Mtumishi samahani naomba unisaidie Mimi ninalafiki yangu Ambae amekufa mwenzi wa nane Sasa namuota pia Leo nimeota mm nipo polini kule polini kunawanyama wengi wakali Sasa watu walikuwa wanakimbia mm nikajikuta napaa juu kwenye miti na yule ndugu yangu akaja kunisaidia kule polini akaniambia twende bas nikawa na yule lafiki yangu tukawa tunapaa badae akawa anaendesha baskeli amenipakiza nikamwambia passport zangu zisija zikaanguka akasema usijali aziwez anguka Kwan uniamini bs tukatoka kule polini mpk Kijiji Fulani ila mm nikamwambia endesha pole pole tunaweza kuanguka akasema sawa baada ya kufika pale kijijin nikajikuta sipo na yy nipo na MTU mwingine ila moyo wangu nikawa nawaambia wazazi wa yule kijana wawe makini na huyu kijana Kwan naona loho ya kifo na watu watakaomuua ni bibi na babu yake bas wale wazee wakalalamika sana badae mm nikashika mtumishi loho yangu inauma sana nimeshituka na usingizi imekata nisaidie please
Huwa na muota mara kwa mara rafiki yangu aliye kuwa mwanafunzi mwenzagu kipindi tupo secondary alipata ugonjwa wa figo ghafla akiwa form 1 kisha alifariki form 3
Amani, mtumishi. Mimi niliota mume alie niacha alisema nataka nife na wake zangu wote.. uyo bwana yu Hai nilimuotatu akisema nataka nife na wake zangu wote. Namie aliniacha. Kisha Kaoa mke mwingine Sasa nilimuota kwandoto akisema nataka nife na wake zangu wote
Mimi niliota mtu anakufa ila simjui na maitiyake inapitishwa kwenyengari kwenda seemu
Hizi ndoto mara nyingi sana zinanijia nazikataa kwa damu ya yesu
Nazikataa hizi ndoto katika Jina la yesu kristo zishwindwe in might name of jesus
Nimeota niko na mama yangu tunafua alafu nikaon bibi na babu wananitetea kwa watu wa wabaya na wakanipa chakula nikala
Nasikataa katika jina la nyesu
Niota na mtu alie kufa anataka kunivua nguo nikakataa
Mtumishi samahani naomba unisaidie Mimi ninalafiki yangu Ambae amekufa mwenzi wa nane Sasa namuota pia Leo nimeota mm nipo polini kule polini kunawanyama wengi wakali Sasa watu walikuwa wanakimbia mm nikajikuta napaa juu kwenye miti na yule ndugu yangu akaja kunisaidia kule polini akaniambia twende bas nikawa na yule lafiki yangu tukawa tunapaa badae akawa anaendesha baskeli amenipakiza nikamwambia passport zangu zisija zikaanguka akasema usijali aziwez anguka Kwan uniamini bs tukatoka kule polini mpk Kijiji Fulani ila mm nikamwambia endesha pole pole tunaweza kuanguka akasema sawa baada ya kufika pale kijijin nikajikuta sipo na yy nipo na MTU mwingine ila moyo wangu nikawa nawaambia wazazi wa yule kijana wawe makini na huyu kijana Kwan naona loho ya kifo na watu watakaomuua ni bibi na babu yake bas wale wazee wakalalamika sana badae mm nikashika mtumishi loho yangu inauma sana nimeshituka na usingizi imekata nisaidie please
Mimi ninaota kila wakati mtoto wa Dadaangu aliyekufa akinirushia vitu kama nyoka kwa usingizi maana yake n' nini
@@janetkaingu7038 jitenge na ROHO ya MAUTI na uharibifu rafiki yangu KATIKA KRISTO YESU
Huwa na muota mara kwa mara rafiki yangu aliye kuwa mwanafunzi mwenzagu kipindi tupo secondary alipata ugonjwa wa figo ghafla akiwa form 1 kisha alifariki form 3
Naota na mama yangu akisema hunipendi niende nikajiue na alikufa...maana nini mtumishi
Roho ya mauti inakufuatilia kwa kuvaa kimvuli cha mama yako aliyekwisha kufa
@@shiningstarheavenlyembassy Waa Niko tu Na kikoi chake nitupe??? Asante 👏
Amani, mtumishi. Mimi niliota mume alie niacha alisema nataka nife na wake zangu wote.. uyo bwana yu Hai nilimuotatu akisema nataka nife na wake zangu wote. Namie aliniacha. Kisha Kaoa mke mwingine Sasa nilimuota kwandoto akisema nataka nife na wake zangu wote
Ukioa mtumishi wa mungu aliyekufa anakuongelesha inamaanisha nini??