MUME WANGU AMEKUJA KUNIUA |ALINIWEKEA SUMU NIFE NA WANANGU |MKE MDOGO ANATAMANI NIFE HATA LEO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 тра 2023
  • SAD MOMENTS Ni Kipindi Kilichoandaliwa Maalumu na MAXIMUM TV Kwaajili Ya kugusa maisha ya watu wenye mazingira Magumu Ndani ya Tanzania
    kwa Mfano
    1 - WENYE MARADHI
    2 = WALIOTELEKEZWA NA WATOTO
    3 - UNYANYAPAAJI WA KIJINSIA
    4 - UBAKAJI
    5 - MATUKIO YA KIKATILI
    6 - AJALI
    7 - KUISHI MAZINGIRA MAGUMU
    8 - WAZEE NA WATOTO
    ___________________________________________________________________________________
    KWA HABARI ZA MATUKIO TUPIGIE
    Mawasiliano : +255 6254 66848 ( Pia inapatikana na Whatsapp )
    Pia Unawezaa kututembelea kwenye kurasa zetu za instagram , Facebook , Telegram
    Usisahau Ku-SUBSCRIBE Channel yetu ya MAXIMUM TV Ili Kuwa wakwanza kutazama Matukio Mbali Mbali na Kwa ubora zaidi.
  • Спорт

КОМЕНТАРІ • 45

  • @saidaal1679
    @saidaal1679 Рік тому +2

    Kaka zahir mnazungukwa hapo na jamaa asije akawatembezea kichapo 😂😂 lakini yote kwa yote Pole sana mama angu kwa uliyoyapitia Mungu amekuandalia furaha. hakuna machungu yasiyokuwa na mwisho

  • @anisabodle1178
    @anisabodle1178 6 місяців тому

    I am really sad about this story but this woman is so tough with all she has gone through she still narrates with details
    May God see you through this hardship

  • @jellynesssemu9406
    @jellynesssemu9406 Рік тому +1

    Pole sana mama yangu 😭😭. Wanaumme wanajua kututesea mama zetu 😢😢. Acha nipigane na warabu niwe na changu maana wanaumme Hapana 🙌🙌🙌🙌🙌🙌😢😢😍

  • @easternyerembe7271
    @easternyerembe7271 Рік тому

    Hajui kujieleza, kazi sana

  • @khadidjasuleiman8006
    @khadidjasuleiman8006 Рік тому +1

    Pole sana mama kwani ni ucku?😳😮😮 Subhanallah

  • @skjjsj1889
    @skjjsj1889 Рік тому

    Pole dd
    Jamani jamani wanawake wasio kuwa na hofu ya mungu wana roho mbaya sn Mpka inamfikia Unamwekea simu mwenzio kaaaa ukatili wa nn duniani tunapita

  • @aisharamadhani1948
    @aisharamadhani1948 Рік тому

    Subhanallah pole mama yarrab kuna wanaume wakatili mnoo mwenyezimungu akusimamie mama nimelia mnoo dahhh Allah akufungulie rizki na afya njema

  • @zainabubalama8869
    @zainabubalama8869 Рік тому +1

    Wallah inauma Sana mnatoka mbali baadae Mume anaoa mke wa pili bi mkubwa unaonekana hufai tena

  • @aminanamoyo83
    @aminanamoyo83 Рік тому +1

    Sasa Zahir unavyoongea ni kama siri wakati huyo mzee anaweza angalia kipindi kuwa makini tafadhali ❤

  • @floranahashon4180
    @floranahashon4180 Рік тому

    Kwanza huyu mama ana moyo wa pekee mateso yote hayo na bado ulikuwa ukiendelea kuzaaa uwiiii mm naona ningeishia 2 au 3 Mungu akufanyie wepesi mama upate sehemu Yako

  • @asiaq1938
    @asiaq1938 Рік тому +2

    Kweli kabisa ajengewe vyumba viwili aishi na wanawe

  • @waheedaw1953
    @waheedaw1953 Рік тому

    Subhanallah BIN ADAM SIO WEMA
    MTOWE HAPO KWANZA IYO KUJENGEWA IYO NYUMBA

  • @ayshazambia6509
    @ayshazambia6509 Рік тому

    Pole sana dada angu mungu yupo pamoja nae inshaallah

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 Рік тому +1

    😢💔

  • @Zainab_salat
    @Zainab_salat Рік тому +2

    Wamebadilisha mada jamani zahir unakazi kuwa makini😂😂😂😂😂, sicheki kama mazuri

  • @OmanOman-dd5qk
    @OmanOman-dd5qk Рік тому

    Pôle sanajilani yang unamtanga mwenzagundiomaanatunatokakujanchizawatusiokupendashidandiohizopoleswahiba

  • @bintsalimalbimany287
    @bintsalimalbimany287 Рік тому

    Maskin 😭😭😭😭😭pole mama angu
    Ajengewe tu Nyumba jaman Aishi na wanawe 🥺💔💔💔💔Hasbiyallah Allah atakutetea Inshaallah ☹️😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @wettykznznhuioploko1571
    @wettykznznhuioploko1571 Рік тому

    Ali iyo kiwanjatu jee ingekuwa .nyumba mama pole

  • @bintiomarkale9904
    @bintiomarkale9904 9 місяців тому

    Kakazahir kitambo umepote

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 Рік тому

    💔

  • @senetaworldwidetz
    @senetaworldwidetz Рік тому

    Kwa ushauri tu...hapo juu ya title msiwe mnaandika kilichozungumzwa ndani ili kuwavutia watazamaji wenu

  • @bosiborimomanyi5592
    @bosiborimomanyi5592 Рік тому

    Ukizaa watoto wawili bila kuolewa ndoa nzuri...kuwa maakini.... achana na wanaume,funga kuxaa jitafutie...ishi single... mbona haya mateso yote...jamani

  • @wettykznznhuioploko1571
    @wettykznznhuioploko1571 Рік тому

    Kumbe jilani yangu

  • @ashazuber6548
    @ashazuber6548 Рік тому

    😢😢😢😢😢wajina wangu

  • @mimahmimah1595
    @mimahmimah1595 Рік тому

    Sasa si angewahurumia hawa watoto basi😥😥 maskin katoto kadogo kanasinzia wanaume wengine ni wa hovyo kwel😏😏

  • @zawadizawadimussa23
    @zawadizawadimussa23 Рік тому

    Wakwanza leo

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 Рік тому

    Hii mtihani mbuwa huo😮

  • @zennahmtoto1867
    @zennahmtoto1867 Рік тому

    Nimependa mulivyozugaa😂😂😂😂

  • @pillyseleman8090
    @pillyseleman8090 Рік тому +1

    95%wanawake tunapitia mitihan kikubwa allah atuhifadhi yarrab 🤲🤲🤲pole Sana dadaanga mungu yupamoja nawe atakulinda in sha allah pia mungu atuhifadhie na atulindie kakaaetu Zahir atuwekee na afya daima na mwisho mwema azid kupambana wenye matatizo makubwa

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 Рік тому

    Charles ni pumbavu sn

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 Рік тому

    Kama ni 93 utakuwa uliolewa na miaka 20 na siyo 18.Mungu atkutetea.

  • @jaharaoman6478
    @jaharaoman6478 Рік тому +1

    😂😂😂😂Zahir umenichekesha leo

  • @wettykznznhuioploko1571
    @wettykznznhuioploko1571 Рік тому

    Nyombo kilakala kwamajula

  • @AminaAmina-mv4ko
    @AminaAmina-mv4ko Рік тому

    Kwani video mbili maelezo hayo hayo au??

  • @rizikisuna8937
    @rizikisuna8937 Рік тому

    😂😂😂😂

  • @awaahassan936
    @awaahassan936 Рік тому +2

    Ndomaana Mimi nikaamua kusafiri saai na kibanda changu hakuna mwanaume ataenisumbua

    • @pillyseleman8090
      @pillyseleman8090 Рік тому

      Saana mungu atusimamie tuanaoyesekea nichimba arabun maana hakuna kazi rahis nchi Hz

    • @awaahassan936
      @awaahassan936 Рік тому

      @@pillyseleman8090 kabisa dadangu

    • @Thebaddest255
      @Thebaddest255 Рік тому

      Pambaneni Mungu yupo mpenzi 😊

  • @AminaAmina-mv4ko
    @AminaAmina-mv4ko Рік тому

    Kwani video mbili maelezo hayo hayo au??