Nafarijika sana nikisikiliza wimbo huu..mwaka jana mwezi wa 5 nilipitia magumu sana sitokuja kusahau huu wimbo ulinifanya niwe na amani nisijisikie nipo peke yangu hakika mmeniokoa na mengi kupitia wimbo huu 😢😢mbarikiwe mpaka mshangae na Mungu azidi kuwalinda na kuwajaalia afya njema siku zote Amina🙏
kazi nzuri sana, hongereni Sana waimbaji mmetenda haki Sana kwa huu wimbo was Docta Bongole .... namuona hapo mwl. Kihiyo ... gooof sanaaaa...... hongera pia kwa organist Mr. Mashibe.... video tu ndio wakati ujao iboreshwe zaidi ila mko vizuri sanaaaa
Those who love running notes with me will get such a treat to this amazing masterpiece expertly delivered by these youngsters. Explains why this song is on my replay mode
Mungu awabariki myaishi ninyi mafundisho hayo kwani mnapoimba mnasali mara 2 Kwa hiyo nawaombea sana muwe mfano Kwa Imani mkiyaishi mafundisho hayo yaliyogusa moyo wangu

Mungu mfalme asiye shindwa....congratulations for the good job..christu awabariki watumishi wa mungu
Nyimbo nzuri sana mmeitendea Vema
Asanteni sana kwa uimbaji mzuri. Huu wimbo naweza kurudia kuusikiliza kutwa nzima usiku kucha! Barikiweni sana.
Amina sanaa
Mungu ni mwema... anatubariki
kazi nzuri sana, hongereni Sana waimbaji mmetenda haki Sana kwa huu wimbo was Docta Bongole .... namuona hapo mwl. Kihiyo ... gooof sanaaaa...... hongera pia kwa organist Mr. Mashibe.... video tu ndio wakati ujao iboreshwe zaidi ila mko vizuri sanaaaa
Kweli Bwana Amenibariki. Nafurahia sana ujumbe huu. Mwenyezi Mungu awabariki sana wanakwaya wote. Amina.
Wimbo Mzuri 🤗
🎉🎉🎉❤
🤝🤝
Those who love running notes with me will get such a treat to this amazing masterpiece expertly delivered by these youngsters. Explains why this song is on my replay mode
Wimbo mzuri sana na Kwaya inaimba kwa kweli. Mi ni shabiki wenu wa dhati. TYK
Hongereni sana wimbo huu hauchoshi kusikiliza. mbarikiwe sana sana
Mungu awabariki myaishi ninyi mafundisho hayo kwani mnapoimba mnasali mara 2 Kwa hiyo nawaombea sana muwe mfano Kwa Imani mkiyaishi mafundisho hayo yaliyogusa moyo wangu
Swadacta kazi nzuri wimbo mzury Hongeren woteee kazi ya mikono yenu ibarikiwe
Mt Karoli, such a great encouragement and motivation, with blessed and great vocals❤
Ni mziki wa Injili kweli! Umenigusa Sana. Mmeruhusu maneno yasikike vizuri kuliko vyombo kuumeza. Ahsanteni Sana na mbarikiwe
Mmeimba vizuri Sana. Barikiweni sana
Amen, amen 🙏🙏🙏
Hongereni sana watumishi wa Mungu. Kazi nzuri sana
🔥🔥🔥🔥
Umefika na huku.
Wow , wonderful voices, great message, continue with same spirit.
Nice song congratulations 🙏🙏🙏🙏
Amina
Well done,, keep it up continue praising God
Hapo penye moyo wangu
👏👏👏
Great song👌..Hongera...Kind request for the lyrics.
ASANTE SANA WAIMBAJI
❤️❤️❤️❤️❤️❤️🎵🎵🎵🎼🎼💕💕💕