#SHAMBANI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 лют 2021
  • Kilimo cha papai,ni kilimo ambacho kinafaida ya muda mfupi na pia gharama ya kufanya kilimo hichi ni ndogo ukilinganisha na mazao mengine,ambapo pia unaweza kufanya kilimo mseto ili uweze kunufaika vema na shamba lako.

КОМЕНТАРІ • 11

  • @bonytarimo2877
    @bonytarimo2877 3 роки тому

    Hongera mtaalam kwa Elimu Tunaomba no yako

  • @philiponkoswe5319
    @philiponkoswe5319 2 роки тому +1

    Asante kwa kipindi bora

  • @mrmahmoud1278
    @mrmahmoud1278 3 роки тому +2

    Hongera mkulima ila ungepunguza utegemezi wa mbegu za kisasa. Bado mbegu za kiasili tunatoa katika papai na zinafanya vizuri sana na zina faida zifuatazo ukilinganisha na za kisasa.. 1. Papai lake tamu zaidi 2. haziathiriki na magonjwa kirahisi. 3. zinastahamili ukame 4. hazina gharama 5. Unazipata muda wowote nk

  • @evakanyeka6994
    @evakanyeka6994 Рік тому

    Tunaomba namba ys cmu tafafhali

  • @rahmaguchiba7300
    @rahmaguchiba7300 3 роки тому

    Naomba namba za cm kwa mafunzo zaidi na kuhusu masoko

  • @richardmatete9679
    @richardmatete9679 3 роки тому +1

    Umetuelekeza vizuri inahamasisha ombi,tuwekee namba ili tupate maelekezo zaidi ya hapo