Rais mst. Jakaya Kikwete anavyotekeleza kwa vitendo 'Kilimo Kwanza' (MAKALA YA SHAMBANI - AZAM TWO)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 січ 2018
  • Rais mstaafu Jakaya Kikwete atekeleza kwa vitendo sera ya kilimo kwanza katika eneo la Kiwangwa Bagamoyo Mkoa wa Pwani kwa kulima Nanasi na Papai
  • Спорт

КОМЕНТАРІ • 32

  • @AmerdaKavishe-pu3cf
    @AmerdaKavishe-pu3cf 5 місяців тому

    Ongera raisi wangu

  • @othmanikilaya6899
    @othmanikilaya6899 2 роки тому

    Upo vzr San rais msitaafu

  • @inocentbaba7602
    @inocentbaba7602 5 років тому

    safi sana raising wetu waukweli maisha safi hata Mimi nimekuiga

  • @josephatkimbavala1988
    @josephatkimbavala1988 3 роки тому

    Hongera sana mstafu wetu

  • @anzurunishaha1372
    @anzurunishaha1372 5 років тому

    Safi sana mzee baba jakaya nakukubali sana

  • @jonaskabonda741
    @jonaskabonda741 6 років тому +2

    Ni nzuriii sana,,wengi wanatamani Sana Kuwa hivyo tatizo mtaji

  • @raziahhassan750
    @raziahhassan750 6 років тому

    kilimo kwanza,inspires me than ever..lets fight Watanzania

    • @africanhappyadventure6951
      @africanhappyadventure6951 6 років тому

      raziah hassan ...Kilimo kwanza ilikuwa ya Maana sana sema tumeiweka kando tungekuwa na Akili Tungeshafika Mbali ila tukubali tukatae Viwanda bila kilimo ni sawa na Bure tuuu.. Mzee wee Piga Kazii

  • @peterbayo4677
    @peterbayo4677 6 років тому

    Kumbe!! Hongera sana Jakaya

  • @immamtaki6653
    @immamtaki6653 6 років тому

    Mzee uko vizuri.

  • @kulwajoseph1251
    @kulwajoseph1251 6 років тому

    hongera mh

  • @gm7045
    @gm7045 6 років тому

    Create juice factory jameni..

  • @superangeltv4615
    @superangeltv4615 3 місяці тому

    Kwann watu wanaujumu selekali wakati fursa ipo

  • @wazirihamisi6484
    @wazirihamisi6484 3 місяці тому

    Watu wana mapesa NABADO awaridhiki ww huna chochote alafu hutaki kujituma

  • @ntibashimadicksonyingo7908
    @ntibashimadicksonyingo7908 Рік тому

    Jamaa alijimilikisha sana mashamba ya mananasi hapo Kiwangwa duuu

  • @ibrahimshilinde6129
    @ibrahimshilinde6129 6 років тому

    hakili ya kuambiwa changanya na ya kwako

  • @ramadhanimussa882
    @ramadhanimussa882 6 років тому

    Mzee umeamua jambo jema sisi unaoamini katika kilimo tunasema kilimo ndio uti wa mgongo wa dunia

  • @ksmally1985
    @ksmally1985 6 років тому +1

    Tunaomba mtaji mheshimiwa JK

    • @m.mmarckus6298
      @m.mmarckus6298 6 років тому

      Kassim Ally pambana nahali yako nayeye anapambana nahali yake.hahahahahaha

  • @user-qs9rn2je4c
    @user-qs9rn2je4c 6 років тому

    jama

  • @fredwaa6330
    @fredwaa6330 6 років тому

    Mm najua hk 400 na co 200

  • @kolinsimahanga9845
    @kolinsimahanga9845 5 років тому

    bro ngamange

  • @user-qs9rn2je4c
    @user-qs9rn2je4c 6 років тому

    jaman mi hii kax naipeda san tupen no zenu tupate masomo

  • @flxgreen6346
    @flxgreen6346 6 років тому

    Kiwanda cha juice ya mananasi .

  • @deusstanslaus6925
    @deusstanslaus6925 6 років тому +1

    mzee nakupongeza kwa hilo

    • @awadhsaleh2354
      @awadhsaleh2354 6 років тому

      big up mzee

    • @stanleymfikwa8237
      @stanleymfikwa8237 6 років тому

      Hongera mheshimiwa tupo pamoja.

    • @vailethjohansen8873
      @vailethjohansen8873 6 років тому

      deus stanslaus safi sana nimependa

    • @m.mmarckus6298
      @m.mmarckus6298 6 років тому

      Stanley Mfikwa haaaaaaaa nimecheka kwasauti,mpo pamoja nawakati analima kwanguvu zake nakula mavuno na familia yake

  • @avax5717
    @avax5717 5 років тому

    mtaji alioweka hapo si mchezo, kwanza maji tu hapo ni mamilioni tayari. Sisi maskini tulie tu.