Du imani hizo zinapoteza watu,neno linasema baada ya kifo ni hukumu, Mungu anasikia maombi ya mtu aliye hai siyo alikuyekufa.mwanadamu unatakiwa kutengeneza njia zako ukiwa hai na usitegemee kwamba kuna huruma ya Mungu baada ya wewe kufa kwamba utaombewa.Mafundisho ya mtume wenu Muhammad yamekuja kuwapoteza watu wa Mungu kwamba unaweza kumuombea muovu aliyekufa na Mungu akasikia jambo ambalo siyo kweli
Mzee wangu achakuwapotosha waislaam na kuwaingiza kwenye shirki wakumuomba ni mmoja tu simwengine ni Allah pekeee achauchawi eji imeenda tubu kabla yaumauti kukufikia
Assalaamu A'laykum warahmatullaahi wabarakatuh wa kuombwa na kuabudiwa ni Allaah Subhaanahu wataa'la na si vingine kwani tofauti na hapo kumshirikisha ALLAAH SUBHAANAHU WATAA'LA. Tunamuomba ALLAAH atujaalie uongofu na mwisho mwema
Astaghfirullah,SHIRKI NI HARAMU KWA DINI YA KIISLAM . HAIFAI KABISA KUMUOMBA SIE KUA ALLAH. WALA MUNGU HANA MSHIRIKA WALA HAHITAJI MSAIDIZI . KINA MSHIRIKINA ADHABU YA JAHANNAM INAMSUBIRIA
Dah Astaghfilullah Mungu amsamehe mzee pia atusamehe na sie ... sio katika waislamu wanaoomba wafu, kama mtu alibebwa akavishwa sanda akafukiwa anawezaje msaidia alie hai??
Mzee alikosea kidogo.c kuwaomba hao masharibu.bali ni kutawassal kupitia hao masharifu.YAANI UNAMUOMBA MUNGU KUPITIA HAO MASHARIFU KWA MAANA WAO WALIKUA WATU WEMA,WALIPOKUA HAI WAKIOMBA MUNGU HUKUBALIWA HARAKA DUA ZAO.INABIDI NASI PIA TUKIWA NA HAJA ZETU TTUMUOMBE MUNGU KUPITIA WAO. HATA UKIKUTA MTOTO WAKO AKIOMBA MUNGU,DUA ZAKE HUKUBALIWA HARAKA.BASI FANYA KUTAWASAL KUPITIA YEYE
Astaghfirullah...mnaacha kumuomba mungu..mnawaomba binadamu mwenzio yeye mwenyewe kaumbwa kama wewe..Allaah awahid..inshllh mumuombe yeyetu asiye na mshirika.
Shetani anambinu nyingi sana yakuwapoteza watu nakuwaanisha vitu watu nakuanza kuvifanyia ibada kanakwamba ni mungu watu wanaamini makabuli ya masharifu nakuanza kufanya ibada na maombi makabulini duu hii ni hatali
Ni Haramu kumuomba binaadam awe hai awe amekufa na hizi Imani potofu sijui wamezitoa WP 😢hao masharifu na Mtume wetu bora nani na mbona watu hawaruhusiwi kuomba achane shirki jmn
Mungu awahurumie,ila waislamu mnavitu vya ajabu hv mifupa mikavu ndani ya kaburi inaweza kukusaidia nini jamani badilikeni huo ni ujinga mashetani yamewavaa nyinyi
@@annamussa185sasa nyie we mkristo MTUME KAINGIAJE HAPO AU HUJUI MAANA YA KAFIRI NI ANEPINGA UWEPO WA MUNGU MMOJA NA ANAESEMA MUNGU ANA MTOTO HUO NDO UKAFIRI JIANGALIE KAMA UNATUKANA MTUKANE MTU SIYO MTUME MUHAMMAD SWALALAHU ALAYH WASALAAM. ALLAH AKUZINDUE KUTOKA KTK UKAFIRI UMJUE ALLAH NA MTUME WAKE NA MITUME YAKE YOTE. USIDHANI KWA KUMTUKANA MTUME MWISLAM ATAMTUKANA ISSA AU YESU LAA BALI UISLAM UNAMUHESHIMU ISA AU YESU KUWA MTUME WA ALLAH KWA BANI ISRAEL TU.
@@Kabeya410Kwahiyo anaye abudu Krishna au Buddha huyo ni mwislam mwenzako maana nayeye anaabudu mungu mmoja kama wewe, Mungu wakweli ni yule aliye abudiwa na wayahudi siyo waarabu 0:00
Hao Masharifu walienda zao kwa kuwa walikwisha kumridhishaAllah but hilo la kuwenda makaburini kuwaomba ni shirki kubwa,Iblis alikwisha kuwapambia wamsahau Allah,Subhana Allah
KAMA KUKOSEA BASI ILO NIKOSA KUBWA KUMSHIRIKIAHA ALLAH NA MASHARIFU HAKIKA ALLAH HUAKBAR NDIO WAKUOMBWA KWANI ALLAH NDIO ALIE WAUMBA HAO MASHARIFU NA MITUME MA WALII NA VIUMBE WOTE DUNIANI NA AKHERA NDIE PEKEE APASAE KUABUDIWA.
Sio watu wamepotea ila wafrika ndo wamepotea kwa kufata Imani na asili tamatulin desturi za kiafrika izo ni asli ya wafrika sema wafrika wengi ni jinga Afrikaans maana asili yao wanaona niushezi kama walivyo potoshwa Kwa ile Iman ya kuaminishia waache chao wafuate visivyo vyao mungu ibariki Afrika
@@emmanuelmichael8019Unachobisha ni nini, ukweli wa biblia ndiyo huo baada ya kifo ni hukumu.Unaitwa Emmanuel lakini kumbe hujui lolote nyie ndiyo wakristo wa kufuata mkumbo,tengeneza njia zako ukiwa hai maana hakuna nafasi nyingine baada ya kufa
Tunawaomba mashehe na masharifu watupe elimu ktk ya kutosha kuhusu Jambo hili limetuweka njia panda je lafaa au halifai kuabudu makaburi hayo kWa namna yoyote
Ndio linafaa hakuna ushirikina yani haombwi maiti anayeombwa ni Mungu yani mfano ww unaweza kuomba km wazee wako wamefariki ukaomba Mungu nina shida hii niondolee kwa baraka za wazee wangu au sharifu au swahaba au shekhe fulani hakuna ushirikina ni halali inaitwa taswaufu
Sio ushirikina kasome dini kuomba dua kupitia utukufu wa mtu au kitu sio ushirikina yani unaomba Mungu naomba unikubalie duwa hii kwa utukufu wa swahaba au fulani hapa hakuna ushirikina
@@mohammedmataucar66 nenda kasome dini ww acha kuropoka nani kakuambia ushirikina unamuomba Mungu kupitiya kitu au watu wanaokubalika kisheria hii inaitwa tawasuli mfano mm namuomba Mungu anipe kitu fulani lkn kupitiya ww yani Mungu nijaliye kipate kitu fulani kwa baraka za muhamedi au maswahaba au watu fulani au kw baraka ya myama fulani hii haiitwi shirki unamuomba Mungu kupitiya
@@mohammedmataucar66 ndio nikwambiya usome uislamu unaruhusu kumuomba Mungu kupitiya kitu au watu wanaokubalika kisheria kuna watu wanaomba duwa Mungu nijaliye kitu fulani kwa baraka ya watu ahalu badri au maswahaba au mtu yeyote mcha Mungu hii haina shida hawa washakufa lkn unaomba baraka narudia tn baraka baraka zao sio yeye maiti upo kijana kuna tofauti kumuomba maiti maiti unasema tu naomba fulani nakuomba hii ndio ushirikina lkn tawasuli hata ukienda kaburini kuzuru unaomba ewe Mungu nakuomba nipate mtoto kwa baraka na utukufu wa mjawako huyu mwema au shekhe huyu nipate mtoto huu si ushirikina kasome dini utaelewa sio kufuata mkumbo
Kweli kiyama kipo karibu nyote wachangiaji mmeshindwa kuelewa kwa Nini Hawa watu wameacha makaburi yote wakaelekea hayo makaburi mawili .halafu mmewaingiza moyoni hao wanaokwenda kutawasal nyinyi mnaita kuabudu haya hivi ni kweli hao watu wameshindwa kutofautisha baina ya mungu na masharifu waliokufa.kwa Nini mnatoa fatawa Hali ya kuwa nyinyi si wajuzi.Na pia kwa Nini hamuendi kuwanusuru badala yake mnawatia moyoni ndiyo Nini Sasa hiyo
Subhana Allah M Mungu atuepushe na mitihani hii ya shirki huyo mzee kwa milo nae karibu hebu mpeni dawa Kabla umauti haujamkuta
Kasome dini kwanza
Mnafiki wewe
@@alhabibsudi7997 mnafiki baba ako na mama ako wasiokufundisha adabu
Kasema kweli@@AbdullahOmar-be4wy
@alhabibsudkwa kusema kweliii7997
Ndumi huko tumeshakula sana mapera huko enzi za utoto wetu murch love from Germany 🇩🇪
😢😢😢 waomba wafu wakuomba ni Allah pekee
SubhanaAllah Astagafirullah watu wamepoteya yarabby tuongoze umaa wako
Hao waliomo makaburini wanahitaji dua ya waliohai! SubhanaAllah waliohai wanawaomba wafu!
Du imani hizo zinapoteza watu,neno linasema baada ya kifo ni hukumu, Mungu anasikia maombi ya mtu aliye hai siyo alikuyekufa.mwanadamu unatakiwa kutengeneza njia zako ukiwa hai na usitegemee kwamba kuna huruma ya Mungu baada ya wewe kufa kwamba utaombewa.Mafundisho ya mtume wenu Muhammad yamekuja kuwapoteza watu wa Mungu kwamba unaweza kumuombea muovu aliyekufa na Mungu akasikia jambo ambalo siyo kweli
Allah akuongoze baba
Shirki akbar mzee Allah akuongoze
Mzee wangu achakuwapotosha waislaam na kuwaingiza kwenye shirki wakumuomba ni mmoja tu simwengine ni Allah pekeee achauchawi eji imeenda tubu kabla yaumauti kukufikia
Hao huenda walikuwa kweli ni watu wema isipokuwa waliofuata baada yao ndio waliozama katika shirki kinyume na Mapenzi yao
Hapana aliezamishwa ila ndipo ulipokua mji Bahari inatabia ya kujisogeza. Kinachiniudhi ni watu kwenda kufanya ushirikina.
Hao ni waja wema Ila hao watu wanafanya shirki
Subhanallah allah awaongoze huo niushirikina allah awaongoze
Nawe Sheh Issa yako ni siri yako
Subuhana Allah WA kuombwa ni Allah pekeake ndio anaetoa kumuomba kiumbe mwezio HAIFAI NA NI USHIRIKIA HUO MUOMBENI ALLAH PEKEE NDIO ANAETOA
Assalaamu A'laykum warahmatullaahi wabarakatuh wa kuombwa na kuabudiwa ni Allaah Subhaanahu wataa'la na si vingine kwani tofauti na hapo kumshirikisha ALLAAH SUBHAANAHU WATAA'LA. Tunamuomba ALLAAH atujaalie uongofu na mwisho mwema
Historia nzuri ya afrika, ila viumbe wa Karne hii tujiepushe na shirki hii ya kuomba kwa asiyekua Allah
Allah ametakasika hanasifa yakushindwa hahitaji mshirika.
Subhanallah Alla tuepushe wajawako na shirki huo ni mtihani kwa waumini
Allah waongoze wasiombe makaburi
Sadakta aamin aamin yaa rabbal a'lamin
Subhanallah hii ni shirki ya hali ya juu Allah atustiri na shurki
allah awasamehe woote wanaokwenda kuomba na awaongoze hawajui watendalo
Mnaomba dua njema kwao ili allah awape maghfira ila kutawasl sio mbaya lakini watu kutawasl Hawa jui wanachanganja kuomba na kutawasl
Hii ni shirki iliopindukia, kikubwa wanahitaji daawa kubwa.... Maana kma umesikiliza vzr anasema, wanakuja kuwaomba masharifu kama wanavyomuomba m/mungu... Innalillah wainna ilyhi rajuun....
Dunia mataau,kwa Allah atupe husni njema
Subhana Allah! Hio ni shirki kubwa mno! "Allahumma Inn wa Min dhuuriat Audhubika minal Mushirikina"
Jamani babu yangu almarhum mzee jangwa Mwenyezi Mungu akupe kauli thabiti
Ameshafariki Huyu Mzee Jamani M'Mungu Amjaalie Pepo Jannat Firdaus Ameen
kuomba makaburi si katika uislamu ni ushirikina na mtu akifa hajatubu atatiwa motoni
Eti sharifu anaombwa kama anavyoombwa mungu sub'hana allah mrudie mungu kabla hujafa
kuomba maiti ni haifai ni kumshirikisha ALLAH
ALLAHU AKBAR Allah anamlipa Mema Kila mtenda Mema ❤🔥🙏🙏🙏🙏
Mashallah tabaraka rahman
Subhanallah Allah peke ndio wakuombwa hiyo ni shirki
SubhaAllah Allah akbar.
Subhaan'Allah! ❤❤❤
Oy chapchap gonga like apo
Subuhanallah mtihani
Congratulations 🎉🎉🎉🎉🎉
Shirki kubwa sana hio allah awaongoze njia ya haki
Kweli Hao masharifi
Inalillah wainailahi rajuun Babu kamabodo hupo Hai rudi kwa Allah Acha shilki nawe jitahidi ufanye mema iliupate mwishomwema
Hakuna ushirikina someni dini hapo haombwi sharifu anaombwa Mungu
SubhaanaLlaah, Hawa Masufi ni washirikina hasa.Wanawaabu wafu ,? Dual ni ibada wao wanaawaabudu wafu ,Masharifu? Hao ndio wasoma Maulidi.
Astaghfirullah,SHIRKI NI HARAMU KWA DINI YA KIISLAM . HAIFAI KABISA KUMUOMBA SIE KUA ALLAH. WALA MUNGU HANA MSHIRIKA WALA HAHITAJI MSAIDIZI . KINA MSHIRIKINA ADHABU YA JAHANNAM INAMSUBIRIA
Dah Astaghfilullah Mungu amsamehe mzee pia atusamehe na sie ... sio katika waislamu wanaoomba wafu, kama mtu alibebwa akavishwa sanda akafukiwa anawezaje msaidia alie hai??
Subhanallah si majini lakini hao
Wewe mze muombe mungu aca kuumbo maiti
Mzee alikosea kidogo.c kuwaomba hao masharibu.bali ni kutawassal kupitia hao masharifu.YAANI UNAMUOMBA MUNGU KUPITIA HAO MASHARIFU KWA MAANA WAO WALIKUA WATU WEMA,WALIPOKUA HAI WAKIOMBA MUNGU HUKUBALIWA HARAKA DUA ZAO.INABIDI NASI PIA TUKIWA NA HAJA ZETU TTUMUOMBE MUNGU KUPITIA WAO.
HATA UKIKUTA MTOTO WAKO AKIOMBA MUNGU,DUA ZAKE HUKUBALIWA HARAKA.BASI FANYA KUTAWASAL KUPITIA YEYE
Unachanganya haki na batili
Hata ww umekosea pia unamuombaje allah kupitia maiti?
@@mariamshaban4518 sio ushirikina
Astaghfirullah...mnaacha kumuomba mungu..mnawaomba binadamu mwenzio yeye mwenyewe kaumbwa kama wewe..Allaah awahid..inshllh mumuombe yeyetu asiye na mshirika.
Tena anaomba maiti
Sio ushirikina kasome dini kwanza
SHARIFU SIO WA KUMUOMBA HUYO NI MFU TU WA KUMUOMBA NI ALLAH PEKEYAKE
Ndumi yetu tuliyoondolewa na mkapa kwa ajili ya ujenzi wa bandari mpaka leo hakuna kinachoendelea inatuuma sana maeneo walikozikwa mababu zetu😢
Inna lillah wa inna ilayhi rajiun.uwo ni ushirikina.awo ni watu.siyo Allah
Location please
Shetani anambinu nyingi sana yakuwapoteza watu nakuwaanisha vitu watu nakuanza kuvifanyia ibada kanakwamba ni mungu watu wanaamini makabuli ya masharifu nakuanza kufanya ibada na maombi makabulini duu hii ni hatali
Haifai kumuabudu alokufa . Hawezi kukusikia at akakuckia hawezi kukujibu
Mbona hera yenyewe amtoi zaidi ya maswari
Ah hatar kiukweli😂
Ni Haramu kumuomba binaadam awe hai awe amekufa na hizi Imani potofu sijui wamezitoa WP 😢hao masharifu na Mtume wetu bora nani na mbona watu hawaruhusiwi kuomba achane shirki jmn
Mungu awahurumie,ila waislamu mnavitu vya ajabu hv mifupa mikavu ndani ya kaburi inaweza kukusaidia nini jamani badilikeni huo ni ujinga mashetani yamewavaa nyinyi
Ww amn unachkijuwa nyamaza wewe kafili
@@halimadaud-k7d wewe na Muhammad wote ni 🐕
@@annamussa185 mbona unatukana
@@annamussa185sasa nyie we mkristo MTUME KAINGIAJE HAPO AU HUJUI MAANA YA KAFIRI NI ANEPINGA UWEPO WA MUNGU MMOJA NA ANAESEMA MUNGU ANA MTOTO HUO NDO UKAFIRI JIANGALIE KAMA UNATUKANA MTUKANE MTU SIYO MTUME MUHAMMAD SWALALAHU ALAYH WASALAAM. ALLAH AKUZINDUE KUTOKA KTK UKAFIRI UMJUE ALLAH NA MTUME WAKE NA MITUME YAKE YOTE. USIDHANI KWA KUMTUKANA MTUME MWISLAM ATAMTUKANA ISSA AU YESU LAA BALI UISLAM UNAMUHESHIMU ISA AU YESU KUWA MTUME WA ALLAH KWA BANI ISRAEL TU.
@@Kabeya410Kwahiyo anaye abudu Krishna au Buddha huyo ni mwislam mwenzako maana nayeye anaabudu mungu mmoja kama wewe, Mungu wakweli ni yule aliye abudiwa na wayahudi siyo waarabu 0:00
Hao Masharifu walienda zao kwa kuwa walikwisha kumridhishaAllah but hilo la kuwenda makaburini kuwaomba ni shirki kubwa,Iblis alikwisha kuwapambia wamsahau Allah,Subhana Allah
KAMA KUKOSEA BASI ILO NIKOSA KUBWA KUMSHIRIKIAHA ALLAH NA MASHARIFU HAKIKA ALLAH HUAKBAR NDIO WAKUOMBWA KWANI ALLAH NDIO ALIE WAUMBA HAO MASHARIFU NA MITUME MA WALII NA VIUMBE WOTE DUNIANI NA AKHERA NDIE PEKEE APASAE KUABUDIWA.
Omba alafu mungu nae akupa uzidi kumshirikisha,acheni ushenzi wenu huo ,shirki tupu hizo zenu sharifu ndo nn wacheni kupotosha umma hpa
Jamani anaesitahiki kuombwa ni Mungu tu pekee
Sio watu wamepotea ila wafrika ndo wamepotea kwa kufata Imani na asili tamatulin desturi za kiafrika izo ni asli ya wafrika sema wafrika wengi ni jinga Afrikaans maana asili yao wanaona niushezi kama walivyo potoshwa Kwa ile Iman ya kuaminishia waache chao wafuate visivyo vyao mungu ibariki Afrika
Kutembelea makaburi na kuwaombea dua marehem wako ni sawa.lakin kwenda kuomba shida zako haifai ni shirki kubwa.
Hiyo ni shirki kubwa sana haifai kabisa kumuomba binadamu.
Adi he e
Mulipanyafa kama mizimu utaomba vipi makaburini shetani ndie mnae muomba simungu
Waliokufa hawana sehemu katika walio hai...
Yesu Kristo Ndiye njia kweli na uzima wa milele
We nae hujui chochote kaa huko
@@emmanuelmichael8019 hahaaaa
Sogea huko sisi tupite
@@emmanuelmichael8019Unachobisha ni nini, ukweli wa biblia ndiyo huo baada ya kifo ni hukumu.Unaitwa Emmanuel lakini kumbe hujui lolote nyie ndiyo wakristo wa kufuata mkumbo,tengeneza njia zako ukiwa hai maana hakuna nafasi nyingine baada ya kufa
Umeulizwa?@@FridayMwassa
Yako wapi
Wanaomba makaburi binaadamu wazito mtihani maiti amekufa hajui lolote wanakwenda kuwaomba wawasaidiye shida zaoo msiba
Mnazika baharini kwa dharula gani?
Najivunia kuwa MKRISTU.YESU KRISTU PEKEE NI NJIA YA UZIMA WA MILELE.YESU KRISTU UKIMFUATA UTAPATA UZIMA WA MILELE (PEPONII UTAISHI UTAUNGUA NA MOTO)
FANYENI YOTE TUMUOGOPENI ALLAAH KWENYE NAFASI YA KUMSHIRIKISHA ALLAAH
Cameraman mbona huoneshi hayo makaburi ??
Tunawaomba mashehe na masharifu watupe elimu ktk ya kutosha kuhusu Jambo hili limetuweka njia panda je lafaa au halifai kuabudu makaburi hayo kWa namna yoyote
Ndio linafaa hakuna ushirikina yani haombwi maiti anayeombwa ni Mungu yani mfano ww unaweza kuomba km wazee wako wamefariki ukaomba Mungu nina shida hii niondolee kwa baraka za wazee wangu au sharifu au swahaba au shekhe fulani hakuna ushirikina ni halali inaitwa taswaufu
Subha lha
Pelekeni ujinga huko badala ya Mungu unaomba maiti km walikuwa Wacha Mungu ni wao na ww tafuta ucha Mungu wako acheni shirki
Mtangazaji hujielew fungua kipingi kwa kueleza upo wapi, kuanzia mkoa, wilaya, kata mpka kitongoji, tujuwe ni wap
Mapepo hayo jamani
Kuomba asiyekuwa Allah ni shirki Allah awaongoze na awafahamishe kabla ya umauti
Sio ushirikina kasome dini kuomba dua kupitia utukufu wa mtu au kitu sio ushirikina yani unaomba Mungu naomba unikubalie duwa hii kwa utukufu wa swahaba au fulani hapa hakuna ushirikina
@@AbdullahOmar-be4wyacha ushirikina kijana Allah haitaji msaidizi muombe yeye
@@mohammedmataucar66 nenda kasome dini ww acha kuropoka nani kakuambia ushirikina unamuomba Mungu kupitiya kitu au watu wanaokubalika kisheria hii inaitwa tawasuli mfano mm namuomba Mungu anipe kitu fulani lkn kupitiya ww yani Mungu nijaliye kipate kitu fulani kwa baraka za muhamedi au maswahaba au watu fulani au kw baraka ya myama fulani hii haiitwi shirki unamuomba Mungu kupitiya
@@AbdullahOmar-be4wy kwaiyo wewe uliesoma inaruhusiwa kutawasuli kupitia maiti ?
@@mohammedmataucar66 ndio nikwambiya usome uislamu unaruhusu kumuomba Mungu kupitiya kitu au watu wanaokubalika kisheria kuna watu wanaomba duwa Mungu nijaliye kitu fulani kwa baraka ya watu ahalu badri au maswahaba au mtu yeyote mcha Mungu hii haina shida hawa washakufa lkn unaomba baraka narudia tn baraka baraka zao sio yeye maiti upo kijana kuna tofauti kumuomba maiti maiti unasema tu naomba fulani nakuomba hii ndio ushirikina lkn tawasuli hata ukienda kaburini kuzuru unaomba ewe Mungu nakuomba nipate mtoto kwa baraka na utukufu wa mjawako huyu mwema au shekhe huyu nipate mtoto huu si ushirikina kasome dini utaelewa sio kufuata mkumbo
Mzeebaba wakuombwa ni mungutuu
Inna Lillahi Wainna IlaYhi Rajioon...
Allahumma Gh'FirLahum War'hamhum...
Hicho ni kisiwa kidogo kimeinuka maji hayapandi ww mzee wacha ushirikina huo wkuomba watu walikufaa
Hapana bana maji kipindi hicho maji hakukuepo😂
Babu wa hovyo
Anaharibikia ukubwani kama mun'gunya kila linavyokua linazidi kuharibika
Sasa unashida alafu unaweka ng'ombe kwa nn tusimuombe asie itaji ujira uo ni ushirikina hakuna sharifu anae ombwa kama allah huo mi uzushi
Subh'anallah subh'anallah
Huyu mzee anaropoka tu hajui hata sheria.
Ndumi hiyo
INNALiLAhi WA INNA ILAhi RAAjiuna. SS ndiyo tuwaombeee dua siyo ss
Tuwaombe waoo apana,
Kwani wao na manabii Nani nani zaidi kipenzi chá alha?
Kweli kiyama kipo karibu nyote wachangiaji mmeshindwa kuelewa kwa Nini Hawa watu wameacha makaburi yote wakaelekea hayo makaburi mawili .halafu mmewaingiza moyoni hao wanaokwenda kutawasal nyinyi mnaita kuabudu haya hivi ni kweli hao watu wameshindwa kutofautisha baina ya mungu na masharifu waliokufa.kwa Nini mnatoa fatawa Hali ya kuwa nyinyi si wajuzi.Na pia kwa Nini hamuendi kuwanusuru badala yake mnawatia moyoni ndiyo Nini Sasa hiyo
Makaburi hayaombwi hyoo ni kufuru nyie ndio manafaa kuwaombe walikufa msamaha kwa mwenyezi Mungu wacheni kufuru huo niushirikina
Ewe mola wetu tuongoze waja wako kwenye njia za heri na sahihi na utunusuru na tamaduni za kishirikina😂😂
Washirikinaaa haooo
huo ni ushirikina sharifu anapaswa kukuombea kwa mungu amiwa hai akishafariki yake yanaishia hapo
Mimi Bado sijaelewa walichimbaje hayo makaburi ndani ya Maji?
Ni kisa kwa muisilamu kuomba mizimu na kuomba wafu na kuombwa binadamu yoyote yule bali wakuombwa ni Mungu peke yake
Eti sharifu sharifu gani
Huyu mzee kakulia ushirikina mpaka leo ni mshirikina hivoo
Acheni kutupotosha
Lakin hamon kuw kuomba kuwaomb waliokuf ni Shirk uslm Haukubal hay mnayatoa wapi jaman
Wajukuu wa mtume .ni Hassan and Hussein,, hizo zingine shirki,,
Tupeni elim
Mh mizimutuu na mashetani
Dunia inamaajabu yake
Walio kufa hawana makosa wenye kuomba wanakosea
Usiombe mtu wala kitu chochote OMBA Allah peke yake