GUMZO: VIDEO VURUGU KWENYE MECHI YA SIMBA, REFA ATAKA KUPIGWA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 445

  • @rexgodwill7353
    @rexgodwill7353 Місяць тому +34

    Huyu refa wakimataifa kweli..
    Waarabu timu nzima walikuwa wagonjwa wanaanguka kila baada ya dkk chache Sasa refa anapoongeza dkk anavyojisikia anakosea wapi.. Hili ni fundisho na ni nzuri Sana waarabu wabadilike

    • @MonicaCasperCasperMonica
      @MonicaCasperCasperMonica Місяць тому +3

      Oyooo❤

    • @BOT-u6x
      @BOT-u6x Місяць тому +1

      Kwel kabisa umeongea point

    • @EliaMkumbo-wn7bm
      @EliaMkumbo-wn7bm Місяць тому +1

      Wakati wanaanguka ndo maana zikaongezwa dk 7 sasa hizi 9-10 zimetoka wapi au bahasha zitawatokea puani niko paleee

    • @SalimAbdallah-mi1wc
      @SalimAbdallah-mi1wc Місяць тому

      Hizo 7 pia wameanduka ndo maana ukaisha dakika 8 sema jengine 😂kwani unakereka ukiwa wap​@@EliaMkumbo-wn7bm

    • @remidusmwanandenje-yy5gs
      @remidusmwanandenje-yy5gs Місяць тому +2

      Ujui boli Kanye ulale😢

  • @FloridMirror
    @FloridMirror Місяць тому +18

    Ndoo basii tenaaa simbaa washaondokaa na pointss😂😂😂🎉

  • @DicksonMakundi-zs1yw
    @DicksonMakundi-zs1yw Місяць тому +7

    Kweli tuache ushabiki usiofaa, refa yupo vizuri waarabu walipoteza muda mwingi Sana kujidondosha pia huo muda uliozidi watabumbue wamezicheza wote, hata wao wangefunga ingekuwa goli

    • @ABUUSHURAIM
      @ABUUSHURAIM Місяць тому

      @@DicksonMakundi-zs1yw mbwa Koko wew dakika 9 aibu hamuoni

    • @ReyNestory
      @ReyNestory Місяць тому +1

      😂😂😂😂 tunachojua tumeshinda Yani hata zingekuwa kumi muhimu pointi tatu​@@ABUUSHURAIM

    • @emmanuelmtenga9045
      @emmanuelmtenga9045 Місяць тому

      @@ABUUSHURAIM hakuna sababu za kutukana.. Kwanza tambua kuwa mchezo wa soka unangozwa na kanuni na taratibu... Kanuni ya muda wanyongeza imempa refa wa ndani kuendelea kuchezesha mechi hata kama dakika za nyongeza kuisha, mfano kama dakika 7 zimeongezwa na refa wa mezani na dani ya hizo dakika kukatokea matukio ya kupoteza muda muda wa kuisha mechi hautakuwa zile dakika 7 mechi inaweza kwenda hadi dakika ya 10. Refa wa ndani anayechezesha mechi kapewa ruhusa kufanya hivyo ili kuondokana na timu kufanya makusudi kupoteza muda, hivyo baada ya dakika za nyongeza kuisha kama kulikuwa na matukio ya kupoteza muda refa atafidia muda uliopotea. Kwa mfano refa wa mezani kaongeza dakika 7 halafu mara baada ya dakika kuanza kuhesabika golikipa akaumia ikailazimu timu kumtibu uwanjani kumbuka kipa anatibiwa pale pale uwanjani... baada ya kupata nafuu anainuka kuendelea na mpira ila sasa ametumia muda wote wa nyongeza yaani dakika saba zote yuko anapatiwa matibabu... ikitokea hivi hatuweze sema refa maliza mpiira hapana. atakachokofanya refa atafidia muda uliopotea.... TUACHE MIHEMUKO ISIYO NA TIJA INAYOPELEKEA KUTUKANA. TUANGALIE MPIRA HUKU TUKIZIFAHAMU SHERIA AU KANUNI ZINAZOONGOZA MECHI...

    • @Namtumbo
      @Namtumbo Місяць тому +1

      Mwenye wivu

    • @Gracejap
      @Gracejap Місяць тому

      Kuna watu wanacheza dkk103

  • @MRISHOALLY-s3q
    @MRISHOALLY-s3q Місяць тому +1

    SIMBA BABA LAO LEFA ALIKUA SAHIHI 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @KyissmaMoreen
    @KyissmaMoreen Місяць тому +24

    Kwani hizo Dk za nyongeza walicheza Simba tu au na waarabu walicheza? Kama walicheza hapo fujo za nn sasa?

    • @shaabanramadhan6770
      @shaabanramadhan6770 Місяць тому +3

      Ndo nashangaa

    • @nicholousmtemi3902
      @nicholousmtemi3902 Місяць тому

      Acheni kujitoa ufahamu mnashangaa nn Sasa

    • @issakhalfan1514
      @issakhalfan1514 Місяць тому

      Hivi mnaelewa mnacho sema haya tender kwa beki wenu alitakiwa apewe nyekundu ikawaje

    • @emmanueljohn7
      @emmanueljohn7 Місяць тому +5

      Kama vipi tukienda kwao na wao walipize tucheze dk 120

    • @EsterMjema-n8c
      @EsterMjema-n8c Місяць тому

      @@nicholousmtemi3902vya kushangaa😂

  • @josiacharles2778
    @josiacharles2778 Місяць тому +25

    Awa watu wametuzarau sana yani nchi yetu tunafanyiwa aya, ivi uko Dr kuna wanaume kweli 🤔 miujiza ifanyike uwanja wa mkapa uamie tarime😮

    • @marconzilankoma7581
      @marconzilankoma7581 Місяць тому +2

      Kweli huu ni upumbavu mkubwa sana watu wako ishirini au serasini yaani hao walikuwa hawatoki uwanjani dah

    • @EliaMkumbo-wn7bm
      @EliaMkumbo-wn7bm Місяць тому +1

      Mnafungiwa maisha

    • @rexgodwill7353
      @rexgodwill7353 Місяць тому +1

      @@EliaMkumbo-wn7bm simba ndiyo timu pekee Africa ambayo mashabiki wake Wana tuzo toka caf... Wanatujua ustaarabu wetu... Caf washajua shida ilipoanzia..
      Na Congo Jana ilikuwaje nasikia watu wamechezea kichapo?

    • @EliaMkumbo-wn7bm
      @EliaMkumbo-wn7bm Місяць тому +2

      @rexgodwill7353 kwahiy caf wanawajua kwa kung'oa viti

    • @MaulidMjwiga-tb1zu
      @MaulidMjwiga-tb1zu Місяць тому +1

      We ni msenge sana kazi kubebwa mbwa nyie pia kama sio kipofu waliovunja viti ninani kama sio Simba kenge nyie subirini lungu mkome

  • @AbdallahShaabani
    @AbdallahShaabani Місяць тому +4

    Hwa warabu wamezoea vita kila mara hawajui Tanzania ni nchi ya amani😂😂😂😂

  • @manenompongo1527
    @manenompongo1527 Місяць тому +1

    Kawaida timu ikielemewa au ikicheza kuzuwia ukiongeza dakika nyingi utakuwa unaiumiza timu inayojihami.

  • @tinukamlowe2134
    @tinukamlowe2134 Місяць тому +1

    Kuondoka dondoka kwao ndiyo kumefanya zifike dakika nane na point

  • @rukiyamohammed2945
    @rukiyamohammed2945 Місяць тому

    Safi sana ,marefa lazima mjifunze ...

  • @ismailngulingar2133
    @ismailngulingar2133 Місяць тому

    Refa kazingua katika Dk zilizoongezwa hakuna hata Dk 1 au sekunde iliyopotea kwa kujiangusha Sasa iweje azidishe mpaka Dk 8:48 sababu ni Nini ? Ni sahihi refa kupigwa kawabeba sana simba .
    Simba bhana mmebebwa nyinyi viti mrushe nyinyi huu ni ujinga mkubwa sana simba inastahili adhabu kali sana ya ndani na nje na wasiruhusiwe kutumia huu uwanja waende bunju wakan'gowe visiki mbwa awa wametia haibu taifa.
    Yanga imefungwa watu wameridhika wameondoka simba hii ni kawaida Yao hii ni mara ya 2 Sasa

    • @MANYANYA56
      @MANYANYA56 Місяць тому

      Inaonekana ww unafirwa

  • @FestoLucas-i3z
    @FestoLucas-i3z Місяць тому

    Hivi jamani right kama simba angefungwa hawa warabaga wangefanya fujo au wangechekelea

  • @ELIFASMADEBHO
    @ELIFASMADEBHO Місяць тому

    DK WALIZITUMIA WOTE KO HAMNA TATZO

  • @MhabeshiMaluja
    @MhabeshiMaluja Місяць тому +11

    Refa wa Leo makoro mlazeni hoteli ya nyota 5🎉na Mauwa juu😂😂huyu ni Familia kabisaaaa

  • @madundanyonda2899
    @madundanyonda2899 Місяць тому +1

    Afu walinzi wa Tanzania mbona kama wanyonge

  • @SalumuRamadhani-y4y
    @SalumuRamadhani-y4y Місяць тому

    Simba kwa nn mnapenda kuvunja viti

  • @graceswai9166
    @graceswai9166 Місяць тому

    RUNGU LA CAF LINAKUJA!!!!! Waarabu kwa vurugu ni kama chakula, wanapenda shari tu

  • @josephmakonga3201
    @josephmakonga3201 Місяць тому

    Mashabiki wa simba nao wameng'oa viti

  • @PromiseSimkwai
    @PromiseSimkwai Місяць тому

    Jamani mm ni yanga damu damu,hapa tuelimike hizi dakika zinaongezwa kwa timu moja?hizi ni dk za timu zote kwann wao wasifunge tungelaum kama angewapa Simba penati ya bule

  • @emmanuelShayo-dk6vf
    @emmanuelShayo-dk6vf Місяць тому +4

    Sasa huko kwao mkienda mtaekewa ..mkieafunga kimbieni..shauri yenu

  • @EvelineKimwaga
    @EvelineKimwaga Місяць тому

    Simba nitim yauhuniuhuni tu hamna kitu kushinda mpaka vurugu

  • @ALLYBULULA
    @ALLYBULULA Місяць тому

    Wapo sahihi sana mpila.wa afrika ukiwa mnyonge kila siku utafanyiwa haya mechi ijayo refa hata fanya mambo kama haya unadhan atakanyaga kwao refa kama huyu hakuna.muda wafidia ktk dk zanyongeza ndio maana zikaongezwa saba😂😂

    • @tinukamlowe2134
      @tinukamlowe2134 Місяць тому

      Wewe jama hujui wewe refar yupo sahihi kabisa wewe umeona Hawa waarabu alivyokuwa wakipoteza muda? Hivyo umewagharimu, sijui kama unajua hilo

  • @IdrisaMbaruku
    @IdrisaMbaruku Місяць тому

    Kweli kabsa refa hana makosa hapo

  • @Misanyahidaya
    @Misanyahidaya Місяць тому +5

    Ila mbwa sijui huwa wanajikta nani wapo kwenye nchi yetu afu wanajikta shenziii

    • @JonathanNelson-l8h
      @JonathanNelson-l8h Місяць тому

      Suala hili linaniudhi sana yani wanajionaga wao ni bora zaidi kuliko sisi......mimi sina fagio wananijua ninaokutana nao 😢

    • @OmarSeafood
      @OmarSeafood Місяць тому

      Shida sio wao shida ni refa kuwa mwana familia

    • @rexgodwill7353
      @rexgodwill7353 Місяць тому

      @@OmarSeafood Sasa wao walifungwa miguu? Si na wao wangehangaika wapate ushindi?

  • @ramahkesh9360
    @ramahkesh9360 Місяць тому +1

    HAO WAARABU WATAKUWA MAFALA KAMA SIMBA WATAENDA KULE MA WASIWAPE KICHAPO NAWAO😂😂😂😂

  • @NelsonMakoye
    @NelsonMakoye Місяць тому

    Kwer nmeamini simba ndio wafanya vurugu

  • @HamadiMaulidi-h3s
    @HamadiMaulidi-h3s Місяць тому

    Nimeona asikali nae anapigwa mchezaji kweli Tanzania nabwege sana tutatuwa mpaka kidole Cha mkundu alafu usemi kitu duuu

  • @JamesRoimen
    @JamesRoimen Місяць тому +49

    Simba ni timu kubwa bhana kushinda ni jambo la kawaida na refa alikuwa sahihi amefidia mda uliopotea manake ushindi wa mnyama ni halali kabisa

    • @sarahsaimon4095
      @sarahsaimon4095 Місяць тому +10

      Acha uongo kabisa, hili sio goli halali pia akuna mda uliopotezwa refa akawa family che malon alitakiwa kadi nyekundu. Pia mda uliisha kabisa. Uwezi tafutiwa goli ivyo

    • @abdullatifhassan9399
      @abdullatifhassan9399 Місяць тому

      Basi tufanye ivi lichukue ili goli ulihamishie kwenye timu yako ya uto kwasbb uto Ana goli moja mechi 3.....kwahio ukiongeza na hili yatakua mawili😂​....... Jitahidi ukijibu usitukane.... Vumilia😂@@sarahsaimon4095

    • @OCTAVIANSINZO
      @OCTAVIANSINZO Місяць тому +2

      Mnateseka sana duuu

    • @lawimanumbu5103
      @lawimanumbu5103 Місяць тому

      Kati ya yanga na simba nani alinusulika kuahibika kutafutiwa sare au kushinda.​@@sarahsaimon4095

    • @gibsonjosephat6352
      @gibsonjosephat6352 Місяць тому

      Wewe kweli KUMA ya nyuma. Game iliyofuata kati ya Barvos na Costantine zimeongezwa 4 golinla 3 limefungwa dakika ya 96. ​@@sarahsaimon4095

  • @sadikiselemani1580
    @sadikiselemani1580 Місяць тому

    Milard ayo repoeter anazingua timu ya CS ndo timu gan na hakuna refa wa timu pinzani refa ni wa wote

  • @kisomwando
    @kisomwando Місяць тому +1

    sisi wabongo ni waoga sana ,ila kupigana wenyewe kwa wenyewe simba na yanga tunaweza ao waarab wawili 2 hatuwawezi

  • @HusseinMwatende-ws1nt
    @HusseinMwatende-ws1nt Місяць тому

    MIMI KWA MACHO YANGU NAONA WANAO NG'OA VITI NI MASHABIKI WA SIMBA WENYEWE NA SIO WAARABU,JAPO MUARABU KAKOSA NIZAMU YA KIMCHEZO KAMA ANAHISI KUNA MAAMUZI YASIO YA HAKI WANGEPELEKE MALALAMIKO YAO CUF

  • @SingahDelaboss
    @SingahDelaboss Місяць тому

    Hawa jamaa kwako tutaishije wanalunyasi😂😂

  • @mliwakhatib9457
    @mliwakhatib9457 Місяць тому

    Simba mashabiki ndio waliong'oa viti

  • @johannesishengoma1232
    @johannesishengoma1232 Місяць тому +8

    Rungu la CAF linaweza kuwa baya sana kwa michezo ya Simba. Uwezekano wa kucheza bila mashabiki upo wazi.

    • @muddymuzungu4357
      @muddymuzungu4357 Місяць тому

      I second you

    • @NasmaKhatibu-s4n
      @NasmaKhatibu-s4n Місяць тому +1

      sasa hapa simba inamakosa gan?kwan wachezaji wa simba ndio walioazisha Purukushan?

    • @SimonMtuka-i5k
      @SimonMtuka-i5k Місяць тому

      Mashabiki kwa nn wangoe viti

    • @mosesg.pendael8381
      @mosesg.pendael8381 Місяць тому

      ​@@NasmaKhatibu-s4n mashabiki wa Simba wameng'oa viti na kuwapiga navyo wageni

    • @haidhabushiri9558
      @haidhabushiri9558 Місяць тому

      Simba kosa Lao kung'oa viti

  • @suleimanRANGI-q3s
    @suleimanRANGI-q3s Місяць тому

    Simba oyeeee

  • @CharlesMashenene
    @CharlesMashenene Місяць тому

    Yaaani mnapigwa wakati mpo kwenuu ,makolo kwelii nyie,
    Unapigwaje kwako

  • @MustafaMgeni-c9m
    @MustafaMgeni-c9m Місяць тому

    Ifike wakati watanzania tuamke tuache unyonge wa kishamba,mimi ni yanga lakini haiwezekani mtu apige watu kwenye ardhi yetu tena anatamba,huo ni ufala na usenge sio nidhamu ya michezo.

  • @AbelyMisangu
    @AbelyMisangu Місяць тому

    Utopolo Hoi ukisema ukisema tumebebwa hujui kuangalia mpira kama unabisha kaangalie fc bravos na cs Constantine mechi ya Jana waliongezwa dakika ngap na walipitiliza dakika ngap

  • @MusaStephano-s9c
    @MusaStephano-s9c Місяць тому +6

    CAF ivunjwe tu, lianzishwe shirikisho jipya, mashindsno yamejaa juu mpaka Chini, dhuruma za marefa wa hivyo zimepitiliza kila mechi.

    • @HadijaOman
      @HadijaOman Місяць тому +1

      Kweli kabisa

    • @officialsalim3955
      @officialsalim3955 Місяць тому

      Nani kadhulumiwa!?

    • @MashauriMaila
      @MashauriMaila Місяць тому

      Point za Darasa la saba hizo... anzisha shirikisho lako basi

    • @simonzelote5998
      @simonzelote5998 Місяць тому +1

      Mbona refa Hana kosa lolote angalia mechi ya bravo na Constantine wameongeza dakika 4 Ila mechi imeisha dakika ya 98 hii hata ulaya ipo kwa wanaongalia mpira dakika Ni za wote

    • @LabaniAkyoo
      @LabaniAkyoo Місяць тому

      Wee hujui kitu, walipoteza mda sana, Simba tukawaambia haijaisha mpaka iishe

  • @JosephKifisha-ml7ju
    @JosephKifisha-ml7ju Місяць тому

    Inaumiza sana dah mpira ni mchezo wa ngumi jmn jmn Sasa hivi kweli ni kwetu wanafanya hivi je huko kwao itakuaje si watatulipua Hawa watu,jmn Rais wetu tusaidie Kwa hili 😂😂😂😂😂

  • @life_of_Joseph
    @life_of_Joseph 18 днів тому

    Makolo wazee wa gusa achia jidondoshe tupate penalty nyie mnaishia robo tu. Alichokiandaa RS Berkane na Zamalek sizani kama mtapona😅😅😅😂😂😂

  • @ElnahJonas
    @ElnahJonas Місяць тому

    Tushachukua point na goli zetu kelele za nn tena

  • @tegemeakyangenyenka6111
    @tegemeakyangenyenka6111 Місяць тому

    Angalieni hao ni waarabu wanang,oa viti tuseme ukweli, jukwaa upande mkubwa hivo si watanzania mashabiki wa simba hao

  • @abdallahally842
    @abdallahally842 Місяць тому +2

    Walipokua wanajidondosha walitegemea nini? Hata dakika 7 waliemdelea kujiangusha kipa wao alipoteza mda refa anahaki ya kufidia mfano mechi ya leo bravo na Constantine refa aliweka dakika za nyongeza 4 lkn alimaliza mchezo kwa kuongeza dakika3 kamaliza dakika 97 ni kawada hao wamepagawa wakijua washatolewa mechitatu zote wamefungwa. Hata hivo hio dakika moja iliomgezwa walicheza wote wachezaji 22. Caf inatakiwa iwaadhibu

  • @YussufNdila
    @YussufNdila Місяць тому

    Musitudanganye bwana hamuna lolote refa kakusaidieni muda ilikuwa tayar

  • @AmanduceFesto-nb6kh
    @AmanduceFesto-nb6kh Місяць тому

    Mcheza kwao hutunzw ukwel nikwamba tim zatanzania msim huu tanzania hatna tim za ushindan

  • @JobnManase-gh2fp
    @JobnManase-gh2fp Місяць тому

    Polisi wana kazi gani ,intelegensia mwisho chadema na uchaguzi?

  • @asmamjema8539
    @asmamjema8539 Місяць тому +1

    Mi si shabiki wa mpira na sina timu ila leo rafa kaupiga mwingi kabahash ka simba kanamuuumbua lile si goli lipo nje ya muda

    • @renatusblandes1131
      @renatusblandes1131 Місяць тому

      Waambie siku nyingine waende na mda wasiwe wanajivuta goli limefungwa kwenye 8:24 hivyo nikawaida refa kufidia mda uliopoteza

  • @jennpabroo
    @jennpabroo Місяць тому

    kumbe refa alitaka kupigwa na hamsemi et alitaka

  • @JoshuaEdwini
    @JoshuaEdwini Місяць тому

    Simba utoto wakungoa viti mtaachalini

  • @EliaFatuma-z7l
    @EliaFatuma-z7l Місяць тому

    Yaani waarabu niwatu wa ovyo sana ulemda walikua Wana anguka kama hawajala Wana mwaka walikua refa ni Baba Yao'hawajielewi hao kabi

  • @MaxweliChipolopolo
    @MaxweliChipolopolo Місяць тому

    Tp mazembe wajiandae kwa kweli wakileta usenge tuy 😂😂😂😂

  • @ahmadSeif860
    @ahmadSeif860 Місяць тому +1

    Safi sana waarabu, refa anastahik kupgwa

    • @kelvinmsyani3913
      @kelvinmsyani3913 Місяць тому

      We mtazania au muarabu .yanga wamepigwa congo umesikia

    • @rexgodwill7353
      @rexgodwill7353 Місяць тому +1

      @@kelvinmsyani3913 🤣🤣.. Wanaacha yao macho kodo kwa simba

  • @EmmanuelChikawe-qq6ut
    @EmmanuelChikawe-qq6ut Місяць тому

    Sasa mashabiki wa Simba wnaharibuntena miundombinu ya uwanja wetu daah😢

  • @AgiripinaNisiphory
    @AgiripinaNisiphory Місяць тому

    Kuna muarabuuu mmoja ameruka teke kama damme😂😂😂😂😂

  • @AsuminaZubely
    @AsuminaZubely Місяць тому +1

    Watuache nasimba yetu

  • @daudiwamara3787
    @daudiwamara3787 Місяць тому +3

    tanzania upore umezidi hadi tumetowamo ujinga kwao unaweza kufanya haya

    • @rexgodwill7353
      @rexgodwill7353 Місяць тому

      @@daudiwamara3787 Libya Aishi alipigwa kibao na askali wao sisi askali wetu wanawabembeleza 😅

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 Місяць тому

    Cs faxen ni timu ya hovyo

  • @SuleimanMuhammed-g7q
    @SuleimanMuhammed-g7q Місяць тому

    Cc watanzania tumeletegea ilikua tuwafanyie kitu kibaya miaka 5 tucheze bila kuingia mashabik lkn tushaweka heshima,watu 10 wafanya ujinga nikuwavamia halaf wakaenda zao wakajua km ubabe na cc tunaweza

  • @ZahorSalum-h9q
    @ZahorSalum-h9q Місяць тому +3

    Pumbavu sana kwani hiyo dakika 1ilozidi si tumecheza wote au. wao walifungwa.miguu??

  • @JamaldinMussa-l6j
    @JamaldinMussa-l6j Місяць тому

    Ukibebwa jishikilie nasi tujifunze kwa wenzetu sio zambi kuiga ya mo.
    Huo ndio usajili ndani na nje ya uwanja

  • @idrislundefilm
    @idrislundefilm Місяць тому

    Simba

  • @MakaNkoka
    @MakaNkoka Місяць тому +4

    😂😂😂😂😂 nimecheka kama mazur 😂😂😂

  • @minyomasonge1687
    @minyomasonge1687 Місяць тому +2

    ubaya ubwela mmebebwa daah😂😂

    • @MahaSaeed-hf3gs
      @MahaSaeed-hf3gs Місяць тому +1

      @@minyomasonge1687 etiii uliona khanga au shuka ikimfungaaa MTU mgongoni au

    • @controlTheoryChamps
      @controlTheoryChamps Місяць тому

      Lini umeanza kufuatilia mpira ndugu?

    • @MahaSaeed-hf3gs
      @MahaSaeed-hf3gs Місяць тому

      @@controlTheoryChamps Achana naye huyoooo hajui mpiraaa huyoooooo

  • @HomeboyTZ19
    @HomeboyTZ19 Місяць тому

    Sasa hawa waarabu? wanatupiga nyumbani kwetu kweli? 😂😂😂😂 hawajipendi?

  • @Boniphacetz-w9x
    @Boniphacetz-w9x Місяць тому +3

    Refa yenyewe mikono yake kama ilikua imevunjika leo mnataka kumvunja kiuno sa itakuaje 😅

    • @hggvg9809
      @hggvg9809 Місяць тому

      😂😂😂😂😂😂😂

  • @AnniePaul-d5l
    @AnniePaul-d5l Місяць тому +3

    Simba huwa haipig mtu na chup inapig mtu na Bao😂😂😂😂

  • @ShameNgeza
    @ShameNgeza Місяць тому

    Piya kitu kingine zile dakika za nyongeza hata wao walitakiwa wazitumiye vizuri waweze kupata matokeo ni kwa fayda ya wote

  • @MohdAli-cx7bc
    @MohdAli-cx7bc Місяць тому

    Waarabu na wa kenya kutwa wao wanaabudu ngumi tu😂😂

  • @DeborahMgedzi
    @DeborahMgedzi Місяць тому

    Mashabiki acheni Tanzania tuendeleze AMANI yetu. Wageni wataogopa kujia. Hasara iliyotokea mtalipa? Aibu.

  • @AllyAthuman-z9b
    @AllyAthuman-z9b Місяць тому +1

    Mama tazama pesa za wavuja jasho wa taifa hili pa kuzipeleka awa wauni waachie na uhuni wao Kuna sehemu nyingi watanzania wanaitaji msaada wako

  • @abdulhafidhkhalfannassor827
    @abdulhafidhkhalfannassor827 Місяць тому

    Wanjani hakukuwepo askar police mbn mechi za ligi huwa wanakuja na bunduki? Au ndio mtanzania Tu ndio anastahiki kupigw vigongo

  • @ABUUSHURAIM
    @ABUUSHURAIM Місяць тому +1

    Aibu Sana simba kwakununua marefa warabu wapo sawa

    • @EsterMjema-n8c
      @EsterMjema-n8c Місяць тому

      We ropoka utafungwa uliona wakitoa kenge ww

    • @ABUUSHURAIM
      @ABUUSHURAIM Місяць тому

      @EsterMjema-n8c hasira za nini mambo hadharani mbeleko ya refa kma mim kenge wew mbwa

  • @halimamwingu4478
    @halimamwingu4478 Місяць тому +2

    Marefa wajifunze waache mazoea. Yote hayo yametokea kwa ajili yake

    • @rexgodwill7353
      @rexgodwill7353 Місяць тому

      @@halimamwingu4478 marefa wanafuata sheria na kanuni za mchezo... Football ni dkk 90 na inapotokea hazikutimia kwa matukio yaliyojitokeza mwamuzi atajiongezea mpaka 90 zitimie... Sasa wachezaji wa cs sfaxien wote walikuwa wagonjwa... Kila dkk chache machela uwanjani je ni dkk ngapi ukichangia na golikipa wao kajidondosha mara ngapi? Refa kakosea nini?

    • @chusseboywcb2808
      @chusseboywcb2808 Місяць тому

      Unajua Sheria ww kichwa

    • @rexgodwill7353
      @rexgodwill7353 Місяць тому

      @@chusseboywcb2808 tufundishe mjuzi wa sheria tuelewe sisi tusiojua

  • @AminaTanzania
    @AminaTanzania Місяць тому +1

    😊😊kunamateke kwawatabu

  • @EliaMkumbo-wn7bm
    @EliaMkumbo-wn7bm Місяць тому

    Kawaida ua mechi za ndondo kuna vituko vingi sana ona leo ni vituko uswahilini duuuuu

  • @ShaliBee-ie8kf
    @ShaliBee-ie8kf Місяць тому

    Kk naomb nikupe kazi unipositie nkuombaaaa

  • @JohanesNgemera
    @JohanesNgemera Місяць тому +3

    Ningekuwa hapo arafu mwarabu anarusha ngumi ndo munge cheki

  • @MahaSaeed-hf3gs
    @MahaSaeed-hf3gs Місяць тому +5

    😂😂😂😂😂😂😂pumzi ya moto ikikwingia lazima uchanganyikiwe

  • @ngotosilasi2099
    @ngotosilasi2099 Місяць тому

    Mashabiki wasimba msije kanyaga kwa warabu mkirudi hai basi mnamungu

  • @AshelyAbel-x1q
    @AshelyAbel-x1q Місяць тому

    Warabu ndio maana wanafungiwa kira mara mana wanacheza namatokeo mfukoni wakati timu zao zakawaida zikiwa ugenini

  • @EvaDonatus
    @EvaDonatus Місяць тому

    Mnajua shida yetu watanzania kwenye mpira wetu umejaa chuki sana Sasa mtu anatamka neno kua refa kapenderea wakati kira timi ilikua moja moja kwaiyo izo nyongeza mbona nikwafaida yawote

  • @timetravellor5367
    @timetravellor5367 Місяць тому

    Chamsingi hapa wapigwe faini ya faida

  • @JaqlynRichie-y3p
    @JaqlynRichie-y3p Місяць тому +2

    Hizi mechi mzilete chuga wadudu tuna jeshi letu 🪓

  • @yilodhasunga3967
    @yilodhasunga3967 Місяць тому +1

    Hii inatakiwa kwa marefa wa ndani🤣🤣🤣

  • @EVARISTAMON
    @EVARISTAMON Місяць тому

    Yani huyu refa Hana makosa kabisa walitaka kumpigia bure

  • @AhmadSalim-dm4uk
    @AhmadSalim-dm4uk Місяць тому

    Huyu refa tangu kipnd cha kwanza nilimwambia jama yangu nilokua naangalia nae mpira kua Mo dewj yupo mjini hamna refa hapa 😅

    • @henelckneatunga2720
      @henelckneatunga2720 Місяць тому

      HATA MIMI NILIMWAMBIA MWENZANGU MBONA REFA KAMA KICHOMI?SIMUELEWI

  • @BashiliOmary
    @BashiliOmary Місяць тому

    Ongera Tanzania kwaumoja

  • @ahmadSeif860
    @ahmadSeif860 Місяць тому +1

    Olewenu mwende kwao waarabu ndo mtakoma

  • @iptisamismaill-f6h
    @iptisamismaill-f6h Місяць тому +2

    Yanga mashangaz fc mkawasindikize mabwana zenu airport😂

    • @ramahkesh9360
      @ramahkesh9360 Місяць тому

      MALAYA UPO MAWINDONI😂😂😂

  • @MarwaChacha-hs1tn
    @MarwaChacha-hs1tn Місяць тому

    Simba nitimu kubwa kushimda nika waida lakin kiingilio cha mshabiki kisisababishe kualibu miundombini ya uwanja inabidi CF na selikali ya jamuuli ya muungano wa Tanzania walitazame hili la uwalibif

  • @RamadhanMbwana-o1j
    @RamadhanMbwana-o1j Місяць тому +1

    Ni dakika 6 ziliongezwa, goli lilifungwa dkk ya 8

  • @JaromeNyabura
    @JaromeNyabura Місяць тому

    Mwafulika kaz

  • @AnnaStazia-i6o
    @AnnaStazia-i6o Місяць тому +1

    Nasisi wanasimbaaaaaa

  • @clintonarnold6291
    @clintonarnold6291 Місяць тому

    Kwenye zile dakika 7 hakuna mda ulio potea wala mchezaj alie jilaza kwahyo hakukua na sababu ya kuptliza had 8

  • @EvelineKimwaga
    @EvelineKimwaga Місяць тому

    Shilikisho niligi yawatoza ushuru ndio maana Ina vurugu

  • @civilyandaniel4559
    @civilyandaniel4559 Місяць тому

    Dah uwanja wetu serekali yetu yatumia na bilioni ya pesa kuitengeneza wao wana haribu watakavyo. Roho yauma kinoma

  • @KalebChacha-q2r
    @KalebChacha-q2r Місяць тому +8

    Waleteni huku Mara uwanja wa biashara united tuwafundishe namna mtu mpumbavu anaviopigika, na kudai maji ya moto

  • @mndambokilavo2502
    @mndambokilavo2502 Місяць тому +2

    namshangaa huyu mchezaji anakimbilia kutafuta vurugu na washabiki nilichopenda wachezaji kama vile hawajui kinachoendelea uwanjani

  • @JamesKato-t9x
    @JamesKato-t9x Місяць тому

    Uhakika Simba moto wa kuotea mbali