Muulize Muheshimiwa, kwanini watu wanawekwa sero kabla ya kuhukumiwa, alafu baadaye inaonekana hana kosa. Kwanini asilipwe fidia ya muda aliokaa ili kukomesha jambo hili.
Lisu unamuonaje wewe yule ni msomi pia sheria imelala pale jiulize kuna kiongozi Tanzania kashawahi kukamatwa na kupewa mikesi ya ajabu ajabu kama lisu? hujiulizi kwanini wanachemka kumfunga ama Kumtoza Faini kubwa Lile ni jitu shauri yako ohooo
Kiongozi wa jumuiya ya mafarisayo mnaelewa anachomwambia KAISARI kwa maoni yangu.Ameacha ya msingi analitafutia tumbo lisilo na shukurani.Zaidi litautia utu wako Aibu.Eti wasomi.
Huyu mwamba siku chache za nyuma alikuwa wapi mimi binasi namkubali mwabukusi uko vizuri sana hongera zako❤❤❤❤🔥🔥🔥🔥🔥👏👏👏👏👏👏👏👏😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
Asante wakili wetu❤
Mungu uliye hai mlinde huyu kijana mfunike kwa damu ya Yesu awe salama kwa ajili ya kujenga Nchi❤
Upo nzuri kka ❤
Hongera mawakili kazeni buti
Tunahitaji akina MWABUKUSI WENGI
nchi ipone
Mungu akutetee
muheshimiwa kwenye vifurushi kuna dhuluma sana Tanzania Selikali iingilie kati kama hawana maslahi ndani yake Tutaona mabadiliko makubwa
Kwer❤❤❤❤❤❤❤❤
Saf sana kiongoz
Muulize Muheshimiwa, kwanini watu wanawekwa sero kabla ya kuhukumiwa, alafu baadaye inaonekana hana kosa. Kwanini asilipwe fidia ya muda aliokaa ili kukomesha jambo hili.
Asante mwambukusi upo vizuri
Rais wa Tanganyika huyo akitetea haki ya Wataganyika!
Hawa wapo wachache sana Akina Lssu na Akina mwabukisi
🙏👍
Huyu ni akili siyo Lisu... 😂
Lisu unamuonaje wewe yule ni msomi pia sheria imelala pale jiulize kuna kiongozi Tanzania kashawahi kukamatwa na kupewa mikesi ya ajabu ajabu kama lisu? hujiulizi kwanini wanachemka kumfunga ama Kumtoza Faini kubwa Lile ni jitu shauri yako ohooo
tcra kazi yake ni kukata mawasiliano endapo anayeongea hamsifu rais
nimekusikiliza kwa umakini kwakwel unaongea point tupu
Kumpata mwengine kam huy
kwakweli tanzn itafanan km
Y m.g shida ni moja watazn n
wawog San kuongeya ukweli
inakuwag inamishindak sn
Kiongozi wa jumuiya ya mafarisayo mnaelewa anachomwambia KAISARI kwa maoni yangu.Ameacha ya msingi analitafutia tumbo lisilo na shukurani.Zaidi litautia utu wako Aibu.Eti wasomi.
Fanyeni mnavyoona inatakiwa.
Sisi sio wasomi
Wanafanya makosa nduo wanaekwa sero
YUKO SAHIHI HOTUBA YAKE HUYU ANGEENDANA NA MAGUFULI.
NI KWELI KABISAA MAKUBWA
Ni yeye mwabukusi🎉🎉
Mmeanza kumpamba Mwambukusi kwa lipi anavimba kichwa kupenda sifa hana chochote.Huyo ni mdogo tu Serikalini
serikali ninini? nguruwe wewe
Oooh inaoneka wew unanufaika na mambo ya hovyoo ndani ya serilikali
Nini maana ya serikali? Ukipata jb ndo urudi hapa.
Unamkubali kwani kibwa kipi alicho ongea ambacho hakija ongelewa kabla.wewe ni mshabiki tu wa huyo mwambukusi
Sasa kichwa chako unaweza kufananisha na kichwa cha Mwabukusi?
@@chrisshongawe shoga acha makasriko
Kaongea tu alchoelekezwa kuongea mbele ya mkuu sjaona ka kapiga kweny mshono kama kichwa cha habar kilvyoandkwa
@@maziku330Sio makasiriko mpendwa ila ukweli wa maisha ni kwamba mnyonge waweza kumnyonga ila haki yake sio vibaya vile vile kumpa
nimekusikiliza kwa umakini kwakwel unaongea point tupu