KUOTA MTU ALIEFARIKI//DUKTUR ISLAM MUHAMMAD

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 280

  • @jamalalnadhir4058
    @jamalalnadhir4058 10 місяців тому +77

    Walio tangulia mbele za haki Allah awaingize janatul fridaus ameen yarab

  • @MebouHakizimana-od3ku
    @MebouHakizimana-od3ku 10 місяців тому +5

    Allah awarehem waliotangulia amen Jaana nimemuita baba yangu marehem Allah mueekeh shifah pamoja nafamilia zetu inshallah

  • @mwanaathumani9594
    @mwanaathumani9594 Рік тому +18

    Asante she mungu akujalie kwaelim hii nilio ipata kupigia wewe Kwan namuota Sana mama yangu mkubwa mara kwamara kumbe niroho zetu zinakutana nimefrai sana❤❤❤asante

    • @safarsafari68
      @safarsafari68 8 місяців тому +1

      Inategemea mda mwengine wamuota marehemu kwsbb humtolei sadaka hua anataka chakula yani umtolee sadaka..au ni shetani hua anataka kukutia ktk shirki

    • @AminatatuHussein
      @AminatatuHussein Місяць тому

      Allah akujalie umri inshallah huwa unafafanua vizuri

  • @KhalidAli-y4n
    @KhalidAli-y4n Рік тому +69

    Sheik nakuomba allah akubariki na mimi naomba uniombee dua nipate elimu nyingi yenye taqwa nakupenda sana kwaajili ya allah

    • @GhanimaHamadi
      @GhanimaHamadi Рік тому +4

      Allah akujaalie uipate elimu ya akhera na iwe na manufa kwako na waislamu wenzako pamoja na mm amin yarabi atupe tulioyaomba amin.

    • @sheikhanasser4714
      @sheikhanasser4714 4 місяці тому

      Allahuma Aameen Yaarb Alaameen 🤲
      Allah andika kwa herufi kubwa Shukran

    • @MunahyaMubaraka
      @MunahyaMubaraka 3 місяці тому

      Alwahumma amn

  • @salumsalum8866
    @salumsalum8866 Рік тому +16

    nishamuota sna Mama yangu tena naongea nae na ananiambia vitu vengine cvijui leo nimepata Elim yaarab nipe mwisho mwema

  • @AnnahBabembele
    @AnnahBabembele Місяць тому +4

    Mwenyezi mungu awape kauli thabiti wazazi wangu na marehemu wote waliotangulia mbele za haki

  • @machintangachibwena5922
    @machintangachibwena5922 4 місяці тому +22

    Mimi jana nimemuota Baba yangu mzazi Allah ampe Kauli Thabeet ❤

  • @mwalisuleih1164
    @mwalisuleih1164 Рік тому +57

    😢😢😢😢😢 Allah awarehemu wote waliotutangulia mbele za haki na tulio hai bfo Allah atujaalie mwisho mwema ummati Muhammad S. A. W

    • @jasminmohamed6145
      @jasminmohamed6145 Рік тому

      SUBHANALLAH
      LAILAHA ILLALLAH WAHDAHU LASHARIKALAHU LAHULMULKU WALA HULHAMDU WAHUWA ALA KULLISHAIIN QADIR WAANNA MUHAMMADAN RASULULLAHI SWALLAAHU ALAIHI WASALLIM WA BARIK ALAIHI.
      ALLAHUMA SWALLI ALA SAIDINA MOHAMMADIN WAALI SAIDINA MOHAMMADIN WA BARIK ALAIHI WASALLIM.
      Barakallahu Feek

    • @siriyangu4724
      @siriyangu4724 Рік тому +1

      Amiin yarrab 🤲

    • @zauloabdallahmussa1615
      @zauloabdallahmussa1615 Рік тому

      Allahuma Amiin 🙏

    • @KisafiHamisi
      @KisafiHamisi 5 місяців тому

      Amiin thuma amiiiiin

    • @azhadsoud1433
      @azhadsoud1433 3 місяці тому

      @@jasminmohamed6145😅😅😅😅😅

  • @zuwenakhalfan4455
    @zuwenakhalfan4455 5 місяців тому +16

    Inalillah wainailayhi ranjiuun Allah. Amfanyie wepesi ampe kitabu chake Kwa mkono. Wa kulia. Na sisi Allah. Atujalie mwisho. Ulio. Mwema

  • @SalmaTelkom
    @SalmaTelkom Рік тому +20

    INSHAALLAH TUNAMUOMBA ALLAH AWAREHEMU WTE N AWAONDOLEE MISUKOSUKO ZTE Z KABURUNI

  • @eshasalim5496
    @eshasalim5496 Рік тому +114

    SUBHANA ALLAH! ALLAH Awarehemu Ndugu Zetu Waliotangulia Mbele Za Haki Ya Rabb. AMIIN

  • @fahmiabdy
    @fahmiabdy 19 днів тому +1

    ALLAH awape kauli thabit waliotangulia na sisi tupate mwisho MWEMA inshallah Mimi nilimuota mzee wangu na anasema hajafa hii imekaaje

  • @SalamaNauthar
    @SalamaNauthar Рік тому +11

    Yaarabbi tujaalie Mwisho mwema YARABBI🤲🤲🤲😭😭😭😭😭

  • @bimkubwakhali-g8o
    @bimkubwakhali-g8o 5 місяців тому +13

    Mshallah allh akulipe ujira ulio mwema kwa daawa yko na awasamehe maiti wote walio tangulia mbele ya Allah na ssi atupe mwsho mwma na kauli thabit ya laailahaillah muhammada rrasulullah

  • @sonnyr1899
    @sonnyr1899 2 місяці тому +3

    Allah tusamehe madhambi yetu na uwasamehe wazazi wetu na pia wasamehe meremu zetu wote binafsi naanza baba yangu muondolee adhabu za kaburini na mjalie kaburi kuwa miongoni mwa vyumba visafi vya peponi Amin Amin Amin na waislam wote Allah tupe mwisho mwema.

  • @rahemaissa9867
    @rahemaissa9867 27 днів тому +1

    Allah awarehemu marehemu wote walotangulia mbele za haki Aaamiiin, Nasisi yaa Rabbal Ng'aalamiin tujaalie mwisho mwema inshalla Amiin

  • @ravascodealmeida4573
    @ravascodealmeida4573 4 місяці тому +18

    Subhanallah nmemuota bibiangu kipenzi usiku wa kuamkia leo n asubui napatana n video hii...Allah awarehemu maiti zetu🙏🏾🙏🏾🙏🏾

  • @AshaAli-n7e
    @AshaAli-n7e Рік тому +6

    Allah awajaalie ndugu zetu waliotangulia awaepushie na adhabu ammiin

  • @IssapasopaSavaya
    @IssapasopaSavaya 2 місяці тому +1

    Namuota sana baabaangu allah ampe mwisho mwema babaangu na mamaangu ishallah

  • @HakizimanaSalima-sg7cv
    @HakizimanaSalima-sg7cv Рік тому +2

    Subhan Allah yaa Allah warehemu wa Zazie wangu nawa islamu wote walio tangulia mbele za haqi Allahumma Ameen yaarabby 🤲

  • @abuumohamed7090
    @abuumohamed7090 Рік тому +27

    Allah waondoshee adhabu ya kabri ndugu zangu wote waliotangulia mbele za haki

  • @Aziz-p6s
    @Aziz-p6s 2 місяці тому +9

    Uzuri wa uisilamu dini yetu ya hakki❤

  • @BimkubwaJuma-ew5dg
    @BimkubwaJuma-ew5dg 5 місяців тому +4

    Ameen mungu aamjaalie azitie peponi wote yarabiii mungu atupe mwisho mwema

    • @KassimShora
      @KassimShora 5 місяців тому

      Amiin amiin amiin jazakallah khairul jaza fidunyaa wal akhera ya sheikh DR ISLAM

  • @maryammanga5522
    @maryammanga5522 24 дні тому

    Namuota sana rafiki yangu kila mara mungu mpe kauli thabiti na sisi pia utujalie mwsho mwema 🙏

  • @salmaabdalla6488
    @salmaabdalla6488 Рік тому +15

    Allahummaghfir lahum warhamhum waskinhum fil jinnah,wote walotangulia

  • @Latifaally390Latifa
    @Latifaally390Latifa 4 місяці тому +3

    Allah awape makazi mema maiti wetu waliotangulia mbele za haki nasie allah atupa husnil hatima

  • @RahulTheActor54
    @RahulTheActor54 16 днів тому

    Mwenyezi MUNGU awajalie pumziko la milele AMINA

  • @EmilyFrancis-f4n
    @EmilyFrancis-f4n 6 днів тому

    Ya rabbi tupe mwisho mwema❤❤

  • @lilianesakubu9154
    @lilianesakubu9154 2 місяці тому +1

    Mimi huwa nakuomba sana mama yangu Subhanallah 🥹🥹Allah akulaze mahala Pema mama yangu🤲🏾 Allah akujaliye jannah tul firdaous Inshaallah 🤲🏾 Amin ya rab🤲🏾

  • @SaidathSalehe
    @SaidathSalehe Рік тому +7

    Allah awalehemu ndugu zetu walotangulia nasi atupe mwisho mwema 🙏🙏

  • @azzaalhabsi1505
    @azzaalhabsi1505 4 місяці тому +3

    Allahuma ghafilahu waliwalidaiyya wa arhamahumaa kama rabbayan swighar🤲allahuma ghafil lilmuslimin walmuslimat wal muuminina wal muuminat al ahyaa minhum l amuat birahmatika ya arhama rahimeen.🤲

  • @MrsMariam-x2s
    @MrsMariam-x2s 2 місяці тому +1

    Laillaha illa lla kweli mie naumuota kaka yangu kila siku ananambiya nifanye Dua nitowe swadaka tena anakuja amekasirika yarabih wape pepo ndugu zetu ya Allah

  • @AminaRamadhan-f9x
    @AminaRamadhan-f9x 4 місяці тому +1

    Allahuma ghfirlahum warhamhum wasqinhum fil janna amiin nyanya mwanaisha Allah akupe Nuru na akuepushe na adhabu ya kaburi

  • @sabihahamadi2287
    @sabihahamadi2287 Рік тому +13

    Subuhanallh yarabi tujaliye mwisho mwema

  • @SalmaIdd-p3u
    @SalmaIdd-p3u 2 місяці тому

    Shukran sana shekhe ALLAH akubariq. Namuota saana mume wangu kumbe Maa shaa ALLAH ALHAMDULILAH ALLAH awasameh makosa yao awaweke mahala pema palipo na waja wema.na si ALLAH atujaalie mwisho mwema. ALHAMDULILAH.

  • @LuviBenja
    @LuviBenja Місяць тому

    Mungu akujalie ww shekhe mm mwenyew naota sana watu waliokufa nikajua umauti umenifikia

  • @husnasalim9614
    @husnasalim9614 Рік тому +10

    Allah wasamehe maiti wetu wote

  • @Maryam-e2x8p
    @Maryam-e2x8p 2 місяці тому +3

    Mungu awasamehe yote walio tangulia mbele ya haki😢😢😢😢

  • @mwashas
    @mwashas 2 місяці тому +1

    Mwenyezi mungu awasamehe na na awarehemu …marehemu wote

  • @MunahyaMubaraka
    @MunahyaMubaraka 2 місяці тому

    Nakupenda kwaajr ya allah ❤❤❤❤ allah anijaalie elimu nyeny manufaa dua zako kipenz chetu islamu muhammad

  • @ashrafyyousuf6821
    @ashrafyyousuf6821 2 місяці тому +3

    Mama mama yangu ya Rab 😭😭😭😭😭😭 Allah ampe pepo ya janatul firdous

  • @sophiejumaav8948
    @sophiejumaav8948 Місяць тому

    Mwenyezi Mungu aendelee kuwapumzisha kwa amani marehemu wetu

  • @fatimaussene1010
    @fatimaussene1010 Рік тому +15

    Mi nilipewa namba za simu ni dada yangu alisema ukipiga namba hii utanipata na asubuhi nilipoipiga simu ikaita mtu yuko morogoro na nilipotaka kujua kama anamfahamu marehemu alikataa na kukata simu allaha ampunguzie adhabu ya kabri dada yangu

    • @ZenaHamisi-w3x
      @ZenaHamisi-w3x Місяць тому

      Marehemu alikupa namba za SIM ndotoni!?

  • @HawaaMiki
    @HawaaMiki 2 місяці тому +1

    Allah awarehemu awaweke waliorangulia peponi penye wema na ss tuliobakia tufe na kalima shahada Amiin

  • @zakiabakari9983
    @zakiabakari9983 4 місяці тому +2

    Mungu awalaze mahalo pema peponi Amina

  • @bestjuhudiofficial
    @bestjuhudiofficial 25 днів тому

    Mmnimeota watu wanyumbani wote hata wale walikufa nilikuwa siwajui nilitambulishwa kwa ndoto na baba angu.na nimeombea maisha marefu sana na mamangu mzazi kwandoto

  • @abdallahsaid8157
    @abdallahsaid8157 2 місяці тому

    Ni ilmu kubwa sana hii lakini shida iliyopo kwa wafuasi wengi wa KIWAHABI kutoamini au kukubali maneno hayo hayo yakitoka kwa mtu asiyekuwa wao.
    Allah akubarik sana doctor!

  • @sakinamyao8284
    @sakinamyao8284 2 місяці тому +2

    Nishawahi kumuota babangu akaniambia nimekuja kuwatembelea wanangu.siku nyingine aliniambia usihuzunike mwanangu yatakwisha.wakati huo nilikuwa nipo kwenye mitihani ya maisha.nikamuota dadangu binamu akaniambia siku hizi unanisahau sana ndugu yangu.tulikuwa tunapendana sana kabla hajafa,na baada ya kufa nilikuwa namuombea dua ila kuna wakati niliacha ndiyo nikaota hivyo

  • @AminaRomole
    @AminaRomole 2 місяці тому

    Eeh Mwenyezi Mungu waepushe na adhabu za kabri.

  • @aishamother9943
    @aishamother9943 Рік тому +1

    Ya Allah tujalie mwisho mwema, wallahi kulala n nusu ya kifo,na huwarehemu ndugu zetu walio tangulia mbele za haki,Amiin

  • @Saumu-lm7nt
    @Saumu-lm7nt 4 місяці тому

    Sübhan Allah yaa Allah wahifaz walitangulia kwako na utujarie mwisho mema aniim yaarabby

  • @najmayahya21
    @najmayahya21 Місяць тому

    Allah awarahamu wote waliotangulia Awasamehe dhambi zao awaeke mahali pema na walio wema Ameen 🤲🏻

  • @zahrahabibu7385
    @zahrahabibu7385 9 місяців тому +2

    Allah Awarehemu Wote waliotangulia Mbele ya Haki

  • @WardaWarda-gi2wn
    @WardaWarda-gi2wn 3 місяці тому

    Masha Allah, shukran sheikh Allah akubarik ❤

  • @MohamedAhmed-xy1if
    @MohamedAhmed-xy1if 3 місяці тому +1

    Rabbi ghfiril walwallideena walill muuminina yauma yakumul hesaab ameen

  • @JescaGodfrei
    @JescaGodfrei 15 днів тому

    Oooh! Lord may u rest my daughters soul in peace amen

  • @AminaBaraka-p8n
    @AminaBaraka-p8n Рік тому +1

    Mola wangu wareemu watoto wangu yaraab na ndugu zangu

  • @legendaction202
    @legendaction202 2 місяці тому +1

    Rabbi warehemu ummah wa mohamad na uwaswamehe madhambi yao

  • @fatmahmkuzi
    @fatmahmkuzi Рік тому +1

    Mm nilikuwa na ongopa mana baba na mama simalizi mwezi bila kuongea nao handi nikawa natafuta masanda kwaza nikiwa na mawazo ama kufikiria ama kwenye matatizo mangum basi huwa lazima mama niongee naye ndio hicho kitu kifanyika yani amekuwa kama mshauri wangu wa kila wakati❤❤❤❤❤ila nashukuru ka kuelewa mana ya ndoto ya kuota mtu wa kufa

    • @MaryamIssa-y7v
      @MaryamIssa-y7v 6 місяців тому

      Weka desturi ya kuwaombea Dua labda Kila baada ya sala ya alfajiri,ndio zawadi pekee ya marehem ndio ktk Yale mambo matatu ukifa Mungu hufanya Amana kwako "aulaadu swaalihan" mtoto mwema mwenye kuwaombea wazazi wake Dua wanapotangulia mbele za haki duwa ya mtoto hufika bila kizuwizi kwa mzazi

  • @imamufamily5617
    @imamufamily5617 Рік тому +1

    Yalaby warehemu ndugu zetu waliotangulia mbele zahaki nautujalie mwisho mwema

  • @monarose6091
    @monarose6091 Рік тому +5

    Subuana Allah mwenyez mungu tujalie mwisho mwema inshallah

  • @ZuhuraAthuman-u2i
    @ZuhuraAthuman-u2i 2 місяці тому

    InshaAllah,mola awarehemu maiti wetu wote waliotangulia mbele za haki na awaondoshee michanga ya machoni,awape kitabu Cha Qurani Kwa mkono wa kiume,makaburi Yao yawe bustani za peponi na nasi tuliobakia nyuma Yao atujaalie mwisho ulio mwema😭😭😭

  • @momadesuales
    @momadesuales Місяць тому

    SubhanaAllah

  • @FatumaMichael-c9v
    @FatumaMichael-c9v 2 місяці тому +1

    Hata mimi namuota sana mama yangu ambae alishatangulia mbele za haki

  • @justineemanueli6847
    @justineemanueli6847 6 місяців тому +1

    Mungu wa mbinguni akulind San sheikh

  • @FatmaAlly-w7p
    @FatmaAlly-w7p 25 днів тому +1

    Mm nilikuwa ninamatatizo sn ktk ndoa yangu mambo ya Kiswahili nilihangaika sn peke yangu bila kuwaambia ndugu zang nakumbuka siku nakaota Baba Yang kaja lkn Alikuwa kwenye gari sasa mm nilikuwa hiyo njia napita naenda kwangu gari imepaki kafunguwa mlango wa gari ananitizama half akawa. Analia bila kunambia chochote nikashtuka sijui ilikuwa nn maana yke

  • @liylahahmed829
    @liylahahmed829 3 місяці тому +1

    Allah awarehem walio tangulia Baba angu na mzazi mwenzangu InshaAllah

  • @jkizondoswahilibites434
    @jkizondoswahilibites434 4 місяці тому

    Alhamdulillah Allahu Akbar 😢 Allah awalaze pema waliotutangulia Ameen. Na atupe na sisi khusnul Khatma ameen yaa rabb 😢

  • @mwanamkasiabdul4646
    @mwanamkasiabdul4646 Рік тому +8

    Innalilah wainailah rajiuun Allah atufikishe mwisho mwema

  • @thumalove1886
    @thumalove1886 2 місяці тому

    WALLAHI MM NILIMUOTA DADANGU MKUBWA ANAMNYONYESHA MWANAE NA HAYO MANYONYO YATOKA USAA CHA AJABU HUYO DADA ALIFARIKI LAKINI HUYO MTOTO YUPO HAI TWAMLEA

  • @bjzee1981
    @bjzee1981 Рік тому +6

    Subhaanallah. Ni kweli utakacho ambiwa na maiti utaona kama alivyo kwambia. Na akikupa kitu hakika utakipata kitu hichohicho

  • @Mayamovic
    @Mayamovic 2 місяці тому

    Ni mm huyo namuota sana sana mtalaka wangu

  • @fatmaramadhan1889
    @fatmaramadhan1889 2 місяці тому

    Huwa namuota sana marehem mume wangu

  • @RukiaIma
    @RukiaIma 2 місяці тому

    Shukurn sheikh wetu 🙏🙏

  • @fatiakimaro9203
    @fatiakimaro9203 2 місяці тому

    Mimi ninamuota mume wangu kila siku ni mwaka wa tatu huu mungu ampe pumziko jema amini🙏

  • @NassibUkasha
    @NassibUkasha Місяць тому

    Allah awajalie kaul thabity waliotangulia

  • @FatmaFaridy
    @FatmaFaridy 3 місяці тому

    Allah awape khaur thabit mama angu kaka angu mjomba bibi babu baba angu nawengine 🤲🤲🤲🤲🤲

  • @BimkubwaJuma-ew5dg
    @BimkubwaJuma-ew5dg 5 місяців тому +1

    Mungu atujaalie sote viumbe mwisho mwema

  • @neyklem1728
    @neyklem1728 26 днів тому

    Ewe Mola wetu, tunusuru nasi na ndugu zetu hiyo siku ikifika. Warehemu Waislamu wenzetu wote waliotutangulia nasi tupatie mwisho mwema.

  • @zuberhamza7852
    @zuberhamza7852 4 місяці тому

    Mwezi ulopita nilimuota Baba tunataka kumfanyia dua sasa tulikua tunamtengeneza mbuzi kwa ajili ya swadaka
    Wakat nazunguka nyuma ya nyumba tunakopikia sadaka namuona Babamdogo na ndugu wengine wanatengeneza Nyama ya Ng'ombe kwa ajili ya sadaka pia
    Nikashangaa kulinganq na uwezo wetu hela yakununua Ng'ombe hatuna
    Allah amlaze mahala pema Mzazi wangu na maiti wot kwa ujumla Aamiyn Aamiyn Aamiyn

  • @AliHamad-m9o
    @AliHamad-m9o 15 днів тому

    Amiin ya yarabbi

  • @MohammedLy2023
    @MohammedLy2023 2 місяці тому

    Mashallah tabarakaAllah

  • @DavidTweve-dj5uh
    @DavidTweve-dj5uh 4 місяці тому

    Mungu atujalie mwisho ulio mwema

  • @OmaryAisha
    @OmaryAisha 3 місяці тому

    Ya Allah nakuomba wasamee mait wt mnakosaje Yao nasi utujalie mwisho mwema hakuna kifo n faradhi kwa Kila mja

  • @Mwanakombo-k9m
    @Mwanakombo-k9m Місяць тому

    Subhanaallah mm hua naota kila ivyo bs

  • @cellcelll2151
    @cellcelll2151 Рік тому +1

    mashaAllah mungu akujze sheikh ila ukutuambia maana y hii ndoto

  • @Osmanmare-s8u
    @Osmanmare-s8u 2 місяці тому

    Masha Allah

  • @ImamuMohammed-h4j
    @ImamuMohammed-h4j 21 день тому

    Amiina

  • @msongs5668
    @msongs5668 2 місяці тому

    Allah awalehem ndugu zangu waliotangulia na awape kauli thabiti.

  • @AishaAdan-o1c
    @AishaAdan-o1c Рік тому +3

    Allah awarehemu ndugu zetu waliyo tangulia mbele ya haki

  • @AshsAhmed
    @AshsAhmed 3 місяці тому

    Allah awajaalie Hannah awaepushe na adhabu ya kabr

  • @zulfamwakitosi5002
    @zulfamwakitosi5002 3 місяці тому +1

    Mimi namuota dada yangu alikuaga anafanya kazi za ndani nyumbani kwetu miaka 10 amefariki namuota Sana karibia kila siku apumzike kwa Amani

  • @hassanmfaume4522
    @hassanmfaume4522 2 місяці тому

    Mm nilimuota mamaangu mzazi akatupa maelezo yalio sahihi kabisa kuhusu muhuni ambaye alitaka kutudhulumu mali zetu..!

  • @aishaomar9621
    @aishaomar9621 2 місяці тому

    Allah awarehemu maiti zetu awahifadhi janatul firdhaus awape kauli thabit 😢🤲

  • @salumsalum8866
    @salumsalum8866 Рік тому

    Allah awarehem Wazazi wangu Amin

  • @Zubeab
    @Zubeab 3 місяці тому

    Allah awarehemu Waliotangulia ameen

  • @FaridaAdinani
    @FaridaAdinani Рік тому

    Wallahi nilikua namuota dadaangu ananiambia kaniombee msamaha kwa mamaake wa kufikia au mlezi maana uko ajafika kaburi limemkataa yupo tu Kati uko anafukuzwa bc naliia tuu sijui nifanye je

  • @aminahassani-jh5rp
    @aminahassani-jh5rp 4 місяці тому

    Kwa mtazamo wangu ndoto nyingi ni za shetani ila hatujui ya mungu zaidi

  • @fatumamohamedsheikh1314
    @fatumamohamedsheikh1314 2 місяці тому

    Walai nmeota baba yangu akiwa anakaa Kwa kitu y dhabu n uso yke iko n Nuru nikauliza kwn baba ulirud aje Kwa Dunia n umebadilika uso yko iko n Nuru akachka nilithni n ukwli nikiamka Akuna ya Allah grant my father jannatul frdws and also grant my grandmother and grandfather jannatul frdws ya Allah 🙏 🤲😭

  • @Ally-lf2lx
    @Ally-lf2lx 3 місяці тому

    Allah awarehemu waliotangulia Amiin