SC Villa 1-1 APR FC | Highlights | Dar Port Kagame Cup 15/07/2024

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 сер 2024
  • APR FC walitangulia daklika ya 30 kupitia kwa Dushimana Olivier lakini Sports Club Villa wakachomoa dakika za jioooooooooni (90'+3) kupitia kwa Najib Yiga na kufanya matokeo yawe sare ya bao 1-1.
    Ni mchezo wa mwisho wa Kundi C, ukipigwa kwenye Dimba la KMC lililoko Mwenye Dar es Salaam

КОМЕНТАРІ • 20