Wanaume wa herufi "J" hii ndio siri ya maisha yao.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 82

  • @WanjalaJacob
    @WanjalaJacob 10 місяців тому +5

    Huu ni zaidi ya uganga yaani hakika kabisa,mimi ni j na ni kweli

    • @JustineMtembei
      @JustineMtembei 10 місяців тому

      Kweli unachokisema na mm ndio nayoyaona mm ke wangu nyota yake ni upepo o,mm J

  • @janethmutoka
    @janethmutoka 8 місяців тому +4

    Yaaan kweli kabisa yaaan J kwenye uongozi , kuongoza darasani, kumiliki mabiashara , kuchanganyikiwa kwenye mapenz😂🙌🙌🙌nimekukubali yaaan yote ulosema ni kwel kabisa

    • @Muheramaneva
      @Muheramaneva 8 місяців тому +1

      😂😂😂😂kweli kabisa nimesheka

  • @agnesspaul1866
    @agnesspaul1866 3 місяці тому

    ❤❤❤❤ Asanteeee Mungu kunipa mtoto tukampa jna j asanteeee Mungu

  • @JaphetyKilango
    @JaphetyKilango 6 місяців тому +3

    Mm ni sayari ya udongo ,je nikiwa na mwanamke mwenyee sayari hiyo hiyo tutaenda sawa sawa. Naomba unisaidie hapo

  • @jumannejuma7432
    @jumannejuma7432 9 місяців тому +3

    nakubali kaka hongera

  • @JerryPhons
    @JerryPhons 5 місяців тому +1

    Mim ni nyota ya mbuzi naitaji mke mwenye nyota ya kaa sayar ya maji kwaajili ya ndoa na maendereo yakimaisha sote kwapamoja 🙏

  • @jumamsafiri-yk5in
    @jumamsafiri-yk5in 27 днів тому +1

    Daa ni kwli sana

  • @mwamini1545
    @mwamini1545 Рік тому +3

    Nikweli kabisa asante sana hapa nime elewa sana

  • @MwashamSaidi
    @MwashamSaidi 3 місяці тому +1

    umetisha bro

  • @RoseSiobe
    @RoseSiobe 3 місяці тому +1

    Wooow ukwel kapisa barikiwa kaka

  • @Upcomingsoon424
    @Upcomingsoon424 4 місяці тому +2

    Kweli kabisa umenena vyema

  • @januarylorri2844
    @januarylorri2844 9 місяців тому +2

    Kaka wew ni zaidi ya hatari kweli umeongea ukweli mtu

  • @mariammariamsalim7189
    @mariammariamsalim7189 Рік тому +4

    Boyfriend wangu 🙌 adi leo nimeachwa kwa mapumziko 😂kwa kitu alicho kosea mwenyew 🙌

  • @VeejayMchina-jv1qh
    @VeejayMchina-jv1qh 19 днів тому

    Nikweli kabisa mimi sikaririki ovyo,ila nikikasirika niko na asira mbara mpaka najipiga na ukuta ,nikishika jiwe nalirusha kweli😭😭😭.Nikishika kitu nimeshika

  • @olivajoseph1697
    @olivajoseph1697 Рік тому +2

    Congratulations

  • @DesireManirambona-w3j
    @DesireManirambona-w3j 4 місяці тому +1

    Ni kweli me huwa nikikasirika nataman ata kulia 😭😭 me jina yang ni j na pande ya uongoz kila mahali watu wakikaa kama ni kutafutwa mtu wa kusimamia kikao kama niko hapo naambiwa j tunaomba utusimamie😅😅😅

  • @JamesMwiteki
    @JamesMwiteki Рік тому +3

    Yani kweli kabisa kaka mungu akuone

  • @Vivomnyama8386
    @Vivomnyama8386 Рік тому

    Amazing💕😍

  • @nianaalphonce2309
    @nianaalphonce2309 6 місяців тому +1

    Uyu ni mimi kabisaa... nina asiraaaaaaa tooobaaah 🙈

  • @jimmysenioronetz9074
    @jimmysenioronetz9074 3 місяці тому +2

    Nilipokuwa mdogo nilikuwa naumwa sana na kichwa adi bibi alikuwa anashangaa kila mara kichwa,vp? Siku ambayo nilikasirika chupu chup,bro achezee shoka la shingo kwa baati nzuri alitimua mbio 😂😂

  • @JumaJux-fn3ff
    @JumaJux-fn3ff Рік тому +2

    Nikwl hayo ndo matatz yetu akina j kichwa huuma sana tunapo kasirika

  • @RamadhaniJafari-h1l
    @RamadhaniJafari-h1l 6 місяців тому +2

    Heeeee wenoma kaka

  • @SheyFundi
    @SheyFundi 6 місяців тому

    Jmn haya ni mambo ya mme wngu kabisa kwanza mbishi kosa lake lkn atak kukubal yaan n mtata eee mungu

  • @Jafaryamily
    @Jafaryamily 7 місяців тому

    True broo mm nipo hivyo

  • @mmsfuzzsba3816
    @mmsfuzzsba3816 9 місяців тому +2

    KAKA NAKUSHUKURU YAANI NI EXACTLY

  • @محمدمحمد-ن2س
    @محمدمحمد-ن2س 7 місяців тому

    Kwelii kabisaa

  • @JaphetyKilango
    @JaphetyKilango 6 місяців тому +1

    Je ukiwa na mwanamke wa sayari ya udongo aliye kuzidi hapoo inakuaje

  • @WednessJackson
    @WednessJackson 9 місяців тому

    Asante kaka

  • @JeremiahMaige
    @JeremiahMaige 2 місяці тому

    Duh j balaa mzidi kuomba Dua

  • @trizermax9192
    @trizermax9192 Місяць тому

    Je,Ukioa mwanamke ambaye na yeye anajina linaloanzia na J mtaendana.

  • @JaphetyKilango
    @JaphetyKilango 6 місяців тому +1

    Kweli j mm ninahasra. Na huwa na umwa kichwa bro😢

  • @ShukurMkan
    @ShukurMkan 4 місяці тому +1

    Kuhusu kujiuwa na wivu ndio zaokbs ujakosea kk

  • @LenathdeujiLendeuj
    @LenathdeujiLendeuj 2 місяці тому

    Namshukuru mungu Mume Wangu ni j akiludi chakwanza kukagua sim yangu akikagua akiona Anna namba ngeni anaridhika akikuta mapichapicha natanguliaga kutupa visu nje na chupa

  • @MariamJuma-e9o
    @MariamJuma-e9o 25 днів тому

    Yani nigelikuwa karibu ugelikunywa peps yabaridi baba yangu anatabia zote hizo ulizo zitaja

  • @JhonDaudi
    @JhonDaudi 6 місяців тому +1

    jamani tunaumbuka huku

  • @VeejayMchina-jv1qh
    @VeejayMchina-jv1qh 19 днів тому

    nikweli nilikua na msichana Jina A na mimi J.atupatani kabisa

  • @JumaMussa-z1d
    @JumaMussa-z1d 4 місяці тому +1

    Anste kka mmi jinalangu j4 ila lilivuma la kasapo je lipi linanguvu?

  • @Shile-r7g
    @Shile-r7g 5 місяців тому +2

    Erufi s na j anaweza kuohana

    • @allykk1459
      @allykk1459  5 місяців тому +1

      Anagalia herufi zinazoenda hapo zipo na darasa jipya linakuja

  • @JoshuaNsemwa-eo1uo
    @JoshuaNsemwa-eo1uo 4 місяці тому

    nikweli kbs

  • @GasoreJuma
    @GasoreJuma Рік тому

    Sahihi

  • @jumamsafiri-yk5in
    @jumamsafiri-yk5in 27 днів тому

    Ila mm mizani sasa itakuwaje hapo

  • @QuisseraJulius
    @QuisseraJulius 2 місяці тому +1

    Tafuta yako 2

  • @shabansumaiya4770
    @shabansumaiya4770 Рік тому

    Tumekuelewa kiongozi ila tunarogwa sana

  • @JordanRichard-s2d
    @JordanRichard-s2d 7 днів тому

    Paracetamol za kichwa zinaniogopa kila pharmacy

  • @yusterherbet9119
    @yusterherbet9119 7 місяців тому +1

    Mm tar na mwezi ni Mbuzi,lakini Jina ni moto.Na mwanaume ni Mbuzi tunaenda kweli?

  • @jacksonasenga2368
    @jacksonasenga2368 2 місяці тому +2

    Sasa mbona mi herufi yangu ya kwanza ni J lakin sio nyota ya mbuzi,, ya kwanguu ni ng’ombe hiyo imekaaje hapo

  • @JuliusMoori
    @JuliusMoori Місяць тому

    Mm ni j namaneno yote unasema kweli

  • @MaryamMpinga-d4j
    @MaryamMpinga-d4j 20 днів тому

    Mimi m niliolewa. Na j tulikiwa tuna pigana kila siku nika muacha ila ulio yaongea ni ukweli mtupu!

  • @jescaobadia1801
    @jescaobadia1801 4 місяці тому +1

    J na h inakuwaje kwenye mahusiano

  • @JosephJuma-y2i
    @JosephJuma-y2i 5 днів тому

    Nikwel ata mimi ni J ayo yote mnayo yaongelea ndo huwa yana nisibu

  • @jumalihumbo5314
    @jumalihumbo5314 4 місяці тому +1

    Apo kwenye sayari adui ni N au M

  • @shabansumaiya4770
    @shabansumaiya4770 Рік тому +1

    Kiongozi mimi ni.j.nMkewangu z

  • @JosephMbagala
    @JosephMbagala 8 місяців тому

    Naomba namba

  • @JofreyPeter-dt2si
    @JofreyPeter-dt2si 6 місяців тому +1

    😅

  • @JeftaRaymond
    @JeftaRaymond 10 місяців тому

    💯

  • @MagrethiUrassa
    @MagrethiUrassa 5 місяців тому

    Huu niukweli mtupu mimi ni herufi m

  • @JacobJames-zn8fw
    @JacobJames-zn8fw 10 місяців тому

    Wah mimi niko ivyo na hasira ata nishawai jaribu kujiua

    • @suzanbegas4139
      @suzanbegas4139 7 місяців тому

      Pole Ndugu Zuia Hasira Mungu akulinde

    • @raphaelgadau2783
      @raphaelgadau2783 5 місяців тому

      😂

    • @JuliusSuloo
      @JuliusSuloo 13 днів тому

      Hongera sana kaka umesema kweli yote hayo nimeyaexperience sana

  • @SophiaAlly-ih2ss
    @SophiaAlly-ih2ss 10 місяців тому

    Kwahiyo j na s haiendani

  • @ErickChristopher-rx6lq
    @ErickChristopher-rx6lq 7 місяців тому

    Sasa mbona unaniambia mm

  • @BonifaceKasote-cy7xv
    @BonifaceKasote-cy7xv 9 місяців тому

    Mbona! Wengine wanatumia Tarehe ya kuzaliwa , Ili kuelezea nyota? Happy inakuaje?

  • @JescaSamwel-fu7tx
    @JescaSamwel-fu7tx 5 місяців тому

    Wanawake nao wahelufi ya j nao wakoje

  • @محمدمحمد-ن2س
    @محمدمحمد-ن2س 7 місяців тому +1

    Kwahiyo j wakiume na s wakike hapo vip broo hawaendanii kindoa au Iko vip embu nisaidie broo

    • @JACKSONKALALU
      @JACKSONKALALU 3 дні тому

      Pasua kichwa s niadui Yako anawivu wakimaendeleo hamtawezana nimbishi sana

  • @annapeter-u6r
    @annapeter-u6r 5 місяців тому +1

    Mm A nilikuwa na mahusiano na herufi j, tunangombana kila wakati paka tumeachana

  • @mindbodytherapychannel3542
    @mindbodytherapychannel3542 6 місяців тому

    Na kwa wanawake J?

    • @allykk1459
      @allykk1459  6 місяців тому

      Ipo hapo kwenye you tube allykk tv pekua

  • @محمدمحمد-ن2س
    @محمدمحمد-ن2س 7 місяців тому

    Kwelii kabisaa