Magoli na penati | Singida Black Stars 3-1 El Merreikh Bentiu | Dar Port Kagame Cup 15/07/2024

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 сер 2024
  • Singida Black Stars leo wamepata ushindi wao pekee kwenye michuano yaKombe la Kagame 2024, ikiitandika El Merreikh Bentiu mabao 3-1 katika mchezo wa mwisho wa kundi C.
    Magoli ya Singida BS yamefungwa na Marouf Tchakei dakika ya 18, Edmund John dakika ya 43 na Ayoub Lyanga 76 huku la kufutia machozi likifungwa na Jack James.
    Mechi imepigwa Azam Complex, Chamazi.

КОМЕНТАРІ • 25

  • @ashirafkhamis1556
    @ashirafkhamis1556 Місяць тому +3

    Duuh ko mlitaka mpak mtu atoke meno ndo ijulikane kuwa penalt au,huyo beki ameucheza mpira hapo au kaucheza mguu wa mshamuliaji? kama kaucheza mpira umeenda wapi,kuweni na akili ya kiutu uzima nyinyi ndo mnalidumaza soka letu la bongo

  • @ramadhanikuchuna5410
    @ramadhanikuchuna5410 Місяць тому +1

    Hiyo ni clear penalty

  • @DevothaMlay-i3m
    @DevothaMlay-i3m Місяць тому +1

    Kwa hiyo mlitaka SBS wafungwe sio mbona ameguswa mguu?

  • @geofreymwaihoba4817
    @geofreymwaihoba4817 Місяць тому +1

    Penati hadi mtu atoke damu

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw Місяць тому +1

    Hivi mtu anashindwa penarti tuwe tunafanyia mazoezi kujua yupi ni yupi sio kukurupuka unasababisha wacheza kukosa nguvu

  • @emmanuellupiga
    @emmanuellupiga Місяць тому

    Na lyanga yupo huku kumbe

  • @barackmoses7003
    @barackmoses7003 Місяць тому

    penati ya mchongo😢

  • @emmanuellupiga
    @emmanuellupiga Місяць тому

    Mbona kama ni real penalty

  • @yassirkhamiss2895
    @yassirkhamiss2895 Місяць тому

    Mirefa ya Tanzania michezi kweli kweli sasa hiyo penalty gani ?

  • @IbrahimMasai-qq6cs
    @IbrahimMasai-qq6cs Місяць тому +5

    Penati ya mchongo ndio maana boli letu liko nyuma sana

    • @FootballLaduma
      @FootballLaduma Місяць тому +2

      Ni penalty. Beki kacheza mguu na hajagusa mpira.
      Na ndani ya box

    • @YahyaYahya-vp2pp
      @YahyaYahya-vp2pp Місяць тому +2

      Ukiwa refa mtaani utapigwa hadi kufaa

    • @user-vd8oq7it6v
      @user-vd8oq7it6v Місяць тому

      😂😂😂

    • @salumdadi6867
      @salumdadi6867 Місяць тому +1

      Unajua ata mpira ww kweli au una toa tu comment

    • @sallyeliya5213
      @sallyeliya5213 Місяць тому +2

      Mbona penat ya wazi kabisa

  • @samsonmwaipaja5231
    @samsonmwaipaja5231 Місяць тому +1

    hakuna penati hpo

  • @patsonnzogoro-sh7yb
    @patsonnzogoro-sh7yb Місяць тому

    Metacha

  • @AmaniKasekwa-uw8hp
    @AmaniKasekwa-uw8hp Місяць тому

    Hiyo sio penati