ALIBEBA ZEGE/SASA ANAINGIZA MKWANJA NA KILIMO CHA MAPAPAI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 сер 2024
  • #PAPAI #KIHORO #MCLDIGITAL #MAKALA
    ‘’Changamoto ni mwanzo wa mafanikio, huwezi kupata mafanikio bila kupitia changamoto.’’ Ally Said Kihoro

КОМЕНТАРІ • 32

  • @babalois7240
    @babalois7240 4 роки тому +2

    Super One..

  • @user-qx8yn6bl2k
    @user-qx8yn6bl2k 8 місяців тому

    Asante kwa elimu nzuri lakini nilihitaji kujuwa jee. Mipapai inakubali kwenye udongo aina yoyote?

  • @yusufally6853
    @yusufally6853 4 роки тому +1

    Congratulation

  • @saidmabrouknassor4229
    @saidmabrouknassor4229 4 роки тому

    Mashaallah

  • @user-kv8pc1ir4w
    @user-kv8pc1ir4w 6 місяців тому

    Kwann usitugeiye namba Yako kwajilibya ushaur

  • @jumakauli9696
    @jumakauli9696 4 роки тому +1

    TANZANIA YA VIWANDA: Sijambo. Haujambo? Huyu MR. PAPAI Jina lake ni ALI SAIDI KIHORO. Namba yake ya simu ni 0678970256 yupo karibu na uwanja wa ndege wa MWL. NYERERE Kipawa Dar es Salaam. Ni vizuri namba yake ya simu angelikuwa anaiandika mwanzo, katikati na mwisho wa video kuliko kuitaja haraka kwa mdomo. Kwani baadhi ya watu hawana muda au MB za kuweza kuisikiliza video kwa makini mwanzo hadi mwisho na kuirudia tena video hiyo ili kuweza kuielewa vizuri.. VIWANDA VINAHITAJI UJUZI NA KUJITUMA. aeiou.

  • @netxtv3887
    @netxtv3887 4 роки тому

    Nimepata elimu kwahapo aiseee....maana nahitaji nilime icho kilimo.....je ninaweza kupata kwa upana wa 2×2??

  • @muhammedwakif6216
    @muhammedwakif6216 4 роки тому

    Kitu unachokipenda lazima ujifunze

  • @lucianomakenza8717
    @lucianomakenza8717 4 роки тому

    Tangaza namba zako Aly

  • @netxtv3887
    @netxtv3887 4 роки тому

    Vp Bei ya @ mche wa papai

  • @laurentmodest3603
    @laurentmodest3603 4 роки тому +2

    Saf naomba namba

  • @winifridachaula8926
    @winifridachaula8926 5 років тому +2

    Unapatikana wapi? Na pia naomba unisaidie mawasiliano

    • @JackCharlesTv
      @JackCharlesTv 4 роки тому

      winifrida chaula 0678-970 256

    • @allykihoro5947
      @allykihoro5947 4 роки тому

      napatikana maisha plus (kituo airport dar es salaam ) number 0678970256

    • @queensophy7700
      @queensophy7700 3 місяці тому

      ​@@allykihoro5947 Asantee kwa Elimu Yako nakupigia hivi punde

    • @queensophy7700
      @queensophy7700 3 місяці тому

      ​@@allykihoro5947 Kaz nzuri

  • @maryammaram2612
    @maryammaram2612 5 років тому +2

    Tupe namba yako kaka 🌱🌱

    • @maryammaram2612
      @maryammaram2612 4 роки тому

      @@JackCharlesTv eeh kaka sio vibaya kama unayo nia ya kunisaidia si unipatie thu hapa namba zake imekuwa mpk wasap tena mmh🤔🤔

    • @JackCharlesTv
      @JackCharlesTv 4 роки тому

      0678-970 256

    • @allykihoro5947
      @allykihoro5947 4 роки тому +1

      0678970256

  • @erickmsele6274
    @erickmsele6274 Рік тому

    Unapatikan wap hyo Niko dar

  • @bintiiddy7043
    @bintiiddy7043 3 роки тому

    Tatizo nipale unapo panda mpapai mwisho wasiku unaukuzaaa halah unakuwa dume

    • @schosay_
      @schosay_ 2 роки тому +1

      Hapo tatizo linakua umechagua mbegu mbaya. Chukua mbegu za kisasa kama Malkia ambazo hazina dume

  • @jumakauli9696
    @jumakauli9696 4 роки тому +2

    TANZANIA YA VIWANDA: Sijambo. Haujambo? Kwa watanzania wengi tuna ubinafsi na uchoyo wa kupeana ujuzi wa kiuchumi. Sidhani kama atakupatia namba yake ya simu. Kwani wengi wetu huwa tunaficha MAARIFA bora ya kiuchumi kwa sababu huwa hatupendi mtu mwingine ajue ujuzi wa kiuchumi nilionao mimi kwa kuhofia kuwa akijua atamaliza pesa zote za Tanzania na wateja wote sokoni. Kama kweli unataka kulima mipapai hii chotara aina ya MALKIA F 1 au aina nyingine ya mipapai chotara tia vocha kwenye simu yako kisha wasiliana na mimi kwa simu au kwa njia ya meseji kwenye Whatsapp nami nitakuelekeza bure kila kitu unachotaka kujua kuanzia A hadi Z au niulize swali lolote kuhusu kilimo cha haya mapapai chotara na nitakujibu bure. Pia ukitaka kununua mbegu za mipapai chotara kama haujui mahali pa kupata mbegu na iwapo utapenda nitakuunganisha na mawakala wanaouza mbegu bora ili uoteshe miche wewe mwenyewe ya mipapai hii hapo hapo nyumbani ulipo ila uwe na maji ya kudumu kwa ajili ya kumwagilia miche ikiwa kitaluni na shambani. Kwani kuotesha miche ni rahisi mno ila mche mmoja wa mpapai chotara wanauza Tshilingi elfu mbili au elfu tatu au zaidi. Mpapai mmoja unazaa mapapai 60 hadi 130 kwa mwaka. Eka moja inaingia mipapai 1200 au idadi utakayopenda kutegemea na kipimo cha upandaji shambani utakachopenda kutumia. Papai moja uza shambani kwa Tzshilingi 500. Mipapai hii inazaa vizuri kwa muda wa miaka 3 mwisho 5. Hii namba yangu ya simu iko wazi usiku na mchana nayo ni TIGO 0715237482 ila namba zangu hizi zifuatazo zipo wazi mchana tu nazo ni AIRTEL 0782456794 pia TIGO 0712820392 pia hii ni namba yenye Whatsapp HALOTEL 0621003274 WATANZANIA TUPEANE BURE MAARIFA YA KIUCHUMI ILI TUENDE KWENYE UCHUMI WA KATI. Juma Musa Kauli. aeiou.

  • @rahmarahma6259
    @rahmarahma6259 4 роки тому

    Noomba no yk, yng 0717 020 868,nahitaji hiyo miche