SHAMBULIO LA LISSU LAMWIBUA BASHE, SPIKA ATOA MSIMAMO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 вер 2024
  • Mbunge wa Nzega Mjini Hussein bashe leo ameomba mwongozo wa spika kuhusu hali ya usalama wa nchi huku akitolea mfano wa matukio kadhaa ya kiuhalifu

КОМЕНТАРІ • 47

  • @sudymkele1648
    @sudymkele1648 Рік тому +2

    Bashe wewe ni mtu wa mungu si kama viongozi wengine wadanganyifu wazinzi walevu wanyang-anyi Wala si kama wale wafuraiao matukio kama hayo mabaya na kutuletea usia mzuri kama zaka mungu akulinde amn

  • @gibsonmwenda9885
    @gibsonmwenda9885 5 років тому +9

    Hussen Bashe unafa sio mchezo napia points zako zina sikika vizuri bila kwangalia tofauti wa vyama Mungu a enderee kukulinda

  • @florencemwanansao834
    @florencemwanansao834 Рік тому +1

    Mungu fundi alieagiza kupiga risasi kashakufa. Alie pigwa hupo haiii mungu oyeeeeeee.

  • @nelsonkyauke1481
    @nelsonkyauke1481 7 років тому +9

    Mungu uko wapiiiiiiii? Watu wanaangamiza watu wasiokuwa na hatia kusema ukweli imekuwa dhambi.....Tunaomba Mungu Baba shusha adhabu kama ulivofanya kwa wafuasi wa farao Mungu tunakuomba🙏🙏🙏

  • @juliusmjema9574
    @juliusmjema9574 2 роки тому +2

    Mtoa Mada mhe Bashe be blessed!

  • @maduhuyuni4772
    @maduhuyuni4772 6 років тому +5

    Bashe Mungu akulinde

  • @rubamann
    @rubamann 5 років тому +7

    Huyu Spika wa Bunge ni ziro sana. Inaonyesha jinsi gani alivyo robot na anaogopa kufuata sheria.

  • @hudhud2022
    @hudhud2022 7 років тому +6

    Umefika wakati wa Watanzania wote kuungana kuweka vyama pembeni na kupinga kwa nguvu zetu zote kupaisha sauti na sauti zetu zisikike na Allah Mtukufu atulinde sote Amiin

  • @manfredymahinya9511
    @manfredymahinya9511 5 років тому +9

    hujawai nichosha kukusikiliza wana nzega mbunge mlimpata tena hamkukosea kumpa kura yenu.

  • @zabronpaul3625
    @zabronpaul3625 5 років тому +10

    kama unamkubali Bashe tujuane

  • @emanuelmoryo
    @emanuelmoryo Рік тому

    Mungu akutangulie Bashe Rais wangu!!

  • @fmleli.tz2004
    @fmleli.tz2004 Рік тому

    Mhh Bashe

  • @philipojumbe3
    @philipojumbe3 3 роки тому

    Ongera sana Munge mwenye poindti zuri

  • @oliviaseth4652
    @oliviaseth4652 7 років тому +5

    Wote sisi ni binadamu, vyama visi tuchanganya.Lissu mungu yuko nawe.

  • @1961nungwi
    @1961nungwi Рік тому

    Jambo baya sana kutokea kwenye Bunge letu tangu tupate Uhuru. Labda hata kabla ya Uhuru.

  • @sudymkele1648
    @sudymkele1648 Рік тому

    Hii ishara sio nzuri Kwa taifa letu

  • @imamusaid8451
    @imamusaid8451 6 років тому +2

    mungu akujalie heli

  • @erickboniphace2467
    @erickboniphace2467 6 років тому +10

    Bashe ni miongoni mwa wabunge wachache wenye akili waliobaki bungeni

  • @eliasisaid4679
    @eliasisaid4679 7 років тому +4

    mungu akulinde,lisu

  • @barakagodfrey622
    @barakagodfrey622 4 роки тому

    Mungu awe pamoja naww .akusimamie sana

  • @hezronsanga5197
    @hezronsanga5197 2 роки тому

    Bashe unajitambua sana serikali hakitaki ukweli nakukubali

  • @amanimallya2451
    @amanimallya2451 7 років тому +2

    @hussen bashe upo vzr

    • @rahmarahmajuma8646
      @rahmarahmajuma8646 5 років тому

      Kikulacho.kunguoni mwake

    • @rahmarahmajuma8646
      @rahmarahmajuma8646 5 років тому

      Anasiri kubwa sana huyo special wawe unafikiri.kwanini halitilii mkazo jambohili ivi ingekuwa niyeye kafanyiwa vile angeweka picha gani .hujafa hujaumbika

  • @eliasjohn1072
    @eliasjohn1072 6 років тому +5

    Dah!! Bashe
    Umeongea kwel lakin kufanyiwa kaz ndo cjui

  • @allykizimli.5665
    @allykizimli.5665 6 років тому +7

    watanzania wasasa sio wale wazamani tunajua wabunge wanajipendekeza kwa rais akisema neno moja razima amtaje rais Hugo Ni mnafiki na mnafiki ana alama TATU yakwanza akisema a semi kweli akiaminiwa haminiki hakiahidi jambo atekelezi nyinyi wabunge mmo ktk makundi haya wengi wao so wakweli

  • @hamisimfumya1054
    @hamisimfumya1054 7 років тому +3

    gwajima

  • @gihbegimanwa1416
    @gihbegimanwa1416 5 років тому

    Nice

  • @ayubudaniel4509
    @ayubudaniel4509 6 років тому +1

    bashe bonge la hero aisee.

  • @johnmkama788
    @johnmkama788 7 років тому +2

    Sijui kama itasema kweli hiyo kamati

  • @raageabdi3123
    @raageabdi3123 6 років тому +3

    Bashe ni mtu waa maana anajuwa nini kuongea points

  • @alphoncechanzi6274
    @alphoncechanzi6274 7 років тому +1

    WABUNGE wa ccm mbona mnanyanyuka kwa kuviziana? kweli UHURU kwenu haupo

  • @kanaansamwel8335
    @kanaansamwel8335 7 років тому +5

    shoga anajichekesha kisenge

    • @charlesjohn244
      @charlesjohn244 6 років тому

      Kanaan Samwel ? munahangaika nini anefanya ivyo katulia anatuma watuwake munapinga kelele ksturia jamani hata aibu hana kwakweli mungu tusaidie

  • @josephmtalemwa1458
    @josephmtalemwa1458 6 років тому +1

    up

  • @salvatoryseth2217
    @salvatoryseth2217 5 років тому

    nimependa hyo wengne wanairizi aseee...

  • @louisnyoni4139
    @louisnyoni4139 5 років тому +2

    Aliyemtolea bastora nape ni watu wasiojulikana.

  • @jifunzekiswahili
    @jifunzekiswahili 7 років тому +2

    Ambao hawajasimama tuwaeleweje?

  • @hajamijohana6979
    @hajamijohana6979 5 років тому +1

    haya ndo maazala ya kuto kuepo na mtambo wakupima akili kwa viongoz

  • @johnwenceslausmmbaga3917
    @johnwenceslausmmbaga3917 2 роки тому

    WABUNGE FULANI HIVI NI WANAFIKIIIIIIII

  • @musasaidi9967
    @musasaidi9967 6 років тому

    A