UKIOTA UNAJISAIDIA KINYESI KWENYE NDOTO INA MAANA HII KIBIBLIA - Apostle Johaness John

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 сер 2023

КОМЕНТАРІ • 23

  • @emmyfoyi8461
    @emmyfoyi8461 3 місяці тому

    Asantee Yesu mm niliota nasidaia afuu najisafisha,,,kumbee nimetoa sumuu mwilini,,,asante Yesuuuuuuuu

  • @OtiliaPius-dr1be
    @OtiliaPius-dr1be Місяць тому

    Asante Mtumishi wa Mungu kwakuniongoza maana leo nipeota najisaidia haja kubwa nikawa nasafisha juu nakitumbukiza choon asante kwakuniongoza ktk utakaso🙏🏾🙏🏾

  • @johvinndessa9793
    @johvinndessa9793 2 місяці тому +4

    Mimi nimeota ninajisaidia mbele za watu... Ina maana gani

  • @user-mp9zu7vc8b
    @user-mp9zu7vc8b 11 місяців тому +1

    Thanks so much

  • @ZenaisiIsmail-cy3hi
    @ZenaisiIsmail-cy3hi 4 місяці тому +1

    Ahsante sasa je mi nimeota nimejisaidia kwenye nguo inamaana gani

  • @JosephineAkinyi-cl6ql
    @JosephineAkinyi-cl6ql 7 днів тому

    Me uota nkiwa shamban ushago mara naota nkiwa nki kwanye tope nmwkwama nangangana kutoka na ingine najikuta napanda mlima na nitelez bt huwa natoka mara naota nki mjamzito ama nko njian natembea bt kwasafar huwa sifik mwisho mana yke nini paster please naomba unisaidie..

  • @emmyfoyi8461
    @emmyfoyi8461 3 місяці тому

    Pastor mm nimeota najisaidia kwenye choo cha kukaa alafuu najitawaza kbs

  • @emmyfoyi8461
    @emmyfoyi8461 3 місяці тому

    Pastor nisaidiee mm nimeota najisaidia kwenye chooo cha kukaaa alafuu najitawaza kbs

  • @magdalenechelimo4591
    @magdalenechelimo4591 3 місяці тому

    😊l
    😊

  • @godsonishengoma5378
    @godsonishengoma5378 2 місяці тому

    Mimi huwa naota mwanangu kajisaidia na ninamsafisha inamaana gan?

  • @emmyfoyi8461
    @emmyfoyi8461 3 місяці тому

    Nisaidiee maana yakee

  • @dorcusmakokha89
    @dorcusmakokha89 4 місяці тому

    Mimi nimeota

  • @AngelZumo-nk3mk
    @AngelZumo-nk3mk 4 місяці тому

    Mimi nimeota leo nimejisaidia kwenye suruali ya mume wangu nikafutia na koti lake tena mengi yaan sasa sijui tena nguo anazipenda kweli hizo

    • @shiningstarheavenlyembassy
      @shiningstarheavenlyembassy  4 місяці тому

      ISHARA ya kupoteza FURAHA ya ndoa. ISHARA ya MAISHA ya DHAMBI na MAAMUZI YASIYO sahihi

    • @shiningstarheavenlyembassy
      @shiningstarheavenlyembassy  4 місяці тому

      OMBEA NDOA msije ingia kwenye migogoro

    • @shiningstarheavenlyembassy
      @shiningstarheavenlyembassy  4 місяці тому

      Anza kuwa msafi na Mtakatifu. Acha dhambi. Samehe wote waliokukosa na kukuloga, usiwahukumu. Omba rehema kwa mungu kwa dhambi ulizotenda na hata waombee wote kwenu rehema kwa zaburi ya 51 na 103. Omba roho mtakatifu akusaidie kwa jina la Yesu. Mshukuru kwa zaburi ya 100, 113,117,150.
      Na funga mfungo wa siku 3 masaa 12.
      Ombea haya
      1. Rehema
      2.imani
      3.mapenzi ya Mungu kwako yani mpe Mungu moyo wako
      Na waombee maadui zako baraka mathayo 5:44 na mathayo 7:1
      Mungu akubariki sana.
      Lakini pia tuna vitabu vizuri sana sana vya kiroho, roho mtakatifu, vya ndoto, kujua kipawa chako, kukuza karama za kiroho, kujua kusudi la Mungu maishani mwako, na Kujijua wewe ni nani ili uwe mkuu na nyota duniani kirahisi, maombi na mfungo sahihi, kuharibu nguvu za giza, vya utajiri na mafanikio na vya mahusiano, ndoa, malezi watoto, kutatua migogoro ndani ya ndoa na kumrudisha mwenzi mloachana kirahisi. Usivikose vitakusaidia sana kukukomboa

    • @ednahumble3254
      @ednahumble3254 4 місяці тому

      ​@@shiningstarheavenlyembassyApostle mm leo nimeota mm leo nimeota mtu akiniekea haja kubwa kwa nguo yngu sasa nakaa km mwenye amejiendea haja kwa nguo, badaye nikasikia kuenda haja wakanionyesha choo tna mmoja wao akanipeleka kwa iyo choo haikuwa imefunikwa juu mwenye kunipeleka akaniekelea kamti ya kupita ndh niweze kukaa na kujisaidia, after kumaliza ile nguo waliniekelea haja akaimwagilia maji km mwenye anaiosha kulikuwa na nguo yake chini apo kando ya choo ile kinyezi waliweka kwa nguo yngu ikanguka kwa iyo nguo yake ilikuwa kando, alf iyo boma ilikuwa ya wachawi nini maana yake

  • @user-mv1kq5ev4m
    @user-mv1kq5ev4m 5 днів тому

    Mimi nimeota najisaidia ndotoni tena naharisha. Nikijisaidia chooni Alafu wakati najisaidia kulikuwa na watu 2 wananiangalia. Inamaana gani mtumishi? Nisaidie

    • @user-mv1kq5ev4m
      @user-mv1kq5ev4m 5 днів тому

      Tena watu hao mmoja mdogo wangu wa kike mwingine jirani yangu yy wakiume sijui inamaanisha nn

  • @MZz-gs8ji
    @MZz-gs8ji 6 місяців тому

    ukiota. unaimb