Magoli | Simba 3-1 AL Ahli Tripoli | CAF CC 22/09/2024

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 677

  • @AboumsomariKambi
    @AboumsomariKambi 3 місяці тому +19

    From Kenya this is simbaaa nguvu moja

  • @JustinaJastini
    @JustinaJastini 3 місяці тому +69

    Mimi ni Simba mpaka kiama nipeni like zangu jaman

  • @thomaslaitayo1846
    @thomaslaitayo1846 3 місяці тому +10

    Simba nguvu moja❤

  • @UmmukulthumAbdalla
    @UmmukulthumAbdalla 3 місяці тому +13

    Hongera san Kibu , Ateba , Balua na Wachezaji wote wa simba pmj na koch Faldu na wasaidiz wak wote ❤❤❤❤❤❤😊😊😊

  • @gibrilmongi5646
    @gibrilmongi5646 3 місяці тому +15

    From kenya NAKUBALI THIS IS SIMBA

  • @RehemaPeter-s8n
    @RehemaPeter-s8n 3 місяці тому +7

    Ubaya ubwela ❤❤ Simba for Life

  • @gibrilmongi5646
    @gibrilmongi5646 2 місяці тому +7

    HISTORIA IMEANDIKWA HONGERA SANA SIMBA FROM AFRICA MASHARIKI❤❤❤❤

  • @ceedanstan6780
    @ceedanstan6780 3 місяці тому +11

    Kunawatu walitucheka tulipofungwa mmmmmh kama unaamin sema simba tam sanaa daaaah hakika Nina furaha kama yote ❤❤❤

  • @victoriakennedy2003
    @victoriakennedy2003 3 місяці тому +8

    Hii mechi kama ya NKANA FC simba is living legend 🙌

  • @maikomatayo2794
    @maikomatayo2794 3 місяці тому +5

    I love you simba dam dam mungu ibariki chama langu 🎉🎉❤❤❤

  • @VumiliaMweta
    @VumiliaMweta 3 місяці тому +5

    My simba kama uji na mgonjwa kwenye majonzi nipo kwenye raha nimejaa mungu ibariki simba sport club ❤

  • @LeapChunky
    @LeapChunky 3 місяці тому +14

    Wanasimba wote gonga like hapa

  • @Chief_kidd
    @Chief_kidd 3 місяці тому +237

    Kama unaikubali simba just like

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 3 місяці тому +13

    Hii ndo maana ya ubaya ubwela❤❤❤🦁🦁🦁

  • @dagraskaragane4730
    @dagraskaragane4730 3 місяці тому +7

    KIBUUU AMEKUWA WA MOTO KWELI KWELI❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @rwegoshoramichael3144
    @rwegoshoramichael3144 2 місяці тому +8

    There will be days when Simba sc Tanzania win the CAF Champions League. It will be best moment to enjoy.

  • @Esau-cj6bk
    @Esau-cj6bk 3 місяці тому +12

    Kama ume enjoy leo gonga like apa

  • @Nuru9568
    @Nuru9568 3 місяці тому +4

    Wanaume kazin❤ubaya ubwela nguvu moja❤🎉

  • @abdallahmindika1641
    @abdallahmindika1641 Місяць тому +5

    Kma wewe Simba damu bado unaendlea kiridia hii mechi tujuane❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @PhilimonJoseph-t3v
    @PhilimonJoseph-t3v 3 місяці тому +6

    Simba yetu bana

  • @BlandinaKengefu
    @BlandinaKengefu 3 місяці тому +5

    Tunamshuru Mungu Kwa hili Mungu amejua kutufurahisha wanasimbaaaàaaa

  • @ibrahimally8073
    @ibrahimally8073 3 місяці тому +4

    Dahh kipa KAMARAA... kipa la Africa..... ❤❤❤......

  • @KuluthumuMsuwakollo
    @KuluthumuMsuwakollo 3 місяці тому +4

    SIMBA oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @VeronicaMwangomo
    @VeronicaMwangomo 3 місяці тому +5

    Gori latatu nmelipenda♥️

  • @HopeMaphie
    @HopeMaphie 3 місяці тому +5

    👏👏👏👏👏 sanaa 🇹🇿🇹🇿🇹🇿mbele zaidi kupeleka team mbili....kama unakubali like hii comment tuende sawa Asante.....

  • @getaromatiko229
    @getaromatiko229 Місяць тому +3

    SIMBA ni ya motoooo!!!!❤❤❤

  • @CikeTanzania
    @CikeTanzania 3 місяці тому +7

    Goli halali kabisa refa

  • @Shabanindede
    @Shabanindede 3 місяці тому +8

    J,pili ya furaha Kwa Wana simba wote simba oyeeeee

  • @AjuaeMwanyingili
    @AjuaeMwanyingili Місяць тому +6

    Ila uyu mtangazaji anakipaji kikubwa mungu amuongezee zaid 😢😢😢😢

  • @jamesmaneno2281
    @jamesmaneno2281 3 місяці тому +13

    Simbaaaaaaaaaaaaaaaaaaa munipe liki 5 zinanitosha alafu nikampe na camala😂😂😂😂😂😂

  • @godfreyhiza1075
    @godfreyhiza1075 3 місяці тому +3

    Hongera Sana simba hongera Tanzania!!!

  • @SarahCharls
    @SarahCharls 3 місяці тому +6

    Alie frai zaid siku ya Leo kama mimi jmn maana siku zote tulikua tunaishia kuniombea TU alaf tunapigwa pls tupeane like Kwa fraha ya ajabu NAWAPENDA SAANA FANS WA SIMBA ❤❤❤❤❤

  • @PR0NETMnganya
    @PR0NETMnganya 3 місяці тому +6

    Arushaaa simba moja

  • @frankmlalila1705
    @frankmlalila1705 3 місяці тому +4

    Wamekataa goal la ateba limekuja la edwirn😂😂😂😂😂😂this is simba brothers and sisters💪💪💪

  • @JoshuaLeonard-lo3cs
    @JoshuaLeonard-lo3cs 3 місяці тому +11

    Kamara,,,kamara,,,kamaraa nizaidi ya kipa mwepesi mshap na anapaaa kama upepo amefanya vzur sana

    • @Juma-e8l
      @Juma-e8l 3 місяці тому

      Pia hachezi na jukwaa anacheza kwa nidhamu sana

    • @mohammedkidody5618
      @mohammedkidody5618 3 місяці тому

      Kabisa yn hapa tumepata kipa❤🎉

  • @veronicaNyari
    @veronicaNyari Місяць тому +4

    Siondoki simba❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤.milele

  • @BarakaKassian
    @BarakaKassian 3 місяці тому +6

    Lion 🦁💪💪

  • @amekindamba1643
    @amekindamba1643 3 місяці тому +2

    Mnyamaa ubaya ubwela ❤❤❤❤❤

  • @alfonceanton2273
    @alfonceanton2273 3 місяці тому +28

    Ningekuwa karibu na Mabululu ningemshauri asishangilie maana hata Walter Bwalya alitangulia akashangilia upande huo huo dakika hizo hizo kilichomkuta 😅😂😂

  • @muhammadmpahi338
    @muhammadmpahi338 3 місяці тому +10

    Hivi huyu refa anajua kuwa ametupa hasara ya ml5 😂😂😂

  • @AltonKijogori
    @AltonKijogori Місяць тому +4

    Remy nakukubali sanaa mwanangu ❤❤

  • @HappinesJohn-t6j
    @HappinesJohn-t6j 3 місяці тому +4

    Naipenda simba sana

  • @Yusufumwapila
    @Yusufumwapila 3 місяці тому +7

    Nipeni like zangu Kuwa wa kwanza kukomment

  • @Nuru9568
    @Nuru9568 3 місяці тому +4

    Bonge la goli balua❤

  • @allymaimuna8688
    @allymaimuna8688 3 місяці тому +3

    Naipenda simbaaaa

  • @KentonyKwasi
    @KentonyKwasi 3 місяці тому +2

    Nafurahia kushuhudia Simba ikitinga tena makundi 🦁⚽

  • @PeterHona
    @PeterHona 3 місяці тому +2

    ❤❤ ubaya ubwela, Simba nguvu moja❤❤

  • @OmyCrez
    @OmyCrez 3 місяці тому +7

    Kwa simba hii watasema tu

  • @BigDreamsWorldwide
    @BigDreamsWorldwide 3 місяці тому +6

    Like za Edwin Charles Balua ukishindwa weka ya Spiderman Camara Pinpin❤

  • @onekisstv8412
    @onekisstv8412 3 місяці тому +8

    Lilitakiwa liwe la nne bhana mmemzulumu mtani wangu 😂😂😂😂

  • @PaschalyKisuda
    @PaschalyKisuda 3 місяці тому +2

    Ni hatari sana moto utawaka na bado❤

  • @YusuphJoseph-i1h
    @YusuphJoseph-i1h 3 місяці тому +2

    ❤❤❤❤❤❤❤ yaaan ni ubaya ubwela

  • @DumishaTanzania
    @DumishaTanzania 3 місяці тому +8

    Kama umeangalia vizuri, Mabululu anatamani kucheza Simba

  • @ChristinaLazaro-oy4kb
    @ChristinaLazaro-oy4kb Місяць тому +3

    Yan simba nitimu ambayo haitasaaulika hyo siku niubaya ubwera tu mpaka mwaisho wamsm ❤❤❤❤❤

  • @JoyceRichard-m3t
    @JoyceRichard-m3t 2 місяці тому +5

    Naikubali sana

  • @ROBERTJOHN-yg3zt
    @ROBERTJOHN-yg3zt 3 місяці тому +1

    Simba hii Mo hongera sana Kwa kutusajilia wachezaji wa viwango zaidi.

  • @PhilimonJoseph-t3v
    @PhilimonJoseph-t3v 3 місяці тому +4

    Game over

  • @JastFinancial02
    @JastFinancial02 3 місяці тому +5

    Kama unamkubali mbinu za fafiru gonga like hap❤🦁❤ ubaya ubwera

  • @salimmalaka256
    @salimmalaka256 3 місяці тому +5

    ❤❤❤❤ AL HAMDULILLAH TUMESHINDA ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ SIMBA NGUVU MOJA ❤❤❤❤❤❤❤❤❤ SIMBA SIMBA SIMBA ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ UBAYA UBAYA UBWELA UBWELA ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @ZulphaMsangi-s9g
    @ZulphaMsangi-s9g 3 місяці тому +1

    This is Simba ubaya ubwela ❤️❤️❤️

  • @SalumuNyange-p3v
    @SalumuNyange-p3v 3 місяці тому +2

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ sijajua VAR Ina kaz gan bong mpaka sasa

  • @Johnrubben
    @Johnrubben 2 місяці тому +5

    Kwa Simba hii watakaa wengiiiii

  • @RamadhaniIssa-p7t
    @RamadhaniIssa-p7t 3 місяці тому +4

    Viwango sana

  • @JoshuaJulius-mn4nd
    @JoshuaJulius-mn4nd 3 місяці тому +6

    Hatuna shida na hela za mama sisi tuna jiweza wenyewe dadeki

  • @bakaryCMD
    @bakaryCMD 3 місяці тому +1

    The strongest comeback, good job kibu, ateba, ahoua, balua and all the teamwork good job

  • @jayblaqtz
    @jayblaqtz 3 місяці тому +2

    Ww unasoma hii coment mungu akubaliki akulinde.🙏

  • @afterfull-time1348
    @afterfull-time1348 3 місяці тому +2

    Hii ndo simba ❤❤❤❤❤❤

  • @matolahphone
    @matolahphone 3 місяці тому +4

    🦁🦁🦁

  • @AmiliMapilau
    @AmiliMapilau 3 місяці тому +3

    Simba 🔥

  • @godfreycharles6322
    @godfreycharles6322 2 місяці тому +3

    This is Simba brother❤

  • @azizakiswili9063
    @azizakiswili9063 2 місяці тому +6

    Yaani sichoki kuitazama hii mechi😅

  • @HarunaYusuf-x5e
    @HarunaYusuf-x5e Місяць тому +3

    Sana Simba kubwa

  • @simodash
    @simodash 3 місяці тому +2

    Simba kwenye show zake Africa

  • @OmaryBahati
    @OmaryBahati 3 місяці тому +2

    I love Simba

  • @gyeong5972
    @gyeong5972 2 місяці тому +9

    Vibes za Mechi za CAF ni Simb pekee Ndyo wanawza 😂😂😂

  • @kiangurajason1183
    @kiangurajason1183 3 місяці тому +5

    That disallowed goal was harsh decision against Simba. It should have been 4 goals. Malizeni kazi mapema huko Tripoli. Congratulations Simba! I greet you from Kenya.

    • @kiangurajason1183
      @kiangurajason1183 3 місяці тому +1

      Simba has actually qualified for the group stages. That's big! That's phenomenal! Congratulations Simba Sports Club. Our Kenyans were whitewashed by other Arabs! Thank God Almighty Simba mauled this Arab team, ingekuwa collective mourning. In fact Simba gave them a most comprehensive beating that these Arabs won't forget for a long time!! Again, pongezi sana Simba na Tz kwa ujumla!!

  • @ColethaKivike
    @ColethaKivike 3 місяці тому +1

    I Love you simba mmmwaaa❤❤❤

  • @Edwardisaya-mw4iv
    @Edwardisaya-mw4iv 3 місяці тому +2

    From kakamega Kenya 🇰🇪 namekubali ubaya ubwela

  • @peteremmanuelymatwimatwiem3258
    @peteremmanuelymatwimatwiem3258 2 місяці тому +4

    Mimi ni mnyama na hii ndo simba maajabu ni sehemu ya team ya simba

  • @MalikiMwaiki
    @MalikiMwaiki 18 днів тому +1

    Simba
    Naikubali.sana

  • @EVAMBAWALA-y4u
    @EVAMBAWALA-y4u 3 місяці тому +6

    Mabululu alijudai sana alijua game imeisha baada ya dk 90 alitia hurima

  • @GwisuShija
    @GwisuShija 3 місяці тому +2

    Hahaha hongera kwa uxhd watan wangu

  • @nichorasjeremiah8821
    @nichorasjeremiah8821 3 місяці тому +8

    Mbio za kijili ni zaidi ya SGR😂😂😂

  • @josephatgadau3839
    @josephatgadau3839 3 місяці тому +4

    Tumenyimwa goli halali kabisa daah

  • @didomanyota5344
    @didomanyota5344 3 місяці тому +1

    Kweli Balua kaituma Barua na imefika. Nguvu Moja ❤❤

  • @SamMgala-o8f
    @SamMgala-o8f Місяць тому +2

    Hindoo simba ubaya ubwela❤

  • @sayeedmsct4255
    @sayeedmsct4255 2 місяці тому +5

    😂mabululu 😂😂😂😂haijui simba eeeh

  • @SadamSarita-t7z
    @SadamSarita-t7z Місяць тому +4

    Kipande nnachopenda kuangalia kila wakati nigoli la3 majamaa walichanganyikiwa kwa spid

  • @MasoudJuma-ox6vf
    @MasoudJuma-ox6vf 3 місяці тому +2

    Leo mneinjoy pira la simba ni la kimataifa

  • @thehustlerafrica4368
    @thehustlerafrica4368 3 місяці тому +2

    Kidedea safi sana bonge la mtangazaji unatisha baba

  • @diaray79birukila
    @diaray79birukila 3 місяці тому +4

    Kipa ameteseka sana Leo atasimulia akirudi kwao

  • @andrewraphael3098
    @andrewraphael3098 3 місяці тому +9

    nkana red devils is typing 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @MwajumaUseni
      @MwajumaUseni 2 місяці тому

      What the f*** b****😂😂😂

  • @AbubakarJumanne-e1n
    @AbubakarJumanne-e1n 3 місяці тому +1

    ❤❤🎉awe sema nao kwa simba hi i

  • @KelvinNdegeulaya
    @KelvinNdegeulaya 17 днів тому

    Angejiuliza nkana😊

  • @AdamKijanumba
    @AdamKijanumba Місяць тому +1

    Simba nguvu 1❤❤❤❤

  • @JaphariNkondiyo
    @JaphariNkondiyo 3 місяці тому +3

    Auwaa MUNGU akubariki

  • @FinahGHans
    @FinahGHans 2 місяці тому +6

    Simba ni motooooo

    • @IssaOmary-xf6ev
      @IssaOmary-xf6ev 2 місяці тому

      aiseeeee Wana young tukubli hii Simba ki mataifa ni timu nyingn dah sikutegemea kolo kutoka Asante mtani

  • @DanielRukas
    @DanielRukas 2 місяці тому +6

    Leo Tar 04/10/2024 nimerudi tena kuonaa
    Halafu mwaka 2030 atakaye iona hii ajue nilikuwepo

  • @rogatusmeleki1660
    @rogatusmeleki1660 3 місяці тому +1

    Huu mchezo ulikuwa n msisimko sana
    Na Iddy kidedea kaipamba sana ❤
    Balua ana kitu ni Icon ya taifa

  • @ShukuluRevokatus
    @ShukuluRevokatus 3 місяці тому +4

    Hy ni ofside gan mbona sielew