NNA MIAKA 26 SIJAOLEWA MPAKA UMRI HUU |NILIKUWA NAFANYA KAZI ZA NDANI |NAOMBENI MUMSAIDIE BIBI YANGU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 чер 2023
  • SAD MOMENTS Ni Kipindi Kilichoandaliwa Maalumu na MAXIMUM TV Kwaajili Ya kugusa maisha ya watu wenye mazingira Magumu Ndani ya Tanzania
    kwa Mfano
    1 - WENYE MARADHI
    2 = WALIOTELEKEZWA NA WATOTO
    3 - UNYANYAPAAJI WA KIJINSIA
    4 - UBAKAJI
    5 - MATUKIO YA KIKATILI
    6 - AJALI
    7 - KUISHI MAZINGIRA MAGUMU
    8 - WAZEE NA WATOTO
    ___________________________________________________________________________________
    KWA HABARI ZA MATUKIO TUPIGIE
    Mawasiliano : +255 6254 66848 ( Pia inapatikana na Whatsapp )
    Pia Unawezaa kututembelea kwenye kurasa zetu za instagram , Facebook , Telegram
    Usisahau Ku-SUBSCRIBE Channel yetu ya MAXIMUM TV Ili Kuwa wakwanza kutazama Matukio Mbali Mbali na Kwa ubora zaidi.
  • Спорт

КОМЕНТАРІ • 56

  • @khadidjasuleiman8006
    @khadidjasuleiman8006 Рік тому +5

    Mungu atawek wepesi Insh'Allah pole sana dada

  • @Aminamuhamed
    @Aminamuhamed Рік тому +6

    YAA ALLAH NAOMBA mfanyiye bibi nafuu Yaa ALLAH hakika kwako hakishindikani kitu Yaa rabiy 🤲💔😭☝️wewe ndiye tegemezi letu YAA ALLAH.pole sasa dada inshaallah ALLAH akuzidishiye Imani.Hongera pia mtangazaji kwa kazi inshaallah nawe ALLAH akulipe kwa hatua yako kuwasaidiya wenye matatizo🤲🙏

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 Рік тому +3

    Hongera sana rehema huna moyo wa pekee ❣️hakika MUNGU hata kufanyia kheri kwenye kila. Kazi zako

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 2 місяці тому

    Bint ana moyo mzur jaman wanaume mko wap mfanyien nusur ndo azid kumlea bib yake duuh mungu msaidie apate mme mzuri amsaidie

  • @skjjsj1889
    @skjjsj1889 Рік тому +1

    Pole mama kwa kuumwa
    Mungu akufanyie wepesi

  • @faudhiasaidi3669
    @faudhiasaidi3669 Рік тому

    Pole

  • @shakraoman2321
    @shakraoman2321 Рік тому

    Duh pole sana😢

  • @halimamfaume1925
    @halimamfaume1925 Рік тому

    Usijali Rehema kila kitu kitakuwa sawa kwa uwezo wa Mungu

  • @princechriss3654
    @princechriss3654 Рік тому

    Pole sana

  • @mwantumswalehe2300
    @mwantumswalehe2300 Рік тому

    Pole sana dada

  • @aishachambo8663
    @aishachambo8663 Рік тому +1

    Hongera sana dada una moyo mzuri sana

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 Рік тому +2

    Pole sana rehema 😘kazur sana

    • @josephineminanisalma3792
      @josephineminanisalma3792 Рік тому

      Mtafutie mchumba basi nayeye aolewe

    • @faudhiasalum7279
      @faudhiasalum7279 Рік тому

      @@josephineminanisalma3792 wakati wa MUNGU ni wakat sahihi kabisa awe na subira maaana!!! mi mwenyew ndo wale wale 🤣🤣🤣ladb tutafute wewe da short 👌🏽

  • @hamidudigogo5863
    @hamidudigogo5863 Рік тому

    Rehema kuna mume anahitaji mke kama upo tayali

  • @azizasaid5255
    @azizasaid5255 Рік тому

    Yaani amekuja hakiwa na miaka 10 mbona alikuwa mdogo, kazi za ndani alizifanyaje. Maana kasema miaka kumi inapita tangu aje. Mmmm pole.

  • @mmn7480
    @mmn7480 Рік тому +2

    Embu subir na ww wa28 tuolewe

    • @fatmamdihiri4164
      @fatmamdihiri4164 Рік тому +1

      Umeonaee 🤣🤣🤣

    • @mmn7480
      @mmn7480 Рік тому +1

      @@fatmamdihiri4164 😂😂🙌Naona anaaraka wakati ssi wa28 ata odi akuna asubir kwanza

    • @maymunamakungu6265
      @maymunamakungu6265 Рік тому +1

      Kwani yeye kalalamikia kuolewa si kaulizwa tu swali sasa mnataka ajibu kuolewa?

    • @maymunamakungu6265
      @maymunamakungu6265 Рік тому +1

      Mnataka aseme kaolewa na wkt hajaolewa?

    • @OmanOman-vb4uj
      @OmanOman-vb4uj Рік тому +1

      Hahaha😂😂😂nikwel Aiseh atupishe kwanzaa

  • @OmanOman-vb4uj
    @OmanOman-vb4uj Рік тому

    Goita ndo ugonjwaa ganii jamnii

  • @user-po8hz7xw9j
    @user-po8hz7xw9j Рік тому +4

    26 hujaolewa wenzio 30 hatujaolewa😅😅😂😂

    • @faudhiasalum7279
      @faudhiasalum7279 Рік тому

      🤣🤣🤣Na hatuna Habari 😂🤸‍♀️🤸‍♂️🤸‍♂️🤸‍♂️

    • @user-po8hz7xw9j
      @user-po8hz7xw9j Рік тому +1

      @@faudhiasalum7279 sifikilii kabosa

    • @awaahassan936
      @awaahassan936 Рік тому

      Niko na dadangu 37 bado uyu mdogo sana

    • @user-po8hz7xw9j
      @user-po8hz7xw9j Рік тому +1

      @@awaahassan936 hiv sas ahakuan waume waume wanataka kulelewa

    • @siashao169
      @siashao169 Рік тому

      wengine 42 hata hodi hakuna😂😂