BINTI WA DARASA LA SITA AZALISHWA NA KIBAKA MKABAJI |CHANZO HIKI HAPA UTAUMIA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 бер 2021
  • SAD MOMENTS Ni Kipindi Kilichoandaliwa Maalumu na MAXIMUM TV Kwaajili Ya kugusa maisha ya watu wenye mazingira Magumu Ndani ya Tanzania
    kwa Mfano
    1 - WENYE MARADHI
    2 = WALIOTELEKEZWA NA WATOTO
    3 - UNYANYAPAAJI WA KIJINSIA
    4 - UBAKAJI
    5 - MATUKIO YA KIKATILI
    6 - AJALI
    7 - KUISHI MAZINGIRA MAGUMU
    8 - WAZEE NA WATOTO
    ___________________________________________________________________________________
    KWA HABARI ZA MATUKIO TUPIGIE
    Mawasiliano : +255 6254 66848 ( Pia inapatikana na Whatsapp )
    Pia Unawezaa kututembelea kwenye kurasa zetu za instagram , Facebook , Telegram
    Usisahau Ku-SUBSCRIBE Channel yetu ya MAXIMUM TV Ili Kuwa wakwanza kutazama Matukio Mbali Mbali na Kwa ubora zaidi.
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 661

  • @maximumtvonline
    @maximumtvonline  3 роки тому +20

    JIUNGE NA GROUP LETU LA TELEGRAM KWAAJILI YA TEAM MAXIMUM TV
    t.me/joinchat/WHkxA7pWEkDUDdjM
    GUSA LINK HAPO JUU

  • @shanifesto9037
    @shanifesto9037 3 роки тому +44

    Kuna nyakati za kulia na wakati Wa kuomboleza ,,ila naamini mwenyezi mungu atatenda yaliyo mema na mzuri kwa familia hii na tukiungana pamoja kuwasaidia,,,.

  • @mwanaidjuma804
    @mwanaidjuma804 3 роки тому +17

    Pole mdogo wangu ujaona uo we acha mm mwenyewe yalinipata kama hayo ssa hiv mwanangu jibaba Zima

  • @neuillyjoyce1228
    @neuillyjoyce1228 3 роки тому +7

    Dhuuu ya naumiza aisee ni na miaka 21 ila kwa kuogopa wanaume dhu. Mungu nilindie na mdogo wangu wa mwisho kweli hii kitu imeniuma sana. Acha tuachangie tu kweli

  • @aishahajji9461
    @aishahajji9461 3 роки тому +16

    Allwah tufanyiewepesi na vizazi vyetu🙏🙏🙏

  • @shufaaalbeityshufaaalbeity984
    @shufaaalbeityshufaaalbeity984 3 роки тому +24

    Kaka zahir mimi napenda sana vipi unavosaidia watu hongera sana mungu akubariki kwa Kazi unayoifanya

  • @sabihahamadi2287
    @sabihahamadi2287 3 роки тому +7

    Subuhanallah ewe mungu wetu wahifadhi watoto. Wetu wanusuru na vishawishi na mitihani na huyu mtoto mpe shifaaa amleye mtoto wake vizuri kaka zahiri mungu awalinde nyote timu mzima

  • @nadegehakizimana2146
    @nadegehakizimana2146 3 роки тому +11

    Naumia sana mm wallh
    Allah atulindie wanetu 🇧🇮

  • @zaytunhijja6771
    @zaytunhijja6771 3 роки тому +10

    Ukiwa n mtoto w kike usijifanye unajua sana kuongea maisha yanamambo mengi ukiona mtoto wako yupo vizur omba dua t

  • @sumyad8335
    @sumyad8335 3 роки тому +5

    Mackini nimtoto hadi kujielezi hajui vizuri jamani mungu akubariki kaka zahiri

  • @jaklinifaustini4259
    @jaklinifaustini4259 3 роки тому +20

    Kuna watu wana tabu jaman polen sana MUNGU yupo pamoja nanyi sku zote😢🙏

  • @aishakinia4957
    @aishakinia4957 3 роки тому +21

    Miaka 13/14 lazima utafatwa na wanaume ila ukijiheshimu na Kumcha Allah nothing will happen till u get married to right person... Ila malezi mengine mabaya na ma shoga wengi wengi. Hatariii

    • @kadejahh4036
      @kadejahh4036 3 роки тому

      Swadakt kx aisha kinia upo kote

    • @judithmelvinealuchio8968
      @judithmelvinealuchio8968 3 роки тому +4

      mi mambo za mapenzi nilianza nikiwa naelekea 18 yrs but nilikuwa naumwa sana tangu utotoni sikujuwa nitafikiria umri huu but mdogo wangu ni marehemu alizaa na 13yrs after class 8 mimi kwangu nikuombea huyu mtoto mungu amuonee huruma sana na anyoshe mkono wa kumuelemisha asije akapata marathi jamani 🙏

    • @nooor1120
      @nooor1120 3 роки тому

      Kweli naamini maneno yako

    • @zaytunhijja6771
      @zaytunhijja6771 3 роки тому +1

      Kama umezaa utajua malezi yanaugumu kiasi gani unaweza ukaona mtoto wako anajiheshimu lakin nyuma y pazia ni hatari n nusu

  • @madinaomar679
    @madinaomar679 3 роки тому +5

    Ulez wa mzaz mmoja mtihani, uyo mwengine chakike ata mama yake kumwambia akavae nguo, mmh , mungu akusaidieni

  • @zwinaalhabsi664
    @zwinaalhabsi664 3 роки тому +8

    Mungu atugifadhie vizazi vyetu wazazi tunatakiwa tuwe macho kwa watt wetu kesho kwa allah tutaenda ulizwa tulilea vipi watt wetu

  • @listerlujiso774
    @listerlujiso774 3 роки тому +11

    Jaman Mungu Atusaidie Watoto Wetu Wawe Wasikivu Haswa Hofu Ya Mungu Iwe Ndani Yao Na Mapenzi Ya Mungu Yatimie Juu Yao

  • @jenymtafya3430
    @jenymtafya3430 3 роки тому +7

    Duh! Inauma sana, bado mdogo hajajua hata maisha yako vipi hana habari mwenyewe 😭😭 akija kujitambua ataanza kutamani wakati urudi nyuma. Adolescent ni mbaya aisee

    • @thresherjordan6829
      @thresherjordan6829 3 роки тому +1

      Kabisaaaa jamn hajui ata maisha n nn mwenyew mungu atulindie mabint zet

    • @johaakida743
      @johaakida743 3 роки тому

      Nahisi kuchanganyikiwa mimi kama mama wa mabinti wawili namshukuru allah kwakweli daaa so sad nimeumia sana.Zahir hapo na malezi yamechangia sana jamani mungu nisaidie sana siwezi kama mama kulipokea hili daa bint aonyeshi kuumizwa na hili kabisa.

  • @habibaa9503
    @habibaa9503 3 роки тому +7

    Subhanallah, inasikitisha sana ujana unatusumbua,allah atunusuru kwa kizazi chetu

  • @rehemasimon321
    @rehemasimon321 3 роки тому +2

    Yaan ad nalia eeeeh Mungu Baba tunusuri na haya ya dunia

  • @aishakinia4957
    @aishakinia4957 3 роки тому +23

    Eeeeh jamani hali ngumu ya maisha pia inaelekea matatizo haya... Allah atuongoze pamoja na vizazi vyetu

  • @deboraramadhan8663
    @deboraramadhan8663 3 роки тому +2

    Eee mwenyezimungu naomba unilindie uzao wa kizazi changu kweli nimeumia sana pole mtoto mzury mungu akuongoze upya

  • @hamidaalhabsi8568
    @hamidaalhabsi8568 3 роки тому +6

    Subhanaallah mungu a wasitiri watoto wote yaarabi

  • @user-pu1gf7qj4d
    @user-pu1gf7qj4d 8 місяців тому +1

    Daah pole sana mdogo wangu mungu ata wasaidia daah inauma sana

  • @ruqayaruqaya4283
    @ruqayaruqaya4283 3 роки тому +4

    Pole mwanangu 😢😢ila usha kuwa mama tena kikubwa tuombe uhai mtt wako atakua kwa uwezo wa Allah na ht km mna Maisha magumu lkn mazingira ya humo ndn mnayaweka uchafu ht nyoka aweza kukaa humo

  • @fadhilajuma372
    @fadhilajuma372 3 роки тому +4

    Pole sana

  • @tatuhamis8411
    @tatuhamis8411 3 роки тому +3

    Jamani ! jamani kiama hiki duh mtoto Ana lala kwa mashoga na mama unaridhika....dunia tutaiacha Subhannallah., maisha magumu mnoo na ya hatari sana

  • @rosentikha691
    @rosentikha691 3 роки тому +3

    "EEE MWENYENZI MUNGU TUNUSIRU NA VIZAZI VUETU"Binti usijali kwa mapito hayo mdogo wangu ni njia ya kujifunza maisha ipo siku yote yatabaki stori kikubwa mwamini Mungu na kumtumaini yeye na kufanya ibada sana yeye Mungu atakuonyesha njia sahihi na apo badae uyo mtoto atakuja kukupa thamani kwa jinsi Mungu atakavyo mwinua, mtumaini Mungu pekee achana na hao mashoga watakupoteza zaidi kipenzi

  • @rachelwilly863
    @rachelwilly863 3 роки тому +33

    Mungu Tulindie Watoto Wetu

  • @swaumujuma6333
    @swaumujuma6333 3 роки тому +5

    Mtihani kwakweli mm nnae mtt wa dada angu kaishia la4 sasaivi ana watt2 watt wavigodolo wanamatatizo sana mungu atulindie watt wetu Inshallah 🤲🤲🤲

  • @elizabethbwakila6078
    @elizabethbwakila6078 3 роки тому +13

    Ee mungu wangu! Sipati ujasir wa kuendekea na hii kitu kwa kweli😭😭😭😭

  • @oparetionmaalum9030
    @oparetionmaalum9030 3 роки тому +10

    Subhannallah sikuzote tunaambiwa akiona kwako kunawaka kwamwenzio kushafanya jivu Yani moto ushamaliza kuwaka

  • @sundaydilunga383
    @sundaydilunga383 3 роки тому +3

    Habari za matiti ziacheni,changieni,kama hamuwez saidia Fanyen mengine,dont b wicked kumkosoa hyo cameraman,mtoto anaitaji malezi mnatazama matiti tu,kwenden

    • @zaraally2295
      @zaraally2295 Рік тому

      🤣🤣🤣🤣we kaka jamani umefanya nicheke wakati nimehuzunika.

  • @sas7728
    @sas7728 3 роки тому +21

    Jamani 😭😭😭😭mm mwenyeww ninawatoto wakike siwezi ongea sana ngoja nione mwisho🙄miaka 15uwiiii

  • @arafakiloli749
    @arafakiloli749 2 роки тому

    Subhannahllah poleni sana kwa mazingira na masibu mlonayo..Alhamdulillah kwahivi ninavyoishi.Allah awafanyie wepesi naimani kwakidogo tutakacho kitoa kitasaidia.

  • @aishakinia4957
    @aishakinia4957 3 роки тому +3

    Subhanaallah watoto tulienii jamani hali ya maisha yenyewe magumu... Kisha una lete mimba... Ebu muurumie mama

  • @monalisaally4387
    @monalisaally4387 2 роки тому +1

    Pole bint Allah akutangulie shetani ulie nae akae mbali naww maan ni bora ungeuza hata maandazi kulikoni kuingia kwenye mapenzi jamani

  • @jamilasalimvilog6752
    @jamilasalimvilog6752 3 роки тому +17

    Duh sina la kusema maana mimi mwenyewe ni shawahi lala chini ya mti kwa zaidi ya mwezi mumoja nikiwa na watoto wangu watatu vijana mvua ikinyesha tunajifunika mwavuli lakini kwa sasa nashukuru mngu nipo mahali pa zuri na pesa na pata vizuri 💪

  • @hebronsdaughter1661
    @hebronsdaughter1661 3 роки тому +4

    Pole sana kwa mapito Mungu anaona yote mnayo pitia atafanya njia pasipo n njia

  • @rehemasalim4590
    @rehemasalim4590 3 роки тому +3

    Ya rabb tusamehe waja wako hakika tunakuas usiku na mchana ila msamaha wako nimkubwa kuliko dhambi zetu majanga yamekithir kisa dhambi zetu zinaa imegeuka halali watoto awajulikan watu wazima awajulikan kaz kuziniana tu tumrudie muumba jmn hii hali imezid hakuna mkamilifu ila ukitubu unasamehewa 😭😢😢😢😢😢

  • @musasabu6969
    @musasabu6969 3 роки тому +3

    Mabinti weng wanapenda masela akienda mtu ambae katulia tu hataki mwisho wa siku anapgwa mimba anatelekezwa

  • @upendoabraham2942
    @upendoabraham2942 3 роки тому +7

    Binti mrembo mwenyewe wanaume wahurumieni wabinti wadogo hawajui kukataa hawa jamani!!!

  • @mimsbaibe6mimsgul737
    @mimsbaibe6mimsgul737 3 роки тому +2

    God hv mercy nautulindie watoto Pole dada later utaenjoy mtoto ni baraka thank God ulijifungua salaama.

  • @mwadiabulymoshabani6336
    @mwadiabulymoshabani6336 3 роки тому

    Pole mdogo mtoto wangu, usikate tamaa. Jitie Nguvu na uamue nini unataka kufanya, kama unataka shule , basi eleza Mungu atakupa watu wakukusaidia

  • @abdularuffin9308
    @abdularuffin9308 3 роки тому +3

    Rahir nakuombea Sana kwa Allah azidi kukulinda na kukupa riziki kubwa

  • @emmanuelnjelekela6299
    @emmanuelnjelekela6299 3 роки тому +2

    We dogo mtangazaji hujaona maisha magumu inaonyesha umekulia mboga Saba yaan hayo ni maisha ya kawaida sana huku sebulen wanalala watu 4 we nn bana na mpaka kazaa huyo sio mtoto man na hujamkuta ktk kigodoro anavyotikisa tako moja mzee ya uswaz waachie wenyewe ooohhh

    • @asmahyusuph5615
      @asmahyusuph5615 3 роки тому

      Nenda huko naroho yako mbya km mkaanga sumu

  • @roseconstantine7171
    @roseconstantine7171 3 роки тому +3

    Mungu tulindie watoto wetu peke yetu hatuwezi

  • @nuruelmada9570
    @nuruelmada9570 3 роки тому +6

    Mhhh!!! Asante Mungu kwa Mimi kua house girl, nakushukuru kwa hiv nilivyo

  • @minmdee1521
    @minmdee1521 3 роки тому

    Jamani u are doing such great job...keep it up man...much lov from Kenya....

  • @waukweelinikkon6555
    @waukweelinikkon6555 3 роки тому +6

    Jamaniiii utoto daah,unajikuta unaongea ukweli tuu,na shule ndiyo hataki tena 😭😭,Mungu atulindie watoto wetu,ila mtoto mzuri kweli na afya tele,

  • @aishakinia4957
    @aishakinia4957 3 роки тому +14

    Eeeeh jamani mm pia nilifiliwa na baba nikiwa miaka 11 na mm ndio wakwanza na wadogo wangu wawili lkn namshkuru mola nimeelewa katika maadili mema namshkuru sana mamangu kwa kutulea hadi Leo niko miaka 25... Sijapitia utundu huu wa kulala nje ila tuu nilishirikiana na mama kibiashara kujikimu kimaisha... Alhamdhulilah

  • @zinabal-dubae3551
    @zinabal-dubae3551 3 роки тому +4

    Ya rab Wa usiku watoto wetu ktk jamii lazima mafunzo yapatikane tuma kwa Mama au mtu awekwe awafundishe watoto ili wasihadaike

  • @carolmwangi6223
    @carolmwangi6223 3 роки тому +95

    Kaka zahir mkiwa record wamama wanao nyonyesha jaribuni kufunikia matiti isionekane na Camera tu tafathali. Na sina ubaya ila titi la mama ni uchi wa mwana mke jamani. 🤔🤔🥱🥱

    • @maximumtvonline
      @maximumtvonline  3 роки тому +48

      Huku kwetu Tanzania mama mzazi afuchi titi ndo ilivo ananyonyesha popote na Hakuna wa kushangaaa

    • @salehfakih4848
      @salehfakih4848 3 роки тому +14

      @@maximumtvonline nikweli ila uwaambie video zinaonekana sehemu nyingi kwaio wajifunike

    • @salehfakih4848
      @salehfakih4848 3 роки тому +19

      Halafu kwasie waislam hata wewe ukiangalia ni makosa waombe zahir wajistiri

    • @nameno8608
      @nameno8608 3 роки тому +10

      Elimu bado haitoshi jamani tujiendeleze masomo ni muhimu

    • @Awatee
      @Awatee 3 роки тому +1

      @@nameno8608 Naam

  • @shamzone388
    @shamzone388 3 роки тому +6

    Maskin namhurumia sana huyu mtoto na mwanae...
    na bibi nae namuhurumia sana maskin shida na dhiki waliyopitia
    Jaman usiombe afariki mume halafu huna hata nyumba yakuishi...
    Nimeyapitia kulea watoto wangu pekee yangu yanenikuta ya kunikuta maisha magumu sana...wala simuombei mwenzangu yamkute yalio nikuta mimi..

  • @is-hakatamaly9988
    @is-hakatamaly9988 3 роки тому +6

    Umaskini wanao ila wawe wanapanga vitu vyao kwa mpangilio. Umaridadi huficha umasikini

    • @anzikisweta771
      @anzikisweta771 3 роки тому

      Mtangazaji nae eti anacheza anajibinua

  • @athumaniwazirisengoli4321
    @athumaniwazirisengoli4321 3 роки тому +1

    Aaaaah we kwa maelezo hayo huyo mtoto kamtaka mwenyewe kwa umalaya wake na kutosikia ya wakubwa kweli wanamaisha magumu lakini angetulia tu nyumbani jamani na hali yenyewe hiyo duh subhannallah namba za hapo jamani tuisaidie familia hii

  • @mathiasmwakalinga9116
    @mathiasmwakalinga9116 3 роки тому +2

    all in all usikate tamaa kwan cio mwisho wa maisha

  • @mahramarswad6041
    @mahramarswad6041 3 роки тому +5

    Jamani huyu tutamapataje namba zao kutaka kuwassidia kwa chochote maskin from 🇬🇧 uk

  • @hawahassan835
    @hawahassan835 3 роки тому +6

    Zahir kama inawezekana naomba nimuadopt mtt jamani nimsaidie uyu binti

  • @gloriamwanjali9371
    @gloriamwanjali9371 3 роки тому +5

    Dah, binti mzuri

  • @AbdulAbdul-pr9qe
    @AbdulAbdul-pr9qe 3 роки тому +5

    malezi ya uswazi ni shida, ukijumlisha na umasikini wetu basi watoto wa kike wanaingia sana kwenye vishawishi vya kugongwa

  • @sharifaabdulrahman7660
    @sharifaabdulrahman7660 3 роки тому +2

    Zahir samahani kama nitakoseya nihivi kazi unayoifanya ni nzuri sana Allah atakulipa kwa kweli lakini naomba jitahidi sana tena sana kina mama wanao nyonyesha waambiye wajitahid kujifunika kifuani hio picha inatembeya ulimwengu mzima jitahid sana samahani sana lakini

    • @maximumtvonline
      @maximumtvonline  3 роки тому +1

      Tupo Kwenye kipindi akatoa ziwa mwenyewe umeona sa tungefanyaje

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 3 роки тому

      @@maximumtvonline 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 nikweli kaka angu, Hiyo niasili ya kiafrica hata watu wawepo elf 90 unanyonyesha tu.

  • @fsaad5116
    @fsaad5116 3 роки тому +3

    Inna lilah waina elehi rajioon Allah atustiri jamani ajistiri wazi Allah amtulize

  • @gaudensiajohn7047
    @gaudensiajohn7047 3 роки тому +7

    Mmmh yeye anasema ukweli Ni mtoto mzuri maisha tu ndio yamechangia pia .Kaka zahiri nimecheka Kama mazuri et kwanini hamfanyangi usafi jaman

  • @marymanoni5536
    @marymanoni5536 3 роки тому +1

    Mtt wake mzuri anaafya nzuri

  • @fatmasalim8293
    @fatmasalim8293 3 роки тому +3

    Mbona maswali mengi brother wasaidie ndugu yangu roho yaniuma wallahi 😭😭😭😭

  • @razikimustapha4731
    @razikimustapha4731 3 роки тому +4

    SUBHANA ALLAH MTIKHAANI NAO HUU

  • @fanjafanja4022
    @fanjafanja4022 3 роки тому +5

    Duuuuuuuuuuuuuuuuu sijui nisem nn ila mung ndio mjuaj wa kila kitu lakin maisha ya sis tusio sikia ndio ndio tunapat shid san yalionikuta aya

  • @emmanuelmotto9650
    @emmanuelmotto9650 3 роки тому +1

    dah mtihani, nikupe pole na ni shida hasa familia hizi za kimasikini inauma sana tu!!!

  • @HassanHassan-ru1zw
    @HassanHassan-ru1zw 3 роки тому +6

    Hao mashoga zake ndowamemponza asie sikia lamkuu huvunjika nguu mtoto mdogo mambo makubwa tuwalinde watoto wetu wasiwe na marafiki wa mtaani maana kila mtoto anatabia yake

  • @nasraabdallah850
    @nasraabdallah850 3 роки тому +1

    Kabint kadogo sn tena sn maskin alafu kazur mashaallah dah imeniuma sn😢😢😢

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 3 роки тому +4

    😂😂😂Mashoga zangu 👌🏽👌🏽👌🏽kama mazuri ila jamani loooh 😢

  • @pendomichael6579
    @pendomichael6579 3 роки тому +3

    Mungu tulindie watoto wetu jamani ,nyie wanaume kuweni na huruma na wazazi .

  • @binthkhamisi1097
    @binthkhamisi1097 3 роки тому +2

    Pole sana dadang hila epuk marafik wengi

  • @jacobkijida4290
    @jacobkijida4290 3 роки тому +1

    Sema ukweli kudanganywa kupo kwa watoto wa kike, na siyo tuseme kwamba uyu msichana ni mhuni ciyo hivo hivo ni kusema mungu linda kizaz changu na mabinti zangu..

  • @hanjirahaji5043
    @hanjirahaji5043 Рік тому

    Polesn dah

  • @josephkomba64
    @josephkomba64 3 роки тому +3

    Bado bint mdogo masikini jamani namuhurumia xanaaaaaaa.....ila amejifunza kitu huyo bint vizazi vyake ataviongoza vzr tu

  • @aishaarusha894
    @aishaarusha894 3 роки тому +7

    Sina cha kuelezea kikubwa tumshukuru allah karim🙏

  • @salmahibrahimsalmahibrahim5427
    @salmahibrahimsalmahibrahim5427 3 роки тому +1

    Ata mm nilizaa nikiwa na miaka iyo unanikumbusha mbali mdogo wangu pole

  • @lovenessstanley951
    @lovenessstanley951 3 роки тому +1

    Mungu tulinde maana hatujui kesho yetu

  • @Ryoof-qo7if
    @Ryoof-qo7if 3 роки тому +1

    Pole sana 😥

    • @happysanga3909
      @happysanga3909 3 роки тому +1

      Da uminiumiza mdogo angu nimekumbuka mbali yalinikuta nilijuta mm

  • @lailaselmin9590
    @lailaselmin9590 3 роки тому +19

    Eheee mwenyez MUNGU naomba uwanusulu watoto wetu jamani

  • @dashcombokinondoni1992
    @dashcombokinondoni1992 3 роки тому +2

    Mjomba wanzania 100% ni tunashida balaa tutaona mengi Sana

  • @tamaraseff.9707
    @tamaraseff.9707 3 роки тому +4

    Daaaah.

  • @revinalucas6141
    @revinalucas6141 3 роки тому +1

    Duh! Pole sana jamani

  • @salmasalma8203
    @salmasalma8203 3 роки тому

    Pole sn

  • @jasminjuma6390
    @jasminjuma6390 3 роки тому +1

    Subhanallah

  • @yunusrnb5227
    @yunusrnb5227 3 роки тому +5

    Kilakala yombo ABC mikoroshini ni sehemu zenye changamoto sana..hali ya maisha inachangia watoto kujiingiza kufanya mambo yasiofaa

  • @salhamrisho8138
    @salhamrisho8138 3 роки тому

    Mzuri jamani pole

  • @latifaabdy5878
    @latifaabdy5878 3 роки тому +2

    Subhanallah 😥

  • @theceefamily7764
    @theceefamily7764 3 роки тому +1

    Huyu masichana amedanganya kwani hajabadilisha myenendo yake kabisa,hata hakai kujutia,Kwa hio Zahir ukirudi pale karibu kumtolea sura ya kazi ndio ajue maisha magumu kiukweli,cz hata stori ya mamake nitofauti.Tena mchango ulikua wakutosha warudishie tu nyumba yao ya rooms 3 cz ya Kaka yao kwa sababu ndie anawasimamia kwa chakula plz an plz👏💪🌞🙏🇰🇪@Kenya.

  • @aminawiliamu2440
    @aminawiliamu2440 3 роки тому +12

    Ewe allah tunaomba unusuru vizaz vyetu😢😢😢

    • @jokharymasoud7396
      @jokharymasoud7396 3 роки тому

      Amin 🙏

    • @khatibuhijja459
      @khatibuhijja459 3 роки тому +1

      @@jokharymasoud7396 tupunguze na kutenda dhambi, adhabu ikija haichagui, tajiri na pesa zake utaambiwa anasukari na presha asile vitu vya chumvi na sukari na mafuta, na maskini nae anazidishiwa umaskini, sasa wakati tunamuomba Mungu anusuru vizazi tupunguze kumkosea Mungu, kwenye umma huu sasaiv hakuna dhambi isotendwa, dhambi nyengine ummati zilizopita M Mungu alikuwa anawaangamiza hapohapo, tumrudie Allah ili tunusuriwe.

    • @mariamsuma3003
      @mariamsuma3003 3 роки тому

      Ameen

    • @aminawiliamu2440
      @aminawiliamu2440 3 роки тому

      @@khatibuhijja459 amiin inshaallah

  • @sitiabubakar2892
    @sitiabubakar2892 3 роки тому +1

    Mdogo sana 15yrs hata hajielewi kwa kweli akili haijakomaa, lakini 15yrs kenya angekua form 2 amecheleweshwa shule Pia atleast angewai shuleni elimu ingemshanua kiasi

  • @safiyatheonlything7848
    @safiyatheonlything7848 3 роки тому +4

    Mmmh maisha haya unajiona ww umetokea katika maisha magumu lakini kuna kuzidiana kwakweli pia Mungu atulindie mabint zetu arafu uko yombo kilakala siyo tandika

  • @hamadsuleiman5177
    @hamadsuleiman5177 3 роки тому +1

    Ukweli huyu binti anaongea kawaida sana Ila mtangazaji anaonekana kua na huruma sana, hemu tudirect location yake hiyo familia tuweze kufika na kuwaona...pia Mtangazaji ahsante kwa habari kwani huu ndo uandishi wa habari na sio wale wanatupostia uhuni...tnx brother

    • @faysamziwanda6877
      @faysamziwanda6877 3 роки тому +1

      Temeke nipo nao jirani 😭😭😭

    • @zaraally2295
      @zaraally2295 Рік тому

      Huyu binti ni mdogo sana hapo haelewi kitu bado hajajua chochote hajui hata maana ya maisha.

  • @happynesskibona2679
    @happynesskibona2679 3 роки тому +2

    Daaa kwa hata malezi bado hajuwi mtoto mdogo anampa maji na kikombe kikubwa jamani Mungu amsaidie tuu na pia siye watoto wa kike tunajisahau sana kwa wazazi wetu wakituambia tunakuwa wajeuri sana ona Sasa Leo amempa Mama yake wakati mgumu

    • @hamadsuleiman5177
      @hamadsuleiman5177 3 роки тому

      Usiseme hivo cs mtoto anabaki kua mtoto na akili zao tunazijua, wote sisi ni wazazi tunazaaa au tutazaaa

  • @husseinbakary1969
    @husseinbakary1969 3 роки тому +2

    Daah inatia huruma sana mi ningechukua jukumu la kumuoa huyo bint walau akae atulie lkn umri wake bado mdogo serikali hairuhusu

    • @dionestermwinuka7520
      @dionestermwinuka7520 3 роки тому

      Weee!! Muoe tu serikali itafanyahe wakati amesha zaa

    • @hamadsuleiman5177
      @hamadsuleiman5177 3 роки тому +1

      We nenda kaoe serekali inadeal na walioko shule...ila ukimuoa umuhamishe hapo...utakua umesaidia na Mungu atakulipa kwa kweli

  • @salmajuma1819
    @salmajuma1819 3 роки тому +1

    Mtihani

  • @sabrafaki8432
    @sabrafaki8432 3 роки тому

    Polen sana Allah akufanyie wepes

  • @leylahbillah4876
    @leylahbillah4876 3 роки тому +2

    Ahahaha nimecheka hatar etii kuna mwengine kajitokeza kutaka mtoto jmn wasichana sisi mtihan mungu wangu tunusuru tuu

  • @khadijagundumu6210
    @khadijagundumu6210 3 роки тому +5

    Jaman mashoga hawa 😂😂😂😂 nomaaaa snaaaa alafu anacheka tuu

    • @suzansimon5296
      @suzansimon5296 3 роки тому

      Bdo kadg maskin hakajitambui msikalaumu

  • @fahadfahadmaabadmzee7437
    @fahadfahadmaabadmzee7437 3 роки тому +2

    Dah! Nishida Hatari Na Nusu Pole Kwa Matatizo Zabibu😥😪😓