Asante kaka Joel kupitia wewe najifunza mengi ambayo shuleni sikufundishwa na hayafundishwi na ndiyo muhimu kwelikweli katika maisha haya ya kiuchumi, Asante sana ubarikiwe
kaka joel, nadhani hili somo liwe na niongeza as a subtopic utuelezee hayo mambo ya mifuko na hisa kiundani ikiwezekana utuletee mtaalamu wa huko tujue what is UTT, BONDS and SHARES🤝
SIBAHATISHI TENA,MUNGU AMENIPENDELEA KUKUTANA NA PASTOR JOEL, TATIZO KUBWA KWANGU LILILONISUMBUA NIKU SAVE MDA MFUPI UKITAKA KUNUNUA ASSET KUBWA WAKATI KIPATO CHANGU HAKIRUHUSU, UMEGONGA NDIPO MTUMISHI WA MUNGU
Lakukupa sina,unayetoa mafunzo haya kwa moyo mkunjufu langu sitachoka KUKUOMBEA KWA MUNGU AKUZIDISHIE UFAHAMU NA MAARIFA.MOYO WANGU UNAFURAHA SANA NINAPO SHARE VIDEOS ZAKO NAONA WENGI WALIOVUNJIKA MOYO WAMEPATA TUMAINI.
Mie majibu nimeelewa sana. Na ninacho taka kufahamu wewe ungesha shauri uwekezaji upi? Wa High risk au mwingine. Mie sasa hivi nimeingia sehem moja kati ya hizo mbili ulizo fundisha japo bado nipo nusu nusu.
Nipo
Asante kaka Joel kupitia wewe najifunza mengi ambayo shuleni sikufundishwa na hayafundishwi na ndiyo muhimu kwelikweli katika maisha haya ya kiuchumi, Asante sana ubarikiwe
Mwaka huu lazima nifanikiwe tukutane December aijalishi nipo vip kwasasa ila ahidi December
You are stronger than you think
I must
kaka joel,
nadhani hili somo liwe na niongeza as a subtopic utuelezee hayo mambo ya mifuko na hisa kiundani ikiwezekana utuletee mtaalamu wa huko tujue what is UTT, BONDS and SHARES🤝
Samahan kaka joel nilataka kujua faida za kufungua accut
Barikiwa tu sana ..ameeeeeeen!!!!!!!!
SIBAHATISHI TENA,MUNGU AMENIPENDELEA KUKUTANA NA PASTOR JOEL, TATIZO KUBWA KWANGU LILILONISUMBUA NIKU SAVE MDA MFUPI UKITAKA KUNUNUA ASSET KUBWA WAKATI KIPATO CHANGU HAKIRUHUSU, UMEGONGA NDIPO MTUMISHI WA MUNGU
I see my self at the top
Mimi sijui ni sehem gani za kuwekeza msaada ndugu zangu kwa anaejua.
Brother nashukuru saana kea elimu yakoo nimejifunza kitu
Your the best joel nanauka
Nataka kujua kama million 10 kwamiaka 5 inakuwa sh ngap
Ni hili swali la mwisho coach
nashukuru kwa kunipa akili
Ahsante Sana
Unafundisha vizuli
Hapo namba mbili kwenye growth dividend sjapaelewa
Kaka Joel nanauka one day u shld be Prof. Joel Nananuka
Asante kwa elimu hii adhim
POINT YA MWISH ITS VERY RESSONABLE. watu tunaitaji kujiuliza sanaa appreciate you
THANKS🙏
Nipo hapa na note book 📖
Nakukubali Sana my ticha.
Mungu akubariki sana kaka Joel kaz kubwa unafanya
Qn 5. My financial freedom..
Ahsante sana jaka
Thank you my brother for this topic
Thank you.....
Asante. San ubalikiwe kwa kufungua akili zetu
Ma desire is to be like that Man, I learn a lot from him.
Big up bro
Asante mwalimu, Mungu akubariki 🙏
Lakukupa sina,unayetoa mafunzo haya kwa moyo mkunjufu langu sitachoka KUKUOMBEA KWA MUNGU AKUZIDISHIE UFAHAMU NA MAARIFA.MOYO WANGU UNAFURAHA SANA NINAPO SHARE VIDEOS ZAKO NAONA WENGI WALIOVUNJIKA MOYO WAMEPATA TUMAINI.
High risk versus high return
Nzuri hiii
Pamoja sana brother
Safi sana,umetisha
Mungu azidi kukuinua....Daima.
My mentor thanks for this subject
Asante,sana,kaka
Asante sana kwa elimu hii ya uwekezaji
Mie majibu nimeelewa sana. Na ninacho taka kufahamu wewe ungesha shauri uwekezaji upi? Wa High risk au mwingine. Mie sasa hivi nimeingia sehem moja kati ya hizo mbili ulizo fundisha japo bado nipo nusu nusu.
@joelNanauka naweza nikapata msaada wa kueleweshwa kuhusu UTT
ua-cam.com/video/FuAcgpcpjUU/v-deo.html
Jifunze hapo 👆
Nice📺💎🇹🇿
Thank you sir
Asante studios
Elimu hii+MUNGU WA KWELI+kuchukua hatua =Muujiza/upako
Asante.
🙌🏻🙌🏻🙌🏻
Mimi nimewekeza pesa nyingi kwenye mfuko wa utt amis liquid fund na faida ninaiona japo sio kubwa sana ila inanipa moyo sana asante sana mwalimu wangu
Utt ipo sehemu gan kwa dar es salaam naomba maelekezo please
@@aminaaa3227 Ofisi zao zipo jengo linaitwa Sukari house mtaa wa Ohio. Ni kule posta mpya,ukiuliza Sukari house utaoneshwa. Ni ghorofa ya 2
Asante naweza kupata mawasiliano yko kwa maelekezo yko zaid nikiitaji pia
Exactly brother lkn je ww unahisi sehem gni sahii kuwekeza km hisa
1as
🙏🙏
Brother UTT ni bonge la mchongo watu waifatilie
Ndio kitu gani naomba kueleweshwa
Ni mfuko wa uwekezaji ambao uko chin ya wizara ya mambo ya ndan
See you at the Top
💕
Utt office zao zipo wap
Nataka nikufatilie ili nifanikiwe njianya kuwekeza
%86