KIPESILE | 44 |
Вставка
- Опубліковано 8 лют 2025
- #09ontrending
Karibu katika Group letu la WhatsApp kwa USHAURI na MAONI binafsi kuhusu kazi zetu
chat.whatsapp....
#TwinsNationTz #aderymasta #kipesile #BabaJoan #txdullah #clamvevo #bestfriendclamvevo #bigbossClamVevo
#AderyMasta #ComedyMpya #standupcomedytanzania #tanzaniacomedians #osogocomedy #ttcomedianvideos #bujingocomedy #ttcomedianlatest #mifugotanzania #BichwaProduction #directorbravo #KaziMedia #MrNavvyOg #txdullah #NduttuM1 #Bhailam #KPwaAquino #ComedyPlus #ShadowTV #TwinsNationTz #BabaJoan #EPMMEDIA #focusstudio16
#AderyMasta #ComedyMpya #standupcomedytanzania #tanzaniacomedians #osogocomedy #ttcomedianvideos #bujingocomedy #ttcomedianlatest #mifugotanzania #BichwaProduction #directorbravo #KaziMedia #MrNavvyOg #txdullah #NduttuM1 #Bhailam #KPwaAquino #ComedyPlus #ShadowTV #TwinsNationTz #BabaJoan #EPMMEDIA #FocusStudio16#TwinsNationTz #BabaJoan #txdullah #clamvevo #bestfriendclamvevo #bigbossClamVevo
#AderyMasta #ComedyMpya #standupcomedytanzania #tanzaniacomedians #osogocomedy #ttcomedianvideos #bujingocomedy #ttcomedianlatest #mifugotanzania #BichwaProduction #directorbravo #KaziMedia #MrNavvyOg #txdullah #NduttuM1 #Bhailam #KPwaAquino #ComedyPlus #ShadowTV #TwinsNationTz #BabaJoan #EPMMEDIA #FocusStudio16 #BossMchawi #ChingaMedia #kichechecomedy #biggboss
Subscribe our UA-cam channel for more Drama from Adery Masta Tanzania
Clam VEVO
Boss mchawi / 28 /
Boss episode 28
Boss mchawi ep28
Big boss
clam VEVO big boss 11
Clam VEVO comedy
LAST CARD 25
kp wa aquino
Kicheche comedy
Asma comedian
House Of Horror
horrorstory
wrong House 4
Wrong House 5
Mwanafurnzu WA Ajabu
snake Boss season 2 episode 16
Raha diamond
baba joan
wrong House 6
Shado tv
wrong HOUSE / 1 /
komasava
diamond komasava
Bhailam tv
Twins nation
mistake 7
Mweusi Family
nigeria movie plus
wake wenza
kicheche
Steve mweusi
Ndoro mjeshi
mjeshi kikofia
yanga tv
snake Boy 17
Simba Tanzania
nbs premier league
snake Boy l 16 l
Ngao ya jamii Tanga
azama tv
Boss Mchawi 17
Boss mchawi episode 17
Boss mchawi CHINGA media
Azam fc
Boss mchawi Ep 20
Luis Miquisson
Esomba onana goals
Penzi la mchawi
Cheka tu
Txdulla
Clam VEVO mwanafunzi mchawi
uchanbuzi wa kina
baraka mpenja
mpenja tv
clouds media
Boss
wasafi media
edigital
Wasafi festively 2023
jua kali
maisha magic bongo
#aderymasta #kipesile #TwinsNationTz #BabaJoan #txdullah #clamvevo #bestfriendclamvevo #bigbossClamVevo
#AderyMasta #ComedyMpya #standupcomedytanzania #tanzaniacomedians #osogocomedy #ttcomedianvideos #bujingocomedy #ttcomedianlatest #mifugotanzania #BichwaProduction #directorbravo #KaziMedia #MrNavvyOg #txdullah #NduttuM1 #Bhailam #KPwaAquino #ComedyPlus #ShadowTV #TwinsNationTz #BabaJoan #EPMMEDIA #FocusStudio16
ASANTE KWA SAPOTI NDUGU ZETU NAWAPENDA SANA WENU KIPESILE ❤❤❤❤❤❤❤
Twakupenda Pia ❤❤❤❤❤❤
Kutoka Kenya nawatambua sana
Mnachelewesha sana vpande hat vikija n vidogo
Mnastahili kusapotiwa maana mko vizuri sana kwenye sanaa. Hongereni sana.
🎉🎉 nakupenda bure
Hii movie baba halima awepo mpaka mwisho namkubali sana ,
Mim ndo namkubali kuliko kawaida yn anaigiza vzr xna
Halima ashindwe na alegee
Daaah Baba Halima ni mzazi na nusu,,, Halima Acha jeuri Baba ako anakupenda sanaaaaah
Anampenda sana
Ila alinibamba time alimwambia anakaa tu hapo anamwangalia badlands aolewe
Sana sana aiseee✊️🤝🙏
Wangp hawatamn Baba Halima ahalibikiwe,,, huyu Halima ashndwe na alegee
Ashindwe kabisaaa
Jamani ahalibikiwe tena jamani mtu anae saidia watu aharibikiwe tena duuuh au wew ni kama kipesile 🤷
@@stellamwakyusa7929Hujasoma comment yake vzuri,,
@stellamwakyusa7929 yaaaan namansha hyo ndoto ndo ayoota kuwa Halima anataka kumtoa kafara Baba ake
Heeh halima ashindwee kabisa tenah afe yeye mwenyewe halima😂😅😅😅
Hapo baba Halima anayemweza ni MUNGU pekee ila hawa wachawi na waganga wakasome miaka 100000000
Wa kwanza leo , tangu ianze sijawai kupata likes. Naombeni angalau 5
Baba halima asife ananogesha sana move
kipesile anafanana na bamdogo sijui ni babayake kweli
Ndiyo
Alima pumbavu zako unataka kuzuru babako utakufa vibaya upoooo
Halima jamani tunachapwa hadi tumeolewa,,,wekeni like hapo
Ugomvi wa Mzee na harima sio mzruri unaharibu mvi maana alio yatenda Mzee kwenye maisha ya harima ni makubwa sana yanatosha kumuheshimu na kuheshimu uwezo wake
Kipesile weeeeee noma ila hii mobie hatari dori ananivunja mbavu kama unaamin gonga like
Daah Yan baba halima na mpnd San Kwa hekma na busala ❤❤❤🎉🎉🎉
Ila kipesile anampenda baba ake mdogo adi raha yupo tayar awazuru wengine ila sio baba ake❤
Wanao amini halima hamuwez babake weken like hapa
Huyu amtegue hio kinga tu amuache aregeshwe kwa misukule
Nahisi halima ataungana na kipesile
Hawez mzki wa Mzee ameshindwa mama mkuu
Kuzaa mtoto kama Halima ni matumizi mabovu ya mbegu za uzazi ahah😂
😂😂😂😂@@ShamsaRashidi
Halima sijapenda😟😟
Tunae angalia hiiii movie yetu ya kipesile tukiwa kitandani tujuwane kwenye like
Baba halima tunakuamini cheza kiwewe ❤❤❤❤❤❤
Furaha yang ni baba harima asije msameh uyu harima mtt akililia wembee mwache umkateee Tena umpeee kubwaa kuliko kipesile na mama ake
Kabisa
Halima mbona kafika mbali sana anae amini halima atafeli weka leke❤❤
Halima sipendi unamvonfanyia baba ako maskini anakupenda sana
Halima Wacha ujinga na upumbavu, mzazi hakosei kwa mwanae
Mnachelewa kutoa kazi jmn jitahidin move kali sana
Kaka adery wewe unaweza tena sana tu 🔥🔥🔥
Salute wote wana Adery. Mkenya mimi hapa❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Yaani namchukia Alima kama nini,🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Jamani naombaa mnisaidiee kitu hivi kuna mtoto anayemtukana baba yake kama halimaa 😭😭sijapendaaa
Sijapenda kabisaaa
yaan mim nimeshangaa uyu halima mshenzi
Mtoeni uyo halimaaa anamafunzooo iweje mzazi aombe mtoto msamahaaa sjpenda
Naona halima akifanywa bubu 😂😂😂
😂kw kweli 😂😂
Mbona Mme tuchelewesha
Jamani mie niachieni kipesile...yuko vizuri kabisa.......kenya twamkubali
Nimeilewa hyo Hatar sana
Number one today
Jamani mm nimechoka na huyu halima simfunge huo mdomo awe bubu aki awachekihereher aah nawapenda sn tim kipesile mko juu🎉🎉🎉
Kweli halima unataka kumlipa ubaya baba yako kweli ww ni mtoto mkaidi sanah
Mbona Mme tucheleweshea sana
Et jamani hafu Dakika kidogo kwisha
Mnipee like mbili tu 😮 kutoka kenya
Kama halima ataendelea kuishi mimi najinyonga simpendi kabisa nyooo arudishwe ndondocha aka msukule
Kabisa Bora awe msukule tu
Nyama za ng'ombe 😂ety kichwa cha binadamu😂😂😂😂jaman kipesile
Hahahahahaaaaa
Alima jamani, anataka anzulu babayake huuu mungu mkubwa ninamuonba mola Alima assifanikiwe 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿,
Move tamu
Jaman halima acha ujeuri baba yako anakupenda sana ❤❤❤❤❤
Nipeni like zangu
Kipensile iyo tena jinsi ulivyo mpita uncle yako ukatokea nyuma yake noma sana unasalimiwa na wanangu Rahma na Hilal wanasema hongera Kipensile gtgs from Uganda
yan jamani alima sijapend kabisaaa kumsalit babaako duh gonga apo
Halima halima acha kibuli huyo ni mzazi wako
Napia ana roho nzuri sana
Siyo kama mama kipesili.
Halima kichwa maji hadi anambia babake siri zake 😂😂😂😂 kitakuramba
Jaman msiumie wala kuchukia mambo harima hiyo ni movie na ni mafunzo tu wanafanya tujifunze tu❤️❤️❤️😆😆😆🎉🎉🎉
😅😅😅jaman kipesile nyama zote hizo utazimaliza😅😅😅
ila Alima 😂😂😂 shezzzy kabisa
Ila halima sijapenda unavyo mzalau baba yako❤❤❤
Wewe halima mbona wataka kuharibu hii movie wewe aaaah .. .ukiendelea hivo utaiharibu
Halima acha dharau kwa baba yako sio vzr
Team kipe hiii ya 🎉🎉🎉🎉
Halima unachokitafuta utakipata
😂😂😂😂😂 umeona
Kweli kabisaaa but aonei babayake huruma😢
Alienjoy kuwa msukule 😂😂huenda anataka awe msukule tena
😅😅😅😅😅😅😅😅kimurambe yy t
We muache atageuzwa mdomo mapema
Kwa kweli jambo usilolijua ni usiku wa giza😢😢
Ba mdogo kipesile sikuogopi 😂😂😂😂
Halima ndo shukulan yako hiyo babayako alikuangaikia ww😢
😢😢😢😢
😢😢😢
Yan kipesile mwanangu kaza kamba utakuwa mugizaji mkubwa sana hapa Bongo,upo vizuri sana
Baba halima ni fireee movie kaliiii hongereni team nzima mko pouwah knoma
Nilijuwa mtoto mzuri halima kumbe mshenzi tu nyoko zako
Heee jamani 😢sii movie tu mbona munachulia serious
Halima amazon kabisaaaa
Mnachelewesha sana
Baraka matunda nawapenda sana kipesile
Wazazi ni Mungu wa pili duniani tuwalinde watoto wetu.
Haaa halima amechanganyikiwa
Halima mzee wako kapitia mengi kwaajili yako
Kheli ungeachwa ukawa tu msukule daaaaaaaaaaaaahhhhhh
Nakubali kazi zako
Aki kipesile na baba dogo mtaniuwa😂😂😂
Baba halima halima asikuchanganye mgeuze hata kuku akamatwe aliwe nyama nitafutahi sana😂😂😂
Bamdgo anasema sikuogopi kipesile wala siogop mazingaobwe yko apa jiandae uondoke mara shwaaaaaa😅😅😅 n htariii
Ila Adery 😂😂😂huogopi chochote kidogo tu umejikunyata 😂😂😂
Huyu halima siyo mtoto wa kweli
Nawapenda piano mubarikiwe
Kipesile umchoshwa bbko eti karibu tule wali nyingi lkn nyama nizakichwa chabinadamu wewe nikiboko kwel😂😂😂😂😂
Noma sana
Halima ww umenikela xana humuezi baba ww lete jeuri atakunyooxhaa
hongera kwa kazi nzuri🎉🎉🎉🎉
Mungu amusaidie sana baba halima jamani
Sik hz youtube imedoda mission impossible imeisha chado nd alikuwa anatoa movie kwa wakt nyiny wengn mnachlewesha san kuwek km chado bs ila all in all nawapenda san team kipesile
Ware tunao wah tujuane hapa❤😂
Mimi wa mwisho leo
Pia sisi tunakupenda ilaumezidi uchawi🎉🎉🎉🎉
Kikulacho Kiko nguwoni muako,leo Alima anataka anzulu babayake,huuu,mungu mkubwa ninamuonba mola Alima assifanikiwe🇲🇿🇲🇿🇲🇿🤲🤲🤲
Ryamani kumbukeni wahenga walisema mtoto anaweza uwuwa muzazi ilaaaaaaaaaa mzazi hawuwi😢😢😢😢
Huku ni kumoto❤
Uyama uyama 🙋🙋🙋 vipi mupo kamamupo laki ❤❤
Halima better angekaa msukule tu😅😅
😂😂😂😂😂😂kwaza nicheke huyuu kipe kaja mpole kama ujii wamgonjwa.bamdogo kaxi unayo
Yani huyu halima bule kabisa🙌kashasaau mzee wa watu alivompambania
Halima sijapenda kweli babako mzazi
Baba halima hoyeee❤
😂 aki kumbe binadamu ako na supu poa kweli si kwa nyama izo🤤🤤🤤😂
Makin sana 😂😂
Jmaa anasema yko na mke mzuri je akifa atamuachia nani 😂😂
Jamani 🤣🤣😂 kipesile 😂😂 wewe humpi uhuru babaako 🤣🤣😂😂 mdogo kw nn 😂😂😂😂 lkn wewe 😂😂😂 et hivi nyama usile niza kichwa 😂🤣🤣😂 cha binadamu kweli 😂🤣🤣😂
We Halima mzima kweli!!!!!? Yaani mtoto kumfanyia mzazi hayo ni kitu cha ajabu sana
Baba halima naomba umrudishe halima kwamama mkuuu awetena msukule
😂😅😅
Huyu halima sidhani kama ni mtoto kamili wa huyu mzee namshangaa sana na hizi tabia zake
Halima kaongea kizungu😂😂
Halima muheshim babako plzzz kumbuka mahali alikutoa ulivyochukuliwa msukule alikupambania
Kazinzuri sana kabisa 🙏 🙏 🙏
Halima kwakweli anazarau sana cjapenda baba halima mgeuze kuku huyo