Hongereni sana wanakwaya wa Mt Antonyi wa Padua nafurahishwa Sana ninapowaona mkikua kila uchao Mwenyenzi Mungu awe pamoja nanyi katika utume wenu natarajia mambo na mazuri na makubwa kwenu wapendwa wangu nawapenda sana sana.
Hongereni sana kwa hatua hiyo Mungu awatie nguvu na usalama muweze kuzindua hiyo kazi njema kabisaa my family choirs ninawapata mubasharaa kabisa kutoka makuburi parish....Dar es salaam
Hongereni sana vijana wetu. Mungu azidi kutukuzwa kwa njia ya utume wenu wa kuimba .
Amina baba
Hongereni sana jmn Shayo
Hongereni sana wanakwaya wa Mt Antonyi wa Padua nafurahishwa Sana ninapowaona mkikua kila uchao Mwenyenzi Mungu awe pamoja nanyi katika utume wenu natarajia mambo na mazuri na makubwa kwenu wapendwa wangu nawapenda sana sana.
Mungu ni mwema sana
Amina
Hongereni kwa hatua MUNGU akasimamie hatimae Tuizindue Vema🙏🙏🙏
Mungu ni mwema 🙏🙏
Hongereni sana Wana Padua Maisaka!!
Ahsante sana , Mungu ni mwema
Dee kumbe ushakuwa SOLOIST ghafla hii mzeeee, Ya Itakuwa ya moto sana hiii 💥💥💥💥💥
Hakika Mungu ni mwaminifu!! Hii sikosi kuinunuaa!! Hongeteni sana Wana wa St.Anthony wa Padua.
Hongereni sana sana
Ahsante 🙏🙏
Woooooow mmetishaaaa! hongereni sana wapendwa
Big big up St. Padua❤❤
God is really good
Kazi nzuri mmetisha
Ahsante sana
Mungu ni mkuu sana
Hongeran sana kazi nzurii
Ahsante sana
Mungu ni mkuu sana
Hongereni Kwa utume ,Mungu azidi kuwapigania
Hongereni sana kwa hatua hiyo Mungu awatie nguvu na usalama muweze kuzindua hiyo kazi njema kabisaa my family choirs ninawapata mubasharaa kabisa kutoka makuburi parish....Dar es salaam
Ahsante Mkuu , Mungu ni mwema
Hongereni sana vijana wetu,big up
Hongereni sana wanapadua ila msikate tamaa msonge mbele zaidi na pia tuchukuliane kila mmoja alivyo ndipo mwenyezi mungu atatubariki
Tunashukuru sana mtumishi🙏
Hongereni Sana vijana wetu nasi twisubiri kwa hamu kuiona
Kumbuka tarehe 23/04/2023
Hongereni sanaaa, af Mumependeza cku ya uzinduzi tafadhal jmn nipo parokia ya Mtakatifu Patrice-Boay
Tarehe 32/04/2023, karibu sana
Karibu maisaka uzindui ni tar 23/4
Usikose ndugu! Ni tareh 23.04.2023. USIPANGE KUKOSA UHONDO.
Wimbo mzuri Sana natuomba hadi mwisho
Nzuriiiiiiiiii
Mungu ni mwema
Mmependeza wapendwa hongereni kwa utume uliobora
😋🙏🙏
🙏🙏
Nawaona wakuu 👏👏
🙏🙏
Mungu abariki utume wenu
We are waiting for,
Save the date pls
Pwpw Mr
Hakika ni raha
Ongereni Sana i miss you all nawapenda Sana jaman nimewamiss hatar pia mungu awabariki kwa hatua mlofikia
Kumtumikia Mungu ni raha zaidi