MBEGU YA KISASA YA MAPAPAI (MALKIA)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 січ 2018
  • Video imedhamiria kuelezea juu ya mbegu ya kisasa ya mapapai aina ya Malkia, imeandaliwa na wataalamu kutoka Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine (SUA) idara ya Uhandisi, Extension Group 1. Lengo kuu ni kumsaidia mkulima kukuza kipato kupitia mavuno mengi na bora kutoka kwa mbegu ya kisasa ya Malkia.
    NI MATUMAINI YETU VIDEO HII ITAKUSAIDIA NDUGU MTAZAMAJI KUKUZA UELEWA JUU YA KILIMO CHA PAPAPI KWA KUTUMIA MBEGU YA KISASA.
    Kwa maelezo zaidi waweza wasiliana nasi kupitia:
    Tel: 0713-053032, 0743-204005
    Email: ghuda.dan@gmail.com

КОМЕНТАРІ • 33

  • @gonsalvamswaga6471
    @gonsalvamswaga6471 6 років тому +4

    mbegu hii ni zuri ila nasikitika kuwa hamjui kuelekeza vizuri mtu akaelewa vizuri

  • @yakamathew1910
    @yakamathew1910 5 років тому +1

    Ni taaluma nzr sana, asanteni sana

  • @raselmadaha6831
    @raselmadaha6831 5 років тому

    Hongereni sana. Keep it up

  • @joystanford8080
    @joystanford8080 6 років тому

    keep it up young bro

  • @maryprincess4657
    @maryprincess4657 5 років тому

    Excellent brothers .....!!!keep it up

  • @emmanuelfrancis4209
    @emmanuelfrancis4209 5 років тому

    Hongera sana Brother

  • @johnmbelwa2709
    @johnmbelwa2709 4 роки тому

    Maelekezo mazuri,

  • @josephinekinyaga4941
    @josephinekinyaga4941 5 років тому

    asante. sikujua lakini nimejifunza nimeelewa. MUNGU awabariki.

  • @VailethMmari-yo8el
    @VailethMmari-yo8el Рік тому

    Napataje mbegu au miche

  • @joshuamahenge4607
    @joshuamahenge4607 6 років тому

    asanten san wataalam

  • @user-qs9rn2je4c
    @user-qs9rn2je4c 6 років тому

    saw yana kuwa kwa mda han sasa bon hamsemi

  • @pantamtui1139
    @pantamtui1139 4 роки тому

    Mtui

  • @juliuskatemi6816
    @juliuskatemi6816 6 років тому

    vizuri sana..
    lakini ili msaidie watu wengi zaid munge acha mawasiliano yenu.

  • @nelsonsalim6583
    @nelsonsalim6583 6 років тому

    hello ,
    naomba garama ya mbegu inayotosha 4 acres ( miche 1200 Kwa acre)..?

  • @j.temanyaesq.7716
    @j.temanyaesq.7716 6 років тому

    Hiyo mbegu ya Malkia inastawi katika udongo upi? Kiasi gani cha mbegu kinatosha kwa ekari 3. Bei yake je? Kuna ushauri wa kitaalamu mnaotoa kwa wakulima?

  • @johnmbelwa2709
    @johnmbelwa2709 4 роки тому

    Wapi inaweza kupata kwa Dar es Salaam,na in being gani,
    Na pia hapi chuoni mnaziuza hizo mbegu kiasi ganina ngapi zinakuwemo ndani ya package?

  • @heusenkibiriti4495
    @heusenkibiriti4495 6 років тому

    Naomba kufahamu suala moja kama naweza kupata mbegu za papai? Kwakuwa
    shamba langu lipo Mkuranga, Pwani naona nitashindwa kusarisha miche
    hivyo kama itapata msaada wa kuotesha shambani kwangu itakuwa bora
    zaidi.

  • @jameskihonge6467
    @jameskihonge6467 6 років тому

    Hi..can you send me seeds in Kenya?

  • @lutammasawa6075
    @lutammasawa6075 6 років тому

    Uwiano was samadi na udongo?2ukubwa wa shimo LA.kupanda.mpapai?

  • @milluabdul1072
    @milluabdul1072 6 років тому

    Mbegu za papai husaidia uzazi unafanyaje ?

  • @malavasu6039
    @malavasu6039 3 роки тому

    nita pata wapi mbegu hiyo mwanza

  • @aniri298
    @aniri298 6 років тому

    habali mpendwa izo mbegu tunapataje

  • @africadolimited6642
    @africadolimited6642 5 років тому

    Mbegu za kisasa za papai za hybrid tuwasiliane 0752972727
    Tembelea tovuti yetu www.formalagro.blogspot.com

  • @Majengojr
    @Majengojr 5 років тому +1

    Mikoani zinafika??

  • @mossesanney3578
    @mossesanney3578 6 років тому

    kwa mbegu miche ya papai za kisasa kabisa tuwasiliane 0752972727

    • @joycemalongo9050
      @joycemalongo9050 6 років тому

      mosses anney unapatikana wapi mm nipo Kibaha.

  • @chrysostomngonyani6456
    @chrysostomngonyani6456 6 років тому

    Mawasiliano yakupata mbegu twayapataje