MAMA ZABIBU NA MAMA MKWE WATAKA KUZICHAPA USO KWA USO |ZABIBU AGEUKA NYATI MANENO MAZITO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 кві 2022

КОМЕНТАРІ • 1,9 тис.

  • @QwQw-tr7gy
    @QwQw-tr7gy 2 роки тому +103

    Nmependa apo zabibu alivyomkazania uyo mama mkweo Acha kumsuta mama yangu sipend nan kama mama

    • @hadeelahmad7463
      @hadeelahmad7463 2 роки тому +1

      Kweli

    • @radhiasalum7156
      @radhiasalum7156 2 роки тому +2

      Kweli kaona uchungu masikin

    • @zakiakiriani2817
      @zakiakiriani2817 2 роки тому +2

      Zabibu Leo umenifulaisha sana mama ni mama awezi kubadilishwa msimamie mamako

    • @maryamdunga3896
      @maryamdunga3896 2 роки тому +3

      Nigemumwagia maji uwii sitaki masiara namama angu

    • @barakakusa7606
      @barakakusa7606 2 роки тому +2

      Zabibu ni mpole sana Lakini leo uvumilivu umemshinda.

  • @judithmelvinealuchio8968
    @judithmelvinealuchio8968 2 роки тому +41

    mama mukwe wa zabibu pia naye mapepe sana anamudomo wa tharau sana sema hatumujuwi ila mungu ndiye anawajuwa wote mimi mwanadamu tu siwaelewi wote wabadilike tu

    • @alfarsialfarsi2754
      @alfarsialfarsi2754 2 роки тому +3

      Kweli anajifanya anajuwa Sana ili aonekana anaakili

    • @judithmelvinealuchio8968
      @judithmelvinealuchio8968 2 роки тому +1

      @@alfarsialfarsi2754 kweli kabisaa na anasahau ako na binti na siku zote lisemwalo lipo au lipo njiani laja kuwa binti yake anatoka na mababas waheshimiane tu ndio mungu atawapa baraka anaonea sana mama zabibu ningekuwa na njia yoyote ile ningetumia mama zabibu hela yenye alimupelekea hospital tb ni marathi inaumiza kweli

    • @ashazuber6548
      @ashazuber6548 2 роки тому

      Hahahahahaha mdomo siku zote unasaidia ila kuna muda unafeli hahahaha tusubir yajayo

    • @user-rd7jt1vi5x
      @user-rd7jt1vi5x 2 роки тому +2

      yote kayataka mama zabibu mama Alfani alinyamaza na alificha makucha yake lakini choko choko za mama zabibu ndo maana kaamua kuongea hivyo

    • @madinaomar679
      @madinaomar679 2 роки тому

      @@user-rd7jt1vi5x chokochoko za waandishi ,

  • @aishaamwalimu2887
    @aishaamwalimu2887 Рік тому +12

    😭😭😭Mungu mlaze mahari pema peponi Mama Zabibu wetu.

  • @munirachangawa2928
    @munirachangawa2928 2 роки тому +12

    Mama zabibu angalia mbele na nyuma.zabibu alikua hafai kiasi hiki alichokaa kwa mkwe wake amebadilika japo maisha magumu lkn mama mkwe anajitahidi

    • @mammam4701
      @mammam4701 2 роки тому

      Hanaangalia hera uyu mama zabibu

  • @lelaali8001
    @lelaali8001 2 роки тому +137

    Hii kesi sasa tuihukumu kiislamu,kwasababu zabibu ni muislamu na Halfani ni muislamu. huyo mtoto ni wa zabibu si wa halfani kwa sababu hakupatikana ndani ya ndoa .na zabibu si mke halali wa halfani kwa sababu ndoa haijafungwa hapo ni zinaa tu inayofanyika.na sheria ya dini hairuhusu zabibu kuhamia kwa Halfani mpaka wafunge ndoa halali ya kiisilam .mama zabibu yuko sahihi achukue mwanawe na wajukuu zake .mtoto alie zaliwa nje ya ndoa ni mtoto wa mama sio baba.hata wakifunga ndoa huyo mtoto atabaki kua wa zabibu si wa Halfani.

    • @hadeelahmad7463
      @hadeelahmad7463 2 роки тому +7

      Kweli kabisa

    • @sabihaibrahim143
      @sabihaibrahim143 2 роки тому +7

      Bongo ukisema hivo hawakuelewi ila Mimi mwenyewe nilizaa pekeyangu sijawahi kumtafuta mtu mtoto wangu Ana miaka 14 sina habari

    • @mamiyfeiy
      @mamiyfeiy 2 роки тому +9

      Mimi niliwahi kusema watoto wote ni wazabibu

    • @user-vj6qs8sv8i
      @user-vj6qs8sv8i 2 роки тому +2

      Sahih Ukhty
      Angalau heshimianeni alau Ramadhani

    • @user-vj6qs8sv8i
      @user-vj6qs8sv8i 2 роки тому +9

      Zabibu uyo bado hajawa mkweo wala Khalfani hajawa mumeo
      Unatakiwa kumtii mamaako
      Utakuja kujuta
      Hakuna anaekuonea uchungu katika dunia hii kama mamaako

  • @Nimashi1835
    @Nimashi1835 2 роки тому +121

    Subhan Allah sijapenda leo mama zabibu anahaki yamwanae kumwambia harudi ajaolewa sheria yadini hairuhisu akaishi kwabwana

    • @halimaabduli6221
      @halimaabduli6221 2 роки тому +10

      Asha kileo mama zabibu yuko sawa

    • @kawtharalbarwani1337
      @kawtharalbarwani1337 2 роки тому +10

      Nikweli kabisa

    • @nigamo9645
      @nigamo9645 2 роки тому +21

      Na huyo mjukuu huyo mama anang'ang'ania bure lkn mtoto wa mama kwasbb hajaolewa

    • @biubwamohd6089
      @biubwamohd6089 2 роки тому +2

      Sionzuri hiyo kuzilslishana bure hapatena nizambi zahir apautabeba zambi

    • @timibakat7345
      @timibakat7345 2 роки тому +10

      Huyumama anasifa mtoto mdogo ataande mahakamani hapewi

  • @omanatr8729
    @omanatr8729 2 роки тому +6

    Malumbano yoote apo chanzi ZABUBU. Lait angekuwa anamueshimu mama yake na kumsikiliza yasingetokea hayo . Zabibu zabibu zabibu ebu mueshim mama yako ivi unafurahi kuona mama yako anazalilika eti hata kama anamapungufu bado ni mama yako hata kama nimchawi bado nimama yako siku zote mzazi hakosi jaman yaanu naumia sana kwakwer. Mama zabibu pole sana

  • @zabibuhazary6986
    @zabibuhazary6986 2 роки тому +6

    Alhamdulilah namshukuru Allah kumpa mzazi anaejitambua. Mama kama huyu atakuombea Dua gani anaongea mambo ya madango. Pole Zabibu mkwe 0

  • @leilaachmed9271
    @leilaachmed9271 2 роки тому +40

    Mtangazajini mchonganishi anamkomalia mama fani alafu zabibu atalala wapi mbona godoro limeuzwa na mama zabibu mtafuteni mtangazaji mwingine huyu hajui kabisa

    • @ummykulthum1672
      @ummykulthum1672 2 роки тому +1

      Hata me cjapenda anavyomshupalia mama fani wa watu

    • @user-jk5ir4ke3z
      @user-jk5ir4ke3z 2 роки тому +1

      Jaman mbona kuna wagonjwa wanahitaji msaad kwanini hawa jamani

    • @zulfahaji4666
      @zulfahaji4666 2 роки тому +1

      Mtangazaji ondoka unabowa zahir uko wapi?

    • @zulfahaji4666
      @zulfahaji4666 2 роки тому

      Mama zabibu ulikubali kiuwongi

  • @remiomar7154
    @remiomar7154 2 роки тому +4

    SubhanaAllah mbona mama Alfan anabwata hv maneno yasio n heshima mbele ya watoto wadogo ....kiusawa n kisheria zabibu hapaswi kukaa Kwa kina Alfan Kulingana Alfan haja muowa amemposa tuu n upande mwingine kuhusu Mtoto kisheria ya dini mtoto anayezaliwa nje ya ndoa huwa n wa mama .......mamazabibu yuko sahihi kusema mwanawe arudi nyumbani hata kama utalala kwenye kiroba au utakula sima n chumvi lakini unajuwa upo nyumbani

  • @kawtharalbarwani1337
    @kawtharalbarwani1337 9 місяців тому +1

    Masikini mama zabibu Mwenyezi Mungu amlaze pahala pema peponi inshaAllah yani aliwa siomgomvi

  • @bintymohammedy5759
    @bintymohammedy5759 Рік тому +1

    Mungu mkali sana mama zabibu pumzika kwa amani uyo mama anae chezesha ziwa kumsuta mwezie Leo mungu kakuonesha kua yeye mkari kamchukua mama zabibu na mwanao pia pumzikeni

  • @rosemaryfrancis9577
    @rosemaryfrancis9577 2 роки тому +12

    Mama fani anasema kwel jaman zabibu kapendeza kabisa kawa na Nuru jama tuondoe unafk

  • @sharonanyango2057
    @sharonanyango2057 2 роки тому +31

    Hata hivo mamake alfani kamlinda Zabibu na mjukuu vizuri kang,ara jameni Hadi atembei ukweli isemwe mamake Zabibu anajuwa hapati misaada.Basi Zabibu arudi kwao waendele na maisha yao ya Kila siku yakurandaranda na kuchafuka ndo mamake atafurahi bure ni kesi Kila siku.Zabibu chukua vitu vyako rudi kwenyu angalau mamako afurahi fullstop

    • @radhiyarashid1314
      @radhiyarashid1314 2 роки тому +3

      Wivu anaona zabibu akiwa ukweni wanaenjoy kumbe hamna lolote ,, zabibu katulia kwasababu ya malezi ya huyo mama,,mama yake hawawezi wanae anajishaua tu

    • @yasminoluoch169
      @yasminoluoch169 2 роки тому

      Very true

    • @zenabaziga3620
      @zenabaziga3620 2 роки тому +2

      Kwelinkabisa zabibu kapendeza mama zabibu ana wivu sana njo maana hata surayeke haina nuru toka kaka zahiri amsaidie mbona anazidi kuw vilevile mm kivyangu sioni msaada mama alfani anapew zaidi yaile.150000

    • @sharonanyango2057
      @sharonanyango2057 2 роки тому +1

      @@zenabaziga3620 very true 👍

  • @naimamohammad8870
    @naimamohammad8870 Рік тому +2

    Wallah huyu mama angekuwa kwangu ANGEJUTA , ANADHARAU SANA ! ALLAH AMREHEMU MAMA ZABIBU AMIN AMIN ;

  • @wardahzajly3149
    @wardahzajly3149 2 роки тому +7

    mam ni mama hata akiwa chokoraaa ahsante zabibu nimependa sana apo ulipomuonya mkweo safii sana

  • @thumnathumna5946
    @thumnathumna5946 2 роки тому +35

    Mama zabibu na zabibu nahisi wamejiwekeza kwenyw maxmum yan ni watu ambao watachangiwa maisha yao yote..maxmum mnayumba..achaneni na izi family kuna baadhi awachangii awataki kusapot udhinifu. Afadhali ujue unachangia kwa ajili ya wagonjwa nawapo wengi wanakosa huduma sababu hawana pesa..

    • @eppiemodest
      @eppiemodest 2 роки тому +2

      Hajamwoa arudi kwa mama yake.

    • @eppiemodest
      @eppiemodest 2 роки тому +1

      Halfani hafai hana kazi. Wanangojea msaada na Maximum TV Online

    • @eppiemodest
      @eppiemodest 2 роки тому +1

      Duh mwanamke anaongea kama chiriku. Hafai tena mkandamizaji.

    • @eppiemodest
      @eppiemodest 2 роки тому +1

      Utashindwa mama sheria itakubana.
      Huelewi kabisa. Jaribu utafungwa.

    • @heyumi2340
      @heyumi2340 2 роки тому +2

      @@eppiemodest hapa mama zabibu kanafsi knamuuma kwa ajili ya kutaka misaada kupitia mtoto wake ndio maana anataka arudi ili misaada iendelee

  • @zakiaferuz4561
    @zakiaferuz4561 2 роки тому +19

    Subhanna-Allah!Wanawake wenzangu kuweni na kikomo Cha kuongea kumbukeni huu mwezi wa Toba!!Midomo Mali yenu ila mnatia aibu jamani nyie wamama.

  • @dottohamisi9844
    @dottohamisi9844 2 роки тому +4

    Haya yote kayataka mama zabibu kuuza godoro kwa sababu mzazi hauwezi kumlaza chini zabibu Kanenepa mashaallah mama Alufani kamlea vizuli zabibu

    • @magrathmichael7475
      @magrathmichael7475 2 роки тому

      Kweli zabibu amependeza na kuacha bangi mama zabibu aache unafki na rihoo mbaya yawivu.hatukatai jmn nimama yake mazizi Ila mamaalfan kamsaidia Sana zabibu

  • @nabirabakary4209
    @nabirabakary4209 2 роки тому +18

    Kusema ukweli huyu mama Khalfan kamfanya apendeze sana Zabibu kipindi kile kajifungua mbona mamaake alishindwa kumkanda maji hadi akawa amevimba mkwewe sindo alimuweka sawa.mama Zabibu anatafta sabab eti ajafunga ndoa aoni kuwa mtoto wake nahapo kastiriwa kwa tabia alizonazo huyo msaada ndo umemuuma hana lolote mbona mtoto wa kwanza kazalishwa ajafunga ndoa 😔😔😔

    • @waldatwaaa5589
      @waldatwaaa5589 2 роки тому +3

      Kiukweli uyu mama japo anaongea Sana lakini amejua kumpendezesha zabibu mwanzo akua hivyo amependeza Sana zabibu

    • @hadijamshimbula7616
      @hadijamshimbula7616 2 роки тому +4

      Kweli mm niko upande wa mama fan

    • @mammam4701
      @mammam4701 2 роки тому

      Mama alhfan hana moyo tu maskini

    • @janeisrael1003
      @janeisrael1003 2 роки тому +1

      Nashindwa niwe upande gani, zabibu alipojifungua alinyoridoka na kuvimba sura kisa kutokukandwa maji nakutolushwa kama mzazi, mama Khalfan kafanya KAZI Sana zabibu kanawili na kupendeza, ma Halfan amefanya kazi na Zabibu kirabia kabadilika Sana jamani akirudi KWA mamayake atarudi kulekule

    • @busta_malik5971
      @busta_malik5971 2 роки тому

      @@hadijamshimbula7616 subhanallah hata wewe kumbe unasupport zinaa na una jina la kiislam kabisa🥵

  • @aminahadi1966
    @aminahadi1966 2 роки тому +16

    Mama zabibu yuaona mwanawe akirudi nyumbani zahir atachangia tena na yualalamika zabibu alitoka nyumbani kwani zabibu yuanza leo kutoka ashazoea ni tamaa tu hebu maximum acheni na hii family tuone kama bila nyie hawataishi

    • @hanifatanzania7258
      @hanifatanzania7258 2 роки тому +1

      Umeonaee yani umeongea kweli Habity

    • @sadasambuka7814
      @sadasambuka7814 2 роки тому

      Kaka zahir achana na hii familia tunawagonjwa wanatusubir uku

  • @saramuna1173
    @saramuna1173 2 роки тому +34

    Mama mkwe wa Zabibu ni mkweli lakini Mimi nampenda sana.. Mimi binafsi nitatimiza ahadi yangu ya kukusaidia Kwa moyo mmoja kabisa 🙏

    • @maligeltabatholomeo8128
      @maligeltabatholomeo8128 2 роки тому +3

      Kweli kabisa ni mkweli kabisa jamani kah!!! Jinsi anavoongea anajielewa ila wengine sura za upole zinawabeba na ndo maana maakama awataki kuangalia sura wanataka Hoja na mama zabibu anaonekana anaumia mwenzake alivopewa junua za mkaa

    • @sifatiiman
      @sifatiiman 2 роки тому +2

      inshaallah Allah awafanyie wepesi mtimize hilo amiina

    • @hawaissa4705
      @hawaissa4705 2 роки тому +2

      Nami mmoja wao nina ahad ya kumsaidia mama mkwe zabibu

    • @malak-lz6kx
      @malak-lz6kx 2 роки тому +1

      Allah awabarik kwa kusema mtamsaidia awape afya na awaongezee barka

    • @mammam4701
      @mammam4701 2 роки тому +1

      Kwer kabs mama zabibu hinamuuma roho mbaya

  • @Jassmin-media-official
    @Jassmin-media-official 2 роки тому

    Mama mkwe maneno mengiiiii harafu vijembe kama radio 📻 duh kiboko,mama zainabu mpole sanaaaaa hana maneno

  • @salmashuffa3745
    @salmashuffa3745 2 роки тому +5

    Hapo ugomvi ni maximum kumsaidia mama mkwe, mama zabibu aache wivu ajitahidi kujitafutia wasigombane kwa msaada unaotolewa kwa ajili ya zabibu mama zabibu ana roho ya uchoyo kwani maximum niyake yy pekeyake? Aache utu uzima ovyo nyumba kajengewa misaada mingi kapata godoro kaliekeza mtoto atalalia nini ebu aache choyo na maximum sio yake

  • @cathykayinga9327
    @cathykayinga9327 2 роки тому +7

    Mama halfan hana kosa jamani mbona wakat wa kikao na zahir aliridhia ila baada ya kuanza kumpelekea mama Halfan msaada ndio Kaanza gubu.halafu mtangazaji anampendelea mama zabibu

  • @zuuzuundotterz4032
    @zuuzuundotterz4032 2 роки тому +32

    zabibu kanenepaaaa sana🙌

    • @zawadimussa2514
      @zawadimussa2514 2 роки тому +3

      Kweli na Mimi naona kwa mama mkwe wanampikia ila kwa mama yake anakalia maneno na uchafu bila kujishuhhulisha na maisha

    • @ashashafy2424
      @ashashafy2424 2 роки тому +1

      hajanenep bwana ila kanawiri sannna

  • @wardahzajly3149
    @wardahzajly3149 2 роки тому +8

    sijapenda kabisa mwacheni mama zabibu wawatu jamn looooo anahaki na mwanae

    • @sylviah9666
      @sylviah9666 2 роки тому +1

      Mama ni Mama! Sijapenda haya nayoyaona na kuyasikia! Siwezi ruhusu ety mamkwe andhalilishe mamangu jinsi hii! Mzazi ni mzazi hata awe mbaya! Ni mzazi

  • @munaelmimohamed9912
    @munaelmimohamed9912 2 роки тому +7

    Ooh yee mama zabib she's just too nice for her own good God bless her

    • @rukiaosman18
      @rukiaosman18 2 роки тому

      Huyu mama alfani ajifanya muone

    • @munaelmimohamed9912
      @munaelmimohamed9912 2 роки тому

      @@rukiaosman18 you see through how fake and nasty she is and she brain washed zabibu to stay at her house with her thug son I can't her bs

  • @mauasylla5024
    @mauasylla5024 2 роки тому +22

    Kabla ya kurusha hayo mahojiano, jaribuni kuhakiki sababu kuna lugha zinaleta ukakasi masikioni mwetu.

  • @sadanassor6158
    @sadanassor6158 2 роки тому +12

    Zabibu unaona mama mkwe wako anavyo mkashfu mama yako, we mama alfan mtoto huwez kumchukua had afikishe myaka 7 ila zabibu akikubali sawa

  • @estermathias8354
    @estermathias8354 2 роки тому +4

    Mama zabibu mkorofi wivu unamsumbua anaroho mbaya Sana hawez kulingana na mama fani mwenzio mchakalikaj.halafu hata ukimchukua mwanao msaada hutapata pia saiv zamu ya wenzio.zabibu mamamkwe wake anamtunza bana kwanza kapendeza hadhululi tena katulia tena anamtaka wa nn mxuuu

  • @neemazee1864
    @neemazee1864 Рік тому +9

    Nimekuja kulia huku😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭R.. I. P mama fetty

  • @winnieminyalla9430
    @winnieminyalla9430 2 роки тому +24

    😂😂😂 Ama kweli penye riziki hapakosi fitina, Wazazi wa Khalfan lipeni mahari muwe na haki ya kuishi na Zabibu..vinginevyo hamna haki ya kumganda mtu..na ww Zabibu utulie kwenu msikilize mama duniani hapa hakuna anayekupenda kwa dhati zaidi ya mama ni swala la muda tu.

    • @hadeelahmad7463
      @hadeelahmad7463 2 роки тому +3

      Kweli

    • @alfarsialfarsi2754
      @alfarsialfarsi2754 2 роки тому +4

      Kweli hata Mimi sijapenda

    • @heyumi2340
      @heyumi2340 2 роки тому +2

      huyo zabibu c aondeke kwani kuna ulazima gani kuishi hapo

    • @mariammwendakazungu5783
      @mariammwendakazungu5783 2 роки тому +2

      Kwan zabibu katiwa kamba

    • @chani_tayra_official1860
      @chani_tayra_official1860 2 роки тому +1

      Mimi uyu mamamkwee ana nikera ni basi tuu I wish ni send voice una mkazania eti utabeba mtoto ushapatia mtoto wawatu mimba afu Eti utabeba mtoto hhh ingekua mimi uyo mama mkwee angepata shidaa. Zabibu ana mama mpole sanaaa mama yangu apo wangepata shida

  • @salmaathuman9156
    @salmaathuman9156 2 роки тому +16

    Kiufupi kila mtu hapo anataka msaada na huyo bibi anataka mjukuu anajua kabisa atapata msaada kwa hiyo hao wazazi wote wapi kwa ajili ya fursa kupitia zabibu

    • @maikomahanji9411
      @maikomahanji9411 2 роки тому

      M alfani wewe upo vizuri ndoa hailazimishwi m zabibu anaona kama unafaidi saaaana dawa wewe mwache abaki namtoto wake

    • @maikomahanji9411
      @maikomahanji9411 2 роки тому

      We mtangazaji vip unataka kupatanisha au mi sikuelewi

  • @teehassan4731
    @teehassan4731 2 роки тому +6

    Mama zabibu ashukuru hata upande wa mwanamme wanamlea zabibu na mwanae japo kidogo wanacho Pata si Haba Sasa akitaka kurud nyumban yatarudi Yale ya khalfan hatoi huduma.

  • @salmahamis6715
    @salmahamis6715 2 роки тому +18

    Uyo mama fani anaongea kwa uchungu hakumchukua zabibu kwa sababu ya msaada.Zahiri kaka yangu achana na watu Kama hao tafuta watu wenye uhitaji wa msaada 🙏🙏

    • @dottojafet9153
      @dottojafet9153 2 роки тому +1

      Hawa wote chenga tu,Kaka Zahir saidia wenye uhitaji hao tumewachoka Sasa kwanza wanaoneana wivu kwny hiyo misaada,alafu wanamaneno sn.

    • @malak-lz6kx
      @malak-lz6kx 2 роки тому

      @@dottojafet9153 muafrika ni muafrika tu izo ndio desturi zetu hata akisema hawa wako vp na wengine wapo zaid ya hv umeyasahau ya fadina.

  • @semenimohamed8156
    @semenimohamed8156 2 роки тому +29

    Zabibu amenenepa mashaallah

    • @asiaali1124
      @asiaali1124 2 роки тому

      Atakinda tu Kwan uyo zabibu mtt alimpata kwenye ndoa bado mtt ni wazabibu huo ukovi hauishi akikaa apo

  • @rahmaomary8021
    @rahmaomary8021 2 роки тому +39

    Mama zabibu acha wivu mtt mwenyew umemshindwa kumlea godoro lenyew umeuza. Nauyo zabibu kwani nimtt mdogo mpaka alazimiswe siamependa kwenda ukwen mwenyew na kilicho mpeleka kwamume ni bangi tu amna chengine. Mama zabibu ushafel tulia acheni kutiana aibu watu wazima nyinyi msaada aulazimishwi kama watu awatatoa uyo mama fani atawashika nguvu acha ujinga mama zabibu usilete mambo mengi

    • @moketuponake5270
      @moketuponake5270 2 роки тому +6

      Mtoto mwenyewe kamshinda huyo mbona saizi zabibu katulia sana kwa zinaiva na mkwe

    • @carolinelupembe5924
      @carolinelupembe5924 2 роки тому +5

      Kabisa mama zabibu co mlezi kabisa wa kulea watoto huyo wa kiume kamshinda

    • @sharonanyango2057
      @sharonanyango2057 2 роки тому +3

      Ata family planning alishindwa kumpeleka Zabibu jameni mama Zabibu Mimi pia ni mzazi mwenzio ukishaona mwanao amejifungua nyumbani kaa chini na yy umweleze umuhimu wa kupanga uzazi

    • @brianboyd7720
      @brianboyd7720 2 роки тому +3

      Kweliii hyu mama zabibu ana tatizo ngani ni wivu ndo unamsumbua...

    • @omanni7134
      @omanni7134 2 роки тому +1

      Kweli kabisa

  • @azizamvungi6409
    @azizamvungi6409 2 роки тому +2

    jamani wamakonde wana mdomo sana wanafitina sana zabibu rudi nyumbani kwenu hakuna ndowa happ mama zabibu ni mpole sana masikini

  • @fatmasalim8293
    @fatmasalim8293 2 роки тому +4

    Mama zabibu mpeni haki wallahi nawambiya hii family ya kina khalfan si nzuri maskini mama zabibu atia imani

    • @fauziaabdillahi7895
      @fauziaabdillahi7895 2 роки тому

      @@sukariyao6537 hapana hajambadilisha zabibu angebadilisha mwanawe kwanza alfani ngoja mtoto akue ndio utamjua zabibu kama amebadilika

  • @judithmakuto3612
    @judithmakuto3612 2 роки тому +6

    Huyo mama zabibu,Ana tamaa kwamba akimchukua mtoto wake na mjukuu Ndio msaada Utatolewa kwake

    • @uwimanauwimana7692
      @uwimanauwimana7692 2 роки тому

      Umeona

    • @sharonanyango2057
      @sharonanyango2057 2 роки тому

      Yeah kabisa

    • @uwimanauwimana7692
      @uwimanauwimana7692 2 роки тому

      Mama zabibu kashikwa masikio na majirani hana lolote na Ramadhan hiyi kafturu chai huruma ,nandiomana presha imepanda , umepata familia inae mpenda mtoto wao unataka kuleta vurugu wakwa analea mwenyewe

  • @marrymenas
    @marrymenas 2 роки тому +7

    Mama Zabibu mvumilivu sana, huyo mwanamke mwingine anaongea kama gari bovu halafu wala hamjibu. Kama ni mm ningesimama nimzibue vibao vilivyo soma akili imkae sawa.

  • @aminamusa9174
    @aminamusa9174 Рік тому +1

    Pole mama halfani kwa kuondokewa na mwanao ,,,pole zabibu kwa kuondokewa na baba mtoto wako na mama ako mwenyezi mungu akutie nguvu kwenye kipindi hiki kigumu unacho pitia

  • @wardawarda6535
    @wardawarda6535 2 роки тому +1

    Subhanallah mtihan watu wazma kudhalilishana kiasi hichi allah awaongoze ktk njia inompendeza yeye mmalize tofaut zenu...

  • @faidavictoria
    @faidavictoria 2 роки тому +12

    Uyu Mama Zabibu roho ina muuma, kuona watu wana saidiya Mama Mkwe wa Zabibu ndo shida.
    Mbona Kaka Zahir alimpa biashara tu uyu Mama ila ameisha haribu ndo anatafuta paku egemeya. 🙌🙄

  • @irenkweka3613
    @irenkweka3613 2 роки тому +6

    Mama zabibu mbona anaonekana kabadiliak Sana jamani akapime magonjw yote ,maaana kilasiku anasingizia homa iyo homa haiishi🙄🙄

  • @foibebakunda6038
    @foibebakunda6038 2 роки тому

    Angalia maneno ya mama mke wako gisi anawazalilisha mdogo wangu zabibu angalia hayo maneno anayo yatoa una gisi mama ana thalilika mbele ya huo unae muita mama mke ngangu siweze

  • @kdjunique6025
    @kdjunique6025 2 роки тому

    Mama mkwe n mlenz mzur san mama zabibu mwanao umemuarib ww mwenyew mm nashaul km kunamtu anania ya kumsaidia mama Halfan amsaidie mama zabibu anchuk anajua msahad atakos mwenzio nikwel anajitum ww unazuw mara anatk kujengew mara iki huyu mama anamatatizo na zabibu arudi kwao tushachok 🙌🙌🙌

  • @khalossalim3723
    @khalossalim3723 2 роки тому +5

    Ila mama zabibu kama mtt wako anakaa vizuri anaangaliwa muwache tu akae huko kwa mkwewe ni bora kuliko alivyokua anazurura na mabangi

  • @eshaommy484
    @eshaommy484 2 роки тому +23

    Zabibu hana haki ya kisheria y dini kuishi kiumeni posa sio ndoa wamtolee mahari ndo wamchukue halafu huyu mama fani anamtaka mjukuu wake anazijua sheria ya nchi

    • @user-rd7jt1vi5x
      @user-rd7jt1vi5x 2 роки тому +2

      kwani zabibu ni mdogo au kafungwa miguu kuwa hawezi kurudi kwao mama zabibu wote ni wivu huo kaona mama Omary kapewa hela ya mtaji wa mkaa kaona mwenzake kafaidi kweli

    • @rehmabaraka3735
      @rehmabaraka3735 2 роки тому

      Hapa umesema Hyu mama hajui anacho ongea kwani kama si zabibu kumbeba mwezi tisa agemuona huu mtoto huyu mama hafai watu kama hawa ndio tatizo kwa familia zabibu ajikate tu kama hana kazi anitafute nitafutia kazi kwetu kenya ale watoto wake na mama yake juu myu biti ni mdongo sana hawezi huu mzozo watamuletea matatizo na alizaa juzi plz

    • @husnaally6776
      @husnaally6776 2 роки тому +1

      Ni kweli na mama mkwe hajui sheria ana bwabwaja tu eti amchukue mtt wa kwake kwa sheria ipi? Zabibu akae kwao nyie mpeleke uduma tu

    • @user-rd7jt1vi5x
      @user-rd7jt1vi5x 2 роки тому

      @@rehmabaraka3735 ingependeza ukitoa mguu wako kutoka kenya mpka Tanzania kamchukue zabibu na mama yake ukae nao utakuwa umefanya la mbolea sana kama kweli unawezo huo fanya

    • @rehmabaraka3735
      @rehmabaraka3735 2 роки тому

      @@user-rd7jt1vi5x nitakuja juu nahitaji zabibu azinduke kwenye usingizi alio lala

  • @aminamusa9174
    @aminamusa9174 2 роки тому +5

    Mama zabibu aache ujinga uwezo wa kumtunza zabibu na mwanawe hana amuache zabibu akae kwa mzazi mwenzie walee mtoto wao

  • @saniapembe1001
    @saniapembe1001 2 роки тому +2

    We mwandishi mchonganishi sana, unaharibu taaluma, unaangukia upande mmoja.

  • @alfarsialfarsi2754
    @alfarsialfarsi2754 2 роки тому +8

    Zabibu nimekupenda Sana leooo upo upande WA mama yake

  • @maimonamaimona1177
    @maimonamaimona1177 2 роки тому +7

    jaman tusemeukwe wamungu mama arafani kamleavizuri zabibu

  • @gradnessshitindi3694
    @gradnessshitindi3694 2 роки тому +3

    Binafs simuwengi mama mkwe jaman, huyu mama pamoja na umaskini wake lkn anamjari sana Zabibu utafikir katoka tumbon mwake, watulie tu wamuache Zabibu a enjoy na mkwewe♥️

  • @maligeltabatholomeo8128
    @maligeltabatholomeo8128 2 роки тому +18

    Kiufupi zabibu kalizika kukaa kule jamani kwao watu wengi yaani familiya kubwaaaaaa jamani

    • @sharonanyango2057
      @sharonanyango2057 2 роки тому +2

      Hadi wanalala kitanda kimoja na yule ndugu yao mkubwa

    • @Awatee
      @Awatee 2 роки тому +2

      Mtu kwao zabibu hajaolewa mama ake anayo haki

    • @mariamrogha3601
      @mariamrogha3601 2 роки тому

      Afu zaher we ndo unaweza haya huyu mwanamke ulomleta kama anakaa upande mmoja mama alfan mbn hana baya jaman

  • @fatmasalim8293
    @fatmasalim8293 2 роки тому +8

    Huyu mama khalfan mjanja mtizameni sana

    • @maryamdunga3896
      @maryamdunga3896 2 роки тому +2

      Alfu muongo kasahau alisema anamume

    • @malak-lz6kx
      @malak-lz6kx 2 роки тому

      Wote hawa siwo hta uyo mama zabibu nae sie

  • @mariampascol2204
    @mariampascol2204 2 роки тому +1

    Mashallah zabibu kapendeza yote tisa kumi mamazabibu ana wiv na choyo baada akae ajishughulishe ana kazi ya kumkashfu mwenzie kwanza msaada ana taka yeye tu msaada wenyewe ana pewa hamna anachokifanya bas shida tupu

  • @valenakomba9218
    @valenakomba9218 2 роки тому +2

    Huyo mama Zabibu, Anaonekana anauchungu Sana na misaada inayotolewa kwa mwenzie. Halafu mama zabibu ni mvivu.

  • @barakakusa7606
    @barakakusa7606 2 роки тому +3

    We mtangazaji Kwanini usimhoji mama Zabibu umemganda mmoja na unarudia TU maswali yaleyale.

  • @user-po8hz7xw9j
    @user-po8hz7xw9j 2 роки тому +4

    Mqmq zabibu fanya kazi achakuendekeza kuomba kote huku kusingetokea. .... Kuhusu mzazi kutoka toka sio vzr

  • @khadidjasuleiman8006
    @khadidjasuleiman8006 2 роки тому +1

    Subhanallah pole Mama Zabibu Huyo mama mkwe ajishushe me ni maoni yang Zabibu arudi kwao tu subhanallah 😥 Ee dunia mbona Hatuna khofu ya mungu pole kwakwel 😒 mama Zabibu

  • @nsiaelieza9568
    @nsiaelieza9568 2 роки тому +4

    Mama mkwe, mama Zabibu na Zabibu mwenyewe, wote wazuri. Shida hapo ni hali ya maisha tu.

  • @bettyngala8518
    @bettyngala8518 2 роки тому +19

    Mama Zabibu anadharau amesahau alikotoka

    • @aminayusuph2627
      @aminayusuph2627 2 роки тому +1

      yani hapo wamekutana mama Fani ana dharau maneno meng anamzarau mwenzie Na mama Zabibu nae ana roho ya choyo hataki wenzie wasaidiwe

    • @ashamwalabu2998
      @ashamwalabu2998 2 роки тому

      Mma zabibu nimshezi ila asaivi ajtegemee ana umaskini wkuzid ajshuhulishe

  • @linahsemindu4261
    @linahsemindu4261 2 роки тому +9

    Angekuwa Kaka zahir hapo Wala yasingetokea🤣🤣

  • @faridamaamary9857
    @faridamaamary9857 2 роки тому +7

    Astaqfirullahi, Astaqfirirullahi, Astaqfirullahi. Zabibu habibty rudi kwa mama yako kwani pepo iko chini ya wayo wa mama. Na nyie Maximum na mahojiano yenu ni fitna tupu wachani hii tabia.

    • @marryamyusuph1699
      @marryamyusuph1699 2 роки тому

      Yan akamtese mtoto mwisho abanwe na maralia ampoteze kabisa ndo furaha yako. Mana huyo mam zabib kuuza had godoro la msaada

  • @godelivamuswahili2988
    @godelivamuswahili2988 2 роки тому +4

    Mama mkwe wa zabibu ana akili sana dah ukimpata mama mkwe kama uyu hadi raha jamani 💚💚💚💚💙💙💙💙💚🧡🧡🧡🧡💜💜💜💜💜💜💜💚💚💚💚💙💙💙💙🧡🧡🧡🧡

  • @theopistertheonest8238
    @theopistertheonest8238 2 роки тому +6

    Jamani huyu mtangazaji kapooza kweli yani mbanga za uswazi Kama sad moment🤔🤔lkn ugomvi wote huo si wamwache zabibu atulie ukweni hata Kama hajaolewa kisheria huyo mtoto bado mdogo lkn tokea amezaliwa kelele tupu sasa atakuwaje na nidhamu akiwa mkubwa

  • @theopistertheonest8238
    @theopistertheonest8238 2 роки тому +5

    Yes acha wanogeshe tu kipindi chetu ila leo mwandishi kaamua kuwa mtazamaji😂😂hizi family moto

  • @darajalakidatukilomgi2362
    @darajalakidatukilomgi2362 2 роки тому +8

    Mama Hasani tabia ya kwenda kufoka kwenye nyumba za watu mbele ya watoto unamtukana Mama yao sio heshima Wala sio vizuri siku yake utakula kichapo bahati yako umekuta watoto wa Mama Zabibu wapole, kwanza sheria ya Tanzania ukitukana ndani ya nyumba ya watu umekosa sheria na hata wakikupiga haki ya Mwenye nyumba

    • @beatricemalola5055
      @beatricemalola5055 2 роки тому

      Kiubinadamu uyu mama halfan ni MTU mzur sana .we mwadishi umezd kumkaba na maswali mengi.kama misaada wrote wanaitaji huduma.mama zabibu simuelewag kbsa toka alivyokula mtaji mala kuuza godoro hayuko seriousy na maisha.zahiri fannya mambo.

    • @preciousdylan4473
      @preciousdylan4473 2 роки тому

      @@beatricemalola5055 Bora wewe umeliona hilo, huyo mtangazaji kamshupalia Mama wa watu kwann asiongee na kaegemea upande mmoja mxiuuuu

  • @ednambata9503
    @ednambata9503 2 роки тому +1

    Twende mbele turud hy MTT Zabib kapendeza sana tofaut na akiwep kwa mamako

  • @feynation3739
    @feynation3739 2 роки тому +37

    Huyu mama asijitoe fahamu hakuna sheria ya kumchukua mtoto mdogo hivyo na zabibu arud kwao tu mama ni mama yey kama anahamu ya kulea azae 🙌

    • @tatotato506
      @tatotato506 2 роки тому

      Mama zabibu analolote anatakamisaada tuu

    • @heyumi2340
      @heyumi2340 2 роки тому +1

      una wazima huyo zabibu alijitia vidole ndo kapata mimba

    • @user-rd7jt1vi5x
      @user-rd7jt1vi5x 2 роки тому +3

      mama zabibu anataka misaada kupitia mtoto wake amekazana Alfan hana kazi yule mtoto wake wa kiume saidi wana tofauti gani na Alfani si wote wavuta bangi tamaa itampoza mama zabibu

    • @heyumi2340
      @heyumi2340 2 роки тому +1

      @@user-rd7jt1vi5x umeonaee anashindwa na mwanae yule wa kiume kakazana halfani tu

    • @irankundasolange4822
      @irankundasolange4822 2 роки тому +5

      Kama wew ni dada angalia zabibu alivyo pendeza jamani akienda kwa mama yake atakonda kwasababu kule nikugombana tu na mama yake wamuache tu zabibu mwenyewe hataki kurudi kwao wasimlazimishe kwani yeye ndo peke yake anaishi na mumewake kiharamu mbona wapo wengi wakristo na waislamu

  • @user-po8hz7xw9j
    @user-po8hz7xw9j 2 роки тому +4

    Zabibu kapata mkwe sanaaa Ila mqmq zabibu ndio ziro akisema huko. Alikua anakaa kiholela huko alipozalishwa kapewa nini au Huyo mma zabibu ananini

  • @jamilasalim7165
    @jamilasalim7165 Рік тому +2

    Ndio basi mama zabibu hatunaye tena 😭😭

    • @neemazee1864
      @neemazee1864 Рік тому

      😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @eyabdimaha3698
    @eyabdimaha3698 2 роки тому +4

    Yamekua hayo ALLAH awaongoze in sha Allah 🙏

  • @mundhiraly3368
    @mundhiraly3368 Рік тому +3

    Mama Zabibu nakukumbuka sana mama😭😭😭😭😭

  • @mozaummy327
    @mozaummy327 2 роки тому +4

    Nimempenda zabibu hataki atukanwe mamake safi sana

  • @maimonamaimona1177
    @maimonamaimona1177 2 роки тому +1

    mwanzo alifichanguo mamazabibu nasabuni kakomeswa leokalisaki rengine😂😂😂🤣🤣

  • @faridaf3923
    @faridaf3923 2 роки тому +1

    mama zabibu pambana na haliyako, godoro umeuza pambana nahali yako, sio kwamba tunavyo kusaidia kwamba tunazo sana hapana, maisha magumu kwakila mtu,,

  • @nooor1120
    @nooor1120 2 роки тому +12

    Mama khalfani leo nimezungumza utumbo. Hio kuishi bila ndoa ni zinaa na usimtolee siri zake zilizopita na wewe zabibu rudi kwenu

    • @svt3
      @svt3 2 роки тому

      Noor: tatizo Zabibu anaweza rudi kwao na mwanaume mwingine atampa mimba nyingine

    • @luckydubebello1131
      @luckydubebello1131 2 роки тому +1

      @@svt3 hio itakuwa shida yake

  • @lovehandle90
    @lovehandle90 2 роки тому +3

    Hapana Kwa kweli kaka zahiry tunaomba mjitahidi kupatanisha na siyo kugombanisha, kiuhalisia na kisheria zabibu ni Mtoto bado kiumri anatakiwa abaki nyumbani kwao. Na pia hii taarifa mngeiacha Tu inakwaza

  • @salmahamis6715
    @salmahamis6715 2 роки тому +1

    Mama fani anampenda sana mkwewe na huyo mama zabibu Hana msimamo anamganda Zahiri tu

  • @neemaruben5427
    @neemaruben5427 2 роки тому

    Mungu tuskiri aiseee hizo familia km movie mazingira mapaka maneno na mazingira zabibu km anauwa kunguni aiseee atariiiii

  • @doreenkaiza9930
    @doreenkaiza9930 2 роки тому +12

    Mama alufani iyo tabia ya kuongea Kama cheleani siyo nzur na kuwa makini na mwanao wakike

  • @alfarsialfarsi2754
    @alfarsialfarsi2754 2 роки тому +6

    Innalilah mama Alfani wewe una uhaki ya kukaa na mtoto watu

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 2 роки тому +2

    100% Zabibu akirudi kwao ataharibu huyo mtoto mtakuja muone umuhimu wa mama Fani kumngangania mie napita mama Zabibu apunguze chokochoko na wivu🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🤸‍♂️🤸‍♀️🤸‍♂️🤸‍♀️

  • @hawahabibu3881
    @hawahabibu3881 Рік тому +2

    Zabibu,Zabibu,Zabibu, nakuhurumia sana Yana mama ako alipambana sana juu Yako lkn ulikuwa humsikii ona Mama hayupo tena sasa utajua umuhim wa mama😭😭

  • @masanjaabasi8970
    @masanjaabasi8970 2 роки тому +7

    Mama zabibu kwani anamkataba na zahiri 😂😂😂 mbona wivu kwani wao siwalisaidiwa wakachezea adi godoro wakauza mama zabibu umeniacha hoi nahayo mabuzi veeep

    • @ttss7716
      @ttss7716 2 роки тому +2

      Mama zabibu ana roho mbaya😅

    • @mishysuyya9821
      @mishysuyya9821 2 роки тому

      Yaan mama mchoyo sana kajengewa mtaji alipewa magodoro kapewa alafu kauza akiumwa anapiga simu mjinga mama zabibi

    • @mishysuyya9821
      @mishysuyya9821 2 роки тому

      Mjeuri tu

    • @agnesnjama8688
      @agnesnjama8688 2 роки тому

      Mama Zabibu anataka asaidiwe yeye tu

    • @masanjaabasi8970
      @masanjaabasi8970 2 роки тому

      @@ttss7716 na anavosemaga kaka zahiri anachekesha huyu mama zabibu adi vyakusaidiwa anawivu navyo sazingine katoto dogoe😂 au anatudangia huyu?

  • @halimaabduli6221
    @halimaabduli6221 2 роки тому +16

    Mama zabibu yuko.sawa hata mimi ni.mama

    • @Shuu.A
      @Shuu.A 2 роки тому +2

      Kweli kabisa huyu mama khalfani mpuuzi sana yeye angekubali awe na mtt mchanga anyanganywe atapenda zabibu arudi kwako

    • @nishaabdula5015
      @nishaabdula5015 2 роки тому +2

      Mm kila cku na muelewa mama zabibu ila wt wmadjinfwaga kumueewa wanamyukana ila mama zabibu yupo sahihi kbs

    • @agnitabetram7409
      @agnitabetram7409 2 роки тому

      Kabsa Mama zabibu yupo sahihi

    • @kadigatanzaniya4792
      @kadigatanzaniya4792 2 роки тому +1

      Sanaa tena huyu mama fani msafii kuliko mama zabibu mchafu

    • @kadigatanzaniya4792
      @kadigatanzaniya4792 2 роки тому +2

      Mama fani msiamuandame wewe mtangazaji anajielewa sana

  • @adellaaloismulinda7017
    @adellaaloismulinda7017 2 роки тому +4

    Wow huyu mama komesha sasa anataka mtoto ,Africa wanaweza towa mtoto kwa mama bila kufikisha miaka kumi na nane ( 18 ) huyo mama atowe ushamba wake sheria iko

  • @hibaalfarsi7756
    @hibaalfarsi7756 2 роки тому

    subhanaallah hii familiya inamtihani kwa kweli zabibu rudi kwenu ww ni muislam bd hujaolewa katulie kwenu bd mdogo usijitie tafran.

  • @hidayarashidi4332
    @hidayarashidi4332 2 роки тому +44

    Mtoto anayezaliwa nje ya ndoa ni wa mama,

    • @kautharramadhan9395
      @kautharramadhan9395 2 роки тому +1

      Kweli kabisaaaaa

    • @faridahussein4962
      @faridahussein4962 2 роки тому +2

      Hata ingekuwa ndani ya ndoa mtoto wa mama alive zaa ni zabibu hakuna sheria aweza kupawa mtoto sahau we we mama halfani 😹

    • @jamilashabani1092
      @jamilashabani1092 2 роки тому

      @@faridahussein4962 mtoto akiwa ndani ya ndoa ni wa upande wa baba.ila akiwa wa nje ya ndoa ni wa mama.

  • @fathimamct232
    @fathimamct232 2 роки тому +3

    Mwaxheni akae nae alee mjukuu wake akitembea amuachie na yy atashika njiya yake. Sababu mama Zabibu godoro kaliuza nae mama Zabibu ana mtindio kidogo ww umechangiwa godoro vipi unaliuza

    • @mwanaidimvungi9548
      @mwanaidimvungi9548 2 роки тому

      Mtangazaji nimnafiki yukoupande mmoja hawezi amwachie zahir

  • @mariyamabubakar8122
    @mariyamabubakar8122 2 роки тому +7

    Huyu mama alfankumbe hana qauli nzuri,,,zabibu arudi kwaoi

  • @zubedaally7306
    @zubedaally7306 2 роки тому +4

    Mama zabibu ataki kufanya biashala mama zabibu anataka msaada tuu sio kufanya biashala tumemchoka

  • @sumeyyaothman7608
    @sumeyyaothman7608 2 роки тому +15

    Mama Khalfan ni muongeaji sana hana maneno ya busara anaongea sana yani Mama khalfan ni sawa na mwanawe Halima mgomvi

  • @yasminoluoch169
    @yasminoluoch169 2 роки тому +1

    Ila zabibu kapendeza Mashallah...iyo kesi wah na pia ka hujatoka 40 hurusiwi kutoka mm mwenyewe nimezaa last wee siruhusiwi kutoka kabsaa

  • @anethnyaganyi4923
    @anethnyaganyi4923 2 роки тому +32

    Mnamuonea uyo mama Alfan, mbona upendo anao, nakujali pia anajitaid japo hana kitu.. Angalieni laana za wahanga wamatatizo mbali mbali zisiwake juu yenu, maana apo anataman ata ndoa ifungwe tu leo,ata mtoto wake pia. Ni uchumi tuu, ila anajali sana, na hana gubu zisizo na sababu kama mama zabibu. Namuombea sana Mungu ambariki amfanikishe kumpambania mwanae, maana wote bado wadogo ni dhahir kua wanahtaj msaada wa mawazo ,uchumi,nk

    • @brianboyd7720
      @brianboyd7720 2 роки тому +4

      Kweliii mama zabibu ana wivu kwani.kama ni msaada ata si yy pia ashanjengwa nyumba ana uchungu na msaada wa mama alfahn

    • @mariammwendakazungu5783
      @mariammwendakazungu5783 2 роки тому +5

      @@brianboyd7720 ana roho ya kwanini

    • @Farida-uz3vr
      @Farida-uz3vr 2 роки тому +4

      Nikweli mama zabibu asingeweza kumtunza mtoto

    • @MohammedAli-rh5si
      @MohammedAli-rh5si 2 роки тому +1

      Point

    • @MohammedAli-rh5si
      @MohammedAli-rh5si 2 роки тому +9

      Hapa tatizo misaada mama zabibu roho yake ya korosho ndio mana hata kunenepa inshu

  • @hassinaalharthi5984
    @hassinaalharthi5984 2 роки тому +7

    Basi kama mzazi haingikii Mapenzi hata wewe usiingilie mambo ya mtoto wake zabib. Na huwezi kumzibiti kama chipi yako mama unasema saana duuu. Mwachie mtoto wa watu arudi kwao Acha ukavu....

  • @bahatikadzo8896
    @bahatikadzo8896 2 роки тому +7

    Hamna kazi ya kufanya kila siku ya maneno tu