KILIMOSHARE
KILIMOSHARE
  • 2
  • 57 104
Mapishi ya 'Bullets' kwa kutumia Breadfruit (SheliSheli)
Baada ya kuwaletea elimu juu ya tunda aina ya Shelisheli (Breadfruit) watazamaji wetu waliomba elimu juu ya uandaaji wa tunda hili.
KilimoShare inakuletea kipindi hiki ili kukufundisha hatua kwa hatua juu ya uandaaji wa 'Meat Bullets' kwa kutumia Shelisheli.
Karibu na ungana nasi na pia usisahau Ku_subscribe, Ku_share, Ku_Like pamoja na kuacha comment yako hapo chini.
Asante kwa mpishi wetu; Peris Jacton pamoja na mgeni wetu; Emma George.
Kwa Maswali, Msaada na mahitaji ya tunda hili, Breadfruit (Shelisheli) pamoja na Miche ya Breadfruit, waweza kuwasiliana nasi.
Email: kilimoshare@gmail.com
Phone: 0745184012/0753639961
Переглядів: 887

Відео

MBEGU YA KISASA YA MAPAPAI (MALKIA)
Переглядів 56 тис.6 років тому
Video imedhamiria kuelezea juu ya mbegu ya kisasa ya mapapai aina ya Malkia, imeandaliwa na wataalamu kutoka Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine (SUA) idara ya Uhandisi, Extension Group 1. Lengo kuu ni kumsaidia mkulima kukuza kipato kupitia mavuno mengi na bora kutoka kwa mbegu ya kisasa ya Malkia. NI MATUMAINI YETU VIDEO HII ITAKUSAIDIA NDUGU MTAZAMAJI KUKUZA UELEWA JUU YA KILIMO CHA PAPAPI KWA KUT...

КОМЕНТАРІ

  • @VailethMmari-yo8el
    @VailethMmari-yo8el Рік тому

    Napataje mbegu au miche

  • @malavasu6039
    @malavasu6039 3 роки тому

    nita pata wapi mbegu hiyo mwanza

  • @pantamtui1139
    @pantamtui1139 4 роки тому

    Mtui

  • @johnmbelwa2709
    @johnmbelwa2709 4 роки тому

    Maelekezo mazuri,

  • @johnmbelwa2709
    @johnmbelwa2709 4 роки тому

    Wapi inaweza kupata kwa Dar es Salaam,na in being gani, Na pia hapi chuoni mnaziuza hizo mbegu kiasi ganina ngapi zinakuwemo ndani ya package?

  • @jumakauli9696
    @jumakauli9696 4 роки тому

    TANZANIA YA VIWANDA: Sijambo. Haujambo? TULIME KISASA MIPAPAI CHOTARA AINA YA MALKIA F 1: Kama kweli unataka kulima mipapai chotara tia vocha kwenye simu yako kisha nipigie simu au tuwasiliane kwa meseji kupitia Whatsapp ili nikuelekeze bure kuanzia kuotesha mbegu wewe mwenyewe hadi kupandikiza miche shambani mpaka kuvuna mapapai au uniulize swali kuhusu kilimo hiki cha mipapai chotara nitakujibu. MAWASILIANO YANGU NI HAYA HAPA. Namba yangu hii ya simu iko wazi usiku na mchana nayo ni TIGO 0715237482. Namba zangu hizi za simu hapa chini zipo wazi mchana tu nazo ni AIRTEL 0782456794 pia TIGO 0712820392 pia hii ni namba ya simu na Whatsapp HALOTEL 0621003274 WATANZANIA TUPEANE BURE MAARIFA YA KIUCHUMI ILI SISI NA NCHI YETU TUINGIE KWENYE UCHUMI WA KATI WA VIWANDA. Juma Musa Kauli.

  • @Majengojr
    @Majengojr 5 років тому

    Mikoani zinafika??

    • @selemanishanijumanne2373
      @selemanishanijumanne2373 5 років тому

      Fukutwe Mkhwitaghwe Ndio zinafika, wasiliana na ‭0745 184 012 au 0753639961

  • @africadolimited6642
    @africadolimited6642 5 років тому

    Mbegu za kisasa za papai za hybrid tuwasiliane 0752972727 Tembelea tovuti yetu www.formalagro.blogspot.com

  • @yakamathew1910
    @yakamathew1910 5 років тому

    Ni taaluma nzr sana, asanteni sana

  • @maryprincess4657
    @maryprincess4657 5 років тому

    Excellent brothers .....!!!keep it up

  • @raselmadaha6831
    @raselmadaha6831 5 років тому

    Hongereni sana. Keep it up

  • @emmanuelfrancis4209
    @emmanuelfrancis4209 5 років тому

    Hongera sana Brother

  • @josephinekinyaga4941
    @josephinekinyaga4941 6 років тому

    asante. sikujua lakini nimejifunza nimeelewa. MUNGU awabariki.

  • @lutammasawa6075
    @lutammasawa6075 6 років тому

    Uwiano was samadi na udongo?2ukubwa wa shimo LA.kupanda.mpapai?

  • @gonsalvamswaga6471
    @gonsalvamswaga6471 6 років тому

    mbegu hii ni zuri ila nasikitika kuwa hamjui kuelekeza vizuri mtu akaelewa vizuri

  • @heusenkibiriti4495
    @heusenkibiriti4495 6 років тому

    Naomba kufahamu suala moja kama naweza kupata mbegu za papai? Kwakuwa shamba langu lipo Mkuranga, Pwani naona nitashindwa kusarisha miche hivyo kama itapata msaada wa kuotesha shambani kwangu itakuwa bora zaidi.

  • @jameskihonge6467
    @jameskihonge6467 6 років тому

    Hi..can you send me seeds in Kenya?

  • @milluabdul1072
    @milluabdul1072 6 років тому

    Mbegu za papai husaidia uzazi unafanyaje ?

  • @mossesanney3578
    @mossesanney3578 6 років тому

    kwa mbegu miche ya papai za kisasa kabisa tuwasiliane 0752972727

    • @joycemalongo9050
      @joycemalongo9050 6 років тому

      mosses anney unapatikana wapi mm nipo Kibaha.

  • @j.temanyaesq.7716
    @j.temanyaesq.7716 6 років тому

    Hiyo mbegu ya Malkia inastawi katika udongo upi? Kiasi gani cha mbegu kinatosha kwa ekari 3. Bei yake je? Kuna ushauri wa kitaalamu mnaotoa kwa wakulima?

  • @nelsonsalim6583
    @nelsonsalim6583 6 років тому

    hello , naomba garama ya mbegu inayotosha 4 acres ( miche 1200 Kwa acre)..?

  • @user-qs9rn2je4c
    @user-qs9rn2je4c 6 років тому

    saw yana kuwa kwa mda han sasa bon hamsemi

  • @juliuskatemi6816
    @juliuskatemi6816 6 років тому

    vizuri sana.. lakini ili msaidie watu wengi zaid munge acha mawasiliano yenu.

  • @aniri298
    @aniri298 6 років тому

    habali mpendwa izo mbegu tunapataje

  • @chrysostomngonyani6456
    @chrysostomngonyani6456 6 років тому

    Mawasiliano yakupata mbegu twayapataje

  • @joystanford8080
    @joystanford8080 6 років тому

    keep it up young bro

  • @joshuamahenge4607
    @joshuamahenge4607 6 років тому

    asanten san wataalam