- 13
- 103 281
KMAP MAISAKA
Приєднався 14 лип 2022
KWAYA YA MT. ANTHONY WA PADUA
PAROKIA YA UTATU MTAKATIFU - MAISAKA,BABATI
JIMBO KATOLIKI MBULU
PAROKIA YA UTATU MTAKATIFU - MAISAKA,BABATI
JIMBO KATOLIKI MBULU
MT ANTHONY WA PADUA MAISAKA - 📌 UTATU MTAKATIFU 📌 Wimbo ; AMETUKUKA By BT Mashibe @kmapmaisaka
Kwaya ; Mt Anthony wa Padua - Maisaka
Wimbo; Ametukuka
Mtunzi ; Baraka T. Mashibe
Trainer; Joseph Mgalilaya
Studios; Holy Trinity
Ni Mungu mmoja mwenye nafsi tatu , ni yeye Baba, Mwana na Roho Mtakatifu !!
@kmapmaisaka
Wimbo; Ametukuka
Mtunzi ; Baraka T. Mashibe
Trainer; Joseph Mgalilaya
Studios; Holy Trinity
Ni Mungu mmoja mwenye nafsi tatu , ni yeye Baba, Mwana na Roho Mtakatifu !!
@kmapmaisaka
Переглядів: 1 419
Відео
MT ANTHONY WA PADUA - INUENI VICHWA VYENU BY V. MABULA - DOM YA MATAWI 24/03/2024
Переглядів 5709 місяців тому
MT ANTHONY WA PADUA - INUENI VICHWA VYENU BY V. MABULA - DOM YA MATAWI 24/03/2024
MT ANTHONY WA PADUA - MAISAKA 👉 BABA WA YATIMA BY LEONARD SONDI
Переглядів 3,3 тис.10 місяців тому
Waimbaji : Mt Anthony wa Padua - Maisaka Wimbo : Baba wa Yatima Mtunzi: Leonard Sondi Kinanda : Baraka T Mashibe Studios: Holy Trinity Trainer : Joseph Mgalilaya
KWAYA YA MT. ANTHONY WA PADUA , Tunakualika Kutazama wimbo huu uitwao NIBARIKI
Переглядів 14 тис.Рік тому
WAIMBAJI: KWAYA YA MT ANTHONY WA PADUA WIMBO : NIBARIKI MTUNZI : MC MABOGO KINANDA : BARAKA T. MASHIBE TRAINER : JOSEPH MGALILAYA STUDIOS : HOLY TRINITY
KWAYA YA MT ANTHONY WA PADUA - BABATI tunakukaribisha kutazama wimbo mpya unaoitwa UNA MUNGU !!
Переглядів 12 тис.Рік тому
Katika mahangaiko yote ya dunia hii,katikati ya changamoto nyingi za dunia,pale ndugu ,jamaa,rafiki na binadamu wote wanapokutenga unapokuwa kwenye shida na mahangaiko,kumbuka kuwa UNA MUNGU ! UNA MUNGU haupo peke yako. Karibu kutazama wimbo wenye ujumbe mzuri na wenye faraja kwa nafsi zilizo katika mahangaiko, changamoto na shida za dunia hii. Waimbaji ; Kwaya ya Mt Anthony wa Padua - Babati. ...
KWAYA YA MT ANTHONY WA PADUA - MAISAKA , BABATI ..... TUMWACHIE MUNGU BY D . HARBONA ,
Переглядів 42 тис.Рік тому
WIMBO : TUMWACHIE MUNGU WAIMBAJI : KWAYA YA MT ANTHONY WA PADUA - MAISAKA , BABATI MTUNZI : D. HARBONA STUDIO : HOLY TRINITY (AUDIO & VIDEO) @kmapmaisaka
KWAYA YA MT ANTHONY WA PADUA MAISAKA - BABATI .
Переглядів 15 тис.Рік тому
KWAYA YA MT ANTHONY WA PADUA MAISAKA - BABATI PAROKIA YA UTATU MT MAISAKA. WIMBO : SAFARI YA MATUMAINI MTUNZI: ANTHONY KIATU ORGANIST: BARAKA MASHIBE STUDIO ; AUDIO VIDEO : HOLY TRINITY
SAFARI YA MATUMAINI ; KWAYA YA MT ANTHONY WA PADUA - MAISAKA, BABATI.
Переглядів 7 тис.Рік тому
SAFARI YA MATUMAINI !! Maisha yetu hapa duniani ni 👉 SAFARI YA MATUMAINI. Ni tarehe 23/04/2023 !! Tunatarajia kufanya UZINDUZI wa Albam yetu yenye jina👆👆. KUMBUKA TAREHE 23/04/2023
NURU HUWAZUKIA BY REMIGIUS KAHAMBA
Переглядів 1,6 тис.Рік тому
ZABURI 112 : 4-9 NURU HUWAZUKIA WENYE ADILI GIZANI
KWAYA YA MT. ANTHONY WA PADUA- MAISAKA BABATI
Переглядів 1,7 тис.Рік тому
BWANA NI NURU YANGU BY CHOTAMASEGE Zaburi dominika ya 3 ya mwaka A wa kanisa.
NI FURAHA (JOY TO THE WORLD) BY ISSAAC WATTS
Переглядів 747Рік тому
KWAYA YA MT ANTHONY WA PADUA , MAISAKA - BABATI , BAADA YA MISA MISA YA KWANZA SIKU YA NOEL.
BWANA NI NANI ATAKAYEKAA KATIKA HEMA YAKO By Frt P . Ammi
Переглядів 2,5 тис.2 роки тому
ZABURI YA DOMINIKA YA 16 MWAKA C WA KANISA KWAYA YA MT ANTHONY WA PADUA PAROKIA YA UTATU MTAKATIFU MAISAKA - BABATI
Mwenyezi mungu awabariki sana naawape ushirikiano mweme
Mmetisha sana ndugu zetu
Kazi nzuri sana
Hongereni sana kazi nzuri sana mbarikiwe wapendwa.
May the GOD of HEAVEN continue to bless you, the voices are exciting❤
Ongereni sana vijana kazi nzuri sana sana Mungu awatangulie
Kazi nzuri xna nawapenda xna mungu awabariki wote ❤
💥💥💥❤️
Hongereni sana❤❤❤
Hongereni Sana marafiki zangu, Mungu awatangulie ktk utume wenu nawapenda sana by fr Bayo
Ahsante sana Fr
Jamani ongereni sana nyimbo imetulia sana na ujumbe nimeikubali mno.Mungu awatangulie kwa kweli
Amina !!
mmependeza na mmeimba vzr snaaaaa Mung awabariki
Kazi nzuri hongereni sana
Hallelujah
Kazi njema Mungu awatangulie amina
Mwenyezi Mungu azid kusimama nanyi 🙏🏼
Hongereni sana
Hongereni sana wimbo mzuri
Mungu atubariki sote.☀️
Hongereni Mungu awabariki kazi nzuri sana.🔥🔥🔥🙏
Amina Tubarikiwe sote
hongeren waimbaji endelen kusambaza ujumbe wa mungu ulimwenguni kote🙏🙏
Na iwe hivyo
Hongereni kwa utume wimbo mzr sana Mungu awapiganie na kuwainua viwango na viwango.Pokeeni kile mlichokinena kwenye wimbo huu.
Amina
Hongeraa sanaaa Anton wa Padua nyimbo nzurii sanaa🎉
Amina
❤
👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻
Nyimbo nzuuri Sana
🙏
Hongeren sana
🙏🏻🙏🏻🙏🏻 💥💥💥💥 Hongereni sanaaaa.
Kazi nzuri sana na ujumbe mnono akika. Nawapenda sana vijana wng mbarikiwe sana 🎉🎉🎉🎉
❤❤❤waooo
Ni Mungu mmoja mwenye nafsi tatu(Utatu Mtakatifu) Mungu azidi kuwabariki katika utume wenu wa uimbaji.
Ametukuka sana
Ametukuka🎉🎉🎉🎉
Hongereni kwa utume 🎉🎉 barikiweni sana
Hakika ametukuka kweli, Asanteni sana Kwa ujumbe mzuri wa kumtukuza Mungu. Hakika mmejua kunifurahisha ❤❤
Hongereni sana na barikiweni sana 🎉🎉 kwa kuinjilisha
@@GodfreyHhaysanday amina
Daaah mmetisha wapendwa Safi sana hongereni sana ❤❤❤❤
Fahari ya UKATOLIKI !! Good narratives & rythms ! Am in love with you people. . . . . . . Keep going 👏👏👏👏
Ni Mungu mmoja tu🙏 Hongereni sana kwa kazi nzuri ya utume👏 my Family ❤❤
Good songs
Hongereni sana wapendwa ❤❤❤❤
Hongereni sana wapendwa by madam teddy kutoka parokia ya familia takatifu kiru
Mungu katika kao lake takatifu. Amina sana mbarikiwe sana wapendwa pokeeni maua yenu 🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹💏by madam teddy kutoka parokia ya familia takatifu kiru❤❤❤❤❤
❤❤
Salute kwa deo
Waooo
Be blessed
Amen
❤❤❤🎉🎉
Kazi nzuri sana Hongereni sana
Hongereni Sana Ndugu Zangu. Mmeinjilisha vilivyo.
🙏
Wanapadua mko vzr hongereni sana