Mungu katika Kao lake takatifu huwainua Wanyonge hasa katika Magumu yao,Hakika Mungu ni Mkuu,,,,huu wimbo unanipa tafakari ya kuendelea kumyenyekea,,,Hongera Mwl Leornad Sondi Mtunzi na Waimbaji WanaAnyhony Waadua
Kuna mda waweza kuwa na huzuni nqkupoteza tumaini lakini kwa wimbo huu hakika unatoa machozi huku ukifurahia uwepo wa imani ya wakatoliki na umuhimu wakuimba kwaya ungali hai,mbarikiwe sana kwa tafakari nzuri
Mungu katika kao lake takatifu. Amina sana mbarikiwe sana wapendwa pokeeni maua yenu 🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹💏by madam teddy kutoka parokia ya familia takatifu kiru❤❤❤❤❤
Baba wa yatima na mwamuzi wa wajane, Mungu katika kao lake takatifu, Mungu huwakalisha wapweke nyumbani, huwatoa wafungwa katika hali ya kufanikiwa.
Hongereni sna watoto wa Mungu kazi nzuri sana yenye tafakari nzuri sana.
Hatari sanaa ... Utume uzidi kusonga mbele ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
🤝🤝
Hongereni sana wapendwa kwa nyimbo nzuri
ASANTE sana kwa TAFAKARI ya Kwaresma !!
🙏🙏
Ee Mungu KWa wema wako uliwahifadhi walioonewa!!
🤝
Kazi nzuri Mungu awalindie na kuwatunza katika utume huu wa uimbaji 🔥🔥♥️♥️🎼🎼🎵
🙏🙏
Mungu azidi kuwainua 🙏🙏
🙏🙏
Mungu azidi kuisaidia hii kwaya! Wimbo uliojaa tafakari kwaajili ya kwaresma!! Hakika wenye haki watasitawi!!!
Amina !!
Asante sana mtunzi rafiki yangu Sondi pamoja na kwaya
Familia yangu hongreni Sana kazi nzuri 👏 Mungu azidi kuwainua kwa viwango vya juu zaidi katika utume🙏❤
🙏🙏
Ongereni San kwaya yangu
Hongereni Sana wapendwa
wimbo una tafakari nzuri sana
🙏🙏
Asantee sana 🙏
Mungu katika Kao lake takatifu huwainua Wanyonge hasa katika Magumu yao,Hakika Mungu ni Mkuu,,,,huu wimbo unanipa tafakari ya kuendelea kumyenyekea,,,Hongera Mwl Leornad Sondi Mtunzi na Waimbaji WanaAnyhony Waadua
🙏🙏
Kuna mda waweza kuwa na huzuni nqkupoteza tumaini lakini kwa wimbo huu hakika unatoa machozi huku ukifurahia uwepo wa imani ya wakatoliki na umuhimu wakuimba kwaya ungali hai,mbarikiwe sana kwa tafakari nzuri
Amina
🔥🔥wenye haki watafurahi na kushangilia, kazi nzur
Amina
Hongeraaaa sana mmefanya kazi njema.
🙏🙏
Mwimbieni Mungu lisifuni jina lake,,,Hongereni Wanapadua kwa utume mbarikiwe sana
Mungu azidi kuwa tunza ktkt utume na familia zenu
Amina na wewe Mungu akubariki
Hongereni wapendwa Mungu azidi kuwaongoza vema muweze kufikia mbali kwenye utume wenu kadiri ya mapenzi yake
Amina !!
🎉🎉🎉
💥
💥💥💥💥💥
🤝
Hongereni kwa kazi nzuri pia sauti nzuri daima nitazidi kuwa ombea katika utume wenu mfike mbali
🙏🙏🙏🙏
Mungu katika kao lake takatifu. Amina sana mbarikiwe sana wapendwa pokeeni maua yenu 🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹💏by madam teddy kutoka parokia ya familia takatifu kiru❤❤❤❤❤
Ee mungo kwa wema wako uliwahifadhi walioonewa
Nice
🙏🙏
Tafakari nzuri hakika
🤝🤝🙏🙏
🥺🥺 Mwimbo unatafakarisha mno
Hakika Mungu n mwema kwa wote wamwitao, awasaidie wote wenye uhitaji kupitia wimbo huu wausikilizapo wafarijike mpaka wafanikiwe
Mola awape mafanilio zaidi
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🏻
🎉🎉
😊😊😊