RC CHALAMILA HAJAWAHI KUKASIRIKA HIVI - "ZOMEENI MUONE, MKOME KAMA MLIVYOKOMA KUNYONYA"...

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 123

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  Рік тому +2

    JISHINDIE TECNO CAMON 20 kwa BUKU TU! Ingia kwenye simu yako📲, NAMBA YA KAMPUNI 553111, KUMBU NO. 255 au GLOBAL kisha Tuma 1,000! Utapaja ujumbe wa USHINDI!

  • @waluohopaulo2116
    @waluohopaulo2116 Рік тому +10

    Hivi ndio inatakikana,wazembe,wabadhirifu na wapiga dili hawatampenda RC Chalamila

  • @efraimrichard6440
    @efraimrichard6440 Рік тому +5

    Magufuli uyu hapa sasa namuona mzee magu yupo ndani ya wengi sana hongera RC

  • @istambulahmed6664
    @istambulahmed6664 Рік тому +13

    Kuna wakati kiongozi anatakiwa kuwa mkali kabisa tena sana kwa maslahi mapana ya jamii heko mkuu, kwani kumuacha mtu mmoja mpumbavu anaweza kusababisha madhara makubwa kabisa kwa jamiii.

  • @umalqasimalhamhami6707
    @umalqasimalhamhami6707 Рік тому +6

    ❤❤❤❤❤❤❤ nakupenda buleeeeeee baba chalamila

  • @kabwelasutiviraka4765
    @kabwelasutiviraka4765 Рік тому +7

    Komrade Chalamila for president !!! Yuko sahihi Watanzania wamezoewa kuendeshwa kama mapunda mmechekeana sana ndio maana mko masikini wa kutupwa

  • @salhaomar5382
    @salhaomar5382 Рік тому +4

    Safi san kiongozi uvaa viatu vya magufuli.mungu akulinde baba

  • @waluohopaulo2116
    @waluohopaulo2116 Рік тому +7

    If we could get leaders like this in all government sectors TZ inaweza piga hatua mbali tena haraka

  • @anwarkashaga3573
    @anwarkashaga3573 Рік тому +16

    Ndio inatakiwa kiongozi awe hivi Kwa Tanzania

    • @rogersiddy
      @rogersiddy Рік тому +2

      Ni kweli kbs maana vichwa maji alafu kila mtu mjuaji

    • @istambulahmed6664
      @istambulahmed6664 Рік тому +1

      @@rogersiddy nikweli kabisa ndugu yangu.

  • @yapukahassan
    @yapukahassan Рік тому +1

    Safi sana mkuu wa mkoa Hakika we ni mkuu wa wakuu wa mikoa yote Tanzania

  • @liverpoolfootballclub9985
    @liverpoolfootballclub9985 Рік тому +1

    Rc chalamila for Governor nairobi county. 🇰🇪 Mkuu tunahitaji mwamba kama wewe hapa kenya.😅

  • @AbdillahabubakarSalimu
    @AbdillahabubakarSalimu Рік тому +3

    Tunahitaji viongozi Kama Hawa wakukemea ujinga na upumbavu safi sana

  • @lameckchacha5173
    @lameckchacha5173 Рік тому +3

    Wanaoharibu hamuwasemi, mnamwona Chalamila tu, kumbuka Kuna watu wanakera sana

  • @halimaismail6006
    @halimaismail6006 Рік тому +2

    Chalamila akeeee❤❤

  • @sammyibrahim8626
    @sammyibrahim8626 Рік тому

    Safi sana ,watanzania wanapata maendeleo kwa ukali tu ,bila ukali hawa wezi watamaliza inchi

  • @abdisalim7900
    @abdisalim7900 Рік тому +1

    Ahs Mkuu wa Mkoa na hata km wakisema umetukana hujatoa tusi hapo bali ni ukweli mtupu tu kwa walengwa.Mungu akubariki sn

  • @mosaidi2633
    @mosaidi2633 Рік тому +6

    This is kind of leader were looking for

  • @DevidMalangisa
    @DevidMalangisa 8 місяців тому

    Nimeipenda hiyo

  • @YusuphGodfleyKasikiwe
    @YusuphGodfleyKasikiwe 6 місяців тому

    Safi sanaaa waulize mbeya walinyooka

  • @AbubakariKisuju
    @AbubakariKisuju 8 місяців тому +1

    Kauli yake nimeipenda sana"kila mara naangalia hotuba zake

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 6 місяців тому

    Kwa upande mwingine ninao watanganyika wanapenda kufokewa na kutukanwa. Pole sana jitambueni watu!

  • @abdisalim7900
    @abdisalim7900 Рік тому

    Viongozi wa aina ya Chalamila ni wachache sn na huzaliwa mmoja tu kwa kila miaka kumi.Hongera Mh Rais kwa kuona kipaji cha hy kijana

  • @abiboseleman1649
    @abiboseleman1649 4 місяці тому

    Rc kama rc

  • @mootelahamongus633
    @mootelahamongus633 Рік тому +1

    Chalamila Oyeee

  • @robsonlotyloy5678
    @robsonlotyloy5678 Рік тому +2

    Mungu akulinde kaka.

  • @matthewmichaelsylvester5612
    @matthewmichaelsylvester5612 6 місяців тому

    safi mkuu

  • @zachariajustine873
    @zachariajustine873 Рік тому +5

    Punguza ukali wa maneno kuna wazaz wetu hapo ,hekima ndo itakuongoza mkuu na utaeleweka vzur tu😢😢😢

    • @tinnahagustinolyelu4247
      @tinnahagustinolyelu4247 Рік тому +2

      Hata mzazi kuna Waikato anaongea maneno makali vile vile punda haendi Bila fimbo

    • @Halima-du1jv
      @Halima-du1jv 8 місяців тому

      Cjapenda kauli yako japo kuwa upo sahihi na masilahi ya soko kuwatukani watu na wazazi wao cyo poa mbn watu wambeya wajulikana ni watu wazuri sn kulikoni ww hata mzazi wako ni miongoni uliye watukana hp kumbuka,hiko ni kiti cha basi ukiinuka anakaa mwingine hiyo nizamana ya muda tu wazazi wao hapo wanahusika nani mpaka uwaingize je ungekuwa ww hebu vaa uhalisia kuwa mstarabu bac pia kuwa na hofu ya mungu dunia tunapita kumbuka hilo

    • @mgosimkome9242
      @mgosimkome9242 8 місяців тому +1

      Hii nchi usipokuwa kiongozi Mkali unadhani itaenda? Mtanzania hataki kumbembeleza inatia hasira sana wazazi kwani katukana matusi gani,

    • @HamisiForogo
      @HamisiForogo 6 місяців тому +1

      Tena wakome kabisa kuna watu Ni watu wazima ovyooo Kuna wazazi hapo wazazi hao hao ndo wezi piga kazi baba wezi ndo wanaona umetukana hapo Ila wenye haki zetu tunaumia na wapumbavu hao

    • @jedidahbintidaudi8241
      @jedidahbintidaudi8241 6 місяців тому

      ni kweli dah maana maneno yake Mungu wangu

  • @ZakaliaMatari-hu4xm
    @ZakaliaMatari-hu4xm Рік тому

    Chapa kazi mwamba

  • @angonzamujunangoma8775
    @angonzamujunangoma8775 6 місяців тому

    Piga kazi Chalamila

  • @hamismabula9934
    @hamismabula9934 Рік тому +1

    Hili li nchi limekuwa la madili dili tu!
    Bila kuburuzana mambo hayaendi!
    Pesa zinakusanywa lkn kinachofanyika ni 0

  • @skjjsj1889
    @skjjsj1889 Рік тому +1

    Sema sema mkuu 😂😂

  • @lucasmatinya8039
    @lucasmatinya8039 Рік тому

    Yaani we Ni magufuli mtupu 😂😂😂😂😂🙏🙏🙏🙏

  • @nellyjuju5325
    @nellyjuju5325 Рік тому +1

    Kweli jamani

  • @hanspop6961
    @hanspop6961 Рік тому +1

    Mwamba huwa nakuelewa sana 🤣🤣hakika wewe unamsaidia Rais

  • @thomastemu3332
    @thomastemu3332 Рік тому +1

    Ndiyoooo chalimila chapa kazi 😅

  • @yothamgwanika9530
    @yothamgwanika9530 Рік тому +2

    Ball machine

  • @consolatamedard6593
    @consolatamedard6593 Рік тому +1

    Bola jaman mana khaaa soko la Mabibo linakera mm sikuyakwanza kwenda mvua ilinyesha nikajiuliza naingiaje kwenye hili tope 😅😅 nikajikaza kuingia lakin nikajiuliza hapa hakuna uongoz kama Tandale tu Soko linajengwa vizur kwanin Mabibo mahovyo vile

  • @EDENERNEST-g7w
    @EDENERNEST-g7w 6 місяців тому

    Anawatisha wasiotishika

  • @alecheconradninje6183
    @alecheconradninje6183 Рік тому +2

    Hawa viongozi kama wa kenya ndo wanakuaga hivi au sio mtanzania😂

  • @ibrahimkasim922
    @ibrahimkasim922 Рік тому

    Kuumb? Upo sahihi mkuu❤

  • @khadijachacha3156
    @khadijachacha3156 Рік тому +1

    Apa naona kama maguguli kafufuka mana yy ndie aliye kua anaiweza nchi sasa na chalamila nae ni kiboko kama ayati magufuli

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 6 місяців тому

    Hivi watanganyika bado mko katika ukoloni jamani? Nimeogopa sana kuona watanganyika bado ukoloni bado umekaa katika vichwa vya watoto ambao hata hawajawahi kuishi katika ukoloni. Leo wanatetemekea mtanganyika mwenzao anawatukana wapumbavu, washenzi.
    Na hapo kuna watu wazima kama baba yake. Lakini wanatukanwa huku wakishangilia! Hata Nyerere alitoka kwa ukoloni hakutukana watu wake hivyo! Jamani vyeo ni dhamana tu. Hao unaowatukana ofisi hiyo uliyo nayo ni ya wanainchi watanganyika. Kweli watanganyika bado mko katika wimbi la utumwa mkubwa sana. Mbona Nyerere aliwaelemisha vizuri sana kwa nini kujilahisha kiasi hicho kufanywa watumwa na serikali ya Samia!

  • @NicoDaudi-r6m
    @NicoDaudi-r6m Місяць тому

    Mzee kapaniki hadi mishipa ya Shingo imetoka

  • @langatjosphat
    @langatjosphat 8 місяців тому

    What is chokonoa??

  • @augustinmgendi1713
    @augustinmgendi1713 Місяць тому

    😢😢😢😢😢😢😢

  • @skjjsj1889
    @skjjsj1889 Рік тому +1

    Wanaozomea.
    Zomeeni haya 😂😂

  • @eliasmuga-xb4sm
    @eliasmuga-xb4sm Рік тому +1

    Imeenda

  • @nicksonbaraka7446
    @nicksonbaraka7446 Рік тому

    Mwamba alichafuka vibaya sana 😂😂

  • @alecheconradninje6183
    @alecheconradninje6183 Рік тому

    Wamekula mbwa hao😂😂

  • @frankmatambi4841
    @frankmatambi4841 Рік тому +2

    Ukali muhimu ila hekima nayo muhimu sana kwa kiongozi

    • @HamisiForogo
      @HamisiForogo 6 місяців тому +1

      Hakuna hekima ya mwizi wanyooshe Kama ruraaaaaa

  • @monicamwita7865
    @monicamwita7865 7 місяців тому

    Mbona kwa mafisadi hamkemei

  • @2003hintay
    @2003hintay 6 місяців тому

    Dar inataka kiongozi kama huyo

  • @SeveriniTemu
    @SeveriniTemu 6 місяців тому

    Tutafika tiuu

  • @naimarishedy1523
    @naimarishedy1523 Рік тому +2

    Charamila ongea ila ukifunga watakufa wengi

  • @PedadMiyombo-pc8gc
    @PedadMiyombo-pc8gc Рік тому

    Nikisikia kaul izi nakumbuka mbal sana maana ckuiz ata jeshi comedy

  • @mussaadaut3281
    @mussaadaut3281 6 місяців тому

    Spana

  • @FrederickThadeo
    @FrederickThadeo 6 місяців тому

    Machinga Wana nguvu kuliko wa somi wa chuo kiku

  • @KyosiKyafuka
    @KyosiKyafuka 7 місяців тому

    Heeeh ! Huyu mnyalukolo hatari japo kuwa salama

  • @MeckMsea-cx1ct
    @MeckMsea-cx1ct Місяць тому

    Mwamba huyu hana woga piga kazi mhehe kiongonzi inatakiwa hivi

  • @MCNgakungaJunior
    @MCNgakungaJunior Рік тому +2

    SASA NIMEKUELEWA BAADA YA KUKUSIKILIZA MWANZO MPAKA MWISHO

  • @2003hintay
    @2003hintay Рік тому +2

    Kwa Watanzania anatakiwa kiongozi Kama huyu. Kazi ya kubembelezana hatuendi, hakuna Cha mzee Wala kijana sokoni wako sawa tu, na hapo wapo waliokuwa wanalengwa sio wote na wanajulikana biga kazi mkuu huhongeki wewe na ndio dawa

    • @kabwelasutiviraka4765
      @kabwelasutiviraka4765 Рік тому

      Sehemu zote inatakiwa iwe hivi wapumbavu hawa na mafisadi walitakiwa wanyongwe

  • @hashimchaoga9566
    @hashimchaoga9566 Рік тому +1

    Kuna maadili ya viongozi ikiwemo na lugha

    • @Yunus_Hassani
      @Yunus_Hassani Рік тому

      Ww ulitaka je fala ww

    • @hashimchaoga9566
      @hashimchaoga9566 Рік тому

      @@Yunus_Hassani sijibishani na mafala kama wewe usiejua kiongozi inatakiwa awe na kauli ya kistaarabu na busara na si kufoka foka kwani haisaidii Kwa watu sugu. Ingekua inasaidia basis madikteta wangefanikiwa katika uongozi Tena huyu karopoka hata kwenye suala La mkataba mbovu Wa bandari

    • @hassanmasoud8167
      @hassanmasoud8167 Рік тому

      Sio kwa sisi watanzania

  • @juniversal.onlinetv4163
    @juniversal.onlinetv4163 11 місяців тому

    Vyuma vya magu ivo

  • @AsdDsa-fi5qk
    @AsdDsa-fi5qk Рік тому +2

    😂😂😂😂😂

  • @asmarajabu5786
    @asmarajabu5786 Рік тому +2

    😂😂😂

  • @margarethsaramaki3966
    @margarethsaramaki3966 Рік тому +1

    Hawezi huyu kunahitajika nguvu kazi kubwa kuwa na watu kama hawa maneno ya vitisho hayafai kwa Taifa

    • @kabwelasutiviraka4765
      @kabwelasutiviraka4765 Рік тому +1

      Yuko sahihi Watanzania wamezoewa kuendeshwa kama mapunda mmechekeana sana ndio maana mko masikini wa kutupwa

    • @abdulkarimabdallah9536
      @abdulkarimabdallah9536 Рік тому

      Huwenda wewe nimoja kati mbwa mwitu wanaojipatia kipato cha dhulma kwenye hilo soko mbwa mmoja ww
      Kha labda sijakuelewa

    • @margarethsaramaki3966
      @margarethsaramaki3966 Рік тому

      @@abdulkarimabdallah9536 kama mimi mbwa mwitu na ww pia mbwa mwitu na huko ulikozaliwa ni hivyo hivyo na ndiyo maana ukaona wote tunafanana mbwa mwitu
      Uwe na adabu kujibu au kaa kimya
      Mungu akupe ufahamu wa kutosha

  • @EliaHiluka-ep3tp
    @EliaHiluka-ep3tp Рік тому

    Soko Hilo ni mali yako hadi ufunge

  • @MarygetrudeKyauke-hn8hi
    @MarygetrudeKyauke-hn8hi Рік тому

    Taifa hili lina viongozi wabovu haijawahi tokea, ivi unaweza tukana wazazi wako wanaokulea ? Jifunzeni kauli za viongozi na kauli za nyumban kwako

    • @MarygetrudeKyauke-hn8hi
      @MarygetrudeKyauke-hn8hi Рік тому

      2:04 Raisi hata angelasilika vipi hawezi tukana hivyo Kwa kuwa anajua anaongea na watu gani, lakini hawa wateule sijuwi Kuna nn kichwani mwao, wajifunze Kwa Raisi Samia waone

  • @martinkisha6307
    @martinkisha6307 Рік тому +2

    Hotuba kama hii inachochea hasira Kwa wanyonge watumishi mjitathimini kauri zenu . Hata kama Kuna makosa hizi kauli zikiendelea na wakoroni hawakuwa hivi

    • @kabwelasutiviraka4765
      @kabwelasutiviraka4765 Рік тому +1

      Yuko sahihi Watanzania wamezoewa kuendeshwa kama mapunda mmechekeana sana ndio maana mko masikini wa kutupwa

    • @allyhamic1255
      @allyhamic1255 Рік тому +2

      Akuna cha kauri nzuri ukiongea kipole pole utashikwa mpaka matako...namna hii ndo inatakiwa kwa apa tz

    • @ahmedhamis
      @ahmedhamis Рік тому +1

      Waafrika ukicheka nao kwishaaa

    • @HadjiMbugi-hw2hf
      @HadjiMbugi-hw2hf Рік тому +1

      ulitaka awabembeleze?!?

  • @margarethsaramaki3966
    @margarethsaramaki3966 Рік тому

    Njoo na Morogoro uwe mkuu wa mkoa usafishe madudu natamani nije nikuone upande wa Ardhi Morogoro ni hovyo hovyo watu hawafanyi kazi inavyostahili, waziri wa ardhi uko wapi mama? Usiangushwe mama

  • @AziziAbedi-ml8lg
    @AziziAbedi-ml8lg Рік тому

    Umekua mungu wewe Acha kutukana watu kuna mungu

  • @meryshekoloa961
    @meryshekoloa961 Рік тому

    Uuuiiuiiiii

  • @Alfred-y3e
    @Alfred-y3e Рік тому

    Kwanza ungekosoa mafisadi bungeni hapo sawa na mmbwa koko

  • @AlAl-sd9pl
    @AlAl-sd9pl Рік тому

    Ila mkuu wa mkoa. Lugha ulio tumia hapo kumbuka Kuna wazee wenye umri kama baba yako au mama yako. Umetumia lugha chafu omba mungu akuongoze ama utubu kabisa 😮😮😮

    • @2003hintay
      @2003hintay Рік тому +6

      Sokoni hakuna Cha mzee wote lugha Moja tu mzee nyumbani kwake piga kazi mkuu wamezoea kubembelezwa

    • @nestanesta5704
      @nestanesta5704 Рік тому

      Maneno machafu kwa kiongozi, Kama yeye,kutumia lugha chafu haimaanishi kwamba ndo utaeleweka, jpm alikua mkali ila hajawahi kutumia maneno ya hivi. Alafu bado anatamba as if Kuna mtu kamtisha, hamna kiongosi humu, Hawa ndo wanamchafua our mother!!!!

    • @kabwelasutiviraka4765
      @kabwelasutiviraka4765 Рік тому

      Hamna cha mzee wala kitukuu watu wapumbavu na ujinga hamna kuwachekea. Yuko sahihi Watanzania wamezoewa kuendeshwa kama mapunda mmechekeana sana ndio maana mko masikini wa kutupwa

    • @kabwelasutiviraka4765
      @kabwelasutiviraka4765 Рік тому

      @@nestanesta5704acha uongo wewe JPM alikuwa anatukana kabisa na alikuwa anafoka na Watanzania ndio wanataka hivi ukiwachekea wanakupanda kichwani

    • @AlAl-sd9pl
      @AlAl-sd9pl Рік тому

      @@kabwelasutiviraka4765 matako wewe tajir

  • @stanymccary7136
    @stanymccary7136 Рік тому +1

    Wabongo lazima waendeshwe kama punda husicheke nao kabisa

  • @husseinjosephitocho6754
    @husseinjosephitocho6754 Рік тому

    una lolote mwongo tu wewe ungeenda pekeako apo sokoni bila nguvu ya dola alafu uwalishe uwo uwalo wako une watu kama wasingenyonya mavi mchana kweupe uwezi kutukana watu wazima kama watoto wako

  • @EliaHiluka-ep3tp
    @EliaHiluka-ep3tp Рік тому

    Acha vitisho

  • @marsmars5361
    @marsmars5361 Рік тому +1

    Acha kututisha wewe

  • @juliusbura4550
    @juliusbura4550 Рік тому

    Wewe mjinga mpumbavu Ni wewe

  • @Esterkomba-ef7eb
    @Esterkomba-ef7eb Рік тому

    Hunaishu matusi kama kiongozi haya fai

  • @marsmars5361
    @marsmars5361 Рік тому

    Kwahio unatulazimisha tumshangilie we vp ?

  • @OdenBidili-lj5qi
    @OdenBidili-lj5qi Рік тому

    Huyu nae kama chizi hivi matusi ya nini sasa

  • @FrederickThadeo
    @FrederickThadeo 6 місяців тому

    Funga wajinga hao machinga Kwa Sasa nisawa ajp mumelea machinga wajinga kutoka vijini mutakuja kuona kazi yao