“Tunamdanganya nani? tunataka maelezo ziko wapi Trilion 1.5” -Mbunge SUGU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 жов 2024
  • Mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi maarufu Sugu amemtaka Waziri wa Fedha na Mipango Dr Philip Mpango kutoa majibu sahihi kwa wananchi kuhusu zilipo Trilion 1.5 ambazo hazieleweki zilipo katika ripoti ya mkaguzi mkuu wa hesabu za Serikali (CAG)

КОМЕНТАРІ • 158

  • @pascarmwatosya6815
    @pascarmwatosya6815 3 роки тому +9

    Ila sio sili huyu mbunge mbeya tulimpata,Hongera Sana kaka mkubwa suguuuuuuu

  • @robertmelchior1660
    @robertmelchior1660 4 роки тому +6

    nawakubali zitto// sugu// msigwe// mungu awabaliki sana mnavoiweka ichi sawa

  • @gidaimataso2064
    @gidaimataso2064 3 роки тому +5

    Mr mbeya Asante tukiwa na wabunge wanao tendea haki posho zao Kama wew Tanzania itakua up in the air

  • @kastokyando5347
    @kastokyando5347 4 роки тому +1

    upo vizuri mbunge wetu sugu utapita bila kupingwa 2020

  • @guttareuben7844
    @guttareuben7844 4 роки тому +4

    kama unataka maendeleo ya nchi utamkubali jamaa ameonge point Safi sana brother

  • @jeremiahmasunzu3437
    @jeremiahmasunzu3437 4 роки тому +2

    Kwanini Bunge lisiwe huru na NEC iache uchaguzi uwe huru hili Taifa tuna viongozi imara sana.Bravo Sugu

  • @donytv2393
    @donytv2393 6 років тому +19

    Respect 2 u Mr.Mbeya President...

  • @futamathias8135
    @futamathias8135 6 років тому +17

    hahaha we noma sugu mwenyezi mungu akujalie maisha malefu amina nakupenda

    • @kulwasamwel9822
      @kulwasamwel9822 6 років тому +1

      very good #sugu

    • @medkisalazo3890
      @medkisalazo3890 5 років тому

      mavazi sio tija makanzu kofia kujivisha Uislamu undani wake yeye ni kafiri haramu

    • @abdalahfarida2074
      @abdalahfarida2074 5 років тому

      Haya maombi ya Watanzania mimi siyaelewi. Akiongea Magufuli mnampongeza, Akiongea Msigwa na Sugu mnawapongeza hivi tuwaeleweje.

    • @dismasnyasembe404
      @dismasnyasembe404 4 роки тому

      Sungu hatari

    • @bethwallace-ly8oo
      @bethwallace-ly8oo Рік тому

      ​@@medkisalazo3890 Kula kitimoto na ukafiri vinahusiano Gani ww

  • @mwambietv7614
    @mwambietv7614 5 років тому +7

    Safi Sugu nakubali

  • @RedSun-ms2zq
    @RedSun-ms2zq 2 місяці тому +1

    Huyu jamaa ana point sana

  • @robertlinuma6051
    @robertlinuma6051 4 роки тому +7

    Long life SUGU

  • @rafaelmwanyila6134
    @rafaelmwanyila6134 4 роки тому +1

    Ndugai na Sugu mnachangamsha sana bunge

  • @lovenessmoses1616
    @lovenessmoses1616 5 років тому +6

    Nakukubari Rais wa Mbeya....

  • @solomonitv7808
    @solomonitv7808 6 років тому +16

    Sugu Oyeeeeeeeeeh,Mungu azidi kukubariki

  • @juliusmapera5235
    @juliusmapera5235 5 років тому +4

    Safi sana sugu

  • @yohanamaugila743
    @yohanamaugila743 5 років тому +6

    Safi sana sugu nakukubali sana.

  • @josephngailo7641
    @josephngailo7641 5 років тому +21

    Mungu akupe miaka mingine 5 yakuwatetea wanyonge

  • @origenlutego6222
    @origenlutego6222 5 років тому +6

    Viva sugu live long utumikie taifa

  • @NAHAYOFrancis
    @NAHAYOFrancis 7 місяців тому

    Asanten

  • @e-mzambuli6647
    @e-mzambuli6647 2 роки тому +1

    Big sugu

  • @boniphacetabu2903
    @boniphacetabu2903 4 роки тому +1

    Mmmmmmh Hadi shekh anakula NGURUWE dunia imeisha

  • @erickgasto2806
    @erickgasto2806 4 роки тому +6

    Wabunge kama nyinyi ndio tunawaitajii katika taif hili

  • @razorramzan-inc
    @razorramzan-inc 3 роки тому +2

    I personally like the how mbilinyi argues

  • @victormollel2357
    @victormollel2357 4 роки тому +5

    Umemchapa kisomi🙏🙏🙏🙏

  • @daniellyimo636
    @daniellyimo636 4 роки тому +1

    Kitu Moto ana gongaa!!Kibaraka Shea cha bure tuuuu😄😄😄😄 Hapendi ya Mafuta😁😁😁 Message sent...Aibu kweli kweli 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @pascarmwatosya5855
    @pascarmwatosya5855 5 років тому +5

    Ni nomaaa

  • @aloycemwakatala2634
    @aloycemwakatala2634 5 років тому +3

    But numbers don't......

  • @janethnkembo5808
    @janethnkembo5808 3 роки тому

    Bungeni Raha Sana.

  • @mitsumilton
    @mitsumilton 9 місяців тому

    Kwani kufungo hakifungiki vipi sugu❤❤❤

  • @salimsemanaompakabungeniol4084
    @salimsemanaompakabungeniol4084 5 років тому +14

    Maniga sugu unafaa kuwa rais maniga ukiwa rais nchi itakua kama ulaya yani naona itakua zidi ya mzee ruksa sugu oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

  • @brysonmakundi413
    @brysonmakundi413 3 роки тому

    ✌️✌️✌️✌️Nyundo hizi nasemaaaa Kuzitowa Ninguvu kubwa awanimajembe kweli

  • @damianmachilutv1167
    @damianmachilutv1167 6 років тому +13

    Sugu unajielewa sana Big up

  • @dinoboyarnold2389
    @dinoboyarnold2389 3 роки тому +1

    Daah nimekuja kuangalia hii mwaka huu2021 yanu sugu bhana eti hapendi ya mafuta😅😅😅😅😅

  • @goodlucktemu3149
    @goodlucktemu3149 6 років тому +7

    Bunge la sasa lina raha sana kama vile class

  • @ernesthakihuinuataifa641
    @ernesthakihuinuataifa641 6 років тому +8

    Jino kwa jino

  • @djonetz2730
    @djonetz2730 6 років тому +5

    Noma sana sugu

  • @marufubaruani3806
    @marufubaruani3806 4 роки тому

    Nakukubali sana sugu.

  • @labianuspeter2448
    @labianuspeter2448 3 роки тому +2

    Dah !!! Kwa MTU mwenye uwezo wakufikiria lazma ajue kua tz kwandani ya miaka 5 ijayo tutakua na hasara kubwa sana kitaifa kuwakosa hawa watu

  • @rozinkinda1607
    @rozinkinda1607 4 роки тому

    Safi sana

  • @RedSun-ms2zq
    @RedSun-ms2zq 3 місяці тому

    Sugu ana balaa sana

  • @yusuphmkapa5302
    @yusuphmkapa5302 4 роки тому +1

    Freedom

  • @edwardsilingo4963
    @edwardsilingo4963 5 років тому +7

    Sugu ndio Mbunge wenye vius kuliko Mbunge yeyote

    • @fadhilisaidi1099
      @fadhilisaidi1099 3 роки тому +1

      Hahahahaha tatizo mbwa ukimjuwa jina hakusumbui ng'o

  • @teddytarimo6750
    @teddytarimo6750 5 років тому +2

    Mbeya prezdnt

  • @petrokambo779
    @petrokambo779 3 роки тому

    Safi

  • @husseinramadhan3515
    @husseinramadhan3515 3 роки тому

    Big up sugu moto chini

  • @mosamossile9113
    @mosamossile9113 4 роки тому +4

    Uyu jamaa Ana Akiri nyingi sanaa

  • @mcjogopah8513
    @mcjogopah8513 4 роки тому

    Mungu akuongzee miaka5

  • @evanslugoya1232
    @evanslugoya1232 6 років тому +9

    Hata watu wangu wa mbeya hivyo ndivyo pia

  • @frabomdemwa8880
    @frabomdemwa8880 6 років тому +20

    Haaaa unashangaa kuitwa mla kitimoto ila ni halali kuwaita wenzie mbwa king hana akili ni bwege tuu

  • @neybenson7881
    @neybenson7881 4 роки тому +2

    Spikaa ni ovyooo ase linafikkkk duh

  • @eliyatango3624
    @eliyatango3624 4 роки тому +1

    Kamanda

  • @Lumegilemukata
    @Lumegilemukata 4 роки тому +1

    minapendelea uwe raisi..mr..sugu

  • @abrahmaniali5404
    @abrahmaniali5404 2 роки тому

    Zipo kwenye trab na track nchi ya ahad

  • @yohanamsabila4653
    @yohanamsabila4653 4 роки тому +1

    Duh

  • @robertlinuma6051
    @robertlinuma6051 5 років тому +3

    Sugu hatre !!!

  • @potypooty38
    @potypooty38 5 років тому +5

    Big up brother

  • @shukulannsemwa3899
    @shukulannsemwa3899 5 років тому +6

    Baba babaa babaaa huyoooo!

  • @TopTenKaliTV
    @TopTenKaliTV 6 років тому +3

    MATUNDA MUHIMU KITIBA: ua-cam.com/play/PLRMIRcpWDhtzWjWKEULSse5negv5AuGl2.html

  • @emmanuelmwiki1935
    @emmanuelmwiki1935 5 років тому +3

    asant mh sugu

  • @shijamandwa1054
    @shijamandwa1054 4 роки тому +1

    Upo vizur bongo sio poa nchi wote yetu rakin unafanya Kama sebureni ya famiriya yako

  • @judithkameta9157
    @judithkameta9157 5 років тому +4

    dah nacheka sana mno,

  • @pemdumi
    @pemdumi 6 років тому +4

    Kuonyesha maturity ni pamoja na kwa namna yetote ile kutunza yale ambayo unayafanya sirini na mndani wako.Hata kama mkitofautiana huwezi kumuanika mwenzio.

  • @bobkevinshoo5385
    @bobkevinshoo5385 Місяць тому

    Huyo pembeni ya Sugu ni nani? 😍

  • @dzekomadiba8245
    @dzekomadiba8245 5 років тому +4

    kwel kaka

  • @mitsumilton
    @mitsumilton 9 місяців тому

    Nilidhani Kenya ndo pesa hupotea kumbe huku pia

  • @mcjogopah8513
    @mcjogopah8513 4 роки тому

    Mungu alibadilishe hili bunge wakati bunge la 12

  • @wilfredmmbando689
    @wilfredmmbando689 Рік тому

    Ok

  • @mosesmoses1429
    @mosesmoses1429 6 років тому +4

    Sugu point tetea tz yetu

  • @elibarikikivuyo5946
    @elibarikikivuyo5946 4 роки тому +1

    Jamani mpaka wivu me sijawai msikia mbunge wangu wa Arumeru magharibi akichangia au kafungiwa kuchangia!??

  • @magigejoseph255
    @magigejoseph255 4 роки тому +1

    Ndo wanasema wamchague tulia du wamwache sugu du tutakua tumepotea

  • @rachelissacmahenge1348
    @rachelissacmahenge1348 4 роки тому +7

    Ustadhi hapendi kitumoto ya mafuta🤣🤣

  • @sayiisack7091
    @sayiisack7091 5 років тому +6

    Hahahahaaaaaaa yeye hapendi yamafuta hahahahahaaaaaa

  • @geofreyanderson9291
    @geofreyanderson9291 4 роки тому +1

    duh ety hapendi ya mafuta

  • @goodlucknelson4320
    @goodlucknelson4320 5 років тому +4

    real?????????

  • @suitstv5889
    @suitstv5889 5 років тому +3

    Suguuuuu hoyeeeeee...!!

  • @aboubakarkaseko8670
    @aboubakarkaseko8670 6 років тому +5

    hahahaaa....ustadhi ameshikwa pabaya ...hapendi ya mafuta ......

  • @butalaetv2208
    @butalaetv2208 2 роки тому

    nimemmis sana mwamba

  • @abdulqaadrilaurian3700
    @abdulqaadrilaurian3700 2 роки тому

    Mbilinyi

  • @jafaryjuma6765
    @jafaryjuma6765 4 роки тому +1

    majibu .....tunayasubiri

  • @ashleysaid6980
    @ashleysaid6980 4 роки тому +1

    Sungu atar endelea kuwa nyoosha

  • @Mkemia..Kirigiti
    @Mkemia..Kirigiti 5 років тому +5

    Hhahhha et hapend ya mafuta

  • @dicksonlusinde2830
    @dicksonlusinde2830 5 років тому +2

    Huyu kavaa kaz au dela

  • @hechihechie5558
    @hechihechie5558 6 років тому +4

    Mhhhiiii kitimoto!!!!usrazi mhhh Hio ndio chadema

    • @djonetz2730
      @djonetz2730 6 років тому

      Et hata mi nishangaa

    • @hechihechie5558
      @hechihechie5558 6 років тому +1

      erasto mujuni eti wananchi wanateseka njaa na magonjwa hakuna dawa mahospitali eti mbunge mzima anaelezea dunia eti yeye na ustazi wamekula kitimoto na bia !!shameonyou!!

    • @zachariasuleman8788
      @zachariasuleman8788 6 років тому

      sugu hatar

  • @ramamtetu2327
    @ramamtetu2327 5 років тому +5

    Hahahahahahaaa
    "Ila yeye hapendi ya Mafuta "

  • @ramadhanmgaya9798
    @ramadhanmgaya9798 4 роки тому +1

    Bangi

  • @maulidiathumani5574
    @maulidiathumani5574 4 роки тому +2

    hiphop imetumika apo

  • @allyndambwe4354
    @allyndambwe4354 4 роки тому

    suguuu nakupendaga sana hhaha

  • @blackmutu1613
    @blackmutu1613 6 років тому +3

    Sasa Unaweza Kupata PAST PAPERS & NOTES za Kidato cha PILI (II) na Kidato cha NNE (IV) Kupitia Mobile App ya O - Level Past Papers Inayopatikana Kwenye Play Store Bure Kabisa Kupitia Link Ifuatayo bit.ly/Olevelpastpapers

    • @masaulihassan2463
      @masaulihassan2463 5 років тому

      mr naomba tuwasiliane kwa whatsapp naitaji kurist pcb 0716754847

  • @farajramadhan2762
    @farajramadhan2762 6 років тому +14

    Shekhe achana na (kiti moto) ni haramu

  • @johnsonbagambi1908
    @johnsonbagambi1908 2 роки тому

    Tumepoteza dila, mahalifa tupo tumechochora

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 4 роки тому

    Hata cielew anaongea Nini matako huyu..... Bado kdgo kila mtachokuwa mnaongea bungeni mtaonekana vituko TU.... JPM Yuko fire Sana .... Siku hz JKT wanafanya kazi yao kweli Wala sio jkt jina TU... Wanajenga taifa kweli , Sasa we kilaza ukisikia mil 500 unacaoculate kipinzani unaona NI zaidi.

  • @samsonkurusu5955
    @samsonkurusu5955 2 роки тому

    Uyu mwamba hatar

  • @kulwaswetu4457
    @kulwaswetu4457 5 років тому +1

    Ww huwa ckushangai mjani kawaida yk

  • @davidmziray2048
    @davidmziray2048 3 роки тому

    Lilikuwa bunge haswa

  • @hassandeuj2517
    @hassandeuj2517 4 роки тому

    Huyu Jamaa ni sheedda

  • @manjoriwakunesa7006
    @manjoriwakunesa7006 4 роки тому

    Sugu unatamiwa ujikumbushe hayambo

  • @lennysabi453
    @lennysabi453 5 років тому

    Kusema kweli kama alivo sema uyo shee mbunge,,,kwa maelezo yake sijaona kamuita mtu mbwa kwa kauri iyo alo toa apo.

  • @binyezanch8271
    @binyezanch8271 4 роки тому

    Mbeya Wana mfaid huyu jamaaa

  • @chambasclinton7456
    @chambasclinton7456 4 роки тому

    Sugu njoo nyamagana nikupe kura yng

  • @novesnuhunathan2665
    @novesnuhunathan2665 5 років тому

    Enjoy the World