Mabululu kumbe amekula umeme gem ikiwa imeisha ila simba leo mmenifurashisha ateba ni mchezaji Camara sio shati ❤❤❤❤ simba nguvu moja asante Mungu kwa ushindi huu🙏🙏🙏🙏
Kama nikikosa basi usinikimbie nionye inatosha kauli ya boss Simba ubaya ubwela ❤❤🎉🎉🎉🎉🙏💪💪💯💯hii ndio maana ya sanda kwamba kila team itakayo kutana na Simba lazima ionje umauti 🔥🔥🔥🔥🔥🔥💪🙏💯
Anae ipenda simba Like ❤❤❤❤
Wanaomkubalii Musa Camara gonga like twende pamoja❤
Hapa Rwanda tunapenda Simba sc after APR FC Rwanda Ubaya ubuela♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️
Like Kwa Lionel ateba Wana simba wezangu
I love you simba sports club
Gonga like kwa simba❤
Asante Mungu tulikuomba na umetenda, asanteee
Hongera ❤❤❤ simba
mungu ibariki Simba na uzidi kuipa furaha🎉🎉❤❤
Camara ni nouma Mungu aendelee kumpa afya njema atupe heshima🎉🎉🎉🎉❤❤❤
Nimefurah mno aisee simba nguvu moja❤❤
Mussa Camara Hana zambi anayeungana namm aje apa chap kwa like 😅😅
Simba ni 🔥
Na hapa bado hatujajipata onaa vitu ivoo je tukijipata itakuw ni moto wa kuotea mbali woooiii 😆🎉❤🦁🌹💪🙏
Tumejafuta na tumejapata this is simba ❤❤❤❤
❤️ الحمدالله نادي سيمبا فرحان كثير جيدا على الفوز تنزانيا بلدن امين جيدا Thank you technikle bench thank you all players ❤🇹🇿 🇦🇪
Musa camala ni zaidi ya kipa ❤❤❤❤❤
Musa camara❤❤❤❤❤❤❤ pia na chemalon kazi kubwa licha ya wafungaji walio okoa tim🎉🎉❤❤
MUNGU ni MWEMA siku zote 🙏❤️🙏🙏🤝
I love more my team
❤❤hongera sana simba
Pa pa Che! you be the main man. Na to di push bro well done 🎉
Ateba 🥰🥰🥰
Niwaambie Ateba ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥😊😊😊😊
Moussa Pin Pin Spider Man Camaraa 🔥🔥🔥🔥🔥
Simba nguvu moja 🔥🔥🔥
Ubaya Ubwela Simba Nguvu moja ❤❤❤❤
Mpanzu nimemwona ❤❤❤❤❤❤ hii Simba❤❤❤❤
ALHMDHULILLAH
Ulamaa Iddy Kidedea 🦁💪🏽
Simba nguvu moja Simba next level NAIPENDA SIMBA CHAMA LANGU
Asante Azam tv
Mabululu anaipenda Simba ,,
Simba bingwa 🏆🦁💪💪💪
Hiv kwanini gori linakataliwa lawaz kabisa
Mussa kamara yuko vizur sana ukiskia ubaya ubwelaaaaaaa ndo huo🦁🦁🦁🦁💪💪
❤❤❤❤❤❤❤❤❤ ad bas
Ubaya ubwelaa❤❤❤❤❤❤
❤❤❤❤❤
Nkana alianza kupata bao hivi hivi kupitia Walter Bwalya na mwisho wakafa 3-1 kama leo. Simba kweli mnyama mkali. Wapi likes za Camara
Hii ndo maana halisi ya ubaya ubwela❤❤❤
❤❤musa Kamala big kipa
❤❤
Sana mussa Camara namukubali sana yaan MUNGU amlinde aendelee hivo hivo
Like za kutosha kw Musa Camara
100
Dah hyo jamaa camara baraaa
Kweli huyu ni spider 🕷️
Spider Camara
Spider
Jamani wachezaji wetu wamejitoa kikamilifu leo walijuwa wazi kama wanadeni kwa wanamsimbazi.
Mussa kamaraa apewe sifaaa
Sema Mabululu mwana sana🫡
So sweeet❤❤❤❤❤
Mabululu aitaka Simba maana hizofear play siyo za kawaida viongoz kazi kwenu
Simba unyama mwingi
Like za kibuuu
👏🏿🏟️🫅🏿👑🦁
Simba kuingia hatua ya makundi ni lazima na sio ombi🔥
Mungu ni mwema❤
mwema sana
Simba ya ubaya ubwela niahatari Sana mungu aendelee kutujalia
Camara safi sana,Simba ubaya ubwela
Pinpin 🙌
Moussa kamala nakubari ofsa
❤️⚽️🥇
🔥🔥🔥🔥
Nyie huyu Mussa Camara anadaka mpk ndoa znazolegalega❤😂😂😂😂😂
Kama ndoa yako mahi😄
Mabululu kumbe amekula umeme gem ikiwa imeisha ila simba leo mmenifurashisha ateba ni mchezaji Camara sio shati ❤❤❤❤ simba nguvu moja asante Mungu kwa ushindi huu🙏🙏🙏🙏
Simba nguvu moja
Walioona badiliko kwa shomari kapombe weka like, shomy the way kutoka kuwa galasa mpaka kurud mchezon
Amanizo 96 boy from Tanga muheza mungu nimwema❤
Mabululu ataiota Simba mwezi mzima
😂😂😂😂😂😂😂
Mussa Camara ni nomaaaaa
Mnyama
😂😂upendo wa coach wa simba na wanae ni wa juuu meng yanakuj😂
Mabululu ndo kwaponza wenzake😂
Wachezaji wote wa Simba nawapenda chapeni Kazi jamaniii mungu ni mwema mautundu yazidi kupita maelezo
Bg up kamara
Mabululu kwaohuko😂❤❤
Kama nikikosa basi usinikimbie nionye inatosha kauli ya boss Simba ubaya ubwela ❤❤🎉🎉🎉🎉🙏💪💪💯💯hii ndio maana ya sanda kwamba kila team itakayo kutana na Simba lazima ionje umauti 🔥🔥🔥🔥🔥🔥💪🙏💯
Mabululu ni feisal aliyechangamka yaani anatuziba midomo nyumban kwetu🤔mamaye tumemuonyesha UBAYA UBWELA live😂😂
Naipenda simba kuliko kitu chochote apa dunian
Mungu jee?
@@odilomwemeziernest646 amesema hapa Duniani😊 Mungu ni wa mbinguni
Ubaya ubwela 🦁❤❤❤❤ lakn balua apunguze uchoyo
simba noma
Simba jamani mutakuja kuniuuuwaaaaaaaa,,,Mimi ni masaiii Simba damuu walaiii Simba walaiii
First man
Simba mnyama mkali
Nimefurahi mpaka machozi yananitoka
Mabululu anamapenz na simba mana fair play kazizidisha tumkalibishe jaman
Kweli kabisa mwamba anaipensa Simba
Mh ni sawa lakin cdhan kama simba tunaweza toa fedha kama walizotoa tripol😂
Mzee yule
ATEBA NI LA STRIKER
Mabuluto utakuja kuiota Simba mwaka mzima🤣🤣🤣🤣🤣🔥🔥🔥🔥🔥
😂😂😂😂😂😂
@@ZalhathamohdSaid-qn4jj amini Simba ni ya🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 walioko ndani walioko nje asee MUNGU wangu ubaya ubwela
Hatari kubwa Simba Sports Club
Simba nguvu moj
Hawa wasenge Leo wanaenda lala pia kuoga mana sio Kwa hiii Simba ubaya ubwela
Huyu mabululu hv kumbe alionesha ishara yakunyamazisha🤔hajui Tim za Tanzania huwa hazinyamazishwiii🎉😂 polen Sana
Azam sijui mnatumia tecno kuchukua hz vdio
Nguvu moja 💯💯
Mmemuona mabululu!!?yaani amedata kwa baba esther mpaka amemkumbatia!!cheza na lunyasi weweee❤❤❤❤😂😂😂
Aseee ameshindwa kuvumilia kasema ngoja kipind kiishe angalau nikuhag kidogo
Nauliza VAR iko wapi
Camara
Kama zooted like
Simba nguvu moya
Inaonekana refa kabet inakuaje tunyimwe goli halali na tunachezewa rafu hakuna Cha kad 😢😢😢
Mechi za kiumee hizi
TANURU LA MOTO DUNIANI
Simba Ina timu jamn kama hutaki kumbatia transformer
Dah 😂😂😂😂🙌
Mchezaji anaitwa Lionel we huogopi?
Huyo jamaa anaitwa Lionel Christian Ateba. Na ndio jina lake halisi yaan ni Ubaya Ubwela.