Azam TV - Ufugaji wa kisasa wa samaki kwa kutimia tenki la maji
Вставка
- Опубліковано 3 сер 2024
- Huenda unapenda kufuga samaki, lakini unashindwa kwakuwa hakuna sehemu ya kutosha. Makala ya Shambani iliyoandaliwa na mwandishi wa Azam TV Jamaly Hashim, inatoa darasa la ufugaji huo wa kisasa.
Azamu ni the Best Duniani
Unga,michezo,Elim tv
Somo zuri sana. Mawasiliano na hao wataalamu yanapatikana vipi?
Mawasiliano ni muhimu, na je tunafanyaje hili kupata kuyatengeneza au mtengenezaji ni nani na anapatikana wapi!? kwa sababu umetuacha njia panda!
Naomba mawasiliano me nipo mjin mfumo huo nimeupenda na ninauhitaji sana
We need contacts to get the experts.
jaman mawasiliano pls muhimu
Nawapataje
fundi wa kutengeneza ayo mateki
Tatizo mawasiliano hamuweki
Naomba mawasiliano na mtaalam wa ufugaji wa samaki please
Naomba mawasiliano yao nahitaji kufuga samaki tafadhali
Tupatie I nombari zenu za simu
Umeme umeme umeme umemeeeee eti umesema umeme unahitajika masaa 24 duh
Edson Teri solar ni umeme pia. Ndugu usikatishwe tama na changamoto ya umeme.