TITO MAGOTI AWAVAA VIKALI IGP WAMBURA NA KINGAI | UTEKAJI | ADAI JESHI LA POLISI HALIAMINIKI TENA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 сер 2024
  • #TANZANIA: Wakili Tito Magoti alivaa Jeshi la Polisi juu ya kauli ya IGP Wambura sakata la utekaji, amlipua vikali DCI Kingai, "tulimuonya Rais Samia kwamba hauwezi kuteuwa waharifu na ukategemea matokeo tofauti na ndio maana wanaujasiri wa kuuwa na kuteka watu"
    Fuatilia Mwanzo TV Plus
    SUBSCRIBE UA-cam Channel yetu
    Follow us on X, Facebook and Instagram

КОМЕНТАРІ • 4

  • @hamissomary6869
    @hamissomary6869 Місяць тому +2

    Nakweli police wahuni/majizi tuu /wahuni"nilikamatwa brbrn nikaambiwa nime over speed kwenye kibao cha 50 speed"badala wanionueshe nimeoverspeed ngg ?eti yanionyesha wkt nakaribia kibao cha 50 nikikuwa kwye umbali wa mita 288.5 .nawakati mmi naingia kwenye kibao cha 50 nilikuwa chini ya speed 40 nanilikuwa naangalia dash bord watk naingia kwye hicho kibao cha 50 "Inshort jeshi la police wamekuwa miungu watu .

  • @hamissomary6869
    @hamissomary6869 Місяць тому +2

    Serikali ya ccm yakijingaaa sanaaa"wahuni watupu tumechka nahuu ujinga tutaingia barbrn

    • @abdalahgunda1319
      @abdalahgunda1319 Місяць тому

      Tanzania politician and odinary Tanzania people and rulling part on leadership to select military officer be ambassador outside of tanzanian is this not curuption military on tanzania difence force the res any military difence force to be politician but on ccm we have seen thouse difence force who finish they team on military service they have been given position of ambassador outside of tanzanian is this right darection or is the ccm corrupt our difence force so that ccm can use that as the tools remain In power

  • @knight6757
    @knight6757 Місяць тому +2

    😢