From south Africa Durban dua Na shukrani kwa Joel ni Nyingi kwake tukiongeza Na hili la kuto kuskip tangazo tutatisha sana mimi nime amua kufanya hivyo ni kiwa hapa wewe je?❤❤🙏🙏
Kk Joel ...icho kiatab Cha jack ma kinaitwaje...maana nataka nijua ni njian gan alitumia kuanzaisha hiyo kampuni yake, mtaji aliokua nao,watu alioshirikoana nao...nahitaj kujua Zaid
From south Africa Durban dua Na shukrani kwa Joel ni Nyingi kwake tukiongeza Na hili la kuto kuskip tangazo tutatisha sana mimi nime amua kufanya hivyo ni kiwa hapa wewe je?❤❤🙏🙏
Asante sana barikiwa
Somo hili linatoa msukumo na moyo wa kuthubutu,asante kwa kujitoa kuwafumbua macho vjn wenzio!
Asante Kaka Mungu azidi Kuku Linda 🎉🎉🎉✍️🇨🇩
TUNASUBIRIA BOSS WETU MAANA MASOMO YAKO KWELI
YAKO VINZURI SANA KAZI YAKO NI NJEMA SANA❤❤❤
Mungu akutunze sana baba nimeanza kujipata Toka nipoanza kuhuzurua event barikiwa mnoo 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Shukurani sana Joël asante sana
'DO YOUR PASSION....IT DOESN'T MATTER THE CASH YOU HAVE 👏🏻👏🏻👏🏻
Nakukubali❤
Do not under estimate the power of humble begins. 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Nimeenjoy somo 🔥🔥🔥🏆✊
Asante sana umeni nipa moyo
Thanks very much kak
Shukrani kaka Allah bless you.
Tunashukuru sana kwa kutufundisha
Amina nimepokeya
Asante br
Thanks
ASANTE MENTOR ARTHUR NANAUKA JOEL MASTER 🙏🙏🙏🙏🙏
Vizuri Sana
Rama Kutoka Namibia tunashukuru sana msahada wako wakila siku mungu akuzidishie mengi
Ahsante sana Kaka joel NANAUKA kwa darasa, JACK MA ni hatari sana uyu kaka
Hakika Mungu akubariki kupitia mafunzo yako sikuona aibu kuanza na kidogo nilichonacho,naamni nitakuja kushuhudia pakubwa ninapopatamania
Amen
Mungu akubariki brother joel
Good
Chakula cha asubuhi Chenye lishe
Shukran sana
Nimejifunza kitu mungu azidi kukubariki
Your ginias man
Asant
Asnt sana
Punguza bass
kk una baya
kk icho kitabu cha timoza ndoto zako nkpataje
🙏🙏
Kk Joel ...icho kiatab Cha jack ma kinaitwaje...maana nataka nijua ni njian gan alitumia kuanzaisha hiyo kampuni yake, mtaji aliokua nao,watu alioshirikoana nao...nahitaj kujua Zaid