JINI MAHABA LIVE KATIKA BAHARI YA MANGAPWANI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 бер 2020
  • fair use is a use permitted by copyright statute that might otherwise be infirnging non - profit education, or personal use tips the balance in favor of fair use all credit for copyright material used in video goes to the respected owner, #ZINJIBAR
    #FAHARI YA ZANZIBAR

КОМЕНТАРІ • 451

  • @jovithajovinary9305
    @jovithajovinary9305 3 роки тому +8

    Kwa jina la YESU nawashushia Moto wa Roho mtakatifu,na dam ya YESU izunguke maisha yetu,

  • @ally1702
    @ally1702 4 роки тому +10

    Mashallah dah mmenikumbusha mambo mengi kunionesha kwetu Leo ila kidogo zinjibar TV mtume (saw) anasema mwenye kughushi si katika sisi nikiangalia kichwa cha habari hakiendani na yaliyomo hamuhisi kuwa mnaghushi Allah ndo mjuzi asanteni Sana kwa daawa Allah atupe wepesi atuepushe na Shari za majini 974

  • @patrickmunishi2277
    @patrickmunishi2277 3 роки тому

    INGELIKUA NYIE NI WATUMISHI WA MUNGU MSINGE WEKA KICHWA CHA HABARI AMBACHO NI UONGO,MAANA SHETANI MWENYEWE NI MUONGO KAMA NYIE

  • @supumoto6819
    @supumoto6819 4 роки тому +5

    SHEKHE hapo kwenye rizki hapana , tukisema wanafunga rizki itakua tumewapa nguvu baadhi ya washirikina kuenda kuomba rizki kwa mashetani

  • @africanbeautyx4128
    @africanbeautyx4128 4 роки тому +4

    Mimi sio muislamu sema huyu shekhe anaonekana anaimani kubwa sana, God bless him

  • @saeedakibao6104
    @saeedakibao6104 4 роки тому +6

    Mimi Nina shida binafsi ya kumuona shekh salim naamini ninacho kitu mungu kanipa pengine nikimuona shekh kuna kitu atanufaika kwa kuniona au nitanufaika mimi

  • @lkshmykomar5472
    @lkshmykomar5472 4 роки тому +8

    Shehe wetu mardhya Allah akupe maisha memayenye hernww nakupenda sana kwaajili ya Allah

  • @queenayushgal9955
    @queenayushgal9955 4 роки тому +3

    ماشاء الله تبارك الله، شكرا sheikh hata mimi niko na hilo tatizo na huwa yuwanitokezea na kunichukua mpaka baharini nakuniambia niingie kwenye bahari huwa kuna mwangaza nakuniambia nikachukue pesa, na lengine kumchukia mume wangu hali yakua nampenda sana mume wangu ila huwa ni vurugu kati ya mimi na mume wangu, na haswaa tatizo nikua aliniambia kua sitozaa mpaka nimzalie yeye jini na mimi niko na mda wa miaka kumi na tano nashindwa kuzaa, sababu alinitokea nakuniambia nisikubali kuowela, na niliwahi kuenda hospital nikapima sina matatizo ya uzazi., naomba msaada wako sheikh.

  • @johnwillison8286
    @johnwillison8286 3 роки тому

    Leonard.fautine

  • @shaameshaame2136
    @shaameshaame2136 4 роки тому +1

    endeleeni kutuibia waislamu wenzenu kwa kutumia maandishi yenu

  • @ababuumwanazanzibar4908
    @ababuumwanazanzibar4908 4 роки тому +16

    Hatari Sana'a Shekh Jini Live tena Dah Zinjibar TV mnatupa elimu nzuri Sana'a Mungu awazidishie Sana'a na Awalinde Sana'a Mko juu Sana'a

  • @antiemiy347
    @antiemiy347 4 роки тому +13

    Masha Allah Maasha Allah Sheikh Salum Mardhia hongera leo umeingia jikoni mwenyewe,Watamama usiogope mlinzi unae .Sheikh Salum kiboko yao,hakuna jini litakalokuvaa.Mungu akujaalie umri mrefu sheikh Salum.wenye kheri na afya njema.

  • @elizabethgabriel1888
    @elizabethgabriel1888 3 роки тому +1

    Kwa jina la Yesu kristo wa Nazareth aliye hai hawaniwezi me&G tunajifunika damuni mwa Yesu kristo amen amen amen amen amen amen amen!!!!!!!

  • @bintsalimalbimany5340
    @bintsalimalbimany5340 4 роки тому +2

    Mashallah shekh wangu wa Faida nampenda. Sana huyu shekh kwa ajil ya Allah

  • @mwanaishahussein2635
    @mwanaishahussein2635 3 роки тому

    Zakallahul kheir Sheikh, ALLAH akupe umri tunahitaji sana kuelimika juu ya hao majinni🤲🤲🤲🇰🇪

  • @fatmerhabibth7477
    @fatmerhabibth7477 4 роки тому +8

    Asalaam Alaikum..mashaallah sikua nsjua aina za majini kumbe wapo wengi..m/mungu atuepushe nao inshaallah...inshaallah sheikh zidi kutufunza..mungu akupe umrii...

  • @alimatambwe3402
    @alimatambwe3402 4 роки тому +10

    Allah awajaze ujasiri MashaAllah Jazakhallahu khaira 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏.

  • @saeedsaeed7381
    @saeedsaeed7381 4 роки тому +5

    Masha Allah sheikh salum leo umeingia jikoni mwenyewe na kuwachambua jinni mahaba/ahiq kwani ni koo mbaya sana sana hii na ina mashakeel makubwa dah lnsha Allah mungu awangamize wote majini mahaba/ashiq....shukran Sheikh wetu kwa awesome topic lnsha Allah mungu akupe umry mwema Sheikh...Ma Salam

  • @mussaabissallamy994
    @mussaabissallamy994 4 роки тому +3

    Mashallah shekh salum kwa hakika elim imefika ww ni koboko ya majini allah akuzidishie kipaji na makarama

  • @mohamedabdallah3577
    @mohamedabdallah3577 2 роки тому +1

    Shukran jazaillan,Allah akuongoze inshaallah.