Shalom 1.ongeza muda wa ibada nenda kanisani ibada zote za katikati ya wiki 2.ongeza kusoma neno na mwombe Roho mtakatifu akuongezee nguv ya maombi hata Kwa dakika moja tu 3.punguza kuongea ongea ovyo, Kwan huwa kunakata sana nguvu ya Maombi 4Ukiona bado Hali inaendelea mwone mchungaji wako akusaidie
@@shiningstarheavenlyembassymtumishi kwenye swala la doto huwa muda mwingine ni shetani anataka kukugombanisha na majilani hivyo unaweza kuona jilani kwenye ndoto ni mchawi kumbe mchawi alivaa sura ya jilani yako
Amen Amen power of God
Ameen ni ukweli kabisaa paster ysmenikuta hayo mwenyezi mungu akubariki saana
Amina mtumishi kama ulikuwepo
Amina nikweli kbs
Yote Uliyoyanena Nayapitia Ktk Nyumba Za Kupanga Jamani, Watu Wabaya Sana Tuombeane"
@@JacksonFrances Mungu akusaidie sana upate nyumba yako MWENYEWE
Amen,,hyo n kwel mtumishi barikiwa sana,,pia nsaidie maombi mambo yangu yamekwama sioni kusonga mbele 😢
Omba ombi la toba sana sana
Ombi la toba ni gani?
Amen 🙏
Amina mtumishi
Amina
Amen thnks bro
Amen,amen, nimebarikiwa na fundisho hili
Amen and Amen more blessings 🙏🏻 🙌 👏 ❤️
Amen niombeeee
Amen
Amen amen
Nikishuka korogwe naelekea wapi
Nipigie kwa namba hii ni jirani na pale stend +255768275795
Mtumishi shalom nifanyeninj Kwa mtu ninaemdai na hataki kunilipapesa zangu
Mwachie Mungu atakulipa maradufu kwa njia ingine
Niombee mtumishi nmeishiwa nguvu za kuomba
Njoo kanisani utapata nguvuu ya kuombaa
Shalom
1.ongeza muda wa ibada nenda kanisani ibada zote za katikati ya wiki
2.ongeza kusoma neno na mwombe Roho mtakatifu akuongezee nguv ya maombi hata Kwa dakika moja tu
3.punguza kuongea ongea ovyo, Kwan huwa kunakata sana nguvu ya Maombi
4Ukiona bado Hali inaendelea mwone mchungaji wako akusaidie
@@shiningstarheavenlyembassymtumishi kwenye swala la doto huwa muda mwingine ni shetani anataka kukugombanisha na majilani hivyo unaweza kuona jilani kwenye ndoto ni mchawi kumbe mchawi alivaa sura ya jilani yako
Amen🙏🙏
Amina
Amina mtumishi
Amen
Amen Amen amen