MREMBO NURIKHA ALIYETESWA NA MAPENZI |AJIONYESHA SURA |KAPATA MUME KUPITIA MAXIMUM TV

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 кві 2022

КОМЕНТАРІ • 369

  • @Mpakauseme
    @Mpakauseme 2 роки тому +9

    Mwanaume mjanja sana usichulie poa anaweza kukujia kama Padri au kukujia kama mjomba Nape au Steve Nyerere.. Mungu akusimamie sana mdomo wangu kikubwa imani tu

  • @gracelasoi3971
    @gracelasoi3971 2 роки тому +9

    Mashallah kumbe kazuri ivyo mashallah mungu akuongoze na akulinde usiumizwe tena na ujitahid pia kudumu katik ibada na matendo mazur inshallah

  • @queenhuu2852
    @queenhuu2852 2 роки тому +5

    Leo umechangamka Nuria , mashallah umeshapata nguvu , Alhamdulillah km umepata mchumba Nuria nakuombea Awe mume mwema mweny kheri na ww

  • @user-le9lb8oc8d
    @user-le9lb8oc8d 2 роки тому +5

    Mashaallah Nurikha wew kuwa na musimamo wa maisha yako tu utafika mbali inshaaallah

  • @khadijaali4657
    @khadijaali4657 2 роки тому +4

    Mashallah dada mrembo kweli jamani,kua na subra subra huvuta kheri

  • @asiaa6573
    @asiaa6573 2 роки тому +3

    Allah akufanyie wepezi mdogo wangu, huyo ulie mpata akawe faraja kwako akusahaulishe maumivu yote uliyopitia akupende kwa dhati, unatabia nzuri binti mtulivu Masha Allah unajielewa sana, Allah akutangulie kwa kila hatuwa akupe kila zuri

  • @twix1404
    @twix1404 2 роки тому +1

    Ma shaa Allah hongera Sana mdogo wangu

  • @lovenessaron2669
    @lovenessaron2669 2 роки тому +6

    Mashallah Hongereni sn binti unaye jitambua Hakika ww ni mke mwema,Nimekupenda bure Mrembo

  • @rehemaathhmani357
    @rehemaathhmani357 2 роки тому +2

    Mashaallah mashaallah mdogo wangu Allah awalinde na akukinge na Mabaya na akuongoze upate mume sahihi

  • @prettyablaali5175
    @prettyablaali5175 2 роки тому +5

    Wa ngapi mm leo big up maximum kwa vipindi vizuri

  • @ladymuna4945
    @ladymuna4945 2 роки тому +2

    MashaAllah Nurikha ww umefanya vzr sana kutomjibu kwa sababu makosa alioyafanya nikukutamkia huna hadhi kwake yani kuonyesha ww siye class yake. Na labda ungekubali kuonana nae au kumjibu text zake, ungeumia zaidi ya ulivyoumia mara ya kwanza. Hongera sana kwa maamuzi yako na nakupenda bure and remember always to follow your heart.Allah akufanyie wepesi In sha Allah

  • @wardawarda6535
    @wardawarda6535 2 роки тому +4

    Maashallah allah akuwekee wepes huyo mume awe wa kheir inshaallah

    • @sitisalum9547
      @sitisalum9547 2 роки тому

      Maashaallah mwezangu kuumizwa kwely kunafundisha kwely

  • @faridadondo2103
    @faridadondo2103 2 роки тому +1

    Maa shaa Allah kuwa makin mdogo wangu huyo mchumba yupo mbali umemuon Kwa picha hujui tabia zake hujui familia yake kuwa makin simama usiku swali rakaa 2 kumuomba Allah ushaur km anakher na ww Allah atakuonyesh wengin wanaigiza kujifany niw
    Wema lkn ukifik huko ikawa tofaut
    Allah akufanyie wepes

  • @mtumwamalikmtumwamalik1304
    @mtumwamalikmtumwamalik1304 2 роки тому +5

    Unambiwa kamata dini tudani kama unavyomfanyia mwezio na ww utafanyiwa tu m.mungu analipa suniani hongera sana nurha

  • @maryamabdullah9169
    @maryamabdullah9169 2 роки тому +4

    Mashaaallah binti Nurikha Nzruri

  • @devothaignatus5911
    @devothaignatus5911 2 роки тому +2

    Ahsante Zahiri uyu mtoto nimzr sanaaaa,,uyu alikuwa anakuchezea ipo ciku atakukumbuka sana naatajuta sana kukupoteza mtoto mzr kma ww tena mzr mwenye hekima sauti nzr mashaalah

    • @zuhurakhasimu969
      @zuhurakhasimu969 2 роки тому

      Mwanamke tabia siyo uzuri wapo wengi wazur zaidi yake lakini wameachwa sema tabia kama ana tabia nzur itakuwa vzur sana 👏🥰🥰🥰🥰

    • @rehemalukali8326
      @rehemalukali8326 2 роки тому

      @@zuhurakhasimu969 unaweza ukawa na tabia nzuri pia ukaachwa mungu tu atusimamie wanawake 😂😂😂

    • @janethkomba4485
      @janethkomba4485 Рік тому

      @@rehemalukali8326 minaic kikubwa 👉*

  • @ahmedmanhalf3990
    @ahmedmanhalf3990 2 роки тому

    Mashallah tabarakallah... hongera dada in sha Allah harusi ya kheri ila nimeona wanawake wengi humu wanataka mwanamume alo mcha mungu je na wewe ni mcha mungu? Marriage is a 2 way so ili upate mcha mungu kwanza dada zetu tuwe sisi wacha mungu.

  • @rahmaissa8023
    @rahmaissa8023 2 роки тому +4

    Mimi ushauri wangu Kwanzaa tubia kwa mungu alafu amka usiku uswali swalatul hajjah umuombe mungu uyo mwanaume uliyempata Kama kweli ni sahihi kwako usimuamini kwa maneno yake tu

  • @samiramahmud406
    @samiramahmud406 2 роки тому +6

    MashaAllah 🎁❤
    Allah SWT
    Ajaalie Ndoa Usimame
    Na Awe mume mwenye Kheri na wewe
    Na nyumba yenu Allah SWT Aijaze kheri na Baraka
    Na Awajaalie Mpendane
    Daiman
    Hadi Hitma ua Mmoja wenu
    Yaa Rabbi 🤲❤
    Nimekupenda kwa Ajili ya Allah SWT Sana
    Mdogo wangu

  • @mwanaishamande8880
    @mwanaishamande8880 2 роки тому +4

    Kazuri mashaallah pia nakutakia kila la kheri ila ukiingia kwenye ndoa uwe mvumilivu sababu kunawakati nati za upendo hulegea ila zisilegeze pia moyo wako ukomae naumrejeshe kwa upendo nahuruma sio kwakauli

    • @alharasyseif7224
      @alharasyseif7224 2 роки тому

      Hamna kitu hapo huyu bint baado hajapata mtu sahihi na ipo siku atarudi tu hapo kumuelezea huyo jamaa kwa urefu zaid ww ona tu kila analoulizwa kuhusu huyo jamaa hana jibu jamaa hajaingia ndani ya Moyo wa huyo bint mm namwambia akae kwanza atulie atafakari upya

  • @macklinakabyazi3036
    @macklinakabyazi3036 2 роки тому +3

    Mungu hamtupi mja wake, hawezi kukuacha, nakuombea ufanikiwe katika hili.

  • @rehematawalani733
    @rehematawalani733 2 роки тому +5

    Ila hawa wanaume wa mbali kupitia mtandaoni muwaamgalie na wakisha kujua wewe ni mgonjwa wa kupenda haaaaa

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 2 роки тому +3

    Mwanaume wa nje ya nchi si ndo wale wa kutafuta online woi hao ni bure kabisa dada tulia usikimbilie kuolewa🙌🙌

    • @mariamgodfrey53
      @mariamgodfrey53 2 роки тому +1

      We muache kuolewa kupo lakini huyu amezidi anapenda sana kuolewa

  • @jaharaoman6478
    @jaharaoman6478 2 роки тому +2

    Hongera bint Mungu akufanyie wepesi

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 2 роки тому +7

    Usinge jionyesha dada 🙁

  • @salmanassor8732
    @salmanassor8732 2 роки тому +5

    Mashallah nampenda huyu binti

  • @aishaomary230
    @aishaomary230 2 роки тому +2

    Dada uaikurupuke yaan unaweza ukaolewa NA mtu ambae hujafaham lakin ukajutia kwenye hiyo ndoa yako,,mungu akufanyie tu wepes kwakweli,,, nakuonea huruma

  • @zakiaabdula4709
    @zakiaabdula4709 2 роки тому +1

    Mashaallah mdogowangu nimefurahisana leo kukusikia upo na furahatena namuomba mwenyezimungu alujalie mumemwenye kheri na wewe na allahuma ameen yarabi jamia Islam enjoy your new marriage ok shukran love you allweys my dear friend 😘

  • @ziadaomeri6058
    @ziadaomeri6058 2 роки тому +4

    Mashaallah hogera sana mwanagu🙏🙏🙏

  • @suleimanikhamisi65
    @suleimanikhamisi65 2 роки тому +4

    Allah akujalie khet kwa kweli ila dd mapez yanauma kweli ila mungu akupe mume wa kher inshaallah

  • @munirachangawa2928
    @munirachangawa2928 2 роки тому +2

    Haya mummy sisi bado tupotupo.twaangalia maisha na kupiga kazi

  • @mamiyfeiy
    @mamiyfeiy 2 роки тому +3

    Allah atakufanyia wepesi upate mume mumeo Muhimu kuomba msamaha tuu kwa Allah . Hakuna mkamilifu

  • @sidrasidra8616
    @sidrasidra8616 2 роки тому

    Masha Allah alhamdulillah nilichi kipenda kwahuu dada nikwavile kila kitu ana mshirikisha Allah ila nilicho kigunduwa kwake nimepesi wakuamini kama anapendwa kweli kweli!

  • @meselemanikitambi6716
    @meselemanikitambi6716 2 роки тому +4

    Mashaallah binti mrembo

  • @surujajwie4768
    @surujajwie4768 2 роки тому

    inshallah habbty honger wanaume TZ chef afazali abao wako about ute enjoy 👏👏👏👌🔥🔥🔥🔥😀chawaten

  • @mwanaishamande8880
    @mwanaishamande8880 2 роки тому +3

    Umechangamka leo nuryath wangu 🥰🥰

  • @salamanauthar480
    @salamanauthar480 2 роки тому +2

    Mashaallah Hongera sana

  • @malak-lz6kx
    @malak-lz6kx 2 роки тому +8

    Mashaallah uyu mwanamke mzr sjui mwanaume alitokwa na akili akakuacha.

  • @lenniefei6710
    @lenniefei6710 2 роки тому +2

    Kwa hizo BEE nazoooo....kweli ama matashtiti tu....😂😂😂🤣🤣🤣🤣

    • @witnessmusa5454
      @witnessmusa5454 2 роки тому +1

      🤣🤣🤣😂😂😂 tuache mwanamke kujishebedua,😂😂😂😂 haki haka no kajinga Sana wengine tunapambana na mzumbe mchakamchaka wengne wanahangaika na mapenzi, uwiiiiiiih 😂😂😂😂😂😂

  • @FatmaFatmA-qk3zl
    @FatmaFatmA-qk3zl 2 роки тому +3

    Mashallah mashallah mashallah mashallah!

  • @zainabukhadija9138
    @zainabukhadija9138 2 роки тому +1

    Daaah mashallah jomon ongera Sana kipenzi changu ❤️❤️❤️

  • @princessmakwega2444
    @princessmakwega2444 2 роки тому +2

    Jamani nakapenda aka kadada kazur mashallh

  • @hagarbills4023
    @hagarbills4023 2 роки тому +4

    bismillah Mansha'Allah hongera za binti

  • @saidachraf3445
    @saidachraf3445 2 роки тому +4

    Huyu dada napenda sana vile anaogea mungu akupataniche namtu sahihi

  • @munakhamis982
    @munakhamis982 2 роки тому +2

    Mashaallah

  • @jafarikilunga370
    @jafarikilunga370 2 роки тому

    Mashallwah nimefurahi sana kumuona nurha leo anafuraha sana, na pili kawa na msimamo mkubwa

  • @hazrathassan1134
    @hazrathassan1134 2 роки тому +3

    Waalaykum salaam

  • @aminamohd2427
    @aminamohd2427 2 роки тому +1

    Maasha Allah

  • @africano98.
    @africano98. 2 роки тому

    Mashallah bint mungu akusimamie

  • @AmeenaAmeena-un9qk
    @AmeenaAmeena-un9qk 2 роки тому +2

    Mashallah binti

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 2 роки тому +4

    Swali lakaambili ya listikhala umtake. Ushauli Allah atakuonyeshs kama huyo mume kweri mwema lnshallah 🤲

  • @suleimanikhamisi65
    @suleimanikhamisi65 2 роки тому +2

    Mungu atakusimamia ila aliekuwa halijamkuta atasema mengi ila vumilia mungu atakuonesha njia dada

  • @aminahtanjania4868
    @aminahtanjania4868 2 роки тому +3

    Mashallah mungu aleteheri

  • @vanillaakimana9388
    @vanillaakimana9388 2 роки тому +1

    😂Fabe unapenda vipini Manshallah 😍😍

  • @nasrafadhili8941
    @nasrafadhili8941 2 роки тому +1

    Jmn binti mzr mashaallaah

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 2 роки тому +2

    Allah akujaalie awe wema uliempata lnshallah

  • @zuhuraomar8849
    @zuhuraomar8849 2 роки тому +4

    Subra ni mihimu sana

  • @mkasiali6956
    @mkasiali6956 2 роки тому

    Nikekupenda..dadaa

  • @asiaoman3040
    @asiaoman3040 2 роки тому +1

    Wow zahri kumbe unawatu wanzuri wakuoa me dada ako sijaolewa nisaidie na mimi nipate mume jmn

  • @OmanCom-ky8tn
    @OmanCom-ky8tn 2 роки тому +2

    Pamoja maxmamo tv nawapenda xana

  • @ladysasty
    @ladysasty 2 роки тому +2

    Maximum TV😘

  • @maimonamaimona1177
    @maimonamaimona1177 2 роки тому

    mashallah mzuri atari uyomwanaumu kaacha chombokikara ivi

  • @zuhurakhasimu969
    @zuhurakhasimu969 2 роки тому +9

    Fabi ulitusikilza, ushauri wetu wa kuvaa miwan Masha Allah umependeza

    • @souvenirweber7169
      @souvenirweber7169 2 роки тому +1

      Inabidi afiche macho yake maana itadhani anatongoza hao mabint kumbe ni macho yake Mungu aliyomzawadia

    • @gracek5425
      @gracek5425 2 роки тому

      @@souvenirweber7169 kwa kweli pia mm humuangalia sana macho yake amefanya vzr kuvaa miwani

  • @Khalid-jc3im
    @Khalid-jc3im 2 роки тому +1

    Mungu akufanyie wepesi

  • @zeinababdi4757
    @zeinababdi4757 2 роки тому +1

    Manshaallah, nilimuomba Allah abuse subira na stara.

  • @nadhifajuma6485
    @nadhifajuma6485 2 роки тому

    Asanteeeni sana nuriyat alove you ♥️♥️🥰fabi I love you too

  • @user-le9lb8oc8d
    @user-le9lb8oc8d 2 роки тому +4

    Mdogo wangu kuwa makin na hilo mwanaume uko inchi za nje nawe uko Tz uchunguze hilo kabla ya ndoa

  • @user-vj6qs8sv8i
    @user-vj6qs8sv8i 2 роки тому +2

    Nuriha jitahidi ujistiri vizuri kifua chako kifunike vizuri
    La pili Mtume wetu anakuambia tufiche uchumba tudhihirishe ndoa
    Usipende kusema kl kitu chako kwa sababu kila mtu na nia yake mahasidi wengi
    Lkn cha muhimu kupata radhi za waxee na za Allah
    Na jitahidi kusali sala ya istikhaara umshauri Allah kama ana kheri isimame km hana kheri upate mwenye kheri na weye
    Na ujitahidi usiwe peke yenu mpaka siku ya ndoa

  • @sabihaibrahim143
    @sabihaibrahim143 2 роки тому +5

    Uangaliye sana mana inaonekana ushajaa Kwa huyo mwanaume sasa kumjua ni mpaka muonane

    • @husnaally6776
      @husnaally6776 2 роки тому

      Bora asimuone face to face akimuona tu mahali zinaa hyooo ...hvyo hvyo mbali mbali allah ataleta kheri afanye tu taratibu za ndoa za kiukweli .

  • @mauwarashid4823
    @mauwarashid4823 2 роки тому +1

    hongera_dadaangu

  • @zakhiamsuya4922
    @zakhiamsuya4922 2 роки тому +2

    Nmekuelewaa sanaaa dadaaa

  • @jumwakatana1866
    @jumwakatana1866 2 роки тому +3

    Ameen dada

  • @prettyablaali5175
    @prettyablaali5175 2 роки тому +3

    Sauti yk Mashallah

  • @jamilahria330
    @jamilahria330 2 роки тому +3

    Marahii ushamuamini ten mtumwingin mdogowang il in sha Allah awe wakher

  • @essserleem3254
    @essserleem3254 2 роки тому

    Hata wewe bwana mtangazaji macho yako mazuri sana mashahallah

  • @asiakheir8684
    @asiakheir8684 2 роки тому +2

    Nuriha, Allah atajaalia mume mwema

  • @mwajumaissa2358
    @mwajumaissa2358 2 роки тому +2

    🤣🤣🤣Daaaah khatarii saan mapenzi haya nyie jamani naogopa mie Kaaaah Fabian ww naona kwny macho na pua uko vzr kuwatizama watu ss mie cjui km naweza kuongea wala kumuangalia mtangazaji maan ninaaibu mno tena saan kwakweli

  • @shabanmaulana8594
    @shabanmaulana8594 2 роки тому

    Assallamu aleykum warahma tull lahi wabarakatull, Nuriah ? anae jua moyo wako ni ( Allah azzah wadjala ) . Maneno ya wana Adamu ya sikugutushe , simama na Molah wako ikiwa huko unako kutarajia havikua wewe sema al hamdulilahi apangae ni Mungu.

  • @fatumaramadhani1283
    @fatumaramadhani1283 2 роки тому +5

    Mbona unaijua vzr dini ulikubalije kuzini,mungu akusamehe

    • @tausifautini407
      @tausifautini407 2 роки тому +2

      We hujawah kuzin?

    • @aminanyembo6540
      @aminanyembo6540 2 роки тому +1

      Hapo sasa,na ukiangalia hakuna mkamilifu...

    • @user-le9lb8oc8d
      @user-le9lb8oc8d 2 роки тому +1

      Dada we kama uliolewa bila mwanaume kutex mtambo shkuru vijana wengi sk hz bila kutex mtambo bado ndoa kwake ataitilia mashaka

    • @nishaabdula5015
      @nishaabdula5015 2 роки тому +1

      Iyo inatokea Kw akila mtu ww ujawai kuzini

    • @fathmaibrahim1843
      @fathmaibrahim1843 2 роки тому

      Mkamilifu ni Allah pekee jiangalie

  • @binthkhamisi1097
    @binthkhamisi1097 2 роки тому +2

    Nice fc

  • @asiakheir8684
    @asiakheir8684 2 роки тому +2

    Una akili sana mashaa Allah

  • @millhamissa7490
    @millhamissa7490 2 роки тому

    Wanaume wanambinu nyingi mno nibora kuwa makini sana mana kila mwanaume wanambinu yake yakumjia mwanamke tena anaangalia udhaifu wako uko wapi nae anashikilia hapo hapo mi niliwahi pitia kama hayo uliyo yapitia niliumiia zaidi yakuumia namtu ukuwa namaumivu uatamani upate MTU wakukupa faraja ili upunguze maumivu yako sasa inategemea nahuyo anaekuja kukupa faraja nimtu wa aina gani tena akijua unapenda mwanaume mchamungu basi atakua kila wakati ni aya nahadithi zamitume namanabii wote Ila kilicho ndani yake nimtihani Ila kila MTU nafungu lake Allah akutilie wepesi kwahuru yake naakujaalie mume aliye mwema duniani nakesho akhera Amiiin

  • @kimcash3079
    @kimcash3079 2 роки тому

    Mashallah🍎 ❤

  • @adamwilliam8103
    @adamwilliam8103 2 роки тому

    Mashallah Allah awabariki

  • @sadiamassage9589
    @sadiamassage9589 2 роки тому +3

    Je ukiwa mwanaume akiwa mbali na nchi yake je unaweza kuvumilia na je nakuuliza yuwaishi nje ama ni mtanzania lakini yuko njee

  • @hijrafarid1593
    @hijrafarid1593 2 роки тому +3

    Kuwa makini dada asije akawa ni kama huyo alopita wanaume wanacheza na hisia za wanawake ni kama ushauri kwangu
    Anachokwambia huyo fabi ni kitu sahihi kabisa naomba uwe makini sana

  • @sitiabubakar2892
    @sitiabubakar2892 2 роки тому

    Mashallah kumbe hilwa sana

  • @hassinaalharthi5984
    @hassinaalharthi5984 2 роки тому

    Go head mamii utapata mwenye kheri nawewe. Huyu hana kheri nawewe. Mungu atakulipa inshaallah.

  • @shamilahussein5294
    @shamilahussein5294 2 роки тому

    Pole dada

  • @abedsaidy7263
    @abedsaidy7263 2 роки тому

    mashaallah

  • @salmahanai3601
    @salmahanai3601 2 роки тому

    maashaallah

  • @elliceylameck8268
    @elliceylameck8268 2 роки тому

    Nampend San uy dad❤️❤️❤️❤️

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 2 роки тому +3

    Ungejiifadhinvixuri mbonakiguakipowazi ndiyo imefunga hivyo Subuhanallah vaa majumba ndiyo staraya

  • @zawiyatasha5098
    @zawiyatasha5098 2 роки тому

    Mashallah

  • @zakzak6502
    @zakzak6502 2 роки тому +1

    Usisubutu mdogo wangu

  • @elliceylameck8268
    @elliceylameck8268 2 роки тому

    Inshallah mwenyez mung akujalie

  • @zuhurakhasimu969
    @zuhurakhasimu969 2 роки тому +3

    Allah akufanyie wepesi huyo mwanaumme awe mkweli,maana wanaumme wandaganyifu sana,na kingine kwanini unamwita Mme au mchumba wakati huna uhakika kama ana mke au mme usije ukavamia ndoa ya watu kuwa makini Sana mdogo wangu, wanaumme wanakuwa na tamaa sana hapo kuna kitu kakitamani kutoka kwako 💃💃

    • @sifatiiman
      @sifatiiman 2 роки тому +2

      kabisa anaonekana mwepesi kudanganywa kidogo tu kalipuka kama mfalme zumaridi 😂😂😂

    • @glodynkondo9800
      @glodynkondo9800 2 роки тому +1

      amesema amempata 😂😂

    • @user-rd7jt1vi5x
      @user-rd7jt1vi5x 2 роки тому +1

      😂😂😂😂😂 angetulia tu kwa sasa afanye maisha yake baadae ndo aolewe

    • @glodynkondo9800
      @glodynkondo9800 2 роки тому +1

      @@user-rd7jt1vi5x alisema amepata mme

    • @hadijamandanje6189
      @hadijamandanje6189 2 роки тому +1

      Mi namuomba Allah tu huyo Mwanaume awe na Nia njema na Tabia njema asije akamtesa Tena bint wa watu,maana mtu akitoka kwenye maumivu ni rahisi kudanganywa maana anafikiri atapata faraji hivyo hajadiri Sana na kimtafakari aliemjia

  • @saebajoma8419
    @saebajoma8419 2 роки тому +1

    Mmmh mtihani

  • @saidachraf3445
    @saidachraf3445 2 роки тому +2

    Nafrahi sana ukijuwana furaha wallah

  • @halimagoodgoodsimbahalimag2940
    @halimagoodgoodsimbahalimag2940 2 роки тому

    Ngoja leo ni cmnt fabi ukiona hii cmnt nakupenda😋😋😘