Nimesikiliza huu wimbo more than 10 times. Ujue katika ujana kuna mambo unapitia mpk unajiona huwez ata ingia malangoni mwa nyumba ya Bwana yani unajiona kama ata ukiomba Mungu hawezi kukusikia ila baada ya kusikiliza huu wimbo aloooh am so blessed na napata nguvu sana ya kumwambia shetani mm sio wa kwako kweli niliteleza ila mm nina baba yangu na anasubiri nirud kwake
Huu wimbo umekua favorite yangu, usiku kucha naweka uimbe na asubuhi naamka nao, kazini baada ya Rozari lazima nisikilize. Nani mwingine anafarijika na anapata ma tumaini akisikia wimbo huu. Let’s gather here.
Asante kwa wimbo mzur,,, Zaid Sana ashukuriwe aliye juu kwa sabb pamoja na mapungufu yetu lakini bado tunathamani ni wimbo ambao unatupa faraja kwa mapito tunayopitia katika ulimwengu huu nasema Tena Asante Mungu kwa thamani uliyotupa sisi binadamu sifa na utukufu zikurudie
nikijihisi kukata tamaa nasikiliza huu wimbo unanitia moyo sanaa na kunifanya nipate nguvu mpya. sijaja duniani kuzurula ni kusudi maalum la Mungu niwepo hapa hongereni kwa kazi njema
Kwa Kweli ukisikiliza vizuri wimbo huu, mambo 10 yanaweza kutokea: 1. Machozi 2. Tiba ya stress 3. Dawa ya anaekaribia kujinyonga. Atapona 4. Utaiona huruma ya Mungu 5. Utajuta dhambi 6. Utakusudia kuacha dhambi 7. Utaungama dhambi zako 8. Utaenda kanisani kila wakati 9. Utajiona mwenye thamani kubwa 10. Utarudia kuusikiliza.
Wimbo huu hunipa hisia nyingi zenye kugusa maisha yangu mbele za Mungu kupitia kwa matendo yatupasayo. Hongereni sana waimbaji na Mtunzi. Baraka ziwe nanyi.
Huu wimbo ingekuwa utoaji wa tuzo for my deeply heart ungeongoza kuwa na tuzo kwanza inafundishwa,unaburudisha na unakufundisha kuwa mtu mwenye subira ambay hupaswi kukata tamaa amina sana❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Nilianza kusikiliza wimbo huu mwka 2022 nilikuwa kwenye mateso makali sana ya kimaisha na watu wa watumishi wa kazini kwangu,kila siku nikitoka kazini nilikuwa nasikiliza huu wimbo hadi leo hii.Nilipata faraja kubwa kupitia huu wimbo huu.
Dah, me Huwa ni mgumu sana kusifia kitu lakini hapa uzalendo umenishinda! Ndg hauimbwi sana Kwa watunzi lakin sijawahi ona kitu Cha bla bla Toka kwakotoka nianze kusikia nyimbo zako! Hii ni zawadi muhimu sana kwangu Kwa kipindi hiki Cha kuuaga mwaka 2022, hongereni sana Kwa kazi nzr, soprano mmeuaaaa, no comment
Tafakari kubwa sana, Hongera mtunzi kwa utunzi bora! Nackiliza kutokea Parokia ya Mt. Benedicto Peramiho, kigango cha Nguvumoja! Jimbo kuu katoliki la SONGEA
Mr Isaac this is hilarious, we are being blessed by your Melodies. Glory to our Lord and Saviour Yeshua 🎉
"Ingawa nanguka dhambini kwa Mungu ninadhamani" huu wimbo unaniongelesha❤
Nimesikiliza huu wimbo more than 10 times. Ujue katika ujana kuna mambo unapitia mpk unajiona huwez ata ingia malangoni mwa nyumba ya Bwana yani unajiona kama ata ukiomba Mungu hawezi kukusikia ila baada ya kusikiliza huu wimbo aloooh am so blessed na napata nguvu sana ya kumwambia shetani mm sio wa kwako kweli niliteleza ila mm nina baba yangu na anasubiri nirud kwake
Barikiwa sana 🙏
Nimeutafuta sana huu wimbo hatimaye nimeupata,,,,, wimbo mzuri sichoki kuusikiliza unanitia moyo na kujiona wa Thamani
Barikiwa zaidi na utunzi wa mwita isack hapa ua-cam.com/video/ZkqeC2bhzsk/v-deo.html
Wimbo unanitiaga moyo sana jaman mbarikiwe sana waimbaji pamoja na mtunz
Hakika ndgu
Congratulations a beautiful song, indeed we precious before God amen.
Usijishushe Dhamani yako kwa Mungu haiwezi kushushwa na Mwanadamu ...na wala hatukuumbwa kwa Bahati Mbaya...Asante sana kwa Zawadi ya Upendo.
INADHAMANI.
Huu wimbo umekua favorite yangu, usiku kucha naweka uimbe na asubuhi naamka nao, kazini baada ya Rozari lazima nisikilize.
Nani mwingine anafarijika na anapata ma tumaini akisikia wimbo huu.
Let’s gather here.
✋✋❤❤
Moja Kati ya tungo bora uliotunga ni hii ,, hongera sana mtunzi na waimbaji pia mpiga kinanda ,mmefanya kazi nzuri sana
Nikisikia wimbo huu huwa nafarijika sana,pia unanifanya nijitabue kuwa nami kwa mungu ninathamani
Hakika kwa Mungu Una Thamani. Mmetutafakarisha sana Wapendwa.
Hongera kwa tunzo na sauti nzuri
Huu wimbo mzuri wakati upo chini kabisa unahisi mungu yupo karibu. Asanteni kwa wale walioimba mungu awabariki mguze nyoyo za watu
Nauona uwepo wa Mungu kila Napo sikia Nyimbo hii. Hakika Mungu awabariki sana. Hio sauti ya tatu hapo mliniweza sanaaa. Be blessed
Ujumbe mzuri unatia Sana Moyo, hata video nzuri, Kazi nzuri Sana🔥🔥🔥
Ongera sana kwa aliyetunga hii wimbo,pia waimbaji ongrereni kwa kuimba wimbo huu vizuri sana MUNGU awabariki kwa kazi ya uhimbaji
Oh what a wonderful song! What a powerful message here!
Asanteni sana Mwita and friends. I play this song everyday. It is so encouraging. ❤❤
Nimejazwa na roho mtakatifu baada yakusikiza wimbo huu hongera kwa mtunzi.
Asante Mungu Kwa wimbo huu mzuri. Unatukumbusha thamani yetu wanadamu.
🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🎙️🥰
Despina, hatuwaoni siku hizi, nini changamoto. Tumezimis kazi zenu takatifu
So Nice...Hatukuumbwa kwa Bahati Mbaya...
Mungu anaijua dhamani yako.
Wow ❤ I love your song
Keep it up
Kwa kweli kazi ni nzuri kinoma nimekubali mungu awazidishie afya njema
Isack Mwita nimekuelewa,nyimbo zako zinagusa sana,M/Mungu akutunze,
Waimbaji wote hongoreni sana sauti pia Zina farijinsana
A very nice song, and it makes us feel God's endless mercy🙏
Daah nimeurudia huu wimbo zaidi ya mara 100 lkn hamu haiishi kuusikiliza, barikiwa sana mtunzi na waimbaji wote
Nahisi mtunzi alipokuwa akitunga huu wimbo alikuwa ameshukiwa na roho Mtakatifu hakika unanipa amani ya moyo na najiona Nina nafasi nyingine kwa mungu
Walimu kama wewe ni wachache sana mungu azidi kukupa uwezo wa kufikiria na maisha marefu mwalimu wangu
Mbarikiwe sana. Kazi ni nzuri mno
Ni Mungu pekee aijuae thamani yako🙏🙏🙏
❤❤❤❤tumeupiga mwingi
Shukrani sana mwl nimekuelewa maana nilikuwa najua kama mchezo." Hakika unathamani"🙏🙏
Ooh Mtukanji na waimbaji Yesu tunaejivunia awazidishie vipaji na si tuzidi kufarijiwa na nyimbo zakumtukuza Mungu
Mungu akuzidishie kipawa mzee mwita ,,,Mimi na kwaya yangu tunakupenda bure❤❤❤❤
Amina 🙏 sana
Amina..wimbo unabariki sana
Mungu awabariki ukweli nimepata Tumaini jipya kupitia huu mungu awabariki
Hii ndio zawadi pekee aliyonipa mungu kusikiliza nyimbo Kama hizi
Ujumbe mzuri
Bonge moja la song. Mwita weee unajua aisee. Hizi ndio nyimbo sasa za kikatoliki
Binafsi nawapenda kwa utume wenu mwema napenda pia utume wangu wa uimbaji.
congratulate to a good song
Asante kwa wimbo mzur,,, Zaid Sana ashukuriwe aliye juu kwa sabb pamoja na mapungufu yetu lakini bado tunathamani ni wimbo ambao unatupa faraja kwa mapito tunayopitia katika ulimwengu huu nasema Tena Asante Mungu kwa thamani uliyotupa sisi binadamu sifa na utukufu zikurudie
Kweri wanakwaya wetu kwa mungu wetu tunathamani. Mungu awambaliki kupita kwa HUO wimbo una badili watu wengi sana. ASANTENI.
Kongole kwao kazi nzuri inatutia matumaini.
Wimbo huu jaman unanifariji mnooo hakika me niwathamani
Mmeupiga mwingi, hongera kwa mtunzi, tungo iko njema na waimbaji pia mmeutendea haki
Kaka, wimbo nzuri sana na utunzi mahiri kweli..
Asante sana mkuu
Hakika wimbo ni mzuri tena ubarikiwe sana mtunzi,kupitia wimbo huu nimefarijika sana kwa mapito ninayopitia
Hii ni tungo Bora sana za Mtunzi Mwita
nikijihisi kukata tamaa nasikiliza huu wimbo unanitia moyo sanaa na kunifanya nipate nguvu mpya. sijaja duniani kuzurula ni kusudi maalum la Mungu niwepo hapa
hongereni kwa kazi njema
Wimbo ni bora kabisa unatuamsha hautukatishi tamaa
Kamwe ulisilie na Usikate Tamaa..Mungu anaijua Dhamani yako..
Tujinasua kuanguka dhambini
Bless song much i love it
Mwenyezi Mungu ni Baba yetu hata katika madhaifu yetu. Tu kweli wa thamani machoni pake
Kwa kweli hongera sana mtunzi nimebarikiwa sana na huu wimbo🙏🙏🙏
Amina sifa na utukufu vimrudie aliyetupatia hizi talanta
Hakika kwa Mungu nina thamani
Ahsanteni kwa wimbo huu wenye kutibu mioyo iliyovunjika.
Kazi nzuri Sana barikiwa kwa hilo
Hakika kwa mungu ninathamani kubwa ,hili tungo limenipa moyo sana
This is My favorite Marian hymn, thanks ms Bhakita
Much love❤🎉
Kwa Mungu nina thamani🙏🙏🙏🙏
Kwa Kweli ukisikiliza vizuri wimbo huu, mambo 10 yanaweza kutokea:
1. Machozi
2. Tiba ya stress
3. Dawa ya anaekaribia kujinyonga. Atapona
4. Utaiona huruma ya Mungu
5. Utajuta dhambi
6. Utakusudia kuacha dhambi
7. Utaungama dhambi zako
8. Utaenda kanisani kila wakati
9. Utajiona mwenye thamani kubwa
10. Utarudia kuusikiliza.
Barikiwa sana kaka
@@Mwita_Isack nimefulahia nikiwa zanzibar asante sana
Kwel kabisa nimejikuta nipenda no 9 najiona wa thaman Sana hasa nikiskiliza ubeti wa pili 🙏🙏
Toka nimeufahamu nasikiliza kila siku
Very true
Hongereni kwa kazi nzuri
Wimbo huu hunipa hisia nyingi zenye kugusa maisha yangu mbele za Mungu kupitia kwa matendo yatupasayo. Hongereni sana waimbaji na Mtunzi. Baraka ziwe nanyi.
Have been blessed. Kwa Mungu nina dhamani .Barikiweni sana . I love 😍 this song.
Jamni mnaimba vizuri naomba kuimba pamoja nanyi
Mungu awalinde mwendelee kueneza injili ya mungu
Huu wimbo ingekuwa utoaji wa tuzo for my deeply heart ungeongoza kuwa na tuzo kwanza inafundishwa,unaburudisha na unakufundisha kuwa mtu mwenye subira ambay hupaswi kukata tamaa amina sana❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Asante kwa nyimbo nzuri zinautukufu mnoo barikiwa sana Mwl
Amina 🙏
Kazi Safi sana
#Hongera sana Kaka Mwita Kwa Utunzi Mzurii..
Mungu awabariki mno, kazi nzuri
Una thamani. On endless auto-repeat this morning.
I feel this is how music will be in heaven.
Nilianza kusikiliza wimbo huu mwka 2022 nilikuwa kwenye mateso makali sana ya kimaisha na watu wa watumishi wa kazini kwangu,kila siku nikitoka kazini nilikuwa nasikiliza huu wimbo hadi leo hii.Nilipata faraja kubwa kupitia huu wimbo huu.
kwa Mungu una thamani🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
Beautiful song and voices🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
I listen to the song every day. Pls nisaidie na notes ikiwezekana.
Asante kwa wimbo huu ina nipa nguvu
Naona uwepo wa Mungu kwangu mpaka Sasa hivi.
Daaaaaaa hongera sana mtunzi pamoja na waimbaji
Yaani huu wimbo unanitia moyo sana
Yesu nakupenda
Wimbo mzuri sana
mi nilikua wapi jmn😢
Ninayo dhamani Kwa kweli mbele yako ewe mungu...hutachoka kuniongoza mungu wangu Kwa kuwa upendo wako hauna masharti.Amina
Dah, me Huwa ni mgumu sana kusifia kitu lakini hapa uzalendo umenishinda!
Ndg hauimbwi sana Kwa watunzi lakin sijawahi ona kitu Cha bla bla Toka kwakotoka nianze kusikia nyimbo zako!
Hii ni zawadi muhimu sana kwangu Kwa kipindi hiki Cha kuuaga mwaka 2022, hongereni sana Kwa kazi nzr, soprano mmeuaaaa, no comment
Thanks broo na Mungu atukuzwe
Tafakari kubwa sana, Hongera mtunzi kwa utunzi bora! Nackiliza kutokea Parokia ya Mt. Benedicto Peramiho, kigango cha Nguvumoja! Jimbo kuu katoliki la SONGEA
Amina 🙏
Nasikiliza kutoka kigango Cha Mt Petro ibulyu parokia ya Mt john Bariadi
Mtunzi hongera sana sana
Kiukwel mwimbo mtam Sana narudia kila Mara 🙏🙏🙏
Safi sana wapendwa,wimbo mzuri na mmeutendea haki
Hongereni sana waimbaji 👏👏👏
Properly composed be blessed.
Mungu akubariki mno Isack kwa hiki kipaji alichokupa
Amina sana
Kiukweli ubarikiwe mtunzi na waimbaji wote nimefarijika mno hongera sana
Hongeren kazi nzuri Sana
Mefurah Kukuona Dada yang Jenerose Zanzibar Sauti kinanda
Umetiachia pengo Huku
Huu ndio wimbo unanipa nguvu kwa maana unamafundisho ya kutosha
The greatest hit from Mwita....the harmony is so sweet
Ni mungu pekee,hakuna zaid mungu baba,,
Nimeipenda Sana hii wimbo mungu azidi kukuzidishia katika utunzi wako🎉
Feeling so blessed with this song
We were all created with a purpose..
Jamani hongereni sana waimbaj wezangu mmeimba mpaka mnasisimua duuuu
Uuu .nio
Hongera sana mwalimu
Wimbo mzuri sana Hadi nimependa jaman eee hongereeeni sema sasa unapatikana UA-cam pekee ake mediaa nyingine hapana
Blessings.
Daaah brother mmeupiga mwing all the Best kwa KAZI zingingine
🙏