Premier Full Episode - Pete S1 Episode 1 | Maisha Magic East

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 1 тис.

  • @yvonneanita594
    @yvonneanita594 5 років тому +70

    I'm happy to see my Kenya's Kama hunakubali hii move gonga like tukisonga,,,, I'm woching in Qatar

    • @isayabornfas6166
      @isayabornfas6166 5 років тому +2

      Manze the Kenyan media Should Shun this Mexican Soap Operas

  • @magrethkawa4841
    @magrethkawa4841 5 років тому +46

    East Africa sisi tuu wamoja tunaunganishwa na lugha yetu ya KISWAHILI... much love from Tanzania 🇹🇿 to Kenya 🇰🇪👉❤️❤️❤️

  • @ElijahMuteti-c9p
    @ElijahMuteti-c9p Рік тому +9

    I love the way Nuru acts

  • @MbarakaSefu-w6y
    @MbarakaSefu-w6y 5 місяців тому +12

    I'm Tanzanian boy I like this Kenyan movie if u love this movie like me give me my like❤❤❤❤

  • @mikapeter1019
    @mikapeter1019 6 років тому +47

    Daah!! Kenya mpo vizuri kwa kweli, hasa watu wa pwani.. Mmeigiza vyema kabisa 👏 mwanzoni nilidhani ni watanzia kumbe +254 ..bravo guys!!!

  • @sallysteve482
    @sallysteve482 6 років тому +344

    Namsituojeshe kama selina kisha muache kupost kwa watu Wa diaspora pliz hapo vipi ngoga like kama wakubaliana nami?

    • @nyamwenesalim4194
      @nyamwenesalim4194 6 років тому +1

      Sally steve kweli hata maza yenyewe vipande vingine hawa weki

    • @ruthkinuthia1255
      @ruthkinuthia1255 6 років тому +1

      Sally steve wife ndio wako nayo😂😂😂😂😂😂😂

    • @sallysteve482
      @sallysteve482 6 років тому

      @@nyamwenesalim4194 hata sijawahi ona ni highlights tu

    • @sallysteve482
      @sallysteve482 6 років тому

      @@ruthkinuthia1255 wanasinya kwelikweli😂😂😂na hii showmax haiko available huku

    • @ruthkinuthia1255
      @ruthkinuthia1255 6 років тому

      Sally steve ukweli sn inambo 🤔😂😂

  • @TheresaNiyonzima
    @TheresaNiyonzima 9 місяців тому +3

    Bi nimimi nakupenda sana umenifurahisha sana pamoja n'a kalume,na nuru kweli mume ni furahisha uku Burundi sudi upoooooooooooo

  • @GiftGatibiri
    @GiftGatibiri Місяць тому +2

    Who is here after this video roaded to 2.5million ?

  • @alfanm.8221
    @alfanm.8221 6 років тому +6

    I'm an American an i don't understand Swahili but i like the movie the way this actors are acting imenipunga walahi na sitosita kuitazama sehemu ya pili.

    • @METRINEOKELLO
      @METRINEOKELLO 5 місяців тому

      Kumbe America wanajua kiswahili oky welkm kenya ❤

  • @christinenyamasege9515
    @christinenyamasege9515 5 років тому +9

    Wow... Io kiswahili❤ I even think this play should a be Swahili set book in high school yaani... TAMTHILIA YA PETE....

  • @bijumakassim3697
    @bijumakassim3697 6 років тому +10

    Wakenya wezangu muko juu sana wapi like twende sawa

  • @محح-و6ش
    @محح-و6ش 3 роки тому +4

    Am watching Pete from.saudi oyoooo love my country

  • @isayabornfas6166
    @isayabornfas6166 5 років тому +3

    God Lord Watching from my Chambers (Sawyer &Associates) I love this programme. .......Netflix I'm afraid I'll have to Cancel Our Subscription, Hello Maisha Magic!

  • @IreneNdoloma
    @IreneNdoloma 8 місяців тому +44

    Who still here 2024?! 😍

  • @susankainda8899
    @susankainda8899 3 роки тому +6

    RIP 🙏 msili tutakumiss sana kwa maisha magic

  • @leilakhalid3795
    @leilakhalid3795 2 роки тому +2

    Maashallah jamny 😍😍😍😍😍😍😍😍l m happy jamny so move tamu san😙😙😙😙😙😙😙

  • @memisaphusseni7190
    @memisaphusseni7190 6 років тому +196

    Daa team Kenya wako wpi...254..gonga like yako apa kama uwakubali

  • @bosunmagoya5297
    @bosunmagoya5297 4 роки тому +1

    Pete Taharuki Kisiwani mm ni Bosun Magoya from Mombasa Wakenya Mpango mzima bonge la movie Salute sana

  • @faridabakari8511
    @faridabakari8511 6 років тому +22

    Hongera i Proud of KENYA tunajitahid i from malindi ...nangalia nikiwa DUBAI 😅😅😅😄😄😄😄

  • @iyo234
    @iyo234 7 місяців тому +2

    Me naomba nikubali kusema tu kwamba ii tamthilia ni mzuri sana sijawaiona. Afu pia napenda nikubali kusema kwamba tamthilia hii imejaa waschana warembo saana sana sana sana. Dahh

  • @jvhkbvjnvjkbcjbvcj2822
    @jvhkbvjnvjkbcjbvcj2822 6 років тому +87

    Napenda mnavyoongea Mombasa nasikia raha from TZ

  • @GiftGatibiri
    @GiftGatibiri Місяць тому +1

    This is the first Tv Drama to have 10k likes.❤

  • @irenemumbiofficial2282
    @irenemumbiofficial2282 6 років тому +26

    Wow nakipenda kipindi kweli swaiba sasa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @GiftGatibiri
    @GiftGatibiri Місяць тому +1

    Who is here from East Africa?

  • @meddyfurniture
    @meddyfurniture 6 років тому +17

    please upload more!! i watched this on Dstv in Uganda now I relocated to Dubai I miss this show. please upload all episodes here please....

  • @ElijahMuteti-c9p
    @ElijahMuteti-c9p Рік тому +2

    I love the young girl the way she acts

  • @maryamismailmaryamismail9539
    @maryamismailmaryamismail9539 5 років тому +4

    Kiukweli nimependa sanaa filamu 100% congratulation to u mutraz tamim

  • @GiftGatibiri
    @GiftGatibiri Місяць тому +1

    How many Kenyans are here.🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @pendosammy5984
    @pendosammy5984 6 років тому +37

    Tamuu cholera jamaniiii… Kenya oyeeee wapi malizeni episod

  • @biommy9472
    @biommy9472 6 років тому +4

    Wow! Tamu hii,, musicheleweshe basi mukatuboa na mumeanza vzr...waiting esp 2

  • @elizabethelizabethngajiro8755
    @elizabethelizabethngajiro8755 5 років тому +42

    Mim. Ni mtanzania like zangu washirik ote

    • @salimusalimu6404
      @salimusalimu6404 3 роки тому

      Salimu from Saudia Arabia Riyadh plzzz naomba namba yako plzz

  • @evabonfas21luvata7
    @evabonfas21luvata7 6 років тому +163

    Napenda wakenya mnavo ongea toka tz

  • @abdulrahimali2639
    @abdulrahimali2639 6 років тому +41

    Hongera Sana nyote mlioshiriki episode one kweli vipaji vipo Mombasa na lahaja za kimwambo na weledi wa uigizaji kwa kutumia Kiswahili sanifu tamathali za usemi hongera

    • @abdulrahimali2639
      @abdulrahimali2639 6 років тому +2

      Ridhwaa msikose kuitazama nimiongoni mwa filamu za Mombasa

    • @faizadulla1699
      @faizadulla1699 6 років тому

      Halo umenena👌👌👌👌💯

    • @monicaigati3606
      @monicaigati3606 5 років тому

      Happy

    • @monicaigati3606
      @monicaigati3606 5 років тому

      Ha well received with the client 😁 my ribs 😁😁 my sister is 👌👍😍👌🔥👌🔥🔥 burning 💪 it's is y 😂😬😳😳😁 my ribs and we can get you a new phone t to God I have a blessed Wednesday and Friday and we can get you are doing a great job and I have to go 😊😁 my ribs are still pressing the button on the remote 😑😑

  • @rainhardlee7493
    @rainhardlee7493 5 років тому +2

    naipend sana Pete pamoja na Selena Kenya noma Tanzania wanazngua

  • @falconheavy9
    @falconheavy9 6 років тому +4

    Mimi napenda sana hiyo music ya kipindi. HD pictures na some comedy in it. Great one from 254 & 255.

  • @GiftGatibiri
    @GiftGatibiri Місяць тому +1

    Who is here in December 2024?❤

  • @kijanaamdide4482
    @kijanaamdide4482 6 років тому +10

    Ma sha Allah,kazi safi sana.

  • @zulachama1067
    @zulachama1067 3 роки тому +4

    Nakubaliana na kazi yenu PETE MOVE safi ssana.Bigup guys 👏👏👏👏👏👏,jenga inchi kuza wasanii.

  • @misswamboh9585
    @misswamboh9585 6 років тому +95

    Kiswahili kitukuzwe jamani,,let's support this pwani movies❤

    • @homebase6644
      @homebase6644 6 років тому

      Wamboh Penainah yeah it's true

    • @saidmohd5090
      @saidmohd5090 5 років тому

      Kwani wwe ujuwi kiswahili nikufunze bac 🤣

    • @salimusalimu6404
      @salimusalimu6404 3 роки тому

      Salimu apa kutoka Saudia Arabia naomba namba yako plzz

  • @GiftGatibiri
    @GiftGatibiri Місяць тому +1

    Pete is the best show.

  • @amarutonny2325
    @amarutonny2325 6 років тому +24

    Big up PETE the next big thing congrats to all the actors and actress 254, finest, moto sana

  • @joycemajala4355
    @joycemajala4355 6 років тому +6

    Next episode plz....nice love it from Dubai

  • @saumtv6061
    @saumtv6061 6 років тому +8

    What can I say funzi that my motherland. I can't believe they chose that site. It a beautiful one. Love my place

  • @fatmabien8730
    @fatmabien8730 6 років тому +7

    Am watching it from UK England am loving it 👍👍👍👍

    • @isihaqasaid
      @isihaqasaid 6 років тому +1

      Ndio raha ya vitu vizuri kupatikana online. Nisalimie jamaa zangu at Milton kenys

  • @innocentjay5844
    @innocentjay5844 6 років тому +10

    Yanyumbani hii asanteni sana maisha magic

  • @johnmwangi2435
    @johnmwangi2435 6 років тому +3

    My favorite soap right now siwezi kosa ata sekunde moja

  • @prettygirlhelen6082
    @prettygirlhelen6082 6 років тому +8

    Love ❤️ you jasiriiiii💓💓💓💓

  • @FumbledNFL
    @FumbledNFL 6 років тому +1

    hii kanda ina shirki nyingi.Hawa kuvaa mavazi ya kiislamu alafu kufanya ushirikina ni makosa sana.Mwenyezi anafaa kuabudiwa pekee hakuna mizimu wala yesu wala kiumbe yeyote yule.ukitaka kutatuliwa au kusamehewa Mwenyezi ndio anayeweza kukusaidia.Ahsante

  • @salmamatola4255
    @salmamatola4255 5 років тому +10

    Hongereni ndugu zetu wakenya series ni tamu Sana nimeipenda ila Mutrah ni Mtanzania tena Mzanzibar

  • @khadijasuku4001
    @khadijasuku4001 6 років тому +9

    dah nimejikuta nimeipenda ghafla please muendelezo tunaomba coz mpo vizur kiukwel

  • @leahsimiyu8269
    @leahsimiyu8269 5 років тому +4

    Wow amazing, achana na kina selina short films

  • @thumathush4172
    @thumathush4172 6 років тому +46

    Mashallah mombasa tuko juu.aki naicheki hii move nikiwa iraq

    • @hassanmohamednoor7090
      @hassanmohamednoor7090 6 років тому +2

      Kwasemaje iraq

    • @hihoware7297
      @hihoware7297 5 років тому

      Thuma thush uko iraq wapi mm niko Iraq pia

    • @princemoudy5377
      @princemoudy5377 5 років тому

      Thuma Thush mm pia niko iraq najafu thuma wew upo mkoa gani baghdad au

    • @princemoudy5377
      @princemoudy5377 5 років тому +1

      Hi How Are maashallah kumbe waswahili iraq tupo weng kdg mm niko najafu wew upo sehem gani

    • @hihoware7297
      @hihoware7297 5 років тому

      @@princemoudy5377 niko Palestine bagh dad

  • @NaifatMachano
    @NaifatMachano 8 місяців тому +3

    Nimeipenda sana

  • @عليالندابي
    @عليالندابي 6 років тому +6

    Waoooh inapendeza sanaaa

  • @dorisonesmo8814
    @dorisonesmo8814 6 років тому +5

    nimependa hii collaboration ya Tanzania na Kenya.Hongera Mutrah maana vile nilivyoona picha ya Mutrah tu duhh nika click kuipray

    • @zolongOne
      @zolongOne 4 роки тому +2

      Mutrah ni mtanzania?

    • @dorisonesmo8814
      @dorisonesmo8814 4 роки тому

      @@zolongOne ndiyo,ni mtu wa Tanzania,kabila mlugulu mkoa wa Morogoro

  • @samsonmushu1011
    @samsonmushu1011 4 роки тому +1

    Nawakubali nyote 254. Kilifian Mtwapa

  • @ramambugusramambugus1187
    @ramambugusramambugus1187 6 років тому +263

    +254 hongereni sana mko vizuri kama una kubali cha nyumbani gonga like hapa

  • @gurnihal6732
    @gurnihal6732 5 років тому +2

    Jamnii fanyenii kam maneno yakuambiwaaa 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻

  • @fashleyfatma9018
    @fashleyfatma9018 6 років тому +4

    Masha Allah aki imeweza inakautamu kake😍

  • @kaluludehare2420
    @kaluludehare2420 6 років тому +2

    Imekaa poa sanaaah...Ni vile nmeipenda sanaaaaa

  • @fatumamacharia9465
    @fatumamacharia9465 6 років тому +14

    Nimeipenda sana next episode plz

  • @tamaraemmah6553
    @tamaraemmah6553 6 років тому +2

    🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 hoyeee twaeza kumbe, mashallah

  • @priscamlyuka5531
    @priscamlyuka5531 6 років тому +6

    Mutrah jamani nakupenda wewe kaka dah mpka naugua mimi sijui lini nitakuona live japo nikuhug naumwa mm kisa wewe mutrah nikikuona tu moyo wangu unasuuzika upendo wa kawaida lakin dahahahhaha😘😘😘mutrah

  • @jullyannie2388
    @jullyannie2388 6 років тому +2

    Nice one, Sudi umbea utakumaliza😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂nimeipenda Sana.

  • @lydiaotieno9585
    @lydiaotieno9585 2 роки тому +3

    Nakipenda hiki kipindi kupindukia😍😍

  • @abdallahali5474
    @abdallahali5474 6 років тому +4

    Jamaa wanaweza sana Nimeipenda wallah👌

  • @fatimasaid9469
    @fatimasaid9469 6 років тому +3

    Frm uk
    Omg! Hakuna kitu napenda kama tamaduni hasa film za mwambao tunajua na tuungane tutafika mbali but mnatutamalisha lini tena inaendelea. Watu wengi wanapenda kuangalia film kama hizi.

  • @ramadhansalim5004
    @ramadhansalim5004 6 років тому +8

    Nime ipendaa sana story yake👍💪💪👂

  • @khifayusuf6223
    @khifayusuf6223 4 роки тому +3

    Jamaaaani nuru ,heeèeee makubwa

  • @faustinewillidizo3917
    @faustinewillidizo3917 6 років тому +7

    naweza pata episode zote UA-cam nimependezwa na Pete series it's very emotional

  • @mejubaraza9415
    @mejubaraza9415 6 років тому +78

    Mombasa pia tunaweza wallahi

    • @lenniefei6710
      @lenniefei6710 6 років тому +4

      Tumeweza tangu kitambo ila upuzi wa ukabila tu Kenya ndio tatizo...Ukweli usemwe..Hii na kina mother in law wp na wp ??!!

    • @bintihamisi6917
      @bintihamisi6917 6 років тому +1

      Haki kumbe twaweza tens nzuri

    • @bintihamisi6917
      @bintihamisi6917 6 років тому +1

      Lenny nakkubali

    • @sumesume7928
      @sumesume7928 6 років тому +2

      Tunaweza zaidi ya sana mimi naburudika nikiwa saudi,,mashallaleikum muendelezo plz

    • @omarhassan23
      @omarhassan23 6 років тому +1

      Kabisa

  • @leylanmrembo.8132
    @leylanmrembo.8132 6 років тому +2

    Sarah,,... kumbuka simulizi la milele pale Ngamesco. keep it up girl.

  • @antonyekesa6197
    @antonyekesa6197 5 років тому +6

    love the setting and the theme also seeing familiar faces on the screen inanibambaa noma

  • @azzamahamdu7039
    @azzamahamdu7039 5 років тому +1

    Bora mmemix wakenya na tz.coz napenda sana wakenya wakiongea...🤣🥰👐PETE👌@Nami naomba niigize

  • @frankmtinda5709
    @frankmtinda5709 6 років тому +57

    Sio tu wakenya mwaangalia wenyewe pia namm mTANZANIA nipooooo

    • @joharihassan607
      @joharihassan607 5 років тому

      Frank Mtinda
      Chaneli gani jomoooon mpedwa waonyesha na king'amuzi kipi ..?? ,,huku you tube waeka vipande vidichu hata havieleweki naomba unijuzeee pleas

    • @bandadanny3726
      @bandadanny3726 5 років тому

      Frank Mtinda hi

    • @sharonke7442
      @sharonke7442 5 років тому

      hata Mie napenda za kitanzania hata story za kina Idd na Atuganile mwakalile nasomaga sana

    • @zolongOne
      @zolongOne 4 роки тому

      @@joharihassan607 Maisha Magic plus kwenye Dstv

  • @محمدالعطوي-ش5ه
    @محمدالعطوي-ش5ه Рік тому +2

    Wow nawapenda sanakutoka🇰🇪

  • @broclassic9845
    @broclassic9845 6 років тому +7

    imependeza 👊👊

  • @abubakaralimohammed3388
    @abubakaralimohammed3388 2 роки тому +1

    Iam watching in Saudia Arabia.

  • @bintyndzuga3618
    @bintyndzuga3618 6 років тому +9

    Nzuri sana

  • @seifsharrif4461
    @seifsharrif4461 4 роки тому

    Duuuh movie iko good ile mbaya yani mwaaaaaaa

  • @priscamlyuka5531
    @priscamlyuka5531 6 років тому +6

    Nzuri sanaaaa kama mazaaaa dah

  • @faizadulla1699
    @faizadulla1699 6 років тому

    Vipindi vya kutengenezwa mombasa kuanz wasanii mpaka stories kawaida huwa 👌👌👌👌

  • @asyadezz1939
    @asyadezz1939 6 років тому +3

    MashaAllah 001😘😘

  • @anushikasharma866
    @anushikasharma866 6 років тому +2

    It So nice llike that movies somuch

  • @zahraabdul8280
    @zahraabdul8280 5 років тому +7

    I love it.

  • @AlAl-sd9pl
    @AlAl-sd9pl 3 роки тому +2

    Move nzur big up

  • @lucymihale7552
    @lucymihale7552 6 років тому +13

    Majin ya sud ni wambea ndo maan sudbrow mmbea 🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂

  • @suzanamasubi8926
    @suzanamasubi8926 5 років тому

    uwiiii jaman iko poa kinyama thnks maisha magic 😘😘😘😘

  • @lizzylwambi397
    @lizzylwambi397 5 років тому +3

    Proud of you guys...254...

  • @sham6020
    @sham6020 3 роки тому

    Ilike that movie congaratulation all

  • @sheesadikshee8868
    @sheesadikshee8868 5 років тому +9

    Bi Nimimi this character she's so perfect wallah salute kwako madam

  • @bravoh1705
    @bravoh1705 Рік тому +2

    🎉🎉🎉🎉❤❤❤ next please

    • @zahraabdul9652
      @zahraabdul9652 10 місяців тому

      Ilichezwa kitambo ni wewe utafute full zipo humu Ndani 😅

  • @abelbiswaro8018
    @abelbiswaro8018 5 років тому +5

    Mombasa mnajua swahil from tz God bless

  • @NuruLaini-gg1xl
    @NuruLaini-gg1xl 6 років тому

    Muko vizuri ongereni Kenya tunaweza🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪😘😘😘😘😘

  • @zamzamhamisi7332
    @zamzamhamisi7332 6 років тому +5

    MashaAllah dadangu asha mwajumla hongera sana,yaani nikikuona nikama namuona marehemu mama

  • @SaidLamar-jq5dg
    @SaidLamar-jq5dg 8 місяців тому +1

    Wako vizuri ila hawajui kupangilia episode zawo

  • @mwanaidmaji8644
    @mwanaidmaji8644 6 років тому +6

    Nimeipenda Sana asante mutrah

  • @hendryprosper9950
    @hendryprosper9950 4 роки тому +1

    IPo good imeigiziwaa tz jamn

  • @karirekinyana9759
    @karirekinyana9759 6 років тому +3

    Kijana hatakama mimezeeka magupenda sana🤗

  • @EdwardSanane-l1c
    @EdwardSanane-l1c 11 місяців тому +1

    Kazi nzuri