Mungu akubariki sana na kukulinda Rais wetu wa Young African's. Una kipaji kikubwa sana na unakitumia vizuri mno kwa manufaa wa Club na Watanzania kwa ujumla. Naamini hata roho yako iko mnzuri sana. Nakutakia mafanikio zaidi. Tunakupenda sana. Big up and keep it Prezder wetu.
Kwani hamkugundua kua injinia hana tofauti na Haji Manara Ni mtu wakujitapa tu goli 5 hivi hajui yanga ilifungwa magoli mengi mara ngapi lakini ustaarabu kitu kilichopita hatukipi umuhimu wowote injinia ni mchekeshaji kwa ushahidi itatosha kuona katika kipindi hiki amechekesha mara ngapi. Anaisifu yanga kwa sababu yeye ni yanga kama ambavyo mimi pia ni Simba napaswa kuisifu kwa yale mazuri yote waliyofanya
Mungu akubariki sana na kukulinda Rais wetu wa Young African's. Una kipaji kikubwa sana na unakitumia vizuri mno kwa manufaa wa Club na Watanzania kwa ujumla. Naamini hata roho yako iko mnzuri sana. Nakutakia mafanikio zaidi. Tunakupenda sana. Big up and keep it Prezder wetu.
Like za Rais zitengwe hapa 👉
Like zote Kwa Rais wetu eng.Hersi🔥🔥🔥🔥🔥
My fantastic presider we love u so much
Wakwanza leo like nyingii wananchiii
hongera raisi wetu Mwanchiiiiiiiiii
Hongera sana eng. Hersi
Kolozidadi wanachukia kusikia supu ni ukumbusho wa 🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️
Kabisa inawakumbusha msiba
President 💛🖤💚
Haina baya president,thanks
Well done
🎉🎉🎉🎉🎉🎉 engineer
Hahaha big up sana rais wetu
🎉🎉🎉🎉🎉 supu day
Supuuuuuuuu
Injinia mpe kazi haji manara haraka ametuletea yota ya makombe
Like za mabingwa hapa ❤
Rais wa vilabu Africah
inaonekana Rais hamkubali oscar kbsa nani mwingne kagundua hlo😂
Rais hana muda na mropokaji oscar haaminiki😅
Anamkandia
Amejibu supu mapema aisee 😂😂supu ya yanga nitofauti na hatutanii😂
Kwani hamkugundua kua injinia hana tofauti na Haji Manara
Ni mtu wakujitapa tu goli 5 hivi hajui yanga ilifungwa magoli mengi mara ngapi lakini ustaarabu kitu kilichopita hatukipi umuhimu wowote injinia ni mchekeshaji kwa ushahidi itatosha kuona katika kipindi hiki amechekesha mara ngapi. Anaisifu yanga kwa sababu yeye ni yanga kama ambavyo mimi pia ni Simba napaswa kuisifu kwa yale mazuri yote waliyofanya
Wewe unaongerea historian wezako wanaongea now alaf gori5 ameulizwa na amejibu ,ilitaka asijibu..makasiliko fc
Shujaaa wetu
Huwo niuchizi
😂😂😂😂😂😂😂😂SUPU IZINGATIWE😂
😂😂😂😂
😂😂😂mo kajibiwa
Uwoniulimbukeni
🤣🤣
Manara ni mamluki
Oscar we bado dogo tu
🤣🤣🤣
😂😂😂