Jini mahaba na jinsi anavyoharibu maisha yako | Sheikh Salum Mardhiyya

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 16

  • @ruthnimi2165
    @ruthnimi2165 2 роки тому +5

    Amen, Asante Kwa mafunzo haya Sheikh Salum na Sheikh Watamaman, Mungu akubariki na akujaliee baraka Tele.

  • @btylove1870
    @btylove1870 2 роки тому +1

    Quran is beautiful mashaallah 🙏🥰

  • @maryanomar119
    @maryanomar119 2 роки тому +3

    Mungu akuweke shekh salum marthiya nimepata faida nyigi kutoka kwako akuzidishie kipaji

  • @nasserabdallah5750
    @nasserabdallah5750 2 роки тому +4

    Jazzakka Allah khyern 🤲❣❤❣

  • @saidmohamed6543
    @saidmohamed6543 2 роки тому +1

    Baraka llahu fiykum Masha Allah Allah akuhufadhini na mahasidi umemchambua jini mahaba vizuri hawa mashaitwan ni hatari wanaharibu sana Ndoa nyingi

  • @sabontumohamed9192
    @sabontumohamed9192 2 роки тому +4

    Asc sheikh...io jini mahaba inanisubua sana, nataka usaidisi Asante

  • @zubedarichard2311
    @zubedarichard2311 Рік тому

    Jmn mm jini Mahaba linanisumbua Sana Jmn

  • @annesyombua658
    @annesyombua658 2 роки тому

    Asante sana kwa haaya mafundisho swali mtu anaweza jivukisha aje kwa haaya matatizo jameni 🤔

  • @carolinemrinji9605
    @carolinemrinji9605 2 роки тому +4

    Asalaam aleykum Sheikh. Mm naomba mtusaidie Kwa sababu kiumbe huyu anaharibi ndoa za watu

    • @muniraabeid733
      @muniraabeid733 2 роки тому +1

      Assalaam aleykum. Shukran kwa mawaidha yako. Naweza kupata no ya sim kwani nna masuala yangu na siwezi kuyauliza hapa

    • @jumahadidja9395
      @jumahadidja9395 2 роки тому +1

      Asalaam aleykum sheikh

  • @maimunaabdallah1294
    @maimunaabdallah1294 Рік тому +1

    Dah Quran hiyo nilitakamani isikatishwe

  • @msabahamour8524
    @msabahamour8524 2 роки тому +1

    Subbhannallah

  • @jecinterosimbo3534
    @jecinterosimbo3534 2 роки тому

    Na furahia nimejifunza kitu,,, ukiota umezaa, mtoto sometimes naota nalala waliokufa,,