RAIS SAMIA ATOA TAMKO RASMI BAADA YA SIMBA KUSHINDA | VURUGU KWA MKAPA HASARA HII IMETOKEA POLISI...

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 57

  • @KanoniKilyabumu
    @KanoniKilyabumu Місяць тому +2

    SERIKALI ihusike ufidiaji wa gharama za viti vilivyong'olewa Kwa vurugu za mashabiki sfaxien na si Kwa timu ya Simba maana haijahusika na vurugu hizo. Asante mama maana umeona Hali halisi iliyokuwa.

  • @mimmahsuleiman6847
    @mimmahsuleiman6847 Місяць тому +1

    Hawa simba ubaya ubwela ni hatari simba nguvu moja. Asante mama Samia kutupatia sapoti😊😊😊😊😊 nimefurai ushind

  • @IdrissaHaji-x1v
    @IdrissaHaji-x1v Місяць тому +2

    Nimefurahi ❤

  • @judithkombe1644
    @judithkombe1644 Місяць тому

    Tanzania hongera sana

  • @MutenoMuteno
    @MutenoMuteno Місяць тому +1

    🦁🦁🦁

    • @TemuTV
      @TemuTV  Місяць тому

      ✈✈✈

  • @EvaliniEvelin
    @EvaliniEvelin Місяць тому +1

    Nimefurai sana

  • @HappyMpenzu
    @HappyMpenzu Місяць тому +1

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤inafrahisha

  • @MosesMasunga
    @MosesMasunga Місяць тому +1

    Sana

  • @RithaDevid
    @RithaDevid Місяць тому

    Nimefurahi

  • @mariachunga2191
    @mariachunga2191 Місяць тому

    Hongeren sana wanasimbaa ,hao jamaa wapewe fain walipe viti haraka

  • @mansamussa_outfit_design
    @mansamussa_outfit_design Місяць тому

    This is not fair ......
    Let CAF takes action 😢😢😢

  • @ManyelezuMachiya
    @ManyelezuMachiya Місяць тому +1

    Nimefulahi sana kushida

  • @SamMatik
    @SamMatik Місяць тому

    Niaibu sana

  • @SayuniMsemo-jt1if
    @SayuniMsemo-jt1if Місяць тому

    Tumefurahi sana

  • @EddyManywele
    @EddyManywele Місяць тому

    Nimefurahi sana Simba oyeeee

  • @isackJosephkasheku
    @isackJosephkasheku Місяць тому

    Simba wako vzuri isack kasheku from geita

  • @GodfreyChitanda-u2p
    @GodfreyChitanda-u2p Місяць тому +1

    Congratulations simba sports club

  • @ThomasLyanga
    @ThomasLyanga Місяць тому

    Good

  • @GlorySumaye
    @GlorySumaye Місяць тому +1

    Simba nguvu moja

  • @KulwaElizeus
    @KulwaElizeus Місяць тому

    Simba waadhibiwe Kwa kulipia kilekilichotokea uwanjan Kwan waondowaliong'oa vitivingi.

  • @HamisiRajabu-g8r
    @HamisiRajabu-g8r Місяць тому

    mimi kamamimi sijaona sababu yakuanzisha vulugu baada yamechi kuisha kiufupi lefanae hakuwanamakosa kuongeza dkika nathani watazamaji wote tuliona muda walokuwa wanapoteza baada yakuwafunga simba nakawaida yawaarabu kamatunavyo wajuwa mimi kamamimi namshukulu sanalefalii ametenda haki kama ipasavyo nawachezajiwetu wamejitahidi sana hadikuiweka tanzaniayetu kwenyeflaha naamani

  • @DavidiMlyuka
    @DavidiMlyuka Місяць тому

    Nimefurahi mno Simbaaaaa!😊

    • @StellaKaluwa
      @StellaKaluwa Місяць тому

      Huyu ndie kiongozi tumefurahi sana Simba kushinda Kuna viongozi wanawaogopa warabu

  • @RamadhaniTuwa
    @RamadhaniTuwa Місяць тому +1

    Ongera.sana.umewakilisha.vzr.simba.oyeeeeee

  • @ChristoophermisungwiKusekw-p8h
    @ChristoophermisungwiKusekw-p8h Місяць тому +1

    Sisi tunasema mama anaupiga mwingi hakika mama nimwanamichezo tusaidie kupigwa kisa tumewafunga wanatun.gorea naviti mama simamia hilo

  • @ProjeyBjohn
    @ProjeyBjohn Місяць тому +1

    Mam tunakupenda xan maan aukwam

  • @MohamedMarusu
    @MohamedMarusu Місяць тому +1

    Sijafuri

  • @KassimMahmoud-m4l
    @KassimMahmoud-m4l Місяць тому +1

    tunafuraya,yasimba

  • @leylajafar2479
    @leylajafar2479 Місяць тому +1

    Nimefurahi sana kupata point 3 ayo mengine tuwaachie serikali

  • @JohanesYustas
    @JohanesYustas Місяць тому

    Kweri sio vizuli kutupiga wakati tumewafunga

  • @AidanKostantine-f5l
    @AidanKostantine-f5l Місяць тому +1

    Nimefulay sana smba naipenda sana

  • @JohnNjavike
    @JohnNjavike Місяць тому +1

    Simba wapewe mauayao.

  • @jumaludimo9294
    @jumaludimo9294 Місяць тому

    Unajuwa kuna watu wameshazoea kubebwa nandiomaana hawawezi kupongeza kwahiki kilichofanywa nawenzao kwani tunawaona wenzetu zinaongezwa dkk2 nazinachezwa dkk 6hiyo hutokana na refa kufidia muda unaopotea ndani dkk za nyongeza hivyo hakukuwa natatizo kwa mechi yajuzi ya simba

  • @MussaMigongo
    @MussaMigongo Місяць тому +1

    Musamigongo nimefurahi simbakushinda

  • @M2lu2mbiKadeghe
    @M2lu2mbiKadeghe Місяць тому +1

    Ubaya ubwela

  • @saidmikota4138
    @saidmikota4138 Місяць тому +1

    Ndo Rais kasema nini sasa?

  • @JuniorMsaka
    @JuniorMsaka Місяць тому

    Komaaa

  • @HenedAidha
    @HenedAidha Місяць тому

    Hao ni mashabiki wa yanga walivaa sure za wapinzani

  • @VailethKaali-hx8yh
    @VailethKaali-hx8yh Місяць тому +1

    Kubebwa ndo kunasababisha mambo kama hayo maana mwamuzi alizidisha dakika badala ya kumaliza mchezo kwa muda maalum

    • @edwardntamaboko3414
      @edwardntamaboko3414 Місяць тому

      Na kwenye mechi ya Cs Constantine na bravo zilipo ongezwa dk 3, mbona hamsemi?Refa anaakili zake timamu mpaka anaongeza aliona kitu hakukurupuka acha wivu

    • @janekijazi1365
      @janekijazi1365 Місяць тому

      Mbona tarehe 18 dk 4 ziliisha na goli likafungwa hamsemi! Achane ubunafsi na refa ana dk zake jamani

  • @SalimuSumaidi
    @SalimuSumaidi Місяць тому +1

    Nabado kipigo kinaederea watakubsri tu

  • @SwaliinaYusufu
    @SwaliinaYusufu Місяць тому

    Atujamaliza tutakwenda kwa tahadhari munguatatujaalia tutarudi na pointi 3

  • @ZephaniaKiboma
    @ZephaniaKiboma Місяць тому +1

    Nimeona raha sana

  • @ChidyKitwanga
    @ChidyKitwanga Місяць тому +1

    Nikwann wataftiwe matokeo kwa kuzidisha mdatajwa

    • @JaphetLukos
      @JaphetLukos Місяць тому

      Hujui Sheria za mpiraa, kasomekwanza ndipo uweumachangia hojaaa!

    • @ahmadahamo6627
      @ahmadahamo6627 Місяць тому

      Sheria nipale muda ukiongezwa mgeni hatakiwi kucheza acheze mwenyeji tu

  • @ShemsaSalumu
    @ShemsaSalumu Місяць тому

    😂😂

  • @JustineMyombe
    @JustineMyombe Місяць тому +1

    😅😅😅

  • @mimmahsuleiman6847
    @mimmahsuleiman6847 Місяць тому

    Ni furaha babkubwa

  • @Samweltata
    @Samweltata Місяць тому

    Wap

  • @BornfaceJohn
    @BornfaceJohn Місяць тому

    Simba wapigwe faini kubwa ili waache hizo tabia za kijinga

  • @AlfredMapile-g9e
    @AlfredMapile-g9e Місяць тому

    Mh

  • @MwajumaIssa-ky2jz
    @MwajumaIssa-ky2jz Місяць тому

    Ujinga tu tanzania hakuna mpira bali ujinga tu dakika saba hadi tisa mmh