HII NDIO FALSAFA ITAKAYO KUONGEZEA WATEJA NA MAUZO KWENYE BIASHARA | Victor Mwambene.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 жов 2024
  • Baada ya kutazama somo hili utajifunza Falsafa itakayo kusaidia kuongeza wateja na mauzo katika biashara yako mara kumi zaidi kama utaitumia kama nilivyo ifundisha hapa.
    .
    Tafadhali Usiache Ku-SUBSCRIBE na kubonyeza alama ya kengele ili uwe wa kwanza kupata taarifa ya somo jipya tunapo kuwekea.
    .
    KUMBUKA, Masomo haya yanakujia kila siku ya J’pili yenye lengo la kukusaidia kuwa na akili ya fedha pamoja na akili ya Biashara.
    .
    Kwa Mafunzo au Kupata Vitabu vyangu vya Fedha na Biashara Tafadhali wasiliana nami kwa 0744126640. Nitumie Majina yako Whatsapp Kupitia namba hiyo ili tukuunge kwenye Kundi letu la Whatsapp uzidi Kujifunza kutoka kwangu.
    KUPATA VITABU PIGA 0744126640 / 0658503737.
    1. KANUNI 20 ZA FEDHA.
    2. JINSI YA KUANZISHA NA KUKUZA BIASHARA.
    3. NGUVU YA KUJUA.

КОМЕНТАРІ • 33

  • @ShamsaShamsa-i6i
    @ShamsaShamsa-i6i 8 місяців тому

    Mimi nataka uwe mentor wangu. Nakushukuru kwa mafundisho yako, god bless you❤

  • @alextzatv
    @alextzatv 11 місяців тому +1

    Mungu aendelee kukujulia hekima hii ya kuelimisha uweze kuwafikia watu weng zaid

  • @mathiassimkoko787
    @mathiassimkoko787 11 місяців тому +1

    Ujumbe mzuri mkuu, nataka uwe mentor wangu

  • @annmulu9521
    @annmulu9521 11 місяців тому +1

    Nashukuru sana nimeishi kujiulizs maswali mengi lakini nimepata jibu kuhusu biashara yangu

  • @stanleynombwe4865
    @stanleynombwe4865 Рік тому +1

    Ukiwa mkarimu na ukarimu wako kwa wateja ukazidi ujuwe unakalibisha kukopwa 😂😂😂😂

  • @ramaahke512
    @ramaahke512 6 місяців тому +1

    👍

  • @DismasMazebele
    @DismasMazebele 10 місяців тому

    Somo zuri Sana Kaka, napenda Sana napia kazi zako nazifatilia Mara Kwa mara

  • @marylinegoodluck-fj1zc
    @marylinegoodluck-fj1zc Рік тому +2

    Asantr napata mafunzo kupitia masomo yako

  • @meck_eight255
    @meck_eight255 11 місяців тому +1

    Asante Sana Kaka Mwambene

  • @-SIRIA-DANI.
    @-SIRIA-DANI. 6 місяців тому +1

    Mkuu mimi kwa kweli nakukubali vibaya mno

  • @ahmedsaid2223
    @ahmedsaid2223 Рік тому +1

    shukran indeed
    mafunzo mazuri

  • @dubigutv2957
    @dubigutv2957 2 місяці тому

    Do you have any business bravo.....(mkutadha wa biashara ni muhimu pia)

  • @NsumbaHerbal
    @NsumbaHerbal Рік тому +1

    Nimesikiliza hadi mwisho, Nimepata Somo Mkuu

  • @danielfesto6621
    @danielfesto6621 5 місяців тому +1

    Nipo iringa napataje vitabu vyako...SoMo lako ni zuri sana

    • @victormwambene
      @victormwambene  5 місяців тому

      Nina Vitabu vitatu, Kupata Vitabu vyangu Nipigie 0744126640. kitabu kimoja elfu 20. Tupo Dar, Kutuma Iringa ni Elfu 5 Usafiri.

  • @Jaykifurushi
    @Jaykifurushi 3 місяці тому

    Mbona nyie mnaongeleaga watu wenye maduka tu sisi machinga wakutembea hamna au sio biashara

  • @MOTecnology
    @MOTecnology Рік тому +3

    Brother Victor unafanya Vizuri Sana so nilitaka tusaidiane kitu, nataka nikuboreshee video zako kama zile za Joel Nanauka au Ezden Jumanne... Naweza kuediti vuzuri na kuandaa location. Hii kazi naipenda mno nipe fursa uwone kaka.

  • @JacksonMinja-cd4nt
    @JacksonMinja-cd4nt 5 місяців тому +1

    🎉

  • @OphedNzavilo
    @OphedNzavilo 11 місяців тому +1

    Vitabu vinapatikana maduka gani kakaa

    • @victormwambene
      @victormwambene  11 місяців тому

      Tupo Mlimani City Dar es Salaam, Naomba Tuwasiliane Kwa 0744126640.

  • @mudathirhalfan9556
    @mudathirhalfan9556 8 місяців тому

    Ahsanye kaka

  • @JulianaMwova
    @JulianaMwova Рік тому +1

    Mimi niko kenya nawezaje kuvipa vitabu hivyo

    • @victormwambene
      @victormwambene  11 місяців тому

      Tunakutumia Kwa basi Mpendwa. Nitafute What'sapp 0744126640

  • @thabitikakolo938
    @thabitikakolo938 11 місяців тому +1

    Nimekusikiliza mpaka mwisho nahitaji hivyo vitabu navipataje nipo Dodoma

    • @victormwambene
      @victormwambene  5 місяців тому

      Nina Vitabu vitatu, Kupata Vitabu vyangu Nipigie 0744126640. kitabu kimoja elfu 20. Tupo Dar Mikoani tunatuma.

  • @MusaFungo-m6e
    @MusaFungo-m6e 9 місяців тому +1

    Nawezaje kupata vitabu vyako mimi nipo geita

    • @victormwambene
      @victormwambene  9 місяців тому

      Naomba Namba yako Mpendwa, Ili Nikupigie.

  • @NsumbaHerbal
    @NsumbaHerbal Рік тому +1

    Et unapost vyombo tu😀😀

  • @ROBERTKYANGWE-r2s
    @ROBERTKYANGWE-r2s 9 місяців тому +1

    Kaka tutengenezee group Whatsapp

  • @JacksonMinja-cd4nt
    @JacksonMinja-cd4nt 5 місяців тому

    🎉