MOYO ACHA KIHEREHERE CHA DHAMBI- Kristu Mfalme Milele Melodies Int'l Choir- Sms SKIZA 6912343 to 811
Вставка
- Опубліковано 21 гру 2024
- Ewe moyo acha kiherehere cha kunipeleka kwa dhambi, kazi yako ni kusukuma damu na utulie kwa Bwana.
Wimbo: Moyo Acha Kiherehere Cha Dhambi
Waimbaji: Kristu Mfalme Milele Melodies
Mtunzi: Lawrence Kameja
Audio: Mozen Pro
Sound Engineer: Nazareth Amos
Organist: Nazareth Amos
Video: Buga
Karibuni wote kwa huu wimbo na msisahau ku Subscribe, Like, Comment, and Share @kristumfalme6037
Greetings Everyone❤ Welcome all to our song Moyo Acha Kiherehere Cha Dhambi by Milele Melodies Int'l Embu Kenya. Tuzidi kubarikiwa pamoja and tukumbuke ku Subscribe Like, Comment, and Share share share and share. Be blessed all🙏🙏@Milele Melodies
Wooow🎉🎉🎉🎉🎉 🔥🔥🔥🔥
Thank you am from embu I would like to join you gus
it is a beautiful song
@@winnienjoroge648karibu sana.
From embu kudos♥️♥️
Anguka nayo kama imekubamba 🎖
😂😂😂
😅😅😅😅
😂😂😂😂😂❤
😂😂😂😂😂😂😂
❤❤❤❤❤❤
MUNGU wahurumie wote walio gerezani wengine ni kusingiziwa ,😭😭😭ata waliofungwa kwa vitendo walivyovifanya wasamehe 🫴🏽👏🏾🙏🏾😢😢😭
Kama umebarikiwa na hii nyimbo gonga like ❤♥️🥰
❤❤❤❤❤❤
Utabarikiwaje na wimbo ambao watu wanaimba wamevaa mavazi ya kikahaba hawaoni aibu kuhamasihsa ngono kwa uvaaji wao mbovu?nini hasa kilichokuibariki.
Imbeni sana,lakini nawakumbusha ndugu zangu,,kuimba sio tiketi ya kutupeleka mbinguni wanadamu.
Lazima mjue,wazinzi,washerati,walevi,wachawi,wafiraji,wafirwaji,wasagaji,wasagwaji,mashoga,waongo,wachawi,washikina,walawiti,wabakaji.
Wanaopaka mikorogo,lipustiki,wanja,mek up,wanaosuka nywele,wanaoweka dawa kwenye nywele,wanaovaa mawigi,heleni,shanga,vikuku,mavazi ya kikahaba,cheni,pete,wanaochora tatoo,wanaotumia makalio bandia,matiti bandia n.k,hawataingia mbinguni wataishia motoni,,,,ISAYA 45;9,,KUTOKA 33:5,6,,,MWANZO 35:1-6,,,,1 PETRO 3:3-6
Kwa hiyo ikiwa unaita mbingu unayesoma ujumbe huu,Tubu dhambi, mpe YESU maisha yako akuokoe,Tafuta wokovu halisi kabla hujachelewa.
@@KaijageGodfreyJoshuawho hurt you 😂😂😂
Ee Mungu ponya moyo wangu. Am on drugs battling heart problems 😢.
Receive healing in Jesus name 🙏🙏
God's healing power upon you
@@lucywanjira4883 Amina
🙏🙏🙏@@lucywanjira4883
U will be healed ❤
Very beautiful people with beautiful melodies... Hata mngejiita tu beautiful melodies. What a song moyo wangu usinikosanishe na Baba I'm truly blessed. Keep it up guys 💪💪👏👏 nice job 👍
Asante kaka
Catholics never disappoints in utunzi wa mziki yani they can say anything and come out biiig and 👍 🎉
Me as a Gen-Z I stand to say that these are the best modernized songs for choir 💯
Jamani nyimbo nzuri ❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉😊😊😊
Wakatoliki hoyee!!!!! Tuaje kiherehere tutulie kwa Bwana ❤️❤️
Moyo wangu acha kiherehere sukuma damu 🙏🙏🙏🙏 na umtumainie mwenyezi Mungu
I don't have anything to say but am happy that the owner of this channel is reading the comments and liking them let me hope he or she will like mine❤❤❤,be blessed
Thanks sister we really appreciate your comment.
@@kristumfalme6037 🙏🙏🙏🙏
Moyo wacha kupenda sukuma damu😮
Good song❤
Kucheni hapa,wote, kazi kuntu. God bless!
Ewe moyo wangu acha kiherehere tulia kw bwana ❤❤❤
All the way from tiktok.....who is here with me🎉😅❤
Niko
😂😂
Tuko
Ewe moyo wangu wacha kiherere cha kwenda Western hii Krismas, sukuma damu, ni nini....
Wow very beautiful song congrats all of you wimbo n nzuri sana mungu awabariki sana❤❤❤🎉🎉🎉
Asante sana vijana kwakunisaidia na wimbo huuyu wa sangwe
A very good song, kweli moyo wacha kiherehere, Fanya kazi uliyoumbiwa
Am not a Catholic but l luv all catholic songs ❤❤❤❤
❤❤❤ moyo wangu tulia kwa bwana
Kali sana hii asanteni sana🎉
Kweli myoyo imepata kiherehere lkn hii nyimbo lit🔥
Kazi nzuri xna wimbo ni 🔥🔥🔥
Asante, Asante sana. The dance is off the chain. That's how 🤔 we 👏 🙌 👏 🙌 praise the Lord. Stay blessed 🙌 😇 🙏🏿 ☺️ 😊 ✨️ 🙌 😇 😮😢🎉😂❤
Wimbo mzuri huu jamani🙏🙏❤❤keep it up
tulia usinigonganishe na nyota ewe moyo skuma damu moyo weeee so lit i gonna press repeat button
Great song relating to the current situation of many christians. Moyo acha kiherehere, fanya kazi yako❤
Mimi nayo moyo wangu iko na kiherehere ya kustay catholic forever
Very nice song,clear message, kristu mfalme cograts
Sasa na venye nilikua nishaa anza mpango ya kutafuta moja yawah😂😂😂sawa basi moyo tulia❤❤
Sisi nasi na Nyoyo Zetu zote tumefikiwa na tumeitikia Wito wa Bwana Kameja pamoja na Wanakwaya hawa ambao wameng'ara Kama Malaika na sauti zilizo lainishwa zikalainika. Form ni kutuliza mioyo kwa Bwana na kuisihi ifanye kazi yake ya kusukuma damu❤❤❤
Hongera sana Kameja na Wanakwaya wahusika....
AMINA Mungu Awabariki kwakweli moyo ya he kiherehere Cha dhambi usukume damu tu Ila mkatanue sketi wa dada zimewachora wanaume hoye
Inafaa kabisa kwa 10 bora iwe yakwanza nyimbo tamu mno na ina ujumbe mzito mno
Barikawa sana tena sana,ni wimbo ime nigusa
Nice song Moyo wangu wacha kiherehere
wimbo nzuri
moyo wangu wacha kiherehere sukuma damu unanikosanisha n mungu kwa kunifanya nipende Sana wanawake
Moyo acha Kiherehere, congratulations big team❤
Wahoooo wimbo mtamu mnoo duhu mzuri Sana umejaa ujumbe mkubwa Sana ,wow
Nimeipenda mnooo huu wimbo jmm wee moyo Acha basi kunigombanisha na Mungu wangu ,😂
Mnapendesa sana wacha moyo utulie kwa Bwana ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Moyo wangu fanya kazi yako ya kusukuma damu na utulie kwa bwana 🙏🙏🙏🙏🙏🥰🥰🥰
Niliambia moyo Wangu tulia kupenda mtu ovyo ovyo waja sana sana kwa mapenzi
Hakika ewe moyo wangu acha kiherehere,
Sukuma damu.
🙌 🙌 🙌
Hiyo sauti inatoa nyoka pangoni aki. Wueeeehh!!!!
I always miss you milele melodies .. Nice song
Kazi nzuri Mungu amubariki sana watumishi wa mungu
Kameja kameja kameja nimekuita mara tatu
Una kitu kaka ongeraaa sana umenigusa sana ❤🎉🎉🎉
Kweli mioyo zinakuwanga na viherere Mungu Baba tuzaidie mioyo yetu itulie kwako ❤❤❤❤ kali kweli, hii 💯
Hongera mwalimu kameja kwa utunzi huyu. Zidi kubarikiwa
Thanks dear God for your prayers this morning dear God bless us
Good morning
Milele mmekuja Sana aisee❤Hii napenda watu wangu Tutulie Tu Kwa Bwana🙏🙏
Watches it daily hata naiimba ikiwa idle 👌🏿👌🏿🔥
Any Ugandan here
This song is exceptional mungu bariki izi sauti its 3 months i have to listen to this song mara kumi daily mungu bariki izi sauti na mtunzi Lawrence Lawrence
Lawrence kameja you are doing exceptional
❤❤❤ ndio maana napenda catholic am proud to be a Catholic
Ewe moyo wangu tulia,na usinigombanishe na bwana❤❤eish hii ni tamu sana
Myoyo iache viherehere! Wanamilele hii imeweza❤❤🎉🎉🎉🎉
Mbarikiwe sana kwa ujumbe mzuri❤❤
Nawapenda mnoooooo! Moyo Tulia Kwa Bwana
Soo powerful 👏
Roho ina kiherehere sana.
Moyo nimekupa ajira moja hizo ajira achia wengine sukuma damu tu🤗🤗
😂😂😂😂
Huo wimbo ni mzuri sana nimeupenda hongereni waimbaji
Wakuu mnasikia hiyo kinanda ama ni mimi tu na kiherehere yangu
Kinanda kimepatwa haki...Well done
Weeeeee may God bless the composer can this be the national anthem for heartbreaking hearts
Excellent. Sio kiherehere
Nasikia Tu kiherehere ya mguu😊😊😅
Excellent work
Hongereni kwa kuingiliana kwa nyimbo kwani ni mzr sana ❤❤❤❤
Team tiktok piga like tukisonga this song is on another level.
Mko vzr jmn utume mbele, kwa Yesu ni raha
Moyo wangu ulikuwa na kiherehere cha kutamani sana..nimebarikiwa atlist umetulia nimeridhika na kidogo nilicho nacho🫂
Good work ❤God bless you people..Moyo Tulia Kwa Bwana
❤nmeamkia hii wimbo iko sawa asaneni sana waimbaji wazuri,mungu awazidishie❤❤❤
Amen
Ewe moyo wangu acha kiherehere tulia lwa Bwana . ..nisaide Mungu nitoke kwa uovu 🙏🙏
Congratulations guys. Mungu azidi kiwaneemesha.
Blending and voice projection iko mahali pake
Ewe moyo tulia kwa Bwana acha kiherehere 😂😂nice song indeed
Thumbs up to the person who came up with this message to my heart
Wakenya mmetisha sana
mmeanza kuunda muziki mtamu,hongereni kwa kazi njema ya uinjilishaji 🕺
Tunaenda 1 million I hope. This is quality job
Nice song ❤❤ moyo wangu acha kiherehere sukuma damu
So lovely song mpaka imeniponya vidoda za moyo zenye nilikua nazo aki God bless
❤❤❤❤❤Moyo wangu tulia 🌹🌹🌹🌹wimbo mtamu sana
Kweli kabisa hongera sana mwalimu kameja kazi nzuri pamoja na wahimbaji husika
Naipata vinzuri kabisa,moyo wangu umegunzwa asanteni sana Andrew Mbuvi
🎉🎉🎉🎉🎉 Kaz nzur sanaa tuendelee kumtumikia mungu katika roho na kwelii
Woow,,,!!! The creativity,eloquence,, production at its best
I've Become a lover of Catholic Music..Such a message Done well through Song 🎉
Moyo wangu acha kiherehere sukuma damu 🙏🙏🙏
Moyo acha kiherehere tulia kwa moyo......I like the song
Wow congratulations at last nimeingoja sana moyo tulia
Hongera San Lawrence kameja kwa utunz wa wimbo. Mzur
From Nigeria I don't understand any thing Abt d song but I love it so much ❤❤❤
Hello Beatrice you are welcome we love you.
It's you telling your heart that it be grounded and anchored unto the lord, and that it's shouldn't be excited/ mesmerized/ captivated with other issue but just pump blood😂 for it's soaring discord with your God....
Those are the actual word
Ewe moyo - you my heart
Wacha kiherehere - stop the excitement
Sukuma damu - you telling your heart that it concetrates on just pumping blood...
Wow ❤❤🎉 amazing song moyo wangu sukuma damu tu aja kiherere😂😂😂
Moto sana. Kwakweli mmeongea na moyo. Huu ni wimbo wakati moyo ukiwa na kiherehere tunafinyaaa play na tunatulia kwa Bwana. Kazi safi sana. Kwa kweli Roho Mtakatifu ameshuka kupitia kazi hii.
Really love this song may GOD bless this choir nda elevete to the next level
Congratulations 🎉🎉🎉kwaya ya kristu mfalme kazi safi🙏🙏
Asante wanaMachakos tunawapenda.
Karibu...kazi nzuri
Amazing song !nilikuwa nafikiria kufall in love this year but,weuh! moyo wangu Wacha kiherehere,tulia kwaMwenyezi Mungu mpaka wakati ufaao ulipangwa na Mungu uwandie
Ain't a kisii but the message in this song is so emotional 😢😢😢😢 God please 🙏🙏🙏 may you help us go back home safe and sound and may you guide our families back at home till we meet them again
Wimbo saf mavazi Kwa akina mama daaa😂😂 god trehemu
This is a master piece.. job well done..
Wooo❤🎉 i love the song
Inafaa kuimbwa wakati gani kwa ibada wadau
Congratulations 🎉 team moyo acha kiherehere