ISHARA 20 WEWE NI NABII MKUBWA SANA ILA BADO UMEJIFUNGIA. STUKA.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 вер 2023

КОМЕНТАРІ • 196

  • @josephmeleki3984
    @josephmeleki3984 16 годин тому

    Apostle mungu akubariki sababu viote uliviosema hakika nimimi niko ivio

  • @user-io1tp6nz8m
    @user-io1tp6nz8m 3 місяці тому +1

    Amen amen na ukionda uko kwa nyumba ndani na uko ije Ya nyumba hiyo inajekwa na mafundi

  • @maureenmuhenje916
    @maureenmuhenje916 9 місяців тому +2

    nashukuru sana Mungu kukutumikia ili nijue napotelea wapi sijui nifanye aje !!ili nitumikie hii kipower😢😢nmekaa tu bure dunian ambapo kazi ya Mungu inaningoja😢😢

  • @jenniferongwech6421
    @jenniferongwech6421 3 місяці тому +1

    Asante sana mtumizi wa Mungu kwa mafunzo

  • @maryedson8382
    @maryedson8382 3 місяці тому +1

    Mimi huwa nachukia sana dhambi, napenda kukaa peke angu kutafakari juu ya neno la Mungu, muotaji wa ndoto zinazotokea baada ya siku chache baadae ,naamini katika kuwezekana,kuthibitisha vitu kwa nguvu, naamini katika kuwezekana na nyingine nyingi tu ulizozitaja .
    Mungu anitie nguvu mimi ni nabii wake .

  • @doreenhallai2060
    @doreenhallai2060 9 місяців тому +2

    Mungu asante kwa ajili yako mtumishi naomba kufundishwa zaidi

  • @user-io1tp6nz8m
    @user-io1tp6nz8m 4 місяці тому +1

    Barikiwa sana mutumishi wa mungu Mimi ni barikiwa sanaaaana nimejijua kweli unatumiwa na mungu wa kweli kabiza mutumishi wa mungu barikiwa sanaaaana

  • @narggdhdv765
    @narggdhdv765 9 місяців тому +2

    Barikiwa mtumishi

  • @teresiakwambokaorangi3677
    @teresiakwambokaorangi3677 8 місяців тому +2

    Mara nikiombea watwu wangojua nikitembea Mari akunaanga nyumba waramiti niiji kaafu kapisa pastor mungu akupariki sana the jasas nemu ♥️🙏

  • @user-xx6yr1fj5r
    @user-xx6yr1fj5r 8 місяців тому +2

    Asante sanaaa Mtumishi wa Mungu kwa kunifunulia haya yote.
    Mimi sikuwa ninajua kwamba nina sifa za Kinabii.
    Lakini kiukweli ni kwamba haya yote uliyoyasema ninayo kabisa kwa asilimia zote, na ndivyo ninavyo ishi katika maisha yangu yote.
    Sasa nina muomba Mungu, anisaidie ni yaishi maisha ya Kinabii ili Mungu azidi kunitumia katika maisha yangu na kwa ajili ya watu wengine hapa Duniani tuki mngojea Yesu kurudi kwa mara ya pili, kutuchukua kwenda Mbinguni katika maisha yetu ya umilele.
    Mungu wetu akubariki sana
    Nimeguswa mnoo.
    Amen

    • @estherdavidjohn-py7hh
      @estherdavidjohn-py7hh 5 місяців тому

      Asante mtumishi dalili nyingi zimenigusa, mimi nampenda MUNGU sana na naichukia dhambi,nikiota kitu huwa kinatokea vile vile, huwa nina roho ya hisia mtu anaweza kuwa ananishirikisha changamoto anayopitia basi hunijia hisia naanza kumtamkia kinachomsumbua ni nini na nampa solution yake kwa kumwombea na kumpa neno la Mungu na kinaenda kutokea vilevile, Na kweli huwa ninaroho y kutonyamazia kitu kikinijia ktk hisia huwa najikaza nisiseme lkn kuna roho inanipush niseme na nikisema bdae kinathibitika kuwa Mungu alikuwa n kusudi jema kuniambia nikiseme bila kuogopa japo kinaweza kutafsirika vibaya lkn bdae sifa zinarudi kwangu, Napenda uwepo wa MUNGU, na ninapenda kubeba shida y mtu ktk kumwombea nitahakikisha namfatilia mpaka majibu yatokee, Pia huwa naweza pata hisia kichwani km mtu ananielekeza na nikiongea kinatokea vile vile hd najiogopa, Pia huwa natamkiwa kuwa mimi ni mtumishi ila cjajijua au cjapata pa kutumika kulingana na kipawa changu, mamaangu Ananiitaga nabii. MUNGU anisaidie

  • @agneskapenegele7754
    @agneskapenegele7754 6 місяців тому

    Ubarikiwe mtumishi wa Mungu, katika hizo ishara ulizotaja mimi ambazo ninazo ni kuota ndoto ,kupata ujumbe frani kabra haujatokea iwe ni mzuri au mbaya, kuumia ninapoona mtu anapitia shida na Mungu yupo,kuwa muwazi sana kwa mtu au watu kwa jambo ambalo naona halitosis sawa,napenda kuombea watu na nione matokeo ya kuomba kwangu uponyaji nk ,na huwa inatokea,kumtamkia mtu neno na ikawa kweli na mengine mengi uliyotaja kuna baadhi ya watu huniita nabii

  • @monicacastory1626
    @monicacastory1626 Місяць тому +1

    Sharom mtumishi wa Mungu,mm ninazo zote isipokuwa ya utambuzu ndiyo cna

  • @NyongesaNdege-xt8ip
    @NyongesaNdege-xt8ip 3 місяці тому +2

    Napenda kutapiri mtoto aliye dumboni Kama ni .mufulana na akisaliwa anakuasichana

  • @BeatriceIluta
    @BeatriceIluta 4 місяці тому +1

    Mutumishi wa mungu ubarikiwe kabisa,miye najisikia kukua Na furah maneno aya unatoka kuyasema inanifanya nijijuwe kama mie niko nani,lakini ndani ya moyo wangu nakuaka na woga,ila nasemaka ndani ya moyo mie niko mutumishi wa mungu kupitia byenye na kuaka naona ao byenye napitiaka,tatizo yangu yenye nakuaka nayo nakuaka nasema tamutumikiaje mungu,maisha ya mwili aina bien ,ila tangu nilianza kukufata nilikamata atuwa kusema kama mie uyu mwaka wa 2024 tajikaza kwenda kuma ibada,kuma fundisho,nifundishwe mbele juu maneno na matendo ivaye mwili nione kile mungu alitia ndani yangu,sijui ni seme nini kwa kweli na shukuru tu kwa yote.

  • @DeborahNyagawa-jy5gb
    @DeborahNyagawa-jy5gb 3 місяці тому +1

    Umesema na mimi kabisa yaani mimi ni nabii MKE Asante kwa kunifunilia siri hii ya kujua kipawa cha kinabii ameno

  • @user-tf1il1hg3l
    @user-tf1il1hg3l Місяць тому +1

    Asante hizizote na sikiakama nyingine katiya azo zinani fikia ila sijifahamu kwani sijajua namuna ya kizitumikisha alafu sijui ni fanye Nini mimi Nina majukumu inayo husiana na mamboya kiroho ila naishiakwanjia Yani hazitimiye wazi asante kua kio kwangu je nifanye Nini

  • @user-gt2bk3dy2t
    @user-gt2bk3dy2t 9 місяців тому +2

    Yesu ni bwana mwanangu ana zote ishirini haswa ya maombi nakutabiri na ana miaka 16 ninahitaji sana mungu amtunze awe mtumishi wakumtumikia cku zote za maisha yake

    • @shiningstarheavenlyembassy
      @shiningstarheavenlyembassy  9 місяців тому +1

      Mungu amuinue zaidi Kwa jina la YESU KRISTO

    • @user-gt2bk3dy2t
      @user-gt2bk3dy2t 9 місяців тому

      Amina mtumishi

    • @user-gt2bk3dy2t
      @user-gt2bk3dy2t 9 місяців тому

      Shalom mtumishi nisaidie tafadhali natamani kujua haya mtoto wangu anaona vision yakuonyeshwa vitu Tena katikati ya bahari juu ya mwamba anafanta maombi samaki na viumbe was baharini wakimzunguka bilakumzuru na anaonyeshwa mistari ya biblia kwenye hayo maono kaona waraka Kwa waebrania sura ya tatu mstari 1 Hadi SITA lakini kwenye ndoto isaya 60 :1 na hagai 1

  • @hidayangoda4724
    @hidayangoda4724 9 місяців тому +1

    Ubarikiwe sana mtumishi wa MUNGU kwa ufafanuzi mzuri nimejielewa sana 🙏🙏

  • @AgnessPete
    @AgnessPete 3 місяці тому +1

    Sharon Sharon miminiriota usingizini nikamuona mtu amevaakanzu nyeupe ndefu harafu anandevundefu nyeupe kama Sufi irayuko navitotoviwiri navyo vimevaanguo nyeupe anavirushia sarafu vinashindwakudabasivinachekavinacheza hahukunayuremtu mbereyakekunabarabar inamwanga mkari wakierekea huko sijajuwa. Maanayake emen🙏🙏

  • @KhadijaSaidi-bg6nc
    @KhadijaSaidi-bg6nc 3 місяці тому +1

    Ubarikiwe sana mtumishi uzidi kutufindisha na kutufinua! Mimi mtumishi hapo nimeona vingi sana kwangu zaidi ya 10 Apostle,nahitaji kujifunza mengi sana kutoka kwako ili niweze kujipata Apostle naanza kugundua kitu...!

  • @angle3600
    @angle3600 5 місяців тому +2

    Mimi,napenda kuomba na kumtaja Mungu sana,ninapenda kusaidia sana,nina huruma nyingi hata hua nateseka kwa moyo ninapoona shida za wenzangu,ikuna kipindi naeza ombea mtu na akapona,lolote litakalo tokea hata kama ni kesho nitaota,hofu kipindi chengine,sipendi ogomvi,nina hasira sana ila ni mwepesi wakusamehe,hata adui yangu niko tayar kumsaidia,nafikiria sana nikifa nitakwenda ishi vipi huko,Hakika Mungu tuongoze kwenye mema

    • @shiningstarheavenlyembassy
      @shiningstarheavenlyembassy  5 місяців тому

      MUNGU akubariki SANA

    • @angle3600
      @angle3600 5 місяців тому

      @@shiningstarheavenlyembassy amiin

    • @angle3600
      @angle3600 5 місяців тому

      @@shiningstarheavenlyembassy pia wewe nawe Mungu akubariki kwa lolote utakalo fanya akutangulie na akuongoze

  • @graceyamado8578
    @graceyamado8578 6 місяців тому +1

    Mimi napenda nitabiliwe,arafu iyo yakitizama mtu unaona ugonjwa wake iyo ninayo sanaa,kingine ndoto zangu naotaga mtu ana niambia kitu "uyo mtu simuoni nasikia sauti tu"lazima icho kitu kitokee❤

  • @JeniferIminza-ur3wj
    @JeniferIminza-ur3wj 9 місяців тому +1

    Amen ata mm uwa najihisi niko na unabii lkn sijui venye nitaanza shida yangu ni maneno mengi alafu venye napitia maisha ngumu ndio maani uwa narudi nyuma

  • @user-fs1oo5mq5v
    @user-fs1oo5mq5v 4 місяці тому +1

    Mutumishi wa mungu barikiwa kabisaa

  • @JamesOdhiambo-wu2pj
    @JamesOdhiambo-wu2pj 8 місяців тому +1

    Asante, asante asante

  • @moureenmosha6587
    @moureenmosha6587 17 днів тому

    Nini nifanye napoona hali kama hiyo

  • @RivonaNtanyinya
    @RivonaNtanyinya 9 місяців тому +1

    Nimepata majibu,barikiwa mtumishi wa Mungu

  • @irenemoseti4584
    @irenemoseti4584 6 місяців тому +1

    Namshukuru sana pastor maana nimejifaamu Sasa.

  • @rhodamushumbusi7609
    @rhodamushumbusi7609 5 місяців тому

    Amina mtumishi ubarikiwe Sana, mi karibia sifa zote ninazo ila huwa najiuliza Sana nifanyeje sasa na Nani wa kunisaidia ili nifikie kusudi la mungu

  • @user-jn7vr3tb9q
    @user-jn7vr3tb9q 8 місяців тому +2

    Mungu akubariki sana, naziona nyingi kwangu, hofu ndio kikwazo kikubwa Kwa upande wangu, nahofu km nitakosea, kudanganya watu, nifanye Nini ?

  • @hidayangoda4724
    @hidayangoda4724 9 місяців тому +1

    Mtumishi yote uliyoyaelezea ni yakwangu utadhani unanujua asante sana stay blessed ❤

  • @JoshuaPeter-es4xm
    @JoshuaPeter-es4xm 8 місяців тому +1

    Ubarikiwe sana Aposlte Mm zote ninazo

  • @reginamarwa8636
    @reginamarwa8636 8 місяців тому +1

    Oooo Asante Mungu wangu.......mie naona ninazo zote.isipokua Ile ya kuota.Mungu wangu na Yesu wangu.......nimeogopa sanaaa ...dumisha kilichomo ndani yangu na ninakipokea.ninaitika kama samwel.nena bwana mtumishi wako anasikiaaaa.ninavyo viashilia karibu vyoteeeee!!!!!!

    • @shiningstarheavenlyembassy
      @shiningstarheavenlyembassy  8 місяців тому +2

      MUNGU atakusaidia na CHUKUA HATUA ya Imani! Kwa jina la YESU KRISTO

    • @reginamarwa8636
      @reginamarwa8636 8 місяців тому

      @@shiningstarheavenlyembassy Aminaaaaaaa Mungu nisaidieee

  • @jenniferandmwakikono4960
    @jenniferandmwakikono4960 9 місяців тому +1

    Asante sana mtu wa Mungu Mimi hizi 20 zote ninazo kabisaa nitakutafuta ila sijui unapatikana wapi .ila nampenda sana Yesu nilibatizwa 2006 na nabii Geor Davie na nilikuwa mwanamaombi ktk watu 5 kuombea ministry na kumuombea nabii lakini nilipata matatizo nikaondoka ila nipo nasali ktk kanisa la kiroho lakin ninakiu yakujenga ministry ili nimtumikie Mungu ila Leo umenipa ujasiri zaidi nimempanga kwenda Kwa nabii pia maana tangu niondoke sijawahi Rudi huko.mungu akutunze

  • @teresiakwambokaorangi3677
    @teresiakwambokaorangi3677 8 місяців тому +1

    ndoodo pia kushidia watu pia wantonto pia Kashi ya. Mungu kanisani watwumishi wamungu naota nikipuruka juu yahanga namuntinto watogo emeni the jasas nemu 🙏

  • @mpesastatements2265
    @mpesastatements2265 9 місяців тому +1

    Ubarikiwe sana mtu wa mungu

  • @user-rn6zu1ik4c
    @user-rn6zu1ik4c 8 місяців тому +1

    Mimi mara mingi hupenda kuomba sana,Kila mara nikipatana na changa moto hua natumia neno Kwa Imani nitashinda,Kuna wakati hua naonyeshwa mambo Kwa ndoto na baadaye nakuja kuziona adharani.. please naomba uniombee tu kama Mungu ameniitan ameniita

  • @user-ob7jh3bh9s
    @user-ob7jh3bh9s Місяць тому

    Thax man of God for the revelation

  • @user-qk3uw4jf7z
    @user-qk3uw4jf7z 4 місяці тому +1

    Asante sana Mtumishi wa Mungu Kuna kitu kikubwa nimejifunza hapa leo

    • @shiningstarheavenlyembassy
      @shiningstarheavenlyembassy  4 місяці тому +1

      MUNGU azidi kukufungua na KUKUPA hekima KUBWA Kwa jina la YESU KRISTO AMEN 🙏🙏🙏

  • @wekvawr9055
    @wekvawr9055 9 місяців тому +1

    Asante. mimi huwa roho inanitangulia kuwa hiki kitu au mtu ni mbaya na napata ni kweli .tena juzi nikaota kaburi jipya la mwanamume nisiyemjua kuamkia kesho nikapata ni kweli hadi mitandaoni na kuna zingine kama kuokota kuni mm na mamangu na mimi kukwama na nikweli kabisaa lakini Mungu ananisaidia hata kama bado,,,na napenda kuwa peke yangu,kusema ukweli,upendo na nasukumwa kumutumikia Mungu pia na maombi ila mimi ni muoga.

  • @happynesseliezel6950
    @happynesseliezel6950 9 місяців тому +1

    Hongera sana mtumishi wa mungu, na Mimi Niko hivo hivo naomba msaada wako

  • @JanetJumwa-zf7nn
    @JanetJumwa-zf7nn День тому

    Ameeeeen 🙏🙌🙏🙏

  • @EdwardYusufu-ek5gy
    @EdwardYusufu-ek5gy 9 місяців тому +1

    Ubarikiwe mwalimu nakupata sana

  • @mwavitaseremab
    @mwavitaseremab 8 днів тому

    Barikiwe Sana mtumish Wa mungu

    • @DanieryWangao
      @DanieryWangao 17 годин тому

      Nishawai kuota nimeokota biblia kipindi cha Masika mashambani sjawaii tambua ndoto hii

  • @JanetJumwa-zf7nn
    @JanetJumwa-zf7nn День тому

    Ameeeeen

  • @hirdahaule-qe8ot
    @hirdahaule-qe8ot 9 місяців тому +1

    Amina

  • @NSIAGKWEKA
    @NSIAGKWEKA 9 місяців тому +1

    Nakushukuru sana mtumishi wa Mungu Kwa kunifungua Akili. Nilikua nahisi tu ila sikua na hakika kilichomo ndani yangu.Mungu akubariki. Ntakutafuta Nina jumbe/na maonyo mengi sana juu ya Taifa na watu hata makanisa. Barikiwa.

    • @shiningstarheavenlyembassy
      @shiningstarheavenlyembassy  9 місяців тому +1

      MUNGU akubariki SANA

    • @monicasanca1865
      @monicasanca1865 9 місяців тому

      Asante mtumishi tangu nimeanza kukufuatilia nimepata baraka na mwanga flani dhidi ya ndoto na tabia zangu, Mungu azidi kukubariki

  • @everlyneimili
    @everlyneimili 7 місяців тому

    wow nimebarikiwa sana pastor nashukuru.

  • @EliaMvungi
    @EliaMvungi 3 місяці тому +1

    Na Mimi nasikiaga Sana watu wanachowaza Ila naogopa kusema pia nasikiaga sauti ya mung ikinisemesha pia naupendo na nachukia dhambi pia ukwel ninaoujua si rahix mtumish kunipotosha pia napendag kujtenga na nishawahi kukaa peke yangu kama mwaka nikiomba peke Yang Ila nilivojichangany kuomba na wezangu roho ya kuomba ikapungua pia nishawahi kufunga siku tatu kavu

  • @ChichiSekiko-go1lm
    @ChichiSekiko-go1lm 7 місяців тому +1

    Aamin mchungaji nahisi hata mimi ninachembe chembe za unabii.

  • @humblemercyy
    @humblemercyy 5 місяців тому +1

    Hapo kwa ishara ya 5 ❤️❤️ni ukweli yaani ninajua kabsa Huyu mtu Anafikiria hivi na ndo hivo inakuwa ukweli ❤🙏🙏🙏Mungu nifungue Macho

  • @appsplay4324
    @appsplay4324 6 місяців тому

    Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu

  • @wakywenaky3674
    @wakywenaky3674 9 місяців тому +1

    All of things it's me , thank God for this gift 🙏

  • @fatumatandika6220
    @fatumatandika6220 7 місяців тому +1

    Kwa kweli ninazo hizo dalili zaidi ya 15 nifanye nini na naupenda unabii .asante sana. Ingalau niko ktk hofu kipindi hiki lakini umeziondoa mungu ashukuriwe na ubarikiwe

  • @janengaga2928
    @janengaga2928 2 місяці тому

    Nichukue hatua gani mtumishi kipawa hiki kiinuke sana.

  • @irenenanjala3242
    @irenenanjala3242 8 місяців тому +1

    Nakumbuka nkiwa na mimba ya mtoto wangu 2021 my sister alikua ameoleka mwanaume fulani akamdanganya nikamwambia usioleke kwa uyo mwanaume baki kwa mzee yako maanake mtasumbuana hakunisikiza baada ya miaka miwili kujifungua aliniambia my sister kweli uliniambia still io ndoa ako tu but aina amani ni maombi tu

  • @EmmanuelSanare-bc7si
    @EmmanuelSanare-bc7si 9 місяців тому +1

    Amina🙏💪

  • @user-ir5ex1qo3f
    @user-ir5ex1qo3f 9 місяців тому +1

    Mungu akubariki sana

  • @humblemercyy
    @humblemercyy 5 місяців тому +1

    Mtumishi 🙏Nko na hiyo roho kitu inachotaka kutokea na limetokea nakuwa na ile roho inaniskuma kuomba

  • @stanleyjohn1361
    @stanleyjohn1361 9 місяців тому +1

    Mungu ni mwema

  • @user-fb2so8yg6r
    @user-fb2so8yg6r 9 місяців тому +1

    Asante sana mtumishi wa mungu ubarikiwe sana na mungu aendelee kukuinua zaidi ili uweze kusaidia wana wa mungu

    • @shiningstarheavenlyembassy
      @shiningstarheavenlyembassy  9 місяців тому +2

      Amen 🙏🙏🙏 God bless YOU

    • @user-fb2so8yg6r
      @user-fb2so8yg6r 9 місяців тому

      Usichoke kufanya haya unayoyafanya mtumishi kwa kuwa ni kwa njia hii wengi wetu tumepata kujielewa kwa kuwa yote hayo uliyoyasema kwa mfano ni ya kwangu ila huwa naogopa nikijiuliza ikiwa kama kwa kweli mungu ameniita nimtimikie kwa njia hii?Kwa kuwa tumekua katikati ya watumishi na wengine huwa hawatuambii,,,,🙏🙏

  • @musokedios8162
    @musokedios8162 9 місяців тому +2

    Naomba no yako mtu wa Mungu

  • @BellyKepher-jq7ef
    @BellyKepher-jq7ef 9 місяців тому +1

    Amina Mtumishi wa Mungu, mimi nina kipawa hicho ila nina vita vikali sana

  • @user-of1ec3yd3p
    @user-of1ec3yd3p 8 місяців тому

    Nashukuru kwa ujumbe mzuri❤❤

  • @ChristinaSamweli-le9cz
    @ChristinaSamweli-le9cz Місяць тому

    Christina samweli asante Kwa kunijilisha izi hishara ninazo

  • @AziziMapunda-vt4nv
    @AziziMapunda-vt4nv 8 місяців тому

    Nashukulu kwaahana Mimi nikoivyo asante

  • @rev.livingstoneelihuruma-fk7es
    @rev.livingstoneelihuruma-fk7es 5 місяців тому

    Yaani Kila Wakati napenda kukaa peke yangu Ili kuongea na MUNGU,pia namchukia Dhambi sana

  • @DeborahDeecassama
    @DeborahDeecassama 3 місяці тому +1

    Mtumishi nimesikiliza Sijui Kwanini nimelia 😭😭

  • @esthermasudy8415
    @esthermasudy8415 9 місяців тому +1

    Shalom Mtumishi wa Mungu. Mimi ninazo hizo ishara, namshukuru Mungu ninatumika kuwaombea wenye shida mbali mbali

  • @ChristinaSamweli-le9cz
    @ChristinaSamweli-le9cz Місяць тому

    Yani Mimi Toka niko mdogo nikisema kitu Huwa kinatokea halafu napenda sana kukaa pekeyangu Huwa najiulizaga Mimi mwenyewe moyoni mwangu sipati jibu mana sinaga rafiki

  • @maureen2151
    @maureen2151 9 місяців тому

    Barikiwa sana pastor,,

  • @rev.livingstoneelihuruma-fk7es
    @rev.livingstoneelihuruma-fk7es 5 місяців тому

    Uwezo wng wa kunusa upo juu sana,naweza kusikia harufu nzuri au mbaya hata kama IPO mkoa mwingine, pia naweza Kupambanua sauti Kwa kiwango Cha juu sana, mtu akiongea hata Neno zuri, Lkn kama Nia yake ni mbaya, Huwa namchukia tu,pia naweza kuona Vitu ktk sura za Watu, hii ni ajabu

  • @josuemalega-ec7pj
    @josuemalega-ec7pj 9 місяців тому

    ❤❤asante ubarikiwe

  • @josephmeleki3984
    @josephmeleki3984 4 місяці тому

    Nikweli kuna wakati nakua nanguvu alafu wakatimwingine nakua na ofu ninapo taja jina la yesu ofu inaisha.

  • @athumanmagomba5930
    @athumanmagomba5930 9 місяців тому +1

    Nisaidie nifanyeje Ili kulifanyia kaz ufalme wa mbinguni ume karibia amina

  • @user-sq2zk9lu4z
    @user-sq2zk9lu4z Місяць тому

    😊

  • @chrisdewill6485
    @chrisdewill6485 2 місяці тому

    Ubarikiwe Mtumishi wa Bwana.Naomba unifundishe nifanye nini ili hii karama iweze kudhihirika.

  • @ashnaom2270
    @ashnaom2270 9 місяців тому +2

    Mimi najisikia kuomba tu ila kunawakat ata nikitaka kuomba mdomo unakua mzito, pia ninajikuta nimeongea kitu kina kua kweli, mpaka najisikia vibaya kwann nimeongea, pia naweza ona mtu nika mwambia jambo likawa kwel mfano nika mtania ila nikwel na laaibu, kuna wakati staki niongee ila najikuta nimeongea , kingine naweza kukaa zangu tu nikajikuta kausingiz flan dk chache mno nikaona jambo kama naota ila huo usingiz niwatofaut nakitandan naona mpaka naogopa, ila nikiona kinakua kweli kabisa, kingine saut nasikia napata taarifa ndani yangu mabishano saut mbil nisha uliza sana natatizo gan, nishaombewa hakiachi,

  • @lucywamaitha4088
    @lucywamaitha4088 6 місяців тому +1

    Hii mafunzo yote nimeishika na hii mabo yote Niko nayo .kunjikaisha peke yangu ni sana mtumishi na pia kukasirika sana Kwa neno la mungu likiharibiwa maono ndoto ninazo na kulia sana kwa kazi ya Mungu.lakini sijaelewe nimejua Leo ni unabii

    • @shiningstarheavenlyembassy
      @shiningstarheavenlyembassy  6 місяців тому +1

      Usikate TAMAA, unaweza kuwa CHOCHOTE DUNIANI KIRAHISI MNO-Kwa jina la YESU KRISTO AMEN 🙏🙏🙏

  • @user-jw8ex6hd5m
    @user-jw8ex6hd5m 9 місяців тому +1

    Shalomu mtumishi Mara nyingi nikiota ndoto lazima itimie sijajua Nina kipawa gani

  • @user-tm2os7ex8e
    @user-tm2os7ex8e 8 місяців тому

    🎉

  • @EdithaMyenzi
    @EdithaMyenzi 9 місяців тому +1

    Bwana asifiwe Mtumishi wa MUNGU ALIE HAI mimi nimesikiliza yote ulio sema ninayo ila huwa sielewi kuwa mimi ni nani

  • @user-pn8tb2cy6c
    @user-pn8tb2cy6c 7 місяців тому +1

    Ishara nyingi ulizotaja me ninazo na baadhi ya watumishi wamenambia ninaupako wa kinabii ila sijui nianzie wapi

  • @user-ce2en8bz4w
    @user-ce2en8bz4w 7 місяців тому

    Mimi nimepata 11,jee mpakwa mafuta wa Mungu nifanye nini ilikipawa hiko kifanye kazi

  • @israelmlabwa9783
    @israelmlabwa9783 9 місяців тому +1

    MUNGU akubariki

  • @donaldmpagaze9803
    @donaldmpagaze9803 25 днів тому

    Ktk vitu 20 ulivovitaja na kuvitafsiri mimi vingi ninavyo nivichocheeje maana kutokana na maisha ninayoyapitia najikuta nimekata tamaa na ninakuwa kam nazira kwakuwa ninatendwa na wale ambao sikutegemea kuwa wangenifanyia hivo hivyo ninapoteza mambo fulani kiroho

  • @user-bo2il2ub1f
    @user-bo2il2ub1f 6 місяців тому

    Amen God bless you

    • @brightergermanus2163
      @brightergermanus2163 6 місяців тому

      MMMMM. MHUU YOTE 20 ULIYOYASEMA NINAYO NI HATARI MNOO UMEMIGUSAA MTUMISHI WA MUNGU

  • @user-bz8xx3hy1r
    @user-bz8xx3hy1r 6 місяців тому

    Na ninaota sana niko na asha watu na nilisha ota nipo kwenye kanisa la wachungaji

  • @biblicalfactsnakedtruth6606
    @biblicalfactsnakedtruth6606 6 місяців тому

    Jameni Mimi Niko na hiyo roho apostle ila TU zojaombea itimie zote ishara pamoja na kuombea watu Mimi umia kabisa nikiona wagonjwa nadai hizo vipawa

  • @aggiekenya
    @aggiekenya 6 місяців тому +1

    Napenda vitu mingi sana hapo definitely mimi ni nambii..how to activate nataka kumfanyia mungu kazi kabisa

  • @gracesidi8182
    @gracesidi8182 7 місяців тому +1

    Karibu vipengele vyote hunitukia sasa hiyo ni kumaani niko na roho ya kinabii

  • @elizabethkivuruga5351
    @elizabethkivuruga5351 8 місяців тому

    Mtumishi mm nikilala hasa mchana naota kila kitu kinachoendelea ktk vyote vinavyoendelea.pia naweza kujua kitu kilicho ndani yake nguvu inayomdrive.

  • @okoambwaga6365
    @okoambwaga6365 7 місяців тому

    Du!jaman mm hayoyote yanatokea nikisema inakuwa napia niliota naongea na ndege na waelewa wanacho ongea napia niliwahi kuota ninaonyeshwa watu wanateswa na wachawi nami nilisimama miguu yangu ikawa haikanyagi chin nikaita moto namoto ukatokea ukawaunguza wale wachawi wakawa majivu na watu wakawa huru wakawa wanashangilia jamani sijui hata lakufanya

  • @josephineuriyo8666
    @josephineuriyo8666 8 місяців тому +1

    MIMI NI NABIII HAKIKA NYINGI MNOOO KARIBU ZOTE NINAZO

  • @doreenhallai2060
    @doreenhallai2060 9 місяців тому +1

    Nikisema kitu lazima kitokee na mara nyingine huwa naogopa kusema. Na nikiota ndoto utokeakwa kweli

  • @Emmahmwende-bo6zc
    @Emmahmwende-bo6zc 9 місяців тому

    Jesus Christ is lord

  • @dorismasakia9839
    @dorismasakia9839 9 місяців тому +1

    👏

  • @user-bz8xx3hy1r
    @user-bz8xx3hy1r 6 місяців тому +2

    Nimewai kuota ninatembea na mchungaji juu ya maji na nilishawai kuota mtu simuoni sura ananiambia nitoe pepo akaniita Simon petro ma alikuwa amejifunga kiuno chake kwa kitu kama kamba

  • @gladyswekesa6280
    @gladyswekesa6280 6 місяців тому +1

    Hizo ndio huwa zinanitokea mara Kwa mara

  • @teresiajumwaamosteresiajum7667
    @teresiajumwaamosteresiajum7667 26 днів тому

    Mimi nimtu wakuota. Kila.wakati naonyeswa vitu vitakavyo.tokea.badaye