... Upinzani sio uadui, tuungane kwa pamoja kukomesha hiz harakat kandamizi.....kama watu hawatasema bas jiwe litapaza sauti,......

  • @giannajoji7944
    @giannajoji7944 5 років тому

    Hizi pesa za riba kwa kweli ni tatizo,sisi huku kwetu unakopa 100000 kwa riba ya 50000 kwa mwezi,sasa km unakuwa huipati hiyo 100000 wanakwambia unarejesha cha juu waweza lipa hicho cha juu hata mwaka na bado manyanyaso kibao! Kwa kweli hii ishu itizamwe kwa jicho la tofauti.Mungu akubariki kiongozi.

  • @shakilamasoud8979
    @shakilamasoud8979 5 років тому

    Wakomeshe baba,,,na Mungu akubariki

  • @burtonmhenga9196
    @burtonmhenga9196 5 років тому

    Safi kiongozi wangu upo vizuri.

  • @mkwipunda2036
    @mkwipunda2036 5 років тому +1

    Mh Hapi piga kazi endelea kufukua hayo makaburi maana hii nimeisikiliza huku mwili unasisimka kwa hasira mambo waliyomfanyia huyu Mama

  • @maxjofrey70
    @maxjofrey70 5 років тому +1

    Napenda viongozi kawa hawa mungu akubariki wewe mkuu wa mkoa

  • @jamesngundateresia2600
    @jamesngundateresia2600 5 років тому +30

    ILA KUNA DHAMBI NYINGINE SIJUI KAMA MUNGU ATAZISAMEHE
    YAANI MNAMDHURUMU HATA KIPOFU JAMANI MMMMMM

    • @klystry1234
      @klystry1234 4 роки тому

      James Ngunda Teresia huyo dada anajibu mpk huruma

  • @fatimamohammed2332
    @fatimamohammed2332 5 років тому +2

    asante sana mkuu wa mkoa asante baba nalia utazan km namjua uyo mama dah shukran sana

  • @khamisothman1154
    @khamisothman1154 5 років тому +2

    KAZI NZURI, NIMEPENDA NAMNA YA MAHOJIANO YALIVYOKWENDA, KILA MMOJA AJIELEZE.

  • @EK-kp2np
    @EK-kp2np 5 років тому +3

    Kaka Hapi, Mungu atakulipa, usisite wala kuogopa na kwani fadhila zako Mungu anakuwekea akiba, utainuliwa juu zaidi ili uwafikie wengi

  • @lugomelugome371
    @lugomelugome371 4 роки тому

    hapy...... bigapu chapa kazi iringa moja iyo.....

  • @bimaisarankamia4153
    @bimaisarankamia4153 5 років тому +3

    Milady mwendekezo wa hii tuwekee

  • @KP-kn2no
    @KP-kn2no 4 роки тому +1

    Yaani hamna hata aibu kweli kumuwekea liba kubwa hivyo

  • @mwanajumaomahundumla6504
    @mwanajumaomahundumla6504 5 років тому +2

    Jamani watu wana zambi kaaa

  • @mrthreesix280
    @mrthreesix280 5 років тому +1

    Pole Sana mama story yako inanitoa machozi kweli

  • @bahatimmependezamwanginda5202
    @bahatimmependezamwanginda5202 5 років тому +2

    Mh Ally Hapi utabaki Kuwa juu

  • @abdallahmchange1370
    @abdallahmchange1370 5 років тому

    Pole mama mungu akufanyie wepesi akupe hitaji lako la moyo

  • @roanmakero2309
    @roanmakero2309 5 років тому +1

    Magufuli hoyeeeeee kweli unajua kuchagua wafanyakazi wakafanye kazi sehemu husika

  • @burbiddy316
    @burbiddy316 5 років тому +1

    Daaa!!! hii Dunia hii ....Ndomana Vitabu vya dini vimekataza maswala ya riba

  • @kassiantanganyika2242
    @kassiantanganyika2242 4 роки тому

    Mpaka machozi yanatutoka kamanda najua we unauchungu n wazazi wetu Kwa hili tenda ipasavyo iwe fundisho Kwa ukatili huu wa kinyama ni makusudi safisha Tanzania yetu

  • @charlesmushi5350
    @charlesmushi5350 5 років тому +6

    Nilikua sikupendi but now Nakupenda kwa moyo wangu woote

  • @mgayajofreyj9788
    @mgayajofreyj9788 5 років тому

    Daaah, inauma sana

  • @festokiraryo.6107
    @festokiraryo.6107 5 років тому

    Mungu akubariki

  • @truthspeaker2062
    @truthspeaker2062 4 роки тому

    Happy to be muslim . Nn kazi ya riba
    Riba inamzidishia tajiri na inamkandamiza ama kumuangusha masikini ..

  • @annaswai6072
    @annaswai6072 4 роки тому

    Tatizo la ayo TV taarifa zenu hazimaliziki hamkamilishi mpo vizuri ila angalieni ktk hilo

  • @alfredkillo6080
    @alfredkillo6080 5 років тому +1

    yaan hakia MUNGU huyo jamaa anaroho mbaya sana taget hapo mama alitakiwa ashndwe kulipa ili wakamfilis jaman hao n wakufunga

  • @ifruitx2096
    @ifruitx2096 5 років тому

    #AyoTv# hebu tuendelezee hii habari tushike waizi hawa na wafungwe hawa bora hata utapeli mtu alie sawa sawa kidole mpaka nywele unatapeli mama mlemavu bwana wallah nasikia moyo wangu umeumia sana

  • @deusmauka9626
    @deusmauka9626 5 років тому +1

    Huyo muhasibu nae mpigaji tu anajua kila kitu kinachoendelea kwa boss wake.

  • @SamweliDaud
    @SamweliDaud 5 років тому +2

    RC Ally Salum Hapi mkombozi kwa wana Iringa

  • @mshindivictor1690
    @mshindivictor1690 5 років тому +3

    Kiomgozi imara, jasiri, wa kweli

  • @rahelmasiga1503
    @rahelmasiga1503 4 роки тому +1

    We RC utaokoa wengi

  • @epifaniamponda2902
    @epifaniamponda2902 5 років тому +1

    Dah nalia tu Maana huyu nikama mama Dah Nawaaaazaaaaa Mimi dah

  • @stevemaguly1647
    @stevemaguly1647 4 роки тому

    Mungu ampeafya tele rais wetu magufuli

  • @motamohele8252
    @motamohele8252 5 років тому +6

    Naomba muendelezo kaka millard.

  • @neemamahusho6193
    @neemamahusho6193 4 роки тому

    mama umejieleza vizuriiii jmn msaidie

  • @oliviaisa1329
    @oliviaisa1329 5 років тому +2

    Where is part two

  • @ahmedathman1624
    @ahmedathman1624 4 роки тому +1

    Huyu magufuli mdogo....